WAKRÌSTO WANA NYANG'ANYWA FUNGUO
27:18
MWAMPOSA KAANZA MAJUNGU.
25:52
14 күн бұрын
ELIMU YA BIBILIA NA ULIMWENGU WA NYOTA
35:16
UNABII WA SIKU ZA MWISHO.
39:58
21 күн бұрын
NGUVU YA MAOMBI
48:42
21 күн бұрын
Пікірлер
@weremakora7838
@weremakora7838 2 сағат бұрын
mnaona sasa
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 3 сағат бұрын
Ivi ukiota unapita njia yenye mto myama anatokea mtoni yupo kama kenge ana miguu 6 upande miguu 3 na upande mwingine miguu 3 anaanza kuvamia kila mtu anaepita njia ile ina maana gani?
@jesaminzo
@jesaminzo 7 сағат бұрын
Ukweli mtupu!
@rehemapaul432
@rehemapaul432 8 сағат бұрын
2:59
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 9 сағат бұрын
Ukweli mchungu
@DeoSulle
@DeoSulle 9 сағат бұрын
Tamaa
@anoldishengoma4229
@anoldishengoma4229 10 сағат бұрын
We jamaa ni comedian mzuri sana, napenda kukusikiliza😂😂😂
@allyshaban406
@allyshaban406 10 сағат бұрын
Mungu aendelee kuku bariki katika utumishi wako
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 10 сағат бұрын
MCH MSIGWA ANANIKUMBUSHA MH.MAREHEMU NYERERE ALIPOSEMA KUN A VIONGOZI WENGINE NI MALAYA MALAYA WA CHAMA.
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 10 сағат бұрын
Mch. Msigwa namshangaa sana. HANA YOFAUTI NA KINYONGA. NI KIGEUGEU SANA.REJEA MAZUNGUMZO YAKE KABLA YA UCHAGUZI. ULISEMA UNGEKUBALIANA NA MATOKEO.UMELAMBA MATAPISHI YAKO MWENYEWE. ULICHOKISEMA HAPO AWALI NA ULICHOKIFANYA.TAMAA ZAKO HIZO ULIPOSHINDWA KWENYE UCHAGUZI NDO UMEHAMA NA KUYAONGEA MABAYA. UNGESHINDA USINGEONGELEA CHADEMA MABAYA
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 11 сағат бұрын
Nchiii hii watumishi wengi wana subili bahasha za viongizi ila kukemea maovu hawataki hawaamiki hawa
@AdelinaAloys
@AdelinaAloys 12 сағат бұрын
Huyu Msigwa amepungukiwa na akili wapendwa tumuombee
@dennismcharo1631
@dennismcharo1631 12 сағат бұрын
Mtumishi upo sahihi kabisa AMEN na imetendeka
@dennismcharo1631
@dennismcharo1631 12 сағат бұрын
Msigwa ni askari yote
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 12 сағат бұрын
Wafarisayo walimwendea yesu wkamuuliza ni haki kulipa kodi kwa kaisari au kuto zaka(sadaka) yesu aliwajibu ya kaisari mpeni kaisari naya mungu mpeni. Mungu sasamchungaji msigwa wewe ni mfarisayo au mchungaji mfwasi wa yesu acha siasa achana na utaheshimika hata. Mbele ya munguuuu tusjarbu kushabikia huku mfarisayo huku mchungaji mwishooo mbaya kuwa mpole asiache mbachao kwa msala upitaoo usinye kwenye pagali ulilo jifcha mvuaaaaa. Siku ukirudi akafika kwenye pagali lile mvua zikanza ukaingia mule kwenye pagali uliyekunya utajiuliza nani alikunya humu pagalini utatukana kwa huuyu siyo mstarabu utakua unajitukana mwenyewe ulikunya wakati ukienda hata hukuu CCCM utakuja jichanganya tuwe makini. Waliorudi ccm kistarabu walitamka nimerudi nyumbana yalitosha huyo. Ni mstrabu Msgwa ukiwa kwe nyumba ya gorofa na vyooo asiteme mkoozi uwatemee walio chini usatupe mawe kwenye bafu ya makuti isyokua na paa maskini anapooga na mkewe maskini atakapo gudua upo juuu garofani ulikua unwangaliaya bafuni wakioga na kuwatupia mawe fikiraa atakachoamu kama ni weweeeee acheni kufukua makaburi umehamia kwetu CCM kwa mstrabu na mungu atakuongoza hayupo mkamilifu 100/1000 Kwenye hiii dunia asante sanaaa
@janengaga2928
@janengaga2928 12 сағат бұрын
Siasa na mpira ni mambo ya kuwa nayo makini.Mungu ni mtakatifu hafurahishwi na michanganyo.
