Wimbo huu hunikumbusha ujana wangu early 90sOld is Gold
@nancywambui10086 жыл бұрын
Oo yes, huuu ndio wakati wangu mieee, ooh my God!!!!, Sasa nimezeeka bado napenda huu muziki!!
@aloycemhema32195 жыл бұрын
Roho yangu moja ikitoka basiii
@wanjikuwanjiku34424 жыл бұрын
Wambui mie naitwa Thuo, nilikuwa ndogo .....
@tiemahajimuindi80172 жыл бұрын
Yanikumbusha mbali sana...Asantevkwa kutukumbusha
@nicholasoliko7153 жыл бұрын
Tulikua na nyimbo hizi zilizopendwa za Tanzania karibu zote. I still love them to this day. Wonderful memories. Thanks to mum and dad for giving us this music when we were kids
@shulestuff10 ай бұрын
Nakumbuka nikiwaona kwa VOK TV wakicheza and kuimba Uhuru park Nairobi , hizo enzi za kale
@georgeodoo9924 Жыл бұрын
I used to wonder why dad (rip) loved this song so much. I thought l could sing it. The words were different. Listening to it nowadays made me relearn the words correctly. Now l have mastered it and love it perhaps even more than him.
@70SIXER76 жыл бұрын
Asante Brother Nguzo kwa Muziki..unatukumbusha longtime! Du!
@enockfumbuka68433 жыл бұрын
Hakika ujumbe wa wimbo huu ni mahsusi Sana unanikumbusha wakati nasoma shule ya msingi Igwata Malya 1968 ulinihamasisha nisiweze kukata tamaa na kushinda mtihani kwenda TABORA Boys.
@gaitanomwilitsa5556 Жыл бұрын
Nyimbo zilizojaa mafundisho na utaratibu
@davidkengere5635 Жыл бұрын
Soothing sounds of East Africa that alleviated the then adverse times colonialist Africa,small pox plagues …
@husseinponda Жыл бұрын
Ni muziki nyororo bila ya ukakasi.ama kweli vipaji.vimeondoka
@samitahezron70824 жыл бұрын
Wimbo unanikumbusha marehemu mama.ulale Pema mama
@stanleyzoka95272 жыл бұрын
Pole sana kwa kuondokewa na mama, Mungu azidi kuwafariji mioyo yenu!
@amwayijacobongoroongoro53272 жыл бұрын
Sauti nyororo Safi kabisa
@hamisidale36487 жыл бұрын
zamani mno maisha safi'nyakati hizo akifa mtu watoto mnafungiwa ndani Msione jeneza'eeh mungu walaze pema ndugu jirani na marafiki Hamisi Dale Boston USA
@msengimakala16997 жыл бұрын
Ndani ya wimbo unapata ujumbe, mpangilio mzuri wa sauti na vyombo vya muziki...... safi sana
@asiabakari93507 жыл бұрын
nakumbuka tukiwa na baba yetu mungu amweke pema pepon
@jumaally42636 жыл бұрын
Hakyamungu. Tena mtu akifa kijiji/mtaa mzima kimya siku hizi mtu akifa nyumba ya jirani wanapiga mziki
@hajiloveiranforeverfromtan71684 жыл бұрын
Kweli brother siku hazigandi
@anthonymwasingo72422 жыл бұрын
Nakumbuka wakati nikiwa shule ya msingi hongera kama mko wanamziki wetu walio baki
@evansadembesa62643 жыл бұрын
Old i s Gold
@ombwayoodiero28063 ай бұрын
Zilipendua bado tuko bwanae kumbuka Tanzania Police na wimbo yao ya Leo na tuma salamu zangu nyinyi mlio mbali na mimi.
@news2-t2o6 жыл бұрын
Falsafa tulivu ,muziki uliotulia .Mziki bila chachu!
@rasbantu48356 жыл бұрын
Muziki wa Tz, uliokatika ubora wa hali ya juu!
@bensimiyu52433 жыл бұрын
Lovely song!
@AliMuhammad-k3h8 ай бұрын
Nalia
@nancywambui10086 жыл бұрын
Yes, only that my children can not comprehend on my feelings on this song, it makes sad to see youths face reaction on old music 😔
@robertmasatu84236 жыл бұрын
nancy wambui True
@mohamedmohamud36395 жыл бұрын
damm right
@robertmutai37625 жыл бұрын
NI kweli dadangu.vijana wa enzi hizi hawapendi zile zetu
4 жыл бұрын
@@robertmutai3762, we can't blame them. They live in an era where music is so corrupted with nudity and lewd lyrics such that they can't appreciate music with a good message..
@nancywambui10086 жыл бұрын
😍😍👍👍👍
@enockfumbuka68433 жыл бұрын
Wimbo huu unakumbusha Enzo za ujana wangu miaka ya 1968
@iddiiddi55857 жыл бұрын
Hakika Bw. Hamisi. Kinyume na leo dunia ya utandawazi, watoto wa miaka 10 wanakwenda kuzika na wakubwa makaburini Mwanakwerekwe !!!!!!!!!!!!!1
@asiabakari93507 жыл бұрын
tuliwahi kufiwa na rafki yetu miaka 80 tukafukuzwa makaburin