Mwenye Enzi awalaani kila alie kuwa dhalim na alie kuwa sababu ya hayo. Hasbiya Allah wani'mal wakiil
@eddynaeem67086 ай бұрын
wakati huwo nyerere anacheka karume aliwadhalilisha wazanzibar kwa tamaa zake wache yamkute na sisi kizazi cha leo tutaigomboa nchi yetu hapo ndipo ndipo mutakapo tufahamu
@rayaalhabsi17256 ай бұрын
@@eddynaeem6708 kweli kabisa maneno yako
@muhammadnasri63405 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atawahukum ote walio fanya unyama huu
@umiy19719 жыл бұрын
Ahsante sana bin seif tunashukuru kwa wakati wako unootumia kutuletea yote haya mungu akupe nguvu uendelee kutufaidisha.
@magellasaid36932 жыл бұрын
Mfumo ulianza kututafuna kitambo sn na bahati mbaya historia inapotoshwa, Allah ndie ajuae thamani ya malipo yenu shekh Thani
Yeah babu yetu ni mavamizi na tumeona tena in 2020😭😓
@isaackiptoo5833 Жыл бұрын
Asalam aleikum. Mimi ni mkenya na navutiwa na maelezo ya mzee wetu. Naomba kujua kama mzee yu hai. Kama yu mzima, mungu amwongezee miaka mingi zaidi.
@godfreydestury8813 Жыл бұрын
Hapana alishafariki
@asiasalimkapalato74635 жыл бұрын
Inasikitisha sana pole mzee wngu
@azizamri1522 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ndiye mtoa haqi. Baada ya mauwaji yote hayo wamefika wapi? Na bado! Mpaka waombe msamaha!!!
@38wahida8 жыл бұрын
allahu akbar ,binaadamu tunajisahau kua kuna hukmu mbele ya Allah,
@julietkwizera85105 жыл бұрын
Mpumbavu huyu
@fatmahamad21565 жыл бұрын
@@julietkwizera8510 mpumbavu ww
@salimalkindi1454 жыл бұрын
Juliet kwizera Kuna upumbavu gani kwenye masimuliyo yake. Unfortunately, wewe ni mshenzi as I can read from name. Jistaarabishe kwanza kabla ya Kurosawa Kauli. Acha chuki kuwa muadilifu.
@IlhamKhalid-mt3jp2 ай бұрын
Mpumbavu wewe na wanaofanana wewe na chuki zenu
@jumajorn89324 жыл бұрын
karume kiufupi ni msaliti wa zanzibar na ndo adui namba 2 badala ya nyerere
@mangofish90794 жыл бұрын
Huo ndio ukweli
@alialamoudi97293 жыл бұрын
Wameuliwa NA kuiteka nchi kwa sababu ni tajiri lakini umaskini mpaka hi garne2021
@ayyamirubba52262 жыл бұрын
Wote watendao mema watalipwa mema nawatendao uovu watalipwa adhabu
@yusufige7030 Жыл бұрын
Kanisa la katoliki no 1 nyerere ni kifwasi tuu kitumwa
@rahmajaffar794 Жыл бұрын
Pole baba angu Inshallah hiyo itakuwa sababu yako ya kuingizwa peponi kutokana na mateso uliyoyapata. Mimi nimesikia lakini naumia sana naona siwezi kuisikiliza mpaka mwisho
@aliyissa985723 күн бұрын
Allah atawalipa madhalim. Huyo Muhidin khamis leo yupo wapi ?
@mgogoonedodoma22508 жыл бұрын
Kwa kweli nimilia sana kusikia maneno kutoka Kwa sheikh Thani.Anaeleza vizuri sana.Hawa wasomi wa Zanzibar pamoja Na sheikh Muhsin ndio walikuwa vinara wetu sisi Watu wamrima.Watu wengi wakienda Zanzibar kutafuta Elmu ya Dini Na Dunia. Hamu yangu kubwa NI kumuona Yule Dhalimu Mandera kama yuko hai. Halafu nimtie mikwaju mpaka azimie.
@zainabrashid3854 жыл бұрын
Allah ndo hakimu wa haki ipo cku
@TaniBlatant938 жыл бұрын
ukweli ni huu wazanzibari
@saheelameir43135 жыл бұрын
Allah atatulipia
@salamakhamis80923 жыл бұрын
ALLA ndie Hakim mwadilifu kuliko mahakimu wote
@yahyashaib51162 жыл бұрын
Laana ya Allah itawakumba tuu Allah akupe kauli thabit
@IlhamKhalid-mt3jp2 ай бұрын
Aaamin yaarabi
@lindondezuberi19638 жыл бұрын
Mungu ampe maisha mema dunian na akherA
@ramadhanhushaymaa96222 жыл бұрын
Amin
@ukuvukiland2387 Жыл бұрын
Inasikitisha mimi upande wa mama mngazija imeniuma sana.
@munaaqatar41092 жыл бұрын
Mungu atawalipia yaraby awalaze pema awape kaul thabit yaraby
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Ilopinduliwa ni dola ya Zanzibar, sio waarabu. Huu ni mkamilisho wa kuikata mapande dola ya Zanzibar, ulioanzwa na wajerumani na kumalizwa na waingereza. Nyerere katumiwa na waingereza, na yeye kamtumia Karume, na yeye kawatumia washirazi.
@kheirdulla90468 жыл бұрын
Allah atawalipia yale waliofanyiwa ndugu zetu hakika hii ni dhulma kama wanofanyiwa masheikh wetu
@jamalabdullah63696 жыл бұрын
Jamal ✋👠⌚👖👑👚
@imraniqbal007656 жыл бұрын
Madhali walifikiria na wao hawatokufa Leo wapo wapi wao waliuwa na wao wameshatangulia malipo kwa Allah kwani walifikiria Wataishi milele madhalim
@AllySibila10 ай бұрын
wazanzibar mkikinukisha mje mnichukue niwasaidie si kwa dhulma hyo mliyofanyiwa
@gangmore90915 жыл бұрын
Mpaka leo hamuna sheria mauwaji n dhulmaa bdo zinaendelea
@adamsimba65558 жыл бұрын
Allah awape hatima njema mababu na mabibi zetu hawa waliodhulumiwa
@rayaalhabsi17254 жыл бұрын
Allahumma ameen yaarab jamian
@maryammussa90023 жыл бұрын
Amiin
@alhabsi6430 Жыл бұрын
Amiin Yaarab
@jeanmusamba8448 Жыл бұрын
mtu fasaha sana katika lugha,miamba hii hatunayo tena,ni huzuni kubwa,The Brain of Zanzibar
@drnow1528 Жыл бұрын
Nyerere na Karume wako Jehanam
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@abdullkilawi55048 жыл бұрын
Thanks for memories
@hemedabdullah73015 жыл бұрын
Laanatullahi alaihim wakulli man tashabbaha bihim
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Hiyana na dhulma haifai!! Mungu anaona ubaya wao yani kawapiga dharba adhabu toka mapinduzi yao mpk sasa miaka ni shida juu ya shida tupu nchi zao hazinyanyuki!!
@ibrahimsheha2155 жыл бұрын
Bin seif shukra nimetumiya sikunzima ku Angaliya nimesikitika sana nahuu ndiyo ukweli
@ahmadkhamis42318 жыл бұрын
NICE VIDEO NIMEJIFUNZA VITU VINGI KUNA LINK NYENGINE AU WATU WENGINE ULIOWAFANYIA INTERVIEW
@ukweliunauma45704 жыл бұрын
Mbona ziko nyingi
@zuumoney48295 жыл бұрын
Nampaka Leo hii system kutesa kutisha na kuua watu bado inaendelezwa nas serekali iliopo madarakani na kwahayo walioyafanya ndio mana hakikisha kwa njia yoyote hawaachii serekali chama kingine kuhofia kulipiziwa kisasi
@eliasnavytanga8 жыл бұрын
Innah Lillah waina Illahi Rajiuun. Allah amuweke mahali pema mzee wetu Aman Thani.