@YoelLufunga
@YoelLufunga 12 сағат бұрын
MSIGWA ULITAKA MBOWE AKIACHIE CHAMA KILICHOTUMIA MUDA WAKE MWINGI ILI KIFE KAMA VYAMA VINGINE VILIVYOKUFA? HONGERA SANA MBOWE . JENGA CHADEMA IENDELEE MBELE. Msigwa anatia aibu sana.
@BenedictoMatinya
@BenedictoMatinya 13 сағат бұрын
Mimi nafikiria kuwa ccm kama mnaakili muwe makini na Msigwa akikiosa cheo hata huko atahama yaani yeye ameondoka chadema kwasababu amekosa cheo hivyo hata huko amefuata cheo akikiosa anahama
@oam14l
@oam14l 13 сағат бұрын
Uchungaji wa Msigwa umekwisha.
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 14 сағат бұрын
Kama CHADEMA NI SACCOS YA MBOWE basi tumpe MBOWE 🎉 yake maana vyama vingine vilivyoanza na CHADEMA vimekufa,lakini CHADEMA NI CHAMA KIKUU CHA UPINZANI kwa uongozi makini wa FREEMAN AIKAELI MBOWE.Hata URUSI wamemwona PUTIN anaweza na wamemwongezea muda.
@AdamNgokas
@AdamNgokas 14 сағат бұрын
Huyu ni tamaa za maisha kisa mh Joseph mbilinyi kushinda nae kachukia
@LucyNgaiza
@LucyNgaiza 14 сағат бұрын
Haleluya Mtumishi wa Mungu
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 14 сағат бұрын
Msigwa Hana maana yoyote, hana hoja yoyote,. Anajua Mwenyewe aliyoyafuata ccm. Na kama ni kweli kuna video msukuma Mbunge alimsema kabla haja hama . Ukiiona hio utashangaaaa sana. Ikiwa ni kweli hawa akina msigwa watoke kuitwa Wachungaji Kwa matendo hayo, huo ni uchafuzi wa ukiristo wetu.
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 15 сағат бұрын
Mtumishi nimekuelewa sana kwa ulio ongea natamani nijue kanisa lako liko wapi na nita tuma sadaka
@stanleytouwa
@stanleytouwa 15 сағат бұрын
HALELUYA MTUMISHI WA MUNGU.
@stanleytouwa
@stanleytouwa 15 сағат бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU.
@SaidShombe
@SaidShombe 16 сағат бұрын
Duuuh kaka umefikia kuongea na mungu wako hapo sikuelewi omba sasa unataka kweli mnatudanganya juwa hata cc tuna ufahamu
@olipaabongo6307
@olipaabongo6307 16 сағат бұрын
Mlafi huyu.
@SaidShombe
@SaidShombe 17 сағат бұрын
Mhhh mbona msigwa anatowa povu ila hamkuona ya lowasa sumae nyalandu nini hofu yenu napata shida kuwaelewa kabisa kila mtu na ufahamu wake mpeni uhuru wake
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 17 сағат бұрын
Kipendarohokulanyama mbichi siasa ndivyo ilivyo inaruhusiwa kuhamiachamachochote ili mladi achape kazi ili waliomkataa aje ashindane nao baadae sisitunatakakuvunawanachama ndiyo siasa ilivyo.
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 17 сағат бұрын
Sasa msigwa ataungepewa uwenyekiti ungekiuza chama kwa mkopo kama bandari kuanzia Leo wewe sio mchungaji ni shetani
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 17 сағат бұрын
Usionbe kuwa hovyo uzeeni na msigwa Kawa hovyo uzeeni
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 17 сағат бұрын
Msigwa amenikumbusha msemo wa Kila shetani na mbuyu wake kakaza lakini kaona utajili wa nchi inaisha yeye kabaki na chadema kaona nae apate za bandari na mbuga zetu kia msigwa ni tamaa na mpumbavu
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 18 сағат бұрын
Matope
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 18 сағат бұрын
Heli angeenda Estii wazalendo sio ccm maana wote wanaenda jehamu kwa kumuone mpina
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 23 сағат бұрын
Ndio unasema nini, nyie kila siku kuoteshwa tu Rubbish
@CatherineJohn-uo1tq
@CatherineJohn-uo1tq 23 сағат бұрын
nimekuelewa sana mtumishi Mungu akubariki.
@rastheunique
@rastheunique 23 сағат бұрын
Binafsi nalielewa sana neno lako mtumishi
@leokamil6284
@leokamil6284 23 сағат бұрын
Hafai kuaminiwa je wewe nani akuamini ?
@pastoraminimgallah
@pastoraminimgallah Күн бұрын
Kumbukeni mungu hadaganyi
@BavaBava-lz8vf
@BavaBava-lz8vf Күн бұрын
Msigwa ni Virus
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Kwani kwenda kwake ni kutaka madaraka mbona ccm wengi wamekwenda Chadema hiyo ni Siasa kawaida tu cha ajabu ni nini
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 16 сағат бұрын
mtaje mkubwa yeyote aliye hamia CCM na amebaki huko!!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 15 сағат бұрын
@@SeverinMagwaya Wengi tu hii simu janja umeipata jana nini hujui kitu pole waulize waba Chadema wenzio mshamba mkubwa
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 Күн бұрын
Jamani hiyo ya kusema mch.hapana huyo ni mwanasiasa anatafuta nafasi na anasema wamekuwa wakidanganya sasa kama ni mch.ilikuwaje akawa mwongo na baada ya kutambua basi angeachana na siasa kabisaaa
@alexkalloa9817
@alexkalloa9817 Күн бұрын
Mimi kama binadamu, kila chama kina udhaifu, ila chadema ni saccos siyo chama, namuunga mkono mchungaji Msigwa.
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 15 сағат бұрын
Akili zako nifupi bila upinzani usingejua maovu yanchii hii
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 10 сағат бұрын
Uchawa ni shida sana ni kama ugonjwa wa ukoma
@alexkalloa9817
@alexkalloa9817 Күн бұрын
Mtumishi huwa nakuelewa sana. Unazo neema na karama za unabii na ualimu, unajua sana kufundisha unabii unaofunuliwa.
@geraldmassawe2663
@geraldmassawe2663 Күн бұрын
Huyu ni msaliti na usaliti wake utajulikana mwezi november baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Alidanganywa kama mtu asiyekuwa na malengo.
@stevenmarunda4353
@stevenmarunda4353 Күн бұрын
Njaa nimbaya sana nakamwe siwezi mwamini mwanasiasa
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Күн бұрын
Swali je endapo angeshinda nyasa angeamia ccm?
@christophermwampashe465
@christophermwampashe465 Күн бұрын
Bora kuwa mwenyekiti wa milele kwenye chama kuliko kuwa mwanachama wa kuhamahama vyama.
@johnchanzi610
@johnchanzi610 Күн бұрын
Huyu nitamaa ya madala anajua lalsi atampa uwazili