This man talks so well no pressure but tells it as it is🙏🏽
@sammymuraguri85413 ай бұрын
Ruto anafuata nyayo za Moi, gawanya wakikuyu ukitumia moja wao, Kimani Ichungwa, kama Kariuki Chotara, Kamotho, Kuria Kanyingi vice president karanja
@waceranjeri76353 ай бұрын
Wakikuyu wakisukumwa sana, watashikana. Na wakishikana Kenya itatetemeka.
@graceamadi10963 ай бұрын
Sio wakikuyu kumbuka kuna muumba wa mbingu na nchi nae ni mungu
@juliamongina60843 ай бұрын
Hiyo mitetemeko na mitego ya mt Kenya imepitwa na wakati mama njeri🤣🤣🤣🤣🤣
@estherenk3 ай бұрын
@@juliamongina6084try us utakua wakati hujapita
@shirowdestinys57753 ай бұрын
Who told you mama onginamanya 😂😂😂...ukabila mnapenda sana ...sasa you people are clapping mkidhani wakikuyu wameumia ...watch and see who own kenyans...ngai wakirinyaga ndakomaga kwanyu@@juliamongina6084
@benadatemumelo88843 ай бұрын
Si nyinyi ndio mlikuwa mnasema Ruto Ruto tenaaaaaaa fresh mzae aende Bondo . Uhuru aende Nyeri. Saa hii mnalia
@rachelonyiro80513 ай бұрын
Gachagua helped Ruto to fight his battle with Uhuru.he was the mouth piece of Ruto now its his turn to fight his own battle with the same man he was prepared to die for. Hatupangwigwi. Maombi tu.
@mariapuritywangui80493 ай бұрын
Waruingi, God bless you always and increase wisdom in you.
@hildahmwaura23523 ай бұрын
Hi Waruingi listening you very good secret siwezi ruka ata moja
@sisterolivia98743 ай бұрын
God is faithful...Everything will happen for the Glory of mighty God Looking forward for undivided church and undivided Kenya 🇰🇪 Kenya ni sisi!.
@JOYFULL4442 ай бұрын
Pole Sana hakuna wembe ita guza Ruto hakuna.
@user-tiki222 ай бұрын
Tutaona 2027 sio mbali
@JOYFULL4442 ай бұрын
@@user-tiki22 Inshallah!!!!
@joycegitao90403 ай бұрын
We have the key Isaiah 22:22 in Jesus Great Name, we shut every agenda to sell our nation!
@esthermuigai92433 ай бұрын
Amen
@benardakure6934Ай бұрын
Kenya is bigger than ruto itself
@florencembuvi24453 ай бұрын
It's a very painful cup to drink,bt fumilieni tu is your choice, Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
@MwangiShee-hv6ps3 ай бұрын
Aki hapa ni sisi tuliingiza wengine box, hatutawahi rudia
@reginalaxmi30863 ай бұрын
Well done Apostle Ndura 👍
@rutharitho62872 ай бұрын
Please jeremy Apostle Ndura is not a prophet of baal,but a true Man of God .may God 4give you Sir.
@damariswambatu54753 ай бұрын
Thank you Apostle for addressing the issue of harambee. I've been trying to tell pple about this Indian goddess in our country but Kenyans are ignorant about it
@emmanwellngeno93232 ай бұрын
I still remember you preaching to us about it at Litein Joyland Bible Church, indicating that its " all hail ambee".
@damariswambatu54752 ай бұрын
Yes Emmanuel. Hope Kenyans will one day wake-up to the realisation of this ruling demonic Indian goddess
@NicholasOmondi-r9q3 ай бұрын
Kwani kikuyu wana kwanga milioni ngapi😊
@emmanuelmuthomi53913 ай бұрын
Good piece. Give us more content in kiswahili
@paulngaruiya19033 ай бұрын
Africa ilikuwa inaitwa alkebulan.