@muawiyajamali25577 жыл бұрын
Elias PROmhh
@muawiyajamali25577 жыл бұрын
Sote hatujui ukweli uko wapi
@kidaumtumbwi11286 жыл бұрын
Muawiya Jamali . Ukweli si ndo huo anaueleza Mzee Aman Thani. Yeye ndio alikuwepo live jela sasa unataka ushahidi upi mwengine.
@husseinfarid28832 жыл бұрын
@@kidaumtumbwi1128 anatka labda yamtokee au tamfike yeye ndio aamini !
@IlhamKhalid-mt3jp2 ай бұрын
Aaamin
@muwanguzigodfrey74208 жыл бұрын
Ni kumbukumbu nzuri sana!!
@selekiba9 жыл бұрын
ndo maana nchi imelaanika kwa damu za watu wasiokua na hatia
@ramadhanlyandu2307 жыл бұрын
selekiba c
@issajuma92552 жыл бұрын
Hao walikuwa hizbur walikuwa wanaupenda uwaarabu kuliko ndgu zao ndio maana yaliwakuta hayo
@issajuma92552 жыл бұрын
Hawa ni Hisbur,hawa waliwasaliti ndgu zao weusi kwa kujiona ni bora sana kuwaunga wageni waarabu kuliko ndgu zao na hawakutaka kabisa kushiriki siasa, na kazi na ndgu zao weusi wakawa wanajipendekeza kwa waarabu na machotara wa kiaarabu na hawakutaka Zanzibar weusi kujitawara wakaona fahari sana kuwa nao na walipewa kazi,uongozi na wakawa wao ndio wa daraja la pili la raia na weusi wazarendo ni daraja tatu na waarabu na wahindi ni daraja la tatu. Hii ndio sababu hasa ya weusi wazarendo kuamua kujikomboa na baada ya mapinduzi kutimia ndio hayo yalio tokea.
@ahmedissa78822 жыл бұрын
Sasa hawa akina mdungu usi.twala.jaa ubwa .hanga pamoja na akina othman sharifu walikuwa hizb?
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
@@issajuma9255 naskia waliuliwa zaidi ya elfu kumi NA tano bila hatia mauaji nyerere
@brightdeogratias66643 жыл бұрын
Mwaka 1968, hakukuwa na CCM. CCM imeanzishwa 1977.
@ally17024 жыл бұрын
Dah nilisoma tu kitabu chake angalau Leo nimemuona
@saidahmed96883 жыл бұрын
allah awasameh dhambi zenu
@mbotaamani3826 Жыл бұрын
Karume alikuwa chinjachinja 😢😢
@allysuleiman60222 жыл бұрын
Ila ukweli hatakama unapingwa lakini zanzibar wametutesa sana nampka kesho kutwa bado wanatutesa ila malipo nihapa hapa duniani Ila Mungu amlaani Nyerere huko huko alipo
@abdulkarimjuma68049 ай бұрын
Mungu atawahumukwalanawaloifanya
@allyhasani37502 ай бұрын
apakua na haja ya kudai uhuru waafrika tuna roho mbaya sana
@yusufige70304 жыл бұрын
Mm nilikuwa naona wazee wa kisomali wakikamatwa na kusafirshwa kumbe sababu ni waislam
@mohammedkhimji75058 ай бұрын
Nchi ambazo zimeendelea hawafichi historia yao, na hua wanakiri makosa yao... wanatumia mamilioni ya hela kutunza historia na sehem za makumbusho... Lakini Waafrika mpaka leo wanaficha historia yao.. vizazi vijao vinakuwa mabwege na mpaka leo wanasoma alichoandika mkoloni... na inakua aibu kweli akija mzungu nchini kwetu na anajua mengi kuhusu nchi yetu ata kuliko sie wenyewe... hii inafanya wananchi wabaki kuwa wapumbavu.. hata tukivaa suti na tai aina gani.. tunabaki kuwa wapumbavu tu...
@ahmedmussa82315 жыл бұрын
Hii ndo historia ya Zanzibar co ccm kazi kudanganya watu tu mamazao
@alialamoudi97293 жыл бұрын
NA sikia elfu. Ishirini walikufa watoto wadogo NA wazee NA wanawake
@chibaboy58039 жыл бұрын
bin seif mzee yupo hai uyoo
@nacheali52508 жыл бұрын
Alhamdu-Lillah nimefurahi sana kumuona Sheikh Amani mzima wa afya. Mara ya mwisho nilimuona kwake ndio kwanza kunyanyuka ktk maradhi miaka 16-17 iliyopita, nilimuomba kitabu alichoandika miaka hiyo. Sheikh Masha-Allah kanipa vitabu zaidi ya kimoja na kimoja kati ya hivyo alitia sahihi yake. Sikujua tena hali yake mpaka hivi sasa kumuona ktk mtandao na ktk hali nzuri Alhamdu-Lillah mzima wa afya. Allah akupe afya nzuri Sheikh na utuombee Dua na nchi Nchi yetu isalimike na shari ya mahasidi.
@rashidomar27717 жыл бұрын
hazidi kitu dhalim ila hasara ,hakika nchi yetu hii dhulma inamtafuna kila mtu mwema ,,mungu atusalim salama inshaallah ,,
@chibaboy58038 жыл бұрын
shukran xnaa bin seif npo apa apa zenj lkn nlkua ctambui aya mambo ila gud xna
@farouqjk4245 Жыл бұрын
Kilimani au kule mahala PA kunyongeya.
@gangmore90915 жыл бұрын
Kweli ukipandikizwa mchochezi kwao unakua adui mkubwa kwao ndio mana adii leo ndio wanavyofanya mungu atawalipa
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊✌🙏.
@mufamozmufash1663 жыл бұрын
Every revolution has a story to tell ,
@mwarabumsitu40982 жыл бұрын
Kumbe hayakuanza leo
@chibaboy58039 жыл бұрын
gud xnaa bun seif
@charlesbibombe23017 ай бұрын
Wanaofaidi matunda ni lile tabaka tawala tu, wale ndio wanasifu yale mambo yaliyofanyika na dhuluma zote😢
@HaidarOmar-tx7cc10 ай бұрын
⁹😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅 2:15:04
@khamistano48484 жыл бұрын
Haliofanya hayo walikua Ni wazanzibar sio warabu. Na ndio Mana Hadi leo wanaendelea
@alialamoudi97293 жыл бұрын
Kusema kweli waarbu wa oman ni watu wawema sana nilishi NA kufanya kazi nao wanakujulia hali waaslaam wenzetu wamekufa kufundisha dini mwarabu sio adui mzungu ni hatari
@FellaMbogela8 ай бұрын
Ama kweli utwala ule ulikuwa WA kidhalimu na wakishetani KABISA, HATA KARUME HAKUWA BINADAMU WA KAWAIDA ,KWANINI ASIAMURU HAWA WAPELEKWE MAHAKAMANI? KUMBE HAKUKUWA NA MAPINDUZI ILA MAVAMIZI
@hamilsaleh-zo3hp9 ай бұрын
Nakuunga mkono mia fyil mia
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Mapinduzi ya znz yalikua ya kikatili tena ya kishenzi kabisa!! yanalaniiwa mpk sasa na dunia nzima!!
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Zanzibari ilivamiwa kutoka tanganika
@kamalofanuel81202 жыл бұрын
duu huyu mzee alikuwa upande wa wakoloni huyu
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Naskia katika uvamizi huo waliuliwa zaidi ya elfu kumi tano kwa dakika arbaini tu
@rashidomar27717 жыл бұрын
inaonyesha kama ipo stori nyengine ,inaonyesha kama haijamalizika
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Haifai kuisherekea mauaji ki dini nafsi ya watu ni haramu kwa mungu kwa hiyo unangia katika mathambi jahanam sio mchezo kuna mahakama huko kiyama mungu atakehukumu
@Ashuraatanasmogella8 жыл бұрын
mzee wetu tunakupenda sana natamani nikuone kwa macho
@ashuraatanas59676 жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yake na ampe pepo tukufu In shaa Allah
@ibrahimsheha2155 жыл бұрын
Inaalli laahi wainnaailaihi rwaajiuuna
@TheEmmy0158 жыл бұрын
Bin seif ipo clip nyengine maana story haijamaliza inaonesha
@tecnof12325 жыл бұрын
Yamefichwaaa lakini kumbe ukweli na historia havifichiki, na vikizamishwa,hatimae huibuka, mambo ndivyo yalivyo, haki haipotei!
