ROHO YA MAUMIVU KWA NCHI.

  Рет қаралды 2,377

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@coolsinare8824
@coolsinare8824 3 ай бұрын
Damu ya yule mzee ilikuwa ya haki ..inawakilisha wote walioumizwa watu hawa wanaomwaga damu za watu hivi ni mapepo watu ndani mwao kumejaa uasi wa kuzimu kabisa..wananajisi ardhi ya 🇹🇿ina matokeo mabaya sana,watu wote paza sauti ya kulaani na kuomba toba.Serikali na ninyi mnaleta masihara sana kwenye mambo muhimu kama haya vyombo vya usalama viko vingi na wanalipwa mahela na magari ya kifahari na budget kubwa namna gani hii???ni saa ya Upanga wa Bwana kupita kwenye Taifa hili Amina
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 ай бұрын
Amen 🙏 Glory to God
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 ай бұрын
Thank you 🙏 Jesus
@helencyprian8745
@helencyprian8745 3 ай бұрын
Amina baba
@reginas1832
@reginas1832 3 ай бұрын
Amen
@eliezersifuel3304
@eliezersifuel3304 3 ай бұрын
Hawa watu wasiojulikana inaelekea wamejiundia dola yao ndani ya dola kwasababu wanatumia vitu vyote ambavyo raia wa kawaida haruhusiwi kutumia. Pingu , bunduki , magari nk . Duu hii ni hatari sana
@ShukuruMussa-b8q
@ShukuruMussa-b8q 3 ай бұрын
Amina
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 3 ай бұрын
Amina baba
@jacobgumbo
@jacobgumbo 3 ай бұрын
Ni kweli inauma fikiria watu baki tu wameumizwa kuhusiana Jambo hili je kwwa wahusika wenyewe iko je? Hakika mtaona upanga ukishuka.
@jacobgumbo
@jacobgumbo 3 ай бұрын
Mungu si mwanadamu hata aseme uongo alichokisema kitatimia tu.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 ай бұрын
Hiyo nchi inaendeshwa kidikteta sheria hazifuati wala hakuna demokrasi
@karimmveyange280
@karimmveyange280 3 ай бұрын
WATZ WAMECHOKA AMANI. NDIYO MAANA WANAYATENGENEZA HAYA. SIYO KWAMBA HAWAJULIKANI,LAAA. WANAJULIKANA WOTE,TENA NIMIKAKATI MAALUMU,LAKINI NIUKOSEFU WA AKILI HADI WAKAFIKI1A MIKAKATI.
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 3 ай бұрын
DAMU INAPIGA KELELE SANA.
@coolsinare8824
@coolsinare8824 3 ай бұрын
Watubu basi ila wasipotubu upanga ufyeke wao na vizazi vyao ili waelewe maana ya uchungu wakukosa wapendwa wao
@coolsinare8824
@coolsinare8824 3 ай бұрын
nina hasira sana hakika Mungu ni saa ushuke na mamlaka yako yoteee kuna watu Tanzania hapa wana dharau sana mambo yako kwa sababu ya madhabahu za uchawi walizokumbatia maofisini mwao,na majumbani mwao,ngoja moto unashuka mtakiona; Ezekieli 13: 14 Ndivyo nitakavyoubomoa ukuta mlioupaka chokaa isiyokorogwa vema, na kuuangusha chini, hata misingi yake itafunuliwa; nao utaanguka, nanyi mtaangamizwa katikati yake; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA. Dhibitisha neno lako Bwana wa Majeshi.
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 3 ай бұрын
NA PINGU PIA. WANAMILIKI WATU HAO WASIOJULIKANA . HUU NI UNAFKI MKUBWA MNOO KUSEMA HAWAJULIKANI
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 3 ай бұрын
AMIN AMIN NINIWAAMBIA WATEKAJI DHAMBI HII NAWAFUNGIA ISIONDOLEWE MILELE
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 3 ай бұрын
👆NINAWAAMBIA
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 3 ай бұрын
💔😭🇹🇿🩸
@coolsinare8824
@coolsinare8824 3 ай бұрын
nakuna wapuuzi wengine wamejaa tamaa na mapepo kazi yao kukaa kwenye mitandao nakuangalia nani anakosoa watawala nakuwafwatilia huu upanga wa Mungu uliojuu ukishuka hata nyie mnaolengesha watu utawafikia na nyie kwa sababu na ninyi ni sehemu ya watesaji na wauwaji
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 3 ай бұрын
Upanga wa Mungu ni Kwa waovu wauaji sio Kwa kila mtu na yoyote anayeunga mkono uovu
@josephsaidi5628
@josephsaidi5628 3 ай бұрын
Amina
SAA YA UPONYAJI..HII NCHI NA WATU WAKE LAZIMA WAPONYWE IMANI.
1:01:56
huduma ya kristo
Рет қаралды 1,5 М.
KUIJUA SAUTI YA MUNGU NA SHETANI.2
1:05:19
huduma ya kristo
Рет қаралды 524
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA
1:44:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 125 М.
UNABII WA MWAKA:2025 YATAKAYO TOKEA
1:21:55
huduma ya kristo
Рет қаралды 14 М.
KIFUNGO CHA MAISHA.7(kifungo cha mahusiano)
53:08
huduma ya kristo
Рет қаралды 383
UNYAKUO WA KANISA - 02  | Rabbi Abshalom Longan | +255754742574 | MBEYA
1:12:12
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 4,4 М.
UJIO WA KAMATA KAMATA YA VIONGOZI WENYE MAMLAKA.
51:52
huduma ya kristo
Рет қаралды 7 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 198 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН