Kipindi Bora, mtangazaji bora, maarifa bora, muandaaji wa Kipindi 🙌! Hakika Hii sio yakusikiliza mara moja 😋😋😋
@kijiweninarohomtakatifutv882622 күн бұрын
🔥🔥❤️
@farajihamisi2525Ай бұрын
Hallelujah Hallelujah! Mwokozi apewe Sifa milele! Asanteni sana team nzima ya Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa mfululizo wote wa Maarifa haya ya Ufalme wa Mungu! Hakika kama ilivyo Familia imara ni msingi wa Taifa imara ndivyo ilivyo uimara wa vizazi vyetu ni matokeo ya ufahamu sahihi wa Uana kuanzia katika familia! Huduma ya Wana ni muhimu kuanzia kwa sisi Wazazi katika familia zetu mpaka katika Mwili wa Kristo! Asante sana Mchungaji wa Kristo Erney Mbala kwa Ufahamu huu sahihi ndani ya Ufalme wa Mungu Baba! Uzidi kufurahia Utukufu wa Wito ambao Bwana na Mfalme wetu ameweka ndani yako na kufurahia matunda ya kila kazi Njema unayoendelea kuifanya!
@kijiweninarohomtakatifutv882622 күн бұрын
❤️❤️❤️
@marykopwe177Ай бұрын
Hallelujah, Hallelujah. "Truly, truly, I tell you, the Son can do nothing by Himself, unless He sees the Father doing it. For whatever the Father does, the Son also does." John 5:19 Surely A son can not do without first seeing the Father doing we are always setting examples so our sons and Daughters. Thankyou so much Kijiweni na Roho Mtakatifu for this Precious yet needful Knowledge of the Kingdom of God. May the Almighty Father keep on Blessing and Increasing your reach to thousands and thousands to billions of people worldwide with this Knowledge.
@kijiweninarohomtakatifutv882622 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾
@wilbertmaridadi6105Ай бұрын
Hallelujah! Ninamtukuza Bwana wetu Yesu Kristo kwa maarifa haya ya Ufalme Wa Mungu Baba katika Kristo ya namna ambavyo Ufalme Wa Mungu unavyojali familia. Asanteni Sana kwa maarifa haya
@farajihamisi2525Ай бұрын
Maarifa sahihi ya Ufalme wa Mungu Baba ni muhimu mno kwa kila familia kuyajua na kuyaishi. Ni uhai wa familia zote hapa duniani! Asanteni sana Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa mfululizo huu wa vipindi bora kabisa!
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@wilbertmaridadi6105Ай бұрын
Kipindi bora sana. Bila maarifa ya Ufalme wa Mungu Baba katika Kristo Yesu Baba unakuwa mlezi😂😂😂
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
😃😃
@israelollotu439Ай бұрын
Taifa limeokaka, vizazi vyetu vimepona kwa Jina la Yesu! Hongereni sana Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa mawazo haya yenye Roho wa bora, Roho wa utofauti, Roho Upendo 🔥🔥🔥
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🔥❤️
@tumikiaelinassary5406Ай бұрын
❤️❤️❤️
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
❤️
@israelollotu439Ай бұрын
Neno hai la Bwani ndio msingi wa malezi ya familia.
@josephinemaeda4607Ай бұрын
Amen
@farajihamisi2525Ай бұрын
Asante sana Mchungaji wa Kristo Yesu, Erney kwa Maarifa haya sahihi ndani ya Ufalme wa Mungu hakika Kanisa ni Muunganiko wa Familia ndogo ndogo na kama Vipawa na utajiri wa thamani ambao Mungu Baba amewekeza kwa watoto wetu haujaanza kutambuliwa na kuthaminiwa nyumbani ni ngumu kwa watoto wetu kuja kuvifurahia na kuishi utukufu wa kusudi la Mungu hapa duniani! Asante sana Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa Maarifa haya sahihi ndani ya Ufalme wa Mungu!