@evanceleftie2055Ай бұрын
The interviewer akue ananyoa nywele
@johngitau85413 ай бұрын
Israelites are never defeated
@ndufmutur32873 ай бұрын
Correct pastor
@elizabethallen42903 ай бұрын
RUTO AMPGANSA MTAKULANA KAMA MAMBWA.
@JaneWanjiku-o5v2 ай бұрын
Ametumia mjinga kimanongwe kinaambiwa kichinje mtoto wake na Kinachinja tu Juu ya tumbo kubwa
@eunicewangari20173 ай бұрын
Apostal waruigi naomba kujua ,fungu la kumi nafaa kutoka kwa mauzo yangu, ama kwa faida yangu naomba kujua tafadhali.
@MilingaMgobi-rs3hi3 ай бұрын
Fungu la kumi linatoka kwa faida yako unayopata kutoka kwenye mauzo
@keziahwairimu38813 ай бұрын
Profit
@bethelcloudstv3 ай бұрын
Kwa mavuno yako
@rosemuniu11713 ай бұрын
Apo Gachagua amezee wembe.kamaliza Mlima na Ruto naye amaliziwe,asije kulilia Wanjikü yakumumaliza na Taxation, kumbomolewa Manyumba,,etc Niki wa Ruto ndiye wanatumia kuuza JKIAIRPORT na etc.
@damariskissy-pj4qh3 ай бұрын
You are very genuine 🤣yaani tuongezee level of makasiriko
@carolinemeeme37842 ай бұрын
😂😂😂
@agnesmwangi3103 ай бұрын
True true
@mercykariithi79193 ай бұрын
If you listen or follow a man or ruler out of emotions you end up in a pit following ruto is falling in and endless pit I thank God I never voted in 2022 I never trusted ruto nor raila and I was right I don't regret
@janekabura61633 ай бұрын
You voted for him indirectly
@mercykariithi79193 ай бұрын
@@janekabura6163 how by not voting? Heaven and earth know he didn't win in the first place between the 2 candidates their wasn't any faithful and God fearing just pretence I knew that long ago
@janekabura61633 ай бұрын
Those are the votes that they steal.
@gidionloruk11333 ай бұрын
Gachaguas advisor..security iko macho..treason amouts to ......
@maureennyambura-d3t3 ай бұрын
true man of God
@jameswakanyeki41913 ай бұрын
Nangonja pia nione kama hii misikiti inapiga kelele usiku pia zitafungwa
@valerieobanya51722 ай бұрын
Oh! This man. Sasa saa hii sisi wote ni wakenya? Anyway, well spoken
@JaniffarKavutu2 ай бұрын
Kumbe dio maana Jimmy ua anafaamiwa😢😢😢😢,,iyo ya Ruto ni tamaa,,maana Jimmy amewatangulia😂😂itambidi wakumbaliane
@sammymuraguri85413 ай бұрын
Church should be cautious with Ruto, atatupeana kwa shetani, kupitia pesa, n technology, affordable housing
@faridaali32793 ай бұрын
Ashatupeana we need to resist
@wanguindungurecheal3 ай бұрын
Ashaa tupeana ndio maana unaskia lazima atapita 2027 but not the right way But with God everything is possible, Maombi inaweza badilisha
@agnesmwangi3103 ай бұрын
As it is
@JaneWanjiku-o5v2 ай бұрын
Tumbo lisiloshiba
@LukmanShiyths3 ай бұрын
Kulingana na introduction ya garden of eden ni conspiracy theory ama?
@derrickwekesa46043 ай бұрын
Waruinge we need most of your contents in kiswahili.
@benadatemumelo88843 ай бұрын
Oli lushwahili yitaaaa English tawe ?? Namwe
@rwenji223 ай бұрын
Visit any kiosk business. Utapata owner Mkikuyu but ameajiri watu 5 or six not to mention those who also have direct benefit from that small enterprise. Those 5 people being employed SIO WAKIKUYU! You attack Kikuyu businesses like Moi did and you destroy other communities as well. Kikuyus were placed in Kenya by divine destiny and Somalis or Kalenjins can’t undo that. Hilo lieleweke vizuri sana.
@wanguindungurecheal3 ай бұрын
Hapo umeongea vizuri kwakuwa wakikuyu ni wanabiashara but wanasemanga tunapenda pesa but no one hates money but Munfu atazidi kutupigania
@NjundiBrig3 ай бұрын
Waruinge keep educating us and God bless you
@joycepeter12843 ай бұрын
RUTO ,HIS ALLIES, KALENJINS LEADERS, AND CARTELS FROM MT. KENYAV SHOULD STOP STEALING ;Ephesians 4:28-30 says "28 Anyone who has been stealing must steal no longer, but must work, doing something useful with their own hands, that they may have something to share with those in need.29 Do not let any unwholesome talk come out of your mouths, but only what is helpful for building others up according to their needs, that it may benefit those who listen"
@ROSELINEAUMA-dv8bq3 ай бұрын
Tafadha ongeanga kwa kiswahili ju hatuelewi kikuyu
@kim15703 ай бұрын
Wacha aongee na ile lugha anavyotaka. Akitumia Gikuyu, anajua sababu anashughulikia mambo ya sisi waKikuyu. Akitaka kuongea mambo ya taifa nzima, anatumia kiswahili.
@lilianrhyner25703 ай бұрын
Ulitwambia kwa interview monja ati family ya uhuru ndiyo inakondisha uwanja sab ni yao how comes you change the theory again make it clear please
@aureliacherotich98753 ай бұрын
on the KQ not the airport
@samuelnguru63113 ай бұрын
Anajuanga aje hizi stori zote Hadi details 😂😂😂 naanasema nikama ni ukweli aii
@ellachimbiru19502 ай бұрын
Garden of eden was destroyed during Noah's floo6. Ndura, you said Ruto is David? God is not a switch on n off. You can't pray Ruto out. God is not at your beck and call. So we're stuck with Ruto until we have total repentance.
@sisterneo40183 ай бұрын
Bethel clouds can we kindly please have subtitles, we would like to hear Apostle. Greetings from South Africa 🇿🇦
@bethelcloudstv3 ай бұрын
We are working on it
@johngitau85413 ай бұрын
Come in Benoni i explain to you everything said.
@stellamarisokoko10733 ай бұрын
Hata Ezekiel alisema hivo kimemramba
@densfaradfx3 ай бұрын
Look for me i translate
@janemuchiri52763 ай бұрын
Hii ni kweli. Baada ya Ezekiel kusema hayo, alimalizia kotini. Karibu afungiwe kanisa
@antonymbali33253 ай бұрын
Apostle this is my believe in Jesus Mighty Name that President William samoei Ruto will be our next president of Kenya 2027,wait and see bt we need to pray for our country
@bethelcloudstv3 ай бұрын
Nobody is against him being next president
@liyakalozeze-hd7kp3 ай бұрын
@@antonymbali3325 tell him to be careful or else he will be called a false prophet after 2027
@agnesNdirangu-i9vАй бұрын
He won't even this term was not his
@ROSELINEAUMA-dv8bq3 ай бұрын
Wow 2027 itafika lini?
@janekabura61633 ай бұрын
Umutoe au umurudishe?
@lydiamburia41133 ай бұрын
RUTO WEMBE NI ULE ULE!!!!!/Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV. WUEH VERY INTERESTING THAT H.E.HON.DR. WSR MADE HIS BED SO HE SHOULD CONTINUE LYING ON IT. VERY INTERESTING TIMES AHEAD IN THE COMING DAYS. WEEKS, MONTHS AND YEAR BEFORE AND AFTER 2027 & BEYOND. GOD ALMIGHTY HAVE MERCY UPON KENYANS.
