Allah akupe umri azidi kukupa iman na nguvu uweze kutufunza yale tusiyo yajuwa kuhusu dini akufungulie akupe neema katika maisha yako ibarik familia yako
@heyumi23403 жыл бұрын
mtume wety Mohammed ana moyo wa kipekee Maashaallah maashaallah
@alizaki28462 жыл бұрын
Yaa rabbi tujaalie mwisho mwema utufufue pmj na mtume muhammad (S.A.W)
@sitimzee58172 жыл бұрын
AMEEN YAARABBI
@inabikorwaneema88153 жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@asiaissa9763 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashaallah Shukran sana ya sheykh allah akuzidishie nuuo zaidi na zaidi na akujaalie kher nyingi wewe na familia yako amiin amiin amiin
@fatihuhemedihassanimajanim91763 жыл бұрын
Allah akujaze kher sheikh Wang ishaallah
@samsungjsevenprime57173 жыл бұрын
Mashaallah sheikhe wetu nakupenda sana kwa ajili ya Allah