Kweli pasipo kujitolea Kwa Mungu 💯 ,shetani atatumeza tukiwa hai,barikiwa Mtumishi
@ufalmewamungukwawatuwotetv37143 жыл бұрын
From BURUNDI nafuatilia sana shuhuda mbalimbali za channel hii ili nikuwe mtu imara katika Imani ya Yesu Kristo.
@fefedordjuma70933 жыл бұрын
Mi pia ni wa Bujumbura kamenge
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Mmmmmh Mungu tusaidie Baba hatuwezi peke yetu
@ngendakumanalewis14722 жыл бұрын
NGUVU ZA MUNGU KU WAKRISTO HUUTENDA KAZI KUPITIA NJIA SABA 1)Matendo mema (mawazo,maneno..) 2)Imani kwa Bwana YESU na kudumu katika maombi 3)Imani ya nguvu ya damu ya YESU 4)Kufunga Mara kwa Mara 5)kushirikiana na wangine katika maombi 6)Kumsifu MUNGU kwa nyimbo na kufatilia mafundisho ya neno la MUNGU 7)Ujuzi wa neno la MUNGU Hiyi nimeipata 5/5
@ndabatezebipemacho97243 жыл бұрын
Kaka mungu akubariki sana kutusimulia Ushuhuda huu mungu akubari nafwatilia mwanzo adi mwisho nasema mungu tuu aturehemu hatuwezi kumushinda shetani bila yesukristo Amina
@wililoatu9893 жыл бұрын
MUNGU nirehemu naomba upako wa Roho Mtakatifu dhidi ya kushinda dhambi uwiiiiiiiii MUNGU nisaidie kushinda vishawishi
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Amen
@myself41283 жыл бұрын
Nakubaliana na ushuhuda wake mwingi nimeusikiliza ktk English Version Sikubaliani na habari za mafuta yake tuu,Alikuwa kwenye brotherhoods za occultism kama freemasons,iluminat n.k wachawi wamegawanyika sana huwezi sema wakristo wote wapo chini ya Papa kwahiyo alitawala katika idara yake
@mariachannelke97693 жыл бұрын
Tafadhari kama ushaweka parts zote hapa KZbin pls it’s good to put their links ya inayo fuata kwa kila part....mimi natafuta na sizipati kabisa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪pole kwa kukupa kazi ngumu
@jayneeeeeee3 жыл бұрын
You go to the main channel and then to playlist
@mariachannelke97693 жыл бұрын
@@jayneeeeeee on this testimony all parts still dnt appear....or have u seen part 8?
@monicahnjeri257 Жыл бұрын
Glorly to God
@selemanmwaisela47333 жыл бұрын
Eh mungu turehemu. Nisamehe san ubarikiwe mtumishi unazidi tufungua kwa mengi
@leaharusei51313 жыл бұрын
I learned a lot about Christianity may God have mercy on earth,
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Eee Mungu turemu
@selemanmwaisela47333 жыл бұрын
Amina 🙏🙏🙏
@everlinekemunto27003 жыл бұрын
Mungu akubariki, nimeanza kuomba mungu msamaha
@myself41283 жыл бұрын
Unapenda sana uchawi?
@everlinekemunto27003 жыл бұрын
@@myself4128 hapana hujanielewa, mimi ni vile amesema kwamba ikiwa ni mtu wa kuomba uombe ya ukweli, na uokoke cha ukweli
@dianamwaijumba83993 жыл бұрын
Mungu atusaidie tukue kiroho ili tupate nguvu za kumshinda shetani
@plastidiacasmiry2234 Жыл бұрын
Msimuliaji ameteleza pale alipo nukuu " warumi 6:16"...alimaanisha kutokana na maelezo yake " 1corithian 6:16".