Mashaallah! Namuomba Mwenyezi Mungu atupe kheri na atuepushe maovu yatokanayo na masheitwani ,majini,wachawi, washirikina na hasadi za wanadamu. Allahuma Amin rabilaalamin.
@abubakaribashiru9454 Жыл бұрын
Nilikuwepo kwenye khutba hii kwa Mara ya kwanza kumuona shekhe laiv akizungumza alhamdulillah
@aminaalmazrui9785 Жыл бұрын
Mashaa Allah ,Allah atujaalie ni wenye kuyafuata yaliyo mema na kiyaacha yaliyo mabaya
@abubakaribashiru9454 Жыл бұрын
Aamina ya raby atujalie Ni katika wanao sikiliza maneno na kuyafata mazuri yake
@abubakaribashiru9454 Жыл бұрын
@@aminaalmazrui9785 pia jina la Almazrui sio geni kwangu
@kalamuMedia Жыл бұрын
Maashallah
@aminaalmazrui9785 Жыл бұрын
@@abubakaribashiru9454 shukran ila sio jina Ni kabila,
@user-id1me9ve1o Жыл бұрын
Kweli kabisa Anllah akupe umli mlefu shekhe kipenzi cha wengi nakupenda sana ♥️♥️♥️♥️
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Ma Sha Allah Othman Maalim kwa mawaidha nzuri Allah Akulinde na Hasadi
@kazungumohammad3424 Жыл бұрын
Masha Allah hutba nzuri
@bushraaljadidi7747 Жыл бұрын
Maa shaa Allah khutba nzuri sana
@riazshaikh8577 Жыл бұрын
Shukran sana shekh, jana tu nilipambana na mtu ananiambia mambo ya maulid ni bida, na mengi mengine mbishi kweli kweli, hataki kunifahamu nimemwambia nikutumie clip za shekh Othman maalim kasema no no usinitumie kabisa huyo
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@aminaalmazrui9785 Жыл бұрын
Mashaa Allah
@athumansaid796 Жыл бұрын
Allhaaa akinijalia uhai na afya Isha allhaaa lazima ntasafili kuja kumuona sheghe Othman maalim nimoja ya ma sheghe wangu fast class
@aminaalmazrui9785 Жыл бұрын
@@athumansaid796 Assalam alaykum ya ndugu katika uislamu,samahani jitahidi kuandika Vizuri kama neno Allah Na In shaa Allah shukran.
@asuminirashidi148 Жыл бұрын
Masha allah
@twahamikidadi5826 Жыл бұрын
Shukran sheikh
@AllyYakoubHassan-sb1xm Жыл бұрын
Zemesej
@bushraaljadidi7747 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا شيخنا
@riazshaikh8577 Жыл бұрын
Shekh nna swali, nauliza mtume wetu Mohamed swallallah alleh wasalam mama yake alikufa pasipokua muslim? Na mtume hakumwombea mama yake?