S.U.A Freestyle Battle October 2023

  Рет қаралды 1,076

Back To The SUA

Back To The SUA

Күн бұрын

Moja ya kipengele moto zaidi katika Tamasha la #Back2sua October 2023 ambapo washindani sita (6) Mapengo Boy (From Sekei), Toxic Man (From Sanawari), Dizzla (kutoka Sakina), Mashineboy Kevi (kutoka Kijenge), RMC (kutoka Kijenge) na Sobibo Khan (kutoka Morombo). waliazimia kuingia vitani.
Baada ya raundi kadhaa za mchujo, raundi ya mwisho ilikuwa baina ya RMC na Sobibo Khan. Wote wawili walionyesha umahiri na kujiamini katika Sanaa ya mitindo huru. Baada ya mtanange mzito mshindi aliibuka kuwa ni Sobibo Khan. Waamuzi wa vita hii walikuwa umati wa #Back2sua.
Kwa heshima ya Utamaduni wa Hip Hop, msanii maarufu wa hip-hop Mo Plus(wa Ukoo) alimpa zawadi Sobibo Khan kuwa Mfalme mpya wa Freestyle 2023.
Zawadi ya pambano la freestyle la S.U.A mwaka 2023 lilikuwa TZS.200,000/- na zawadi mbalimbali kutoka kwa Okoa Mtaa Foundation, kama fulana na vibandiko.

Пікірлер: 3
@nickminja704
@nickminja704 10 ай бұрын
oi oi oi
@josephxonwakitaa850
@josephxonwakitaa850 10 ай бұрын
😂😂😂
FREESTYLE BATTLE AT KARAKANA OPEN MIC ARUSHA
21:25
kiswahili Tv
Рет қаралды 3,8 М.
Sight more at Sua Free Stage
11:43
Back To The SUA
Рет қаралды 2,7 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 28 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
Bony Kichaa -Radio interview
15:15
Bony Kichaa
Рет қаралды 153
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 620 М.
AICT Chang'ombe Choir -  Nafsi (Official Music Video)
10:05
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 1,9 МЛН
Nikki Mbishi afunguka ya moyoni kuhusu mziki wake
10:44
Tizneez Tv
Рет қаралды 13 М.
GongaTv Hip Hop Cypher - Back To S.U.A Edition 1
6:31
GongaTv
Рет қаралды 1,6 М.
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - UNTOUCHABLE
11:11
EastAfricaRadio
Рет қаралды 148 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 28 МЛН