Ushauri. Mashalah mnafanya kazi nzur sana. Lakini hizi vichwa vya anuani plz muviandike sahihi na maada. Mfano: Sheikh msabah tafsiri ya quran surat nur 39 - 43. Hii itapelekea urahisi mtu ku search kiurahisi. Lakini maada zote nyie mnaandika uhodari wa msabah. Sasa elimu inapotea hio.
@Sebola-j4l Жыл бұрын
Umesema kweli,hayo ndio matatizo yao waandishi
@ophaid11 ай бұрын
Kweli kabisa, anaeandika atafute msaidizi.kazi yako hairidhishi kabisa
@ttyyyyuuuuuu Жыл бұрын
Kweli kabisa
@YalkinAlkindy-nt2hf Жыл бұрын
Naomba mnisaidie ni msikiti gani huu na upo wapi na darsa zinakuwepo siku gani na mda gani
@bakarifakih4228 Жыл бұрын
kwa Aliani mchangani.
@YalkinAlkindy-nt2hf Жыл бұрын
@@bakarifakih4228 maeneo ya darajani si na je darsa zinakuwa siku gani