Rose Muhando - Wapi

  Рет қаралды 19,452

YesuHakufa

YesuHakufa

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 4 жыл бұрын
Shk Mazinge Allah akupe afya na Mashekhe wote wahusika.
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 9 жыл бұрын
Mungu kakujaalia na macho uone na akakuongeza masikio ili usikie na pia kakupa akili uweze kutafakari lkn bado mja huyohuyo anatatizika palipo ukweli.Ewe mola wetu tusitiri na makafiri wasiokutambua wewe wala mitume wako akiwemo Muhammad (S.A.W).Namshkuru Allah kwa kunijaalia mm kuzaliwa ktk familia ya waislam na nikaukubalia.Dini ya amani na ya kweli.Ewe mola inusuru na wanaoliharibu jina uislam ni ugaidi.Nikiwa mzinifu mimi usiseme waislam wazinifu umekosea.
@beatriceadhiambo6148
@beatriceadhiambo6148 6 жыл бұрын
mushindwe mapepo mnapinga mungu nyie kisha mwatumia jina rose muhando
@emmymigire2732
@emmymigire2732 6 жыл бұрын
Yesu ni Bwana kubali mkatae
@abuuhanifa4569
@abuuhanifa4569 5 жыл бұрын
si mungu lakini na alikuwa bwana kwa watu wa israil alotumilizwa kwao
@beatriceauma3260
@beatriceauma3260 6 жыл бұрын
Ooh God forgive them for they don't know how much Jesus love this world and die for everyone... help them to know this
@khalifasilima9111
@khalifasilima9111 4 жыл бұрын
Wacha akili mbovu ww ndugu yangu una mashkio lkn husikii na una macho lkn huoni pole sana ndugu yangu
@beatriceauma3260
@beatriceauma3260 6 жыл бұрын
we know where we are going and where we come from
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 9 жыл бұрын
Tena kumbe yesu anadam kama wewe? sasa tujue kuwa damu ya Yesu ndo inauwezo wakuwezesha jamboo au maneno ya yake?.mungu gani basi alie na damu kama mimi?
@edwinmwendo5900
@edwinmwendo5900 6 жыл бұрын
Naomba mtafute ombi alilo omba Yesu kabila hajapaa mbinguni,BABA NAWAOMBEA KWAKO WALE WOTE ULIONIPA MAANA HAKUNA HATA MMOJA ATAPOTEA ISIPOKUWA TU YULE MWANA WA UONGO( SON OF PERDITION). NAOMBA SIKWAMBA UWATOE KWA ULIMWENGU HUU ILA TU WAKAE WAMOJA KAMA VILE WEWE BABA NA MIMI TULIVYO WAMOJA, WEWE NDANI YANGU NA MIMI NDANI YAKO. pia alisema NI VYEMA NIENDAPO KWA BABA YANGU MAANA NDIPO ATAKAPOMTUMA YEYE ALIYEMAHIDI KUMTUMA" ROHO MTAKATIFU" naye atakapo kuja juu yenu, mtaipokea nguvu mpya na ishara hizi zitaandamana nao walioamini, kwanza wataombea wagonjwa na watapata uponyaji, watakemea mapepo na yatatoka( si kuyafukiza na kuyabembeleza au kuwachinjia kafara ili watoke)! Kwa kweli hamuijui njia....Yesu ndiye njia, ukweli na uzima udumuo milele.ukichota maji baharini kwa mkopo utasema maji ni ya ni ya wapi? Hiyo ndivyo ilivyo Yesu ni Mungu maana ndiye aliyetoka kwa Mungu naomba mmtazame anavyotenda kazi kwa Emmanuel tv,... mjitayarishe yuaja
@beatriceauma3260
@beatriceauma3260 6 жыл бұрын
Yesu ni mungu whether you like or not kila goti litapigwa mbele zake na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni mungu..... Yesu akasema hakuna mtu kuinngia mbinguni ila ila kwa njia Yake Yesu tu......so don't criticize Christians leave us alone
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
HAHAHAHAHA YESU KAKAA TUMBONI MIAZI TISA TUMBONI KWA MAMA AKE LEO KAWA MUNGU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 KWA HIYO YESU KAJIUMBA MWENYEWE
@abuuhanifa4569
@abuuhanifa4569 5 жыл бұрын
katika akili timamu ambazo mwanadamu anazo haiwi mungu akawa amezaliwa na mwanamke akafa kisha akafufuka .mungu huyu ni yupi
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
Wadanganye wakristo wenzio yesu hana uwezo wowote mbele ya mungu wake
@agneskatwela4139
@agneskatwela4139 8 жыл бұрын
Please rose be a Muslim dada rose
@anesiabenardjacobelias8646
@anesiabenardjacobelias8646 6 жыл бұрын
Utahukumiwa kadri ya matendo yako na wala hutaulizwa kuhusu din
@khalifasilima9111
@khalifasilima9111 4 жыл бұрын
Uboya huo ndugu soma ili ujue usiseme hivyo ndugu yangu
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 жыл бұрын
hayo matendo unayofanya unayajua kutokana na dini
@hadijambezi1255
@hadijambezi1255 9 жыл бұрын
SHEENZI' NYIE,, KWANII LAKINI? KWANINI MNATUMIA JINA LA ROSE MUHANDO KWENYE TAMAA YENU YA KUMPINGA KRISTO?? MSHINDWE NA MLEEEGEE KWA DAMU YA YESU NASEMA ACHENI MARAMOJA...
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 8 жыл бұрын
HADIJA MBEZI,shetani wewe ibilisi mkubwa,kafiri wewe,tena badilisha hilo jina haraka unasherekea ukafiri moto unakusubiri tena jina tukufu bibiyake mtume Muhamed ulipotea lakini naona sio makosa yako nitamaa ndio iliyo kuponza
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 8 жыл бұрын
tena unatukana watu ikiwa hauna comments kaa upumzike usitukane mjinga mkubwa,wewe ndiwe rozi muhando ama ni dadako,unaudhika na yesu,ujui yesu ataenda kukukataa yesu sio Mungu,alibebwa tumboni miezi tisa,alitairiwa,alikula,alikunya wewe tatizo lako ni nini
@fransiscawilla3193
@fransiscawilla3193 9 жыл бұрын
mmmmmmm!!!!!!&&
Rose Muhando - Pendo Langu
10:53
YesuHakufa
Рет қаралды 22 М.
A Recitation of Surah Al Mulk for Relaxation, Calming, and Fast Sleep ✦ NOOR
57:16
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 30 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН
40 QISOOYIN OO CAJIIB AH (XUL-2022/2023) SHEIKH XUSSEIN CALI JABUUTI
2:43:38
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 950 М.
MAZINGE AMLIPUA MCHUNGJI _  NIWAPI YESU KAMRUDISHA PUNDA?
6:38
JUMA KIBWANA
Рет қаралды 8 М.
Anastazia Mukabwa & Rose Muhando - Kiatu Kivue
9:06
YesuHakufa
Рет қаралды 55 М.
TUMEPOKEA HABARI MBAYA KUHUSU KIJANA ALIETEKWA WA CHADEMA
10:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 26 М.
Mulu vs Maulana   Masinagogi 1 2
15:22
YesuHakufa
Рет қаралды 7 М.
KIGOGO NA SIRI NZITO YA KIFO CHA NDUNGULILE, TAZAMA MANENO YAKE YA MWISHO
2:46
SIRI ZA UFALME WA MUNGU🔑
Рет қаралды 15 М.
Rose Muhando - Said Juma   Ezekieli 4  9 12
9:21
YesuHakufa
Рет қаралды 34 М.