kama unaikubali CHUGA pita kwa kulike na fasi ya dwasi nafrekeche tonic made in god HALLLLLAAAH
@1654CJ2 жыл бұрын
This guyz are super hawtt!!!,one love from +254
@PATRICKKALABAKAАй бұрын
POA San ❣️❣️❣️❣️✌️
@elijahokumu2391 Жыл бұрын
Big men
@SoldierBoy-i3u5 күн бұрын
Kitu Kiko Saw
@evelinedeodatius58476 жыл бұрын
Remix nimeipenda bure rostam amkoseagi
@elinahmjema36376 жыл бұрын
Imependeza sana iyo rostam
@nassorosamatta31366 жыл бұрын
wametisha hao wana wanaweza
@abdallahmwalimu21706 жыл бұрын
Good job wagwani
@kaaweemwenyewe28726 жыл бұрын
Hawakoseagiiiiii Rostam hata ck 1 fiester Dar nawasubiri nyinyi tyu wengine wote viandeeee
@omarwaleo21186 жыл бұрын
#Rostam tupeni iyo ngoma official tuburudike maana kiu inazidi jaman
@safiaramadhan14226 жыл бұрын
Mnaiokota fresh km umewakubali ucwe mchoyo nigaie like
@cylirofrance96326 жыл бұрын
Victoria. lemi gideon niokote
@jeradisaya72626 жыл бұрын
Level Nyingine iii
@christinoezranzigilwa41286 жыл бұрын
Ni frexh san
@salminswaggz86496 жыл бұрын
Basata mmelala hahaha maana siku izi dili kugungia nyimbo2
@michaelmwiti46194 жыл бұрын
Stamina 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@osamachialo67806 жыл бұрын
Mtoto petro
@abdulrahimkadhi54156 жыл бұрын
Wanaume wa mikoani ndio wanaoitikia msumari wa nyundo wagongwe!?
@stephankapwellah89326 жыл бұрын
ROSTAM RO=ROMA STA=STAMINA M = MAUSAMA MIA TISA ITAPENDEZA ZAID
@leonidajohnson26816 жыл бұрын
tatizo la arusha bhana uhuni mwingi hadi wengine tunaogopa tunabaki kuckiliza sauti tu alafu video u tube cyo poa
@rosezacharia1156 жыл бұрын
Hatar hyo
@enosedee43266 жыл бұрын
Kizazi kabisa
@josephsimon5116 жыл бұрын
P1 noma sanaaaa
@banzamaswi5316 жыл бұрын
Uko poa
@quinjonson63896 жыл бұрын
fayaaaaaaaaaaaaaaaaa
@yotekulwajr59466 жыл бұрын
kitu noma izame mbichi,@
@oliverpendaeli49586 жыл бұрын
good xana keep it up guys
@phirmtv60956 жыл бұрын
BASATA wako hapo kwa umati
@frankysikanyika65556 жыл бұрын
#rostam_nyie_ubwa
@dionisjoseph56046 жыл бұрын
Maua kafanya vibaya kwann asimuite kijana #hanston!? Sijapenda kuna wengine tumeipenda nyimbo kwasababu yake, kanogesha
@jumahamisi23186 жыл бұрын
Rostam ni hatar
@evarsam28666 жыл бұрын
MAUWA JITAHIDI KUFANYA MAZOEZI JUKWAA LINAKUANGUSHA NYIMBO KAMA SIO YAKO BWANA
@donnngeta20226 жыл бұрын
unataka afanyaje?
@GoodPeopleOfBiafra6 жыл бұрын
Noooooumah hiphop OK Ila PITIA HAPA KUONA UCHAFU UKIGEUZWA KUWA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE channel hii bofya kapicha kushoto
@thediplomat61656 жыл бұрын
Nani ameona Sama akitoa mkono wa mwenzie kutoka begani ?
@maryamsaid67414 жыл бұрын
Nimeona asee daaaaaaaah mkono wa roma🏃♀️🏃♀️
@khalidngwembele90753 жыл бұрын
kamkataa kidizain flan hiv yan😂
@jumahumphrey36566 жыл бұрын
wapi basata hapaaa🤔
@husseinyogopen87516 жыл бұрын
Mmesikia MITUSI hiyo basata??
@georgehenry69536 жыл бұрын
wameiokota kwel kwel
@selemanimtawanya73426 жыл бұрын
george henry tv munawezaaa
@samsonsimion51406 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@erivamuheta11146 жыл бұрын
ipake mafuta iwe soft ikiingia mwilini iwe rain hhahaa
@gockoomzawa2266 жыл бұрын
mmetisha sAana rostam lakin Dogo aliyeshilikishwaga mbna ayupo apo anadhurumiwa HAkI yake
@nichosawero27996 жыл бұрын
Maua hujafanya fear huwezi Fanya collabo na dogo then kwenye jukwaa unapanda na wengine, Labda Ulipaswa kukiri kwa mashabiki sababu zilizosababisha dogo asiwepo jukwaani
@TechAfrica6 жыл бұрын
Je unajua jinsi ya kutumia Iphone yako kama Flash disk kubebea movie zako na documents?? Check video hii, kzbin.info/www/bejne/nHPSfJ6Dmd6Blbc
@husseingwanone78256 жыл бұрын
Roma
@kingkiba37286 жыл бұрын
Mafundi
@tundumaboy70486 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hnW4oKJudq52oZI Tizama na hiii
@omarwaleo21186 жыл бұрын
#Rostam tupeni iyo ngoma official tuburudike maana kiu inazidi jaman