Рет қаралды 69,235
Rais William Ruto amewapendekeza mawaziri 11 katika baraza lake jipya la mawaziri huku akiwarejesha mawaziri sita waliotimuliwa. Profesa Kithure Kindiki atahudumu katika wizara ya usalama huku Aden Duale akirejea kwenye wizara ya ulinzi iwapo bunge litawaidhinisha