Aisee, hii ripoti kidogo ingeendana na ile ya Husein sijui Hassan japo hii ya Zamda sijui huko mbeleni hali itakuwaje. Ila bado sijamwamini Shangazi, baadhi ya mashangazi huwa hawawatendei yaliyo mazuri watoto wa kaka zao. Ngoja tuone nini kitafuata.
@lightnessmsangi31482 жыл бұрын
Yaaaani kweli kabisa,,,,,,
@ladyzuu75362 жыл бұрын
𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞𝙞 𝙠𝙖𝙗𝙘𝙖 𝙣𝙙𝙪𝙜 𝙮𝙖𝙣𝙜𝙪𝙪
@azarajsalum21172 жыл бұрын
Mashangaz wanaroho za ajabu sana
@esthererasmi80572 жыл бұрын
Kila jambo Mungu anamakusudi nalo kwa sauti yakoo bs Mungu alishaipangaa kutuhudumia
@UpendoYohana-mh4sp3 ай бұрын
Mambo dada Veronica❤
@jumapiliissa48352 жыл бұрын
Aisee pole sana zamda hii dunia imebeba mambo mengi aisee
@pilijulius36342 жыл бұрын
Nakumc Sana Kila jmoc na jpilii cku zna kuwa ndefu hzii
@mwamwajaonline18812 жыл бұрын
Oyaa Wanangu wa ku buy buy time tupo tena kwa Zamda
@kimmwangi53402 жыл бұрын
Simulizi ni tamu Sana jaman Vero Ila matangazo yanakuwa Mengi🤪🤪
@januarykasongo92982 жыл бұрын
Me nahisi mama ndo anamatatizo
@williammushi46742 жыл бұрын
Mc safari the BIGGER mc firstly one
@janinendayisenga27272 жыл бұрын
Thanks Véronica nagupenda sana kwakira story unazo turetea Mimi najifunza sana maisha