@allyderossi97425 жыл бұрын
Tecno F123;;Ina mana vile vitabu tulivyosomeshwa darasa la 5 ni story za fisi na sungura (ZAKUTUNGWA).
@gangmore90915 жыл бұрын
@@allyderossi9742 history y vitabuni madarasani mpango wa waengereza na Kenya na nyerere kupotosha na kuondoa ukweli wa history ya zanzibar lakini mungu ndio muhukumu n ukweli haufichiki ao wapo wengi walofanyiwa matendo ayo
@AllySibila10 ай бұрын
Na wanaoendesha serikali ndio wadhamini wa mauaji yaliyotokea
@abiboseleman16492 жыл бұрын
Mzee ulikua kwa sultan nini
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Naskia waliuliwa zaidi ya elfu kumi tano NA walikua raia tu bila silaha
@ahmedsaidi19385 жыл бұрын
Swadaktaa!!!
@sabriabdallah88872 жыл бұрын
Ukweli haufichilki
@omaribrahim10875 ай бұрын
Mapinduzi ya mfano huo ni moja ya dalili za kiyama alichokisema Mtume SAW mtu asiyemiliki hata kiatu leo anakaa kk magorofa
@fahdmhamed77452 жыл бұрын
Hao walikua ni makafiri wa kimongoli ..wanaitwa muhidin nani lakini matendo yao ni maovu nyerere alaniwe kabisa
@FellaMbogela8 ай бұрын
NI HUZUNI KIBWA KWELI KWELI
@nashnene63266 ай бұрын
Yussuf himid ndo kawafunga
@salamakhamis80924 жыл бұрын
Hakuna kitu kibaya Kama hasad
@imraniqbal007655 жыл бұрын
Wapinduzi Allah anajua jaza yao na wanapostahiki kwa dhulma waliowafanyia waja wa Allah Bila kosa
@ashminhaabdullah49635 жыл бұрын
Hivi nchi iso Ihstoria ya kweli itakua haina msimamo
@bahatinassorali52225 жыл бұрын
Mi sitaki kisikia upumbavu siasa tuhhh
@abdulomary50035 жыл бұрын
Bahatinassor Ali wewe ndio mpumbavu mkubwa maana mtu mwenye akili timamu atashindwaje kuona ukweli huu??
@tecnof12325 жыл бұрын
Wasiwasi wako nini wewe, au yanakutisha!
@hemedabdullah73015 жыл бұрын
Ww bahati hujui kitu maskini , umetawaliwa na na mawazo dhaifu na chuki katika ulimwengu wa dhulma.
@husseinfarid28832 жыл бұрын
hizo ni chuki na moyo dhaifu unakuhangaisha malipo yake mabaya sana.
@nadabi19826 жыл бұрын
A Salaam alaikum mbona haija malizia ipo kamili ao?
@nadabi19826 жыл бұрын
@@sirallymasoud nakusudia baada ya hapo kuhusu twala kutoroka jela na mzee hapo alipo fikia haijamalizia story hapo ( baada ya Askari kumnong'oneza mandera ?
@julietkwizera85105 жыл бұрын
Bila hayo Zanzibar ingekuwa na hatma gani Atoke hapo
@jimj82852 жыл бұрын
@@julietkwizera8510 Juliet Vipi upo wapi??? Hebu nijibu unipe na namba yako ya simu,nukuahidi utazaa Kwa kufirwa tamuuuuu!!! Kama matoke na beef!!!
@topaviator4 жыл бұрын
Heh
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Wamevamia watu hawana silaha wajinga kweli nyerere huo
@mfaumemetta-vr1cl Жыл бұрын
Hakuna mapinduzi ambayo hayapotezi maisha ya watu. Angalia China Mao alifanyaje? Pia Cuba nao walifanyaje? Wapingao mapinduzi ukiwaachiaapinduzi hayendi.
