ROYAL TOUR KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA

  Рет қаралды 31

TBC Online

TBC Online

Күн бұрын

Wizara ya Maliasili na Utalii imewataka wadau wa sekta ya Utalii nchini kujiandaa kupokea watalii wengi katika kipindi kifupi kijacho kufuatia mafanikio yanayotarajiwa kwenye kampeni maalum iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini kupitia kipindi maalumu cha Royal Tour
Akizungumza wakati wa mahafali ya 19 ya Chuo cha Taifa cha Utalii NCT jijini Dar es Salaam, Naibu waziri wa Wizara hiyo Mary Masanja amesema kupitia kampeni ya kipindi cha Royal Tour kitakachorushwa nchini Marekani, Rais amejenga ushawishi mkubwa kwa watalii kwamba Tanzania ni eneo salama lakutembelea.
Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo hicho Dkt. Shoko Mlozi ameishukuru serikali kwa maboresho yaliyofanyika kwenye kampasi za Chuo hicho nakuongeza ufanidi katika utoaji wa elimu kwa watoto wa Kitanzania.
Zaidi wa wanafunzi mia tano wamehitimu nakutunukiwa vyeti katika kozi mbalimbali katika Chuo hicho.

Пікірлер
The UK's Weird Territorial Dispute With Mauritius Explained
9:47
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 583 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 27 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 45 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 58 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,6 МЛН
What Should Leaders Learn from History?
28:33
World Governments Summit
Рет қаралды 412 М.
Similarities Between Arabic and Sicilian
14:11
Bahador Alast
Рет қаралды 1,4 МЛН
Signs Of The Last Hour | World War 3 | Dr. Omer Suleiman
19:16
Prevail Islam
Рет қаралды 177 М.
Parliamentary vs. Presidential Democracy Explained
6:50
What REALLY Caused the Split Between Sunni and Shia Muslims
17:03
The Islamic History Hub
Рет қаралды 303 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 27 МЛН