@tumikiaelinassary5406Ай бұрын
Yakobo 1:17 [17]Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka. Every good gift and every perfect gift is from above, and cometh down from the Father of lights, with whom is no variableness, neither shadow of turning. Asante Sana kijiweni na Roho Mtakatifu ❤️❤️❤️🙏🙏
@machageorge9083Ай бұрын
Halleluya🥳🥳 Hakika Familia ni picha ya Ufalme wa Mungu, yupo Baba, wapo Wana, lipo Jina, upo Urithi, upo Ushirika. Familia ina thamani ndani ya Ufalme wa Mungu, sehemu ya Ushuhuda na Shuhuda za Bwana kutangazwa kwa vizazi hata vizazi🥳
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🔥❤️
@wilbertmaridadi6105Ай бұрын
Kila mwana wa NDANI YA UFALME WA MUNGU BABA KATIKA KRISTO YESU amjue Mungu ni Baba yetu. Nondo zimejaa hapa
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@wilbertmaridadi6105Ай бұрын
Kila mwana wa NDANI YA UFALME WA MUNGU BABA KATIKA KRISTO YESU amjue Mungu ni Baba yetu.
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🔥🔥
@wilbertmaridadi6105Ай бұрын
Hudama ya Wana hutufunulia ASILI YETU... Huku ndiko kuna Roho wa Uana. Asanteni Sana Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa kazi njema.
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
Amen🙏🏾
@VennyJ5Ай бұрын
Asanteni sana meza ya Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa Maarifa haya sahihi mnayoachilia juu ya mwili wa Kristo kwa kuzidi kutuonyesha umuhimu wa familia na namna bora ya kuwalea wana wetu katika Misingi ya elimu ya Ufalme wa Mungu.
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@farajihamisi2525Ай бұрын
Hallelujah Hallelujah! Ufahamu sahihi wa Ufalme wa Mungu na Uana ni msingi wa ukuaji wa Wana wetu. Kila Mwana anahitaji kumfahamu Mungu Baba na namna alivyotupenda katika Kristo Yesu na KAZI yake Kamilifu ya Msalabani!
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
Truth🔥✍️
@tumikiaelinassary5406Ай бұрын
"Kumbe uyatima sio kukosa wazazi wa kimwili bali ni KUTOKUMJUA NA KUMFAHAMU MUNGU KUWA NI BABA." Asante Sana mchungaji wa Kristo kwa maarifa haya ya Ufalme wa Mungu, na msingi wa kuwalea wanetu. Umebarikiwa 🙏🙏🙏 ASANTE KIJIWENI NA ROHO MTAKATIFU 🙏🙏🙏
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@partsonjustine7059Ай бұрын
Hallelujah... Hakika ni kijiweni na Roho Mtakatifu❤
@marykopwe177Ай бұрын
Amina Kijiweni na Roho Mtakatifu hakika Kipindi ni bora na Unono wa Maarifa katika Meza hii ni mkuu mnoo. Hongereni sana na asanteni sana.
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@mbalaerney1886Ай бұрын
Mzazi mzuri ni yule anayefahamu kusudi la Mungu kwa wanawe na kulifunua kwao🔥🔥🔥
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🔥🔥🔥
@partsonjustine7059Ай бұрын
Asanteni kijiweni kwa mambo mazuri kila kuchwao 😍😍
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
❤️❤️❤️
@mekitridakiwone58342 ай бұрын
🎉🎉🎉
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
🙏🏾❤️
@mekitridakiwone58342 ай бұрын
😊😊😊
@kijiweninarohomtakatifutv8826Ай бұрын
❤️❤️
@wilbertmaridadi61052 ай бұрын
Wow! Kijiweni na Roho mtakatifu ni Mahali pa shule.
@kijiweninarohomtakatifutv88262 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾✍️
@marykopwe1772 ай бұрын
Hakika nimeshajongea mezani kula vinono Baba alivyotuandalia kwenye Meza hii ya Kifalme.😇
@kijiweninarohomtakatifutv88262 ай бұрын
🔥🔥❤️
@juliusmwita14083 ай бұрын
Shule ni muhimu, maarifa ni lazima ila misingi ni maisha.🎉
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
🔥🔥🔥
@juliusmwita14083 ай бұрын
Indeed it was a night of Glory.
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
🔥🔥🔥
@Minah_Laurent3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@farajihamisi25253 ай бұрын
Hongereni sana team nzima ya Kijiweni na Roho Mtakatifu! Kazi ni Nzuri Kabisa! Tunawashukuru sana wote ambao mmetutumia maombi yenu kwa ajili ya Nafasi ya Kazi ya Utangazaji Katika Kipindi cha YALIYOJIRI kinachoruka kila siku ya Jumanne katika Televisheni ya SONSHIP, tuliyoitangaza humu siku ya Jumamosi ya tarehe 7 Septemba 2024. Email zenu na Cvs tumezipokea na tunamtukuza Bwana kwa ajili yenu! 2 Timothy 2:15 MSG ".....It just wears everyone out. Concentrate on doing your best for God, work you won’t be ashamed of, laying out the truth plain and simple."
@josephinemaeda46073 ай бұрын
Kongole Kwako Kijiweni na Roho Mtakatifu.. Tumemuona Mungu Tumekutana na Mungu. Heri ya siku yako ya kipekee ya kuzaliwa kwako. Wewe ni baraka kwa mataifa yooote.💪 Tulio na Mungu tuna Roho Wa Mungu.🙏
@israelollotu4393 ай бұрын
🎉🎉🎉 3 years of working and walking with the the Holy Ghost 🔥
@Encouragement_Television3 ай бұрын
Kijiweni na Roho Mt best show in town ❤
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
❤️🔥🙏🏾
@machageorge90833 ай бұрын
Roho Mtakatifu, shabiki namba moja wa Wazo la Baba ndani yetu🥳🥳 Hongera Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa miaka mitatu hii🥳
@machageorge90833 ай бұрын
Roho Mtakatifu, Mfariji wetu🥳❤️
@hoycebakanoba42053 ай бұрын
Nipo nasikiliza pamoja na familia yangu Wanafurahia darasa Wanasema sauti ya mziki ipo juu sana (ipungue kdg)
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
Amina, Imepokelewa ❤️🙏🏾
@hoycebakanoba42053 ай бұрын
Hakika Kijiwe ni kimoja tu! Kijiweni na Roho mtakatifu❤🔥 Asante Eliminah kwa nondo
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
❤️❤️
@israelollotu4393 ай бұрын
asante sana kwa muendelezo huu wa maarifa na ufahamu wa kiungu. You are blessed, happy 3yrs annivesary to you all 🔥🔥🔥
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
❤️❤️Asante sana #3years anniversary 🔥
@veronicamkali60443 ай бұрын
Ongeren Sana kwa uanzisha kipind hichi mungu awabaliki sana
@kijiweninarohomtakatifutv88263 ай бұрын
Amina🙏🏾 Asante sana ❤️
@veronicamkali60443 ай бұрын
Vipind kama hivi vinavyo husu mambo ya mungu watu wala awa comment chochote ingekuw kipind cha upuuz wangejazana kibao kuomba like😂😂😂
@wilbertmaridadi61053 ай бұрын
Pamoja na kuwa hawatoi maoni ila ni watazamaji wazuri na wasikilizaji wazuri.
@veronicamkali60443 ай бұрын
@@wilbertmaridadi6105 noma sana
@prosperisrael3424 ай бұрын
🔥🔥🔥
@mbalaerney18864 ай бұрын
Hallelujah! Kanuni haibadiliki kwa anayeijua au asiyeijua, na hufanya kazi kwa yeyote. Ni raha kwetu sisi tunaofahamu Kanuni hii imetoka kwa nani na kwaninu kanuni hii🙌
@kijiweninarohomtakatifutv88264 ай бұрын
❤️🎖
@kijiweninarohomtakatifutv88264 ай бұрын
❤️🎖
@israelollotu4394 ай бұрын
Hallelujah 🎉
@wilbertmaridadi61054 ай бұрын
❤❤❤
@machageorge90834 ай бұрын
Sherehe ya Baba juu ya Wanaye wenye maono🥳🥳
@machageorge90834 ай бұрын
🔥🔥
@wilbertmaridadi61054 ай бұрын
Aminaaa... Hatimaye Evg Macha amehojiwa na mhojaji
@partsonjustine70594 ай бұрын
Aloo sava gambi.
@machageorge90834 ай бұрын
Halleluya🥳🥳 Katika kutoa tunamwona Mungu na sio Mchungaji, kama jinsi kupokea ni Neema pia utoaji ni Neema. Hatutoi kwa nguvu na uwezo wetu ila ni Neema ya Mungi tuliyoiruhusu ituwezeshe kutoa