@abbiecox12 жыл бұрын
MMHH MTUMWA NI MTUMWA KAMWE MTU MWEUSI HAWEZI KUJITAWALA! UHURU HUTAFUTWA HATA NA MTU MMOJA LAKINI HUWA NA MANUFAIKO YA WOTE
@hamishassan6784 Жыл бұрын
Natamani tume ya haki jinai iliundwa na mama ilete mabadiliko makubwa kwani kufungwa si chanzo cha mtu kumpotezea haki ya kibinadamu mtu. na mimi naamini kwa hawa viongozi wetu waliopita na mifumo hii ya kidhalimu katu hawawezi pita hivihivi kwa Allah.NAomba historia kama hizi zihifadhiwe na zifundishwe kwa vizazi vyetu ili udhalimu huu usije rejelewa tena
@alikhamis80635 жыл бұрын
Hiyo yote mliisababisha wenyewe kwa kutokuwa waadilifu na kudharau watu kwahiyo Serekali yenu ya mwezi 1. Ulitakiwa uelezee na ushenzi ulofanyika kabla ya hayo mapinduzi.
@mangofish90794 жыл бұрын
Kama yeye hakutaja tunaomba utuletee wewe kwa kumhoji mtu aliekuwepo wakati huo akujuze au aje mtu akupe ushuhuda nani alieuliwa au kuteswa n. K kabla ya mapinduzi niko intrest sana kubadilishana mawazo na wewe juu ya hili
@ahmedissa78823 жыл бұрын
Wazee watu walituambia kuwa mapinduzi watu wengi walizulumiwa na kuuliwa lakini hakuna hata mtu moja alisema kuwa Ali Mukhsini Baruwani alizulumu. Inasikitosha sana hakika ulicho kipanda ndio utachokivuna
@zengandoto70883 жыл бұрын
Huyu kama Tunduliso. Propaganda nyinyi haupendi uafrica wake. Kibaraka cha waarabu
@ahmedissa78823 жыл бұрын
Hayo anayaeleza ni kweli kwa sababu wazee watu walitueleza usikurupuke tu.mimi binafsi nimekutana na babu london alitueleza ushenzi uliofanywa
@zengandoto70883 жыл бұрын
@@ahmedissa7882 hayo anayo yasema ya kujenga chuki kwasisi sote wazanzibar. Angalia wewe unasema uko london. Wakati waengereza ndio waliowapa watu silaha, na nguvu ya kufanya mabaya. Na kumbuwa wao ndio waliomueka Sultan. Na wakawa wanafanya nao biashara ya utumwa. Sasa mbinuyao na uchanja wao wamefanya kitendo kile cha mapinduzi makusudi ili wazanzibar wafarikiane na tusipendane ili twende nchi za ulaya na uarabuni tuone bora. Na tuwaone waafrika wenzetu wabaya ili yao yawaendee vizuri. Angalia hakuna Muafrika yeyote aliotoka afrika akaende nchi za ulaya au urabuni kuwatala, au akasema yake.Angalia waarabu wanatoka Omani lakini bado wanasema zanzibar yao.angalia wazungu wanatoka uzunguni lakini wanasema South africa yao. Huo wao ndio waanzilishi wa ungovu na mtu akimpiga mwenziwe haoni mbaya akirudishiwa yeye ndio anaona ubaya. Sasa huyu mzee alikuwa azungumze kwanza waarabu walivyo wafanyia watu wa ngambu na mashamba. Wako wengine kama yeye alikuwa kibaraka basi alikuwa mambo yake powa na waarabu. Kumbuka siku ya kiama utajuwa nani mgovu na aliyeleta fitina hapa duniani.ukweli utaopata mbele kwa Mungu.