@JecintaKago3 ай бұрын
Apostle hiyo nakataa bado Ruto atakua presso 2027,
@PeterMukoto3 ай бұрын
Yes Rutp will still be President after 2027. Kikuyus should blame themselves for what they did. How I wish they listened to Uhuru.
@liyakalozeze-hd7kp3 ай бұрын
@@JecintaKago ruto ni apostle kama yeye
@PeterMungai-b7s3 ай бұрын
Kama DP ni mkabila imekuaje aliweza kufanya GZ kuadamana kenya yote
@nancywambui10733 ай бұрын
Apostles wote wamekuwa political bloggers and activists... matongoretio ni Maina wa OTC.
@AnneNjoori3 ай бұрын
You sound like a idiot
@ndegwawarukira29123 ай бұрын
Now this is conspiracy theories
@diwaki323 ай бұрын
But apostle si ni nyinyi tu pastor kwanza wewe ulimtukuza sana ruto . Almost all kikuyu pastors were blinded in backing ruto. You even campaigned Him you called him a man of God. Anywei i dont blame you coz Maybe a spirit of deception iliwaingia almost ma pastor wote mkadanganye wakenya kwa ajili ya dhambi yetu. Maybe He was a God chosen to carryout God wrath and judgement on us so that we may feel it and turn to him .
@PeterMukoto3 ай бұрын
They are NOT true servants of God! They are hypocrites. They endorsed Ruto and campaigned for him in their churches just because they hate Raila. They thought that Raila was a devil and Ruto an angel. Now they are shocked to realise that Ruto was just a wolf who was hiding in the Church and he is going to be worse than Raila. Let them suffer the full consequences of their hypocrisy and foolishness. Meanwhile the rest of us Kenyans will rally behind Ruto and vote for him overwhelmingly in 2027. And Ruto will go all the way to 2032 after which he will hand over power to someone else but NOT a Gikuyu. Kikuyus will wait till 2099 for one of them to ascend to power.
@Jeremy-zx5ru3 ай бұрын
Huyu ni wale prophets of baal....his work is politics and no preaching anymore
@SheeMaryam.M3 ай бұрын
Bado mnaamini Kuna ma maskofu siku hizi makanisa imekuwa uwanja wa siasa 😂😂😂
@AnneNjoori3 ай бұрын
Umekuwa mwalimu nani amepita mtihani.wewe yako ya ukweli Iko wapi ,jina lako kamili ni chenzi
@Nevethere3 ай бұрын
Sidhani umelazimishwa kutazama
@martha20kamau3 ай бұрын
achana na Roho chafu na ukabila siufungue kanisa lako wewe utuhubilietukufuate sasa utataka wachungaji wasiongee wakati ushonga unatakikana kupitishwa nchini utajua hujui wakati ushonga utafika kwa familia yako na saa hio dio utakumbuka kanisa na wachungaji
@SheeMaryam.M3 ай бұрын
@@martha20kamau ushoga sio ushonga dadangu... Na kama hamna habari bibilia nyingine ishatoka jikoni na ishakumbalisha ushoga .... Watoto wetu ndio target... Be careful wakristo na makini kwa hio bibilia juu ata ulaya makanisa wanawaozesha...
@andrewngumba-v2wАй бұрын
kama atatufanyia kazi tunamuongezea tano tena.usitupeleke kwa ukabila.hivyo ndivyo mlichukia raila na mnaendelea kulia
@agnesNdirangu-i9vАй бұрын
You from nyanza you are the most tribal and this time round you want 41agnaist one this time round you will be surprised you won't win
@andrewngumba-v2wАй бұрын
@@agnesNdirangu-i9v kama unathani kura yako ina maana,ngojea 2027
@JambuK92 ай бұрын
This prophesy is false. Gashagua is the one who branded. No where Ruto said kalenjins this Kale that. It does not have bibilical backing..
@shulestuff3 ай бұрын
Si hawa ndiyo walisema ni Mungu siyo uchawi? Wanalia nini sasa? wacha Mungu afanye kazi yake. Ruto tano tena