RUSSIA YALIPIZA KISASI UKRAINE, YAUA WANNE IKIHARIBU MIUNDOMBINU YA GESI

  Рет қаралды 4,062

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Kiev. Jeshi la Russia limefanya mashambulizi mfululizo usiku wa kuamkia leo yaliyolenga miundombinu ya Gesi iliyopo maeneo mbalimbali nchini Ukaraine, Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema.
Shirika la Associated Press limeripoti kuwa katika taarifa yake kwa Umma leo Jumamosi, Februari Mosi, 2025, wizara hiyo imesema mashambulizi hayo yamefanyika usiku kucha maeneo mbalimbali ya mkoa wa Poltava na Zaporozhye nchini Ukraine.
Taarifa ya wizara hiyo pia imesema mashambulizi hayo yalilenga kuharibu miundombinu ya kijeshi na ile ya uzalishaji wa gesi nchini Ukraine.
“Malengo ya mashambulizi yetu yametimia. Maeneo yote tuliyotalenga tumefanikiwa kuyapiga, tatatoa majibu,” imesema taarifa ya wizara hiyo bila kuanika madhara yaliyosababishwa na mashambulizi hayo.
Tayari maofisa nchini Ukraine wamethibitisha kutekelezwa mashambulizi ya Russia maeneo mbalimbali nchini humo huku Ofisi ya Mkoa wa Poltava ikitangaza kuwa kutakuwa na giza kuanzia leo.
Rais Volodymyr Zelenskyy pia amesema kuwa mashambulizi hayo yameleta uharibifu katika Mkoa wa Odessa, Sumy, Kharkov, Khmelnytsky, na Kiev, huku akidokeza kuwa yalijumuisha matumizi ya makombora, ndege zisizo na rubani na mabomu ya kurusha kutokea angani.
Amesema watu watatu wamefariki kutokana na mashambulizi hayo mkoani Poltava, wawili mkoani Sumy, na mmoja mkoani Kharkov, huku mamia wakijerujiwa.
Russia imekuwa ikiendesha mashambilizi mfululizo yanayolenga kuharibu miundombinu ya nishati ikiwemo ya uzalishaji wa gesi nchini Ukraine, huku ikisisitiza kuwa malengo ya mashambulizi hayo siyo Raia.
Moscow pia imesema mashambulizi hayo mbali na kulenga kulipiza mashambulizi ya Kiev kwenye miundombinu ya mafuta na majengo ya makazi nchini mwake, pia yanalenga kulipiza kisasi kufuatia tukio la wanajeshi wa Ukraine kuvamia, kubaka na kuwaua raia wa Russia katika kijiji kilichopo mkoani Kursk.
Imeandikwa na Mgongo Kaitira kwa msaada wa Mashirika.

Пікірлер: 3
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 күн бұрын
Safi ukrane
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 6 күн бұрын
UKRAINE SERIKALI INAONGOPA MASHAMBULIZI YA POTVA WATU WANNE WAFE POTAVA MAGOROFA WANAISHI WATU WENGI SANA
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 күн бұрын
Putin afe
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Kenapa Genjata menjelang Ramadhan ?? Agenda Yahudi 2025 | Ustaz Auni Mohamed
1:01:56
Koleksi Ceramah Malaysia
Рет қаралды 49 М.
UKRAINE YADAIWA KUMUUA KIONGOZI MWINGINE WA RUSSIA BAADA YA MLIPUKO...
4:58
FILM ACTION terbaru jetli yang sangat keren
1:43:26
GUDANG OPERA
Рет қаралды 9 МЛН
NATO vs. Russland: So wäre ein Krieg
13:04
MrWissen2go
Рет қаралды 5 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН