Reality, Confidence and his fact... he's a GOAT at this f new s generation.. niguhh goatted
@EdwardSamson-uf1ee8 ай бұрын
"six years to five years" hii generation hapana. huwezi kuwa na generation ya 5 years !! to be generation atleast ani atleast iwe 10. we know within ten years atleast we can have a new person with different view and ideas. huwezi kuwa na generation ya miaka 5 au 6. after all S2KIZZY is very Good.
@denniskasela48 ай бұрын
Wapi mocco genius 💥💥
@godfreydavid68478 ай бұрын
Jisifie mzee....Unajua saaana
@saidthuwein79508 ай бұрын
I like the fact that he used facts on adressing his point
@johmziwanda9858 ай бұрын
Mi namkubali Tuddy thomas, ila zombie ana hits nyingi sana kuliko producer yyte hpa bongo. Abbah aweke fact asirukeruke km bisi jikoni.
@essah___8 ай бұрын
S2kizzy Zombie 🧟♂️ sio
@diinshunu77308 ай бұрын
S2kizzy anastahili tuz0 maanake nakubalii kafanya c0meback ya wasaniii wengine..... Kua na uhakika hakutakua na s2kizzy mwingine tena 💥💥
@ngoyaboy15908 ай бұрын
S2kzy sio mwaisa
@richkaja33178 ай бұрын
S2kizz anapenda sifaa minyama sanaa acha sifa
@Qqambaa8 ай бұрын
Mchizi kabonga point bro
@Kiulaini8 ай бұрын
Asa kwenye my generation am g.o.a.t hiyo point sijailewa coz g.o.a.t means greatest of al times means ni generation zote hakuna story za generation yangu😂😂 ukisha jiita goat then means ni generation zote I think alikua asema in my generation am the best producer..au angesema one of the greatest producer of all time.. coz huezi sema am the g.o.a.t Kisha useme majani ni generation tofauti.. that’s my opinion
@MaldyMaldwex8 ай бұрын
Iyo sio maana ya goat...iyo ni maana ya legend broo...goat ni kama king wa mda flani
@Kiulaini8 ай бұрын
@@MaldyMaldwexdo you understand the meaning of goat? Hiyo ni short cut ya greatest of all time sasa itafsiri greatest of al time kwa Kiswahili maana yake ni ukubwa au ubora wa hali ya juu kwa mda wote.. sasa kama ashakubali kuna kina majani wapo juu yake vipi yeye atakua goat? Na amekubali mwenyewe so Right Word angetumia one of the goat sio am the goat in my time wakati goat ni greater of all time
@d.shotit78558 ай бұрын
Haujui😂
@devisshirima67808 ай бұрын
Pride will make you flow like a feather, likewise dowfall can be as quick as coconut falling on a concrete surface. Always be thankfull to God of who you are, dont mention of yourself (Me), I actually mean you , whatever that you did and get a big name be thankfull to Master (God). Remember that !! Wisdom is not to answer to anyone who said something negative, let your good work speak itself than taking a lot of energy and time trying to express what you do!!! Let nature of your work take place !! Remember also exposure of working with big names artists is the one that gives you the name that you are proud off. Anyone who worth to be a producer, if they could've exposure like you do could have a big name as you do !! Just keep quite bro focus more on what you do and not on what your opponents said !
@caidobeats8 ай бұрын
Noted big man!
@jameskilasa7598 ай бұрын
Kwann camera hazitembea kwa mtu anaeongea?
@ismailahmed87288 ай бұрын
Weeh zombi wee weeh huogopi😂
@thehustlerafrica8 ай бұрын
We Zombie,haujui😂😂
@giddie_barnabas8 ай бұрын
Confidence ya s2kuz ndo inatakiwa kwenye kaz kajitosheleza
@rennydsollo77917 ай бұрын
Adam kmmk kweli😂😂 eti amber kapata mimba na ndo mambo zake Zombi, Hajatuwakilisha Kama Taifa...
@mnyamwezitv3828 ай бұрын
Hivi NAHREEL
@yoramswagala67158 ай бұрын
Laizer ndio baba wa maproducer
@ombeniruvubika53928 ай бұрын
Zombie ni mkali sn. Hakuna anemuweza East Africa nzima.
@BHALEEALI8 ай бұрын
FACT
@godfreysiame11968 ай бұрын
Kaka Unatisha Sana Wa Nyumbani
@Official-bataboy8 ай бұрын
Zombie anataka kung'ata ohoo😂😂😂
@julianmsele38808 ай бұрын
HII NI PLAN HATA MAPRODUSER PIA NI MAARTIST , SHIDA HUWA MIDIA HAMUWAHOJI HICHI ANACHOFANY S2KIZY NI KUFANY MEDIA ZIWAJUE KAMA NCHI ZA WENZETUU WAAMSHEE CHALII
@selestinokazumba8 ай бұрын
Abbah anachakujifunza apa n shabiki kama sisi tu hamuwezi Zombie😅😅
@Aleckieofficial2548 ай бұрын
Kijana amebebwa tu naondi hakuna Tena kazi ingine Ako nayo anaeza vimba nayo
@YahyaSalum-e2n8 ай бұрын
Sema usijitape sn maan simba haaminiki mara paah kakuacha mkon na akukuachamkon yule hee km umetemw walize wenzio
@evansmumo39218 ай бұрын
Amapiano zikiisha (na zimeanza kuisha) ataenda wapi?
@Qqambaa8 ай бұрын
Jamaa ni fundi kama anaeza fanya beatbox basi anaweza kufanya style yyote
@Qqambaa8 ай бұрын
We zombie haujui 😂😂
@ndarnationsoundtz8 ай бұрын
Aya clouds machoko kweli labda mi na ally mengne machoko tuu
@AdolpheBahininwa8 ай бұрын
MIMI MKONGOMANI ILA PRODUCER BORA NI S2KIZZY, NA YEYE NJO AMETOWA WASANI WENGI UNDERGROUND
@kelvinmichael-cr6mo8 ай бұрын
we zombie
@mtazycomedy8 ай бұрын
Kitov cha mdada nimekipenda
@Bbwaoy8 ай бұрын
As long as kaweka facts. Then He deserves it… maneno bila facts huta eleweka.
@InnocentPeter-o6z8 ай бұрын
Tupo sahihi zombieeer
@MakoyeBq8 ай бұрын
S2kizzy apewe maua yake kazi anapiga
@IrfanIdriss8 ай бұрын
p
@mtazycomedy8 ай бұрын
Nisiulize kali jaman
@chibudangote01268 ай бұрын
BRING EYO LIZER
@Ntomolapagu2558 ай бұрын
🎉😂❤🎉
@jastinedaudi-qi9vr8 ай бұрын
Mchov huy hv mbn km mvuta bangi ayupo smart
@johnphilipo67608 ай бұрын
Humjui Adam wewe yupogo hivyohivyo always ila pia ni mtu wa masihara/utani sana
@Kushgang-cr4pv8 ай бұрын
mchomvu yup lil
@hudhaimarajab91038 ай бұрын
Abbah ni producer bora tz usiongee pumba broo sema ww unajiona bora kutokana na wasanii unaofanya nao kaz ngoma zako hazina ubora ndio maan ikiingia mtaani leo baada wiki huisikii beat zako za kukopi beat zinafananafanana ....
@ChristianChuwa-cy1du8 ай бұрын
Abbah kafanya ngoma gani international leta fact alafu utulie
@niffonlinetz72148 ай бұрын
LETE HIT ZAKE TUZIONE
@carlossabbo11848 ай бұрын
Wewe kakojoe ulale hyo abah Ana ngoma gani hits za kimataifa achana na S2kizy 🔥
@mgejadldm18 ай бұрын
Huyu jamaa ni shabiki wa Abba ila kwa wasio mashabiki S2kizzy ana talent
@hallaboy81918 ай бұрын
Wewe zombie angaa nyengine antie
@BHALEEALI8 ай бұрын
mbona Dazen kama hana furaha hivi nini tatizo?
@kaJEMBEvip8 ай бұрын
Dazen amepoa alafu kama amepungua ivii
@AldofNyankena8 ай бұрын
Kaka mchovu samahan kama nakukwaza funika kichwa hicho
@Kushgang-cr4pv8 ай бұрын
acha ujinga,kila m2 anahaki ya kuishi apendavyo ilimladi havunji sheria
@AdolpheBahininwa8 ай бұрын
NGOMA ZA S2KIZZY NDO NGOMA KALI TUUU
@producerdrannoh8 ай бұрын
Kuwa na hits haimaanishi ye ni bora.abbah is way better na hizi nyimbo s2kizzy ana produce zinakuwa mixed and mastered by lizer s2kizzy hajaiva mixing bado
@edgarivan63448 ай бұрын
hata Abba anamix the mixing killer.. hapo cjaelewa point zako, tuzo pia inaonesha ubora. Na hit songs zinaonesha ukubwa, aliye produce Despacito ikahit dunia lazma ajisifie.
@MfizoCrypto8 ай бұрын
Yèah men Yeah Men usenge mtupu ,ongeeni lugha ya Taifa na mrudishe mziki wetu
@fahadbabuy8 ай бұрын
No hate mzee…hakuna research yoyote presenter aliekuwepo hapo…hata wikipedia hakuna ukweli wa anayosema kuhusiana na grammy(unapinga nenda kaprove) s2kizzy anaongea sababu mko busy na cheni zake…you cant do the math😂😂mashabiki wa mziki wanauchambuwa mziki kikikikikikikiki🏃🏽🖕🏼