Roho Mtakatifu ni halisi katika maisha yetu, hatumuachi mlangoni mwa Jengo la Kanisa tukitoka, tuko naye anatuongoza na kushirikiana nasi katika yote. Ni Neema na furaha kuu kuwa Mshirika wa Roho Mtakatifu Asante Sana Kijiweni na Roho Mtakatifu🥳❤️
@kijiweninarohomtakatifutv88266 ай бұрын
🙏🏾❤️
@rehemabakanoba21936 ай бұрын
Waoohh Roho Mtakatifu anatuhifadhi ndani yake Kwa kutupa Eneo sahihi lenye taarifa sahihi Kwa ajili ya utukufu wake.. hongeraaaa nyingi sanaaaa.. Modern Farm tunajivunia kua Sehemu ya Kipindi hiki
@kijiweninarohomtakatifutv88266 ай бұрын
Amina ❤️🎖
@kefa20026 ай бұрын
Amina kubwa mno
@kijiweninarohomtakatifutv88266 ай бұрын
🔥🔥❤️
@wilbertmaridadi61056 ай бұрын
Kufanya Kazi na Roho mtakatifu... Roho mtakatifu ni mshirika mwenza wangu mkuu wa Biashara zangu. Hongereni mno Kijiweni na Roho mtakatifu kwa kuendelea kutuletea MAJIBU. Tunamtukuza Bwana Wetu YESU KRISTO kwa NEEMA YAKE imewafanya MAJIBU KWETU VIJANA NDANI YA MWILI WA KRISTO NA NJE ILI TUMJUE MUNGU ZAIDI ILI TUZALIWE MARA YA PILI.
@kijiweninarohomtakatifutv88266 ай бұрын
Amina🙏🏾❤️🔥
@israelollotu4396 ай бұрын
“Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake.” Mdo 17:28 SUV