@georgebongi48443 жыл бұрын
Uafrica siokufanya dhulma
@mkude2 жыл бұрын
@@zengandoto7088 kwanza umesema uongo Oman wala hasemi Zanzibar yake,na serikali zote mbili sasa hivi zinashirikiana vizuri,halafu soma historia Oman kuja Zanzibar wenyeji was Zanzibar wazee waliwaomba msaada wake wapigane na mreno aliekuwa anafanya uchafu na ufisadi pale Zanzibar warabu walikuja kuwasaidia wanzanzibar kwasababu kiimani walikuwa ndugu zao na waliweza kumpiga mreno.halafu umeongea vyema malipo kwa ALLAH na kama wewe unayaunga mkono mapinduzi yaliowaua maelfu kwa maelfu watu wasiokuwa na hatia basi ALLAH atatoa hukumu yake.
@jimj82852 жыл бұрын
Hahaaa zenga ndoto,wee bado masikini WA akili na pia masikini kabisaaa! Bado unatawaza Kwa majani,makaratasi,mchanga,mabunzi ya mahindi,na wakati ingine unapangusa mavi yako kwenye Kona ya ukuta! Ukikojoa ubakojoa wima na mamikojo yako yanakurukia miguuni,mapajani, kwenye mapumbu na mwili mzima! Kafiri mkubwa wewe!
@rashidalihamad72284 жыл бұрын
izo chuki watanganyika wako nazo hadi leo na hawapendi sisi kuepo wanatamani wangelikua na uswezo hata mchanga walingetugeuza michanga
@jamesmwenda54274 жыл бұрын
wacheni unafiki hao waarabu walikuja kutesa watu pia,poleni kwa yale yaliyowapata ila mgekuwa nyumbani kwenu hajangetokea....kumaanisha mlikuwa wezi na mababe wa kuonyesha nguvu pia.
@mangofish90794 жыл бұрын
Tunaomba utelete shuhuda yoyote babu yake aliedhulumiwa kufungwa kuuliwa n. k kama haya ambayo tunayosimuliwa na mashuhuda wenyewe ktk na baada ya huo uhuru na haki na usawa wa mapinduzi?
@ahmedissa78823 жыл бұрын
Wewe hujuwi kitu kwa sababu wewe sio mzanzibar
@hassanmfaume45223 жыл бұрын
Mwalimu alikuja kufanya nn kama naye alikuja kutesa waislamu kuwadhulumu mali zao na kuwafunga jela kama afanyavyo karume lao lilikuwa moja..!
@nassorali55113 жыл бұрын
Twambi mwarabu alimtesa babu yako ama bibi yako baba yako au mama yako twambie cio unajisemea tu
@mkude2 жыл бұрын
James wewe umessma kwasababu ya chuki yako kwa uarabu na pia chuki yako dhidi ya uislamu.mwarabu hakuna ubaya wowote aliokuwa anaufanya na alitoa serikali wachaguane wenyewe kwa wenyewe Leo hii hayo masomo mpaka wasiokuwa waislamu wanaelezea kama kina tundu lissu na wengine,hakuna ushahidi hats mmoja kama warabu walikuwa wanatesa watu Bali waraabu walikuwa wanakaa kwa uzuri na wema.
@seifrengwe25425 жыл бұрын
MuongoNaChuki
@allyabeid41885 жыл бұрын
Seif Rengwe hujielewi
@yousufharthy68765 жыл бұрын
Seif Rengwe Wewe unayoyajuwa ya kweli tueleze Basi. Siulukuweko
@seifrengwe25425 жыл бұрын
Binaadam huwezi tarajia mema kama unahubiri mabovu Wahenga walisema" kinachokwenda, ndicho kinachorudi" Kwa maana hiyo.., hubiri mazuri upate mazuri. Na kama siyo hivyo basi ni siasa za chuki tu na kuwapotosha vijana Tu
@yousufharthy68765 жыл бұрын
@@seifrengwe2542 Usizungumze usiyoyajuwa. Siajabu hata zanzibar hujapata kufika. Siye tumeyaona na tumeishi nayo na hatutasahau yalowafikia ndugu jirani kwenye mapinduzi na baadae
@yousufharthy68765 жыл бұрын
@@seifrengwe2542 Halafu kuna tofauti ya kuhubiri na kuzungumziya . Kuhubiri ni kitu kitachotokea baadae. Kuzungumziya niyale yaliotokea kabla Ambayo kayazungumzia Amani Thani Mungu Amrehemu.