Ahsante sana Mr kwatuzinduwa maana nilikuwa mwanzo sijui ila sasa nishajuwa ubarikiwe kaka Joel Arthur Nanauka
@AllyPeter-f8z2 ай бұрын
Asante sana napata elimu kupitia mafundisho yako
@amanjeremiah2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi,umenisaidia sana kubadili fikra zangu kifedha.
@joelrugembe3982 ай бұрын
Nilianza kuweka akiba baada ya kufuatilia mafundisho yako barikiwe sana
@Malupexx2Ай бұрын
Ubarikiwe en mtumishi.
@JorasMasanja2 ай бұрын
Mm naitwa joras m nakuelewa sana mtumishi Mungu akubariki
@BargainPetrolshopАй бұрын
Mungu akubariki mtume kwamafundisho yako
@IBRAHIMMLOKOTE-v4c2 ай бұрын
Barikiwwa mtumishi wa Mungu
@davidarsen23922 ай бұрын
Amina mtu wa Mungu Nanauka navutiwa sana na ww na elimu yako pia I can reach there one day
@SelemaniMlekwa2 ай бұрын
Naongezeka sana kujielewa kupitia ