SIRI nzito Mkutano wa PUTIN na viongozi wa AFRIKA, Mapinduzi ya Niger, Prigozhin, ECOWAS - DJ Sma

  Рет қаралды 166,530

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 656
@yohanadavid6724
@yohanadavid6724 Жыл бұрын
Kama unamkubali Dj Sma, tujuane hapa kwa likes 👍
@mohammedgogo3327
@mohammedgogo3327 11 ай бұрын
Kichwa kama kichwa hicho, asante kwa kutujuza tusiyoyajua
@JunhaNbabu-yj4cl
@JunhaNbabu-yj4cl Жыл бұрын
Bro, nakupenda kwa ajili ya Allah, habari zako ni nizakitaalamu zaidi
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
Walykum Salam pendaaa mie ❤❤❤❤ Jmn nawish waafrika woteeee tuungane na Urusi tuachane na hawa wazungu wanyonyaji na masheitwan Mungu atusimamie ktk hilo na Mungu akubariki uendelee kutuletea vitu kama hizi😊❤❤
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 Жыл бұрын
Mimi na familia yangu tunakupend sana dj sma
@hertierzawako8068
@hertierzawako8068 Жыл бұрын
Nakupata miya kwa miya kutoka Canada 🇨🇦 iyo ni kweli kbsaaa Mungu akujaliye sana
@user-jq6tu4cf9t
@user-jq6tu4cf9t Жыл бұрын
Aka Bachuchu Mombasa 001 Ifanye hiyo ya Rais Ruto plz 🇰🇪🔥🇰🇪🔥🇰🇪🔥
@user-hp6eh6oi2o
@user-hp6eh6oi2o Жыл бұрын
DJ SMAA NDANI YA MTIMA WAMOYO WANGU NAKUKUBALI SANA , HUA SICHOKI KUKUSIKILIZA MATIRIO YAKO NI 🪔🪔🪔
@ramahfingika15
@ramahfingika15 Жыл бұрын
Something bigger is coming in Africa 🌍
@prettynayally2177
@prettynayally2177 Жыл бұрын
Nikisikia hi sauti hata nikiwa nataka kulala kwanz nakaa kitako ilove u my brother Muslims ❤❤❤
@msanifgdf615
@msanifgdf615 Жыл бұрын
Saluti kwako dj smaa nmeunganisha doti nmepta jibu ndio maana nlimuona captein ibrahim kwenye mkutano kule urussi.
@omarybakary1234
@omarybakary1234 Жыл бұрын
Waleikum salaam welcome back DJ Sma. Mwendo wa pills 💊 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@alexikagoma6461
@alexikagoma6461 Жыл бұрын
Ndagukunda can peee Imana ibane namw Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Urussi 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Rwanda
@kingnass6410
@kingnass6410 Жыл бұрын
Tuifanyie kazi makala ya rutto tunaisubiria
@nicholouskusekwa6049
@nicholouskusekwa6049 Жыл бұрын
Napenda sana uchambuzi wako brother, Big ups sana
@abuubakarhaji2078
@abuubakarhaji2078 Жыл бұрын
Nakukubali sana Dj smaaaaa
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Жыл бұрын
Great uchambuzi woow!🇿🇦🇿🇦
@linusdavis9072
@linusdavis9072 Жыл бұрын
Such a good journalist congratulations keep it up guy
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Now let the world see the fact that France lives because of African wealth. now he does not want to leave Niger. Africa's suction tubes are cut.
@fatumahamadi1379
@fatumahamadi1379 11 ай бұрын
Tunapenda utuandalie makala hayo Zaid kiachoendelea shukran kw kutuelimisha ALLAH akubariki
@godsson5954
@godsson5954 11 ай бұрын
wasafi wasije wakakuiba tu hawachelewi😂😂 uko vzur sana kwny uchambuzi cudos to u👑
@user-hu2vo1jm8o
@user-hu2vo1jm8o Жыл бұрын
hakika ww mtu mkwel kuliko wachambuz wote kwanza uko tayar kusema hili sijui nakupenda dj sml
@MohamedHasan-kt4lw
@MohamedHasan-kt4lw Жыл бұрын
Nko mankini sana kukufuatilia makala yko toka Mombasa Kenya DJ sma KAZI nzuri sana 💪
@aminanekesa3718
@aminanekesa3718 11 ай бұрын
Allah Akupee umri mrefu kakayangu nimejifunza mengi kutoka kwako asante sana
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Hivi unajuwa dj smar mbinguni kuna kiti chako ujuwe 🙌🙌 kitalindwa akalii mtu we endelea kutuletea nondo za moto zituingie akilini🎉 apa apa chini ya Jua
@trendz_2548
@trendz_2548 11 ай бұрын
DJ sma wafanya kazi poa sana. Ebu toa makala ya ruto kukosa kuenda vile ulisema
@ibrahimnyabwa8088
@ibrahimnyabwa8088 11 ай бұрын
Asante , uko vizuri sana Mr DJ.
@ndikumanajinalangu1934
@ndikumanajinalangu1934 Жыл бұрын
Uko vizur mzee baba Allah akulinde na akupe Mazuri
@amirshaa5627
@amirshaa5627 Жыл бұрын
Dj sma upo sawa napenda reference it means huongei pumba Can't wait kuhusu Korea kaskazini, bureau 39 na uchumi wa dprk kiujumla
@ronaldkasumpa1969
@ronaldkasumpa1969 Жыл бұрын
Watching from Zambia❤
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 Жыл бұрын
Dah...Balaa zito sana hili! Haaya brother kaka. Mim binafsi ninakuelewa mno! Acha uchambuzi yakinifu iendelee...🔥🔥🔥✌️✌️
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 Жыл бұрын
Wewe Ni mtaalamu wa Hali ya juu Ila sisi Watanzania wengi wetu uwezo wa kuelewa Ni mdogo sana kwa sababu viwango vyetu vya kielimu Ni duni halafu exposure yetu kuhusu matukio ya ulimwengu pia Ni duni yaani tunajihusisha zaidi na tamthilia na ushabiki wa mipira na miziki ya wasanii, kuliko elimu Pana inayopatikana mitandaoni. Hongera Sana kwani hata Mimi sikuamini eti Pregozhn alipanga njama dhidi ya Taifa kubwa Makini kijasusi, kama URUSI. Ni zamu ya Mashoga na Wasagaji mashetani wa Ulaya, Ukraine na Marekani kuangamia Kama watu waovu wa Nabii Luti (a.s).
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Жыл бұрын
Kbs bro
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
UN waondolewe popote walipo.Sisi tunadhani wanalinda amani kumbe ndio wanao endesha mapigano marekani wamewaweka mamluki.wanafadhili mapigano kwenye nchi zote walizokalia huku wakiiba madini.wanajiita M-twenty three kumbe ni UN wenyewe.
@hudumablack9339
@hudumablack9339 Жыл бұрын
Asante sana DJ SMA. wewe ni wa aina yake brother. Afrika na dunia nzima tunakufuata. Facts na vidonge tunameza🤝
@emilyanamnyakongo4378
@emilyanamnyakongo4378 11 ай бұрын
hakuna kitu cha bure duniani. hata yeye anachokutafuta
@franklechipya6828
@franklechipya6828 11 ай бұрын
​@@emilyanamnyakongo4378hana anachokitafuta Putin ni mtu wa haki sana Mungu muweza hawezi muacha Putin tupo nyuma yake abalikiwe mno
@Ali-te8tb
@Ali-te8tb Жыл бұрын
Shukrani, Nilipata sauti mpiya yenye uhakika 👍. Ali Adam. Visiwa vya KOMORO 🇰🇲 . viva URUSSI AFRIKA 🌍
@seremaboubakar8981
@seremaboubakar8981 Жыл бұрын
Uko vizuri sana
@AugostinoSaimon-sj3tb
@AugostinoSaimon-sj3tb Жыл бұрын
Bro chapa Kazi.
@allyfoum1995
@allyfoum1995 Жыл бұрын
Asante Kwa kazi yako nzuri safi sana
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
Yani nakrupuka tu hapa nakutanayo talifa dj smaah usingizi wote umeisha nimekaa kusikiliza vizuri ongela kwanza mr kipara chenye akili nyingi. ❤❤❤🎉🎉🎉.
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Dj Sma Kidonge kikali balaaaaa ila tunakupendaaaaa❤❤
@antonymugambi1154
@antonymugambi1154 11 ай бұрын
Kazi nzuri Antony mugambi from Nairobi, Kenya
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Safi sana dj sma uko vizuri ndugu
@moseskayinga100
@moseskayinga100 11 ай бұрын
Uko vizuri aise.tuache wivu
@salumhamdu6633
@salumhamdu6633 Жыл бұрын
Amiin mkuu nakukubaliii yatakujà mengi..Duuuh bora uzima na uhaii Bro.
@eunicewamathioya8030
@eunicewamathioya8030 11 ай бұрын
Truth my president ruto is always talking about it revaluation is must
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Hahahahahaaaha Oiii Dj Sma imeshindikana aiseee.. Eti unapewa fakts na Risiti ya Efd haha kajibishane na Mashine..Ushambuzi safi sana. Russia atatukomboa...
@katyamoses2754
@katyamoses2754 Жыл бұрын
Nakuamini sana ndugu yangu from DRC Congo
@Becka_mrliverpoolMwanyik-hj6no
@Becka_mrliverpoolMwanyik-hj6no 10 ай бұрын
Nakukubali sn kaka Dj sma
@leonardgalila3032
@leonardgalila3032 Жыл бұрын
Uko vizuri sana mkuu viva umewazidi wengi
@digonzakeimbe8435
@digonzakeimbe8435 Жыл бұрын
Umesomeka.. salute..
@mossesmurwanahyaka8389
@mossesmurwanahyaka8389 Жыл бұрын
Asante DJ smart 255🎉🎉🎉🎉❤
@khalfanmakoyo
@khalfanmakoyo 11 ай бұрын
hongera sn kaka Mwenyezi Mungu akupe afya njema
@MrKanuya
@MrKanuya Жыл бұрын
Safi sana mkuu, unafuatilia haya mambo vizuri sana! Na huu ni mnyukano wa GEOPOLITICS ndo maana unaona RUSSIA na Westeners wanapambana. Mungu akupe maisha marefu uendelee kutupatia nondo za maana kama hizi.
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
Mungu akueke na akutangulie @dj sma
@captainsamafa5467
@captainsamafa5467 Жыл бұрын
mm nammpenda sana dj sma lakn anajisifia sanaaa
@jerrystonjoseph4384
@jerrystonjoseph4384 11 ай бұрын
Unafanya kaz nzur sana kutuelimisha big up
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Dj Sma unahitaj maua🎉🎉 yako madini kam hay hatuwez pata ppte zaid yako
@Zziggy_ke
@Zziggy_ke Жыл бұрын
Tuambie mbona 🇰🇪 imesusia mkutano huo wenye manufaa kwetu please bro
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 11 ай бұрын
Yani nakuelewa DJ Smaa pamoja sana
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 ай бұрын
Shukran sana DJ SMA. From Morogoro
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
@dj sma I'm watching from United kingdom of Bahrain ❤
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 4 ай бұрын
Hongera dj sma piga kazi my brother achana na vilaza wasiojitambua
@khamisramadhankhamis2199
@khamisramadhankhamis2199 Жыл бұрын
Nakukubali Mtaalamu, Tunakuombea kwa Muumba wa hii Dunia na vilivyomo ndani yake akupe Afya njema and fully protection. Ili uendelee kuielmisha Taifa na jamii kwa ujumla. Ameen
@abushirissa-pc5lq
@abushirissa-pc5lq 11 ай бұрын
Yaani huyu mruc ni mwema kwa africa. Allah ampe nguvu. Ni wakati sasa Africa kunufaika na vya kwao. washatuibia sana
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 Жыл бұрын
Asante Dj well done 👏 ✔️ 👍
@joycesikana4513
@joycesikana4513 11 ай бұрын
True my brother afrika tuwe macho
@user-co1ir8sg7j
@user-co1ir8sg7j Жыл бұрын
dj sma tulikumisssssssss kinom noma
@rosamarieshukraft7664
@rosamarieshukraft7664 11 ай бұрын
Waa Ndugu mbona unanifurasha Dunia ipate change Yani unaleta furaha kwa mambo hayo inaongea waa waa God bless 🙏🙏🙏
@yasinsanga9062
@yasinsanga9062 Жыл бұрын
Safi sana tupe vitu
@nkeshimanayuda1115
@nkeshimanayuda1115 Жыл бұрын
Dj Sma uko vizur sana Asante kwa madini unayo tupatia
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Жыл бұрын
Ok sinalakusema isipokua DJ SMA nimwambawetu tuliopeanamungu makalayakeyoteniufunguzi wafikla kwaafrica nakupenda San munguakupekuishimyaka 100ongelasan from 🇧🇮🇧🇮 gonga 👊👊 tujuane nawapendasan wanangu
@stevenvictor437
@stevenvictor437 Жыл бұрын
Point sana mzee
@jamesgabriel548
@jamesgabriel548 Жыл бұрын
Kwa kutoa fact nkuaminia mkali🤝🤝
@methodjasson2159
@methodjasson2159 Жыл бұрын
DJ sma nakuelewa saana naomba utupe hivyo vutisho vya Ruto baada ya kuitema Dola mzee baba unatisha sana😂😂😂😂 wamegurugwa hao angulo linakuja vibaya sana,nasikia raha sana
@ellyjoel5022
@ellyjoel5022 11 ай бұрын
Nakubali sana mwanafyuzi.,
@Sea_world349
@Sea_world349 Жыл бұрын
Am from Kenya ningetamani kuskia makala ya Kenya
@abdallahkhalfan3966
@abdallahkhalfan3966 Жыл бұрын
Kwa sasa nimepata ufafanuzi kidogo kwa nn Iran anashambuliwa na magharibi nakuelewa sana DJ smart heshima kwako
@mkongwekarim3036
@mkongwekarim3036 Жыл бұрын
Dj smaa tunasubili Sana makala ya Ninger
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
❤ djsma swali langu wanapo sema Dola imeadimika shida Nini au kiongozi kukata kutumia dollar anajipangaje naomba maada ulete mezani
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Hao wanao kudisi achana nao kwanini wanafutwatilia wanakubali wanashindwa kukwambia salute kwa sky
@hassanpashua
@hassanpashua Жыл бұрын
Uko sawa asiekuelewa hatokuelewa milele pamoja sana from Kenya wadai Rais Ruto ametishiwa sio balaaa
@sultanmohammed8634
@sultanmohammed8634 Жыл бұрын
Yes absolutely yes yes definitely yes time za wakoloni imekwisha
@salumbalemba4215
@salumbalemba4215 Жыл бұрын
Uko vizuri kaka
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 Жыл бұрын
Mimi nimesimama na wew toka mwanzo , love from south Africa 🇿🇦 Sizani kama ukweli utabadilika Kua uongo Mimi nikuunga mkono 100%
@lukulomansour3087
@lukulomansour3087 Жыл бұрын
Ahsante Sana dj wetu yaani Hilo unachambua vizuri asie elewa Basi hatoelewa kamwe
@user-ig9ed6hk4q
@user-ig9ed6hk4q Жыл бұрын
😂nkupata vizuri sana bro
@allclassicWorldwide
@allclassicWorldwide Жыл бұрын
dj Sma, upo vizruri bro, nafatilia sana makala zako
@harithkhamismohd7392
@harithkhamismohd7392 Жыл бұрын
From Zanzibar nakubali sana kazi yko god bless you
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Жыл бұрын
Asante kutoka kigoma
@SumaTunda-bs4fp
@SumaTunda-bs4fp Жыл бұрын
Oya nakukubali sana
@christopherusare5934
@christopherusare5934 11 ай бұрын
Tunawa support zaidi kutoka US Texas
@Hassan.Nassoro
@Hassan.Nassoro Жыл бұрын
Mwanafamilia kutoka Muscat Oman tunakupenda sana brother
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 Жыл бұрын
Dj smaa unafaa utafutiwe ulinzi mkuu maana iii mambo ni mazito mm niko nakufatilia sn na pia nimeangalia iyo mkutono …. Umetisha sn 🇺🇸
@matovuismagoodjobamfromkam431
@matovuismagoodjobamfromkam431 Жыл бұрын
Thank you for the programs it's a good big up
@alnaseralshaukail3350
@alnaseralshaukail3350 6 ай бұрын
Shukran nimepata elimi kubwa sana from Oman
@abbtsa3060
@abbtsa3060 Жыл бұрын
Hongera sana kutoka Durban. South africa
@salummohammadomar5015
@salummohammadomar5015 8 ай бұрын
HI naitwa Salum nipo Zanzibar nakukubali Na nakuombeya Kwa M Mungu akulinde Na maadui wa dhahiri na wasiri Amin
@user-ur9vq1su4u
@user-ur9vq1su4u Жыл бұрын
yeah dj sma up salu
@zuberially3190
@zuberially3190 Жыл бұрын
dj smaa kwa mara nyingne tena , nakubali san
@rashidimussa3294
@rashidimussa3294 Жыл бұрын
Good job,May Allah bless you 🙏
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Жыл бұрын
Asante bro kwauchambuzi mzuri raha from burundi
@tushuhassan3809
@tushuhassan3809 11 ай бұрын
Your very right brow
@JeremiahHhando
@JeremiahHhando 11 ай бұрын
If this will happen it will shakes the world
@eliamkamba4325
@eliamkamba4325 11 ай бұрын
Nani anakubali kuwa huyu jamaa ni mbadala wa prof. Jamali. Nakukubali Sana man. Tena unachambua habari ambazo zipo kwenye hobi yangu. Much love
@janmusquera
@janmusquera Жыл бұрын
Well explained 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
The war in Ukraine and the decline of the West | #1623 with Douglas Macgregor
2:01:30
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 68 МЛН