Russia yazingira Bakhmut, Wagner waagiza wanajeshi wa Ukraine kuondoka

  Рет қаралды 30,316

VOA Swahili

VOA Swahili

Жыл бұрын

Waandishi wa shirika la habari la Reuters, walio magharibi mwa mji huo, wamewaona wanajeshi wa Ukraine wakichimba mahandaki kwa ajili ya kujilinda na kwamba kamanda wa Ukraine katika kitengo cha ndege zisizokuwa na rubani katika mji huo amesema kwamba ameamuriwa kuondoa wanajeshi wake.
#waandishi #shirikalahabari #reuters #wanajeshi #ukraine #mahandaki #kamanda #kitengo #ndege #rubani #voaswahili
- - - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Пікірлер: 69
@abdulrazaqfils4234
@abdulrazaqfils4234 Жыл бұрын
More love President Putin the Russian president 🇳🇱🇳🇱 Yaa 💪💪💪💪💪
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Putin barikiwa Sana tupo upande wako warus weus
@goodluckjingu8130
@goodluckjingu8130 Жыл бұрын
Watasema tuu japo huwa hawataki kusema ukweli
@justinmumba2221
@justinmumba2221 Жыл бұрын
Russia juu
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 Жыл бұрын
Fire 🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💙
@hajimaruzuku6583
@hajimaruzuku6583 Жыл бұрын
Urraaa vimesh wasil sema vina ripuliwa vina waka moto vyote vime dunda kwa putin
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Жыл бұрын
Alihamdulilah ❤️ 🇷🇺💪🏻🇷🇺💪🏻🇷🇺💪🏻🇷🇺♥️🇷🇺🔥🔥🔥🔥
@salmaabdalla6029
@salmaabdalla6029 Жыл бұрын
Kweli moto umewaka mpaka manyangau wanatangaz hbr za kushindwa
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Жыл бұрын
Ukrein mtagongwa sana na bado
@markodaniel2662
@markodaniel2662 Жыл бұрын
Viva Russie
@gasperedward
@gasperedward Жыл бұрын
😂😂😂 asante Putin unatulipizia kisasi waafrika kwa kutuulia kiongozi wetu Gaddafi
@salummsusa5007
@salummsusa5007 Жыл бұрын
Washenzi sana hawa magharibi
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Russia akichukua bahmut ndii kwisha tena ni sawa na daraja na maji
@salmaabdalla6029
@salmaabdalla6029 Жыл бұрын
Ukrein hamuna lolote mnakufaa tuuu
@ommyregga5829
@ommyregga5829 Жыл бұрын
Safi putin piga haooo mashogaa
@yohanamasebo3478
@yohanamasebo3478 Жыл бұрын
Taifa la kuitingisha Russia duniani bado sijaliona Russia taifa kubwa mno kwa nguvu za kijeshi hata sq km
@sayshabani6350
@sayshabani6350 Жыл бұрын
Eti vita ilichukuw gharama kubwa
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 Жыл бұрын
Viva Russia
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Mwamba uyo
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Жыл бұрын
Nivutiwa na tarifa murua
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 1,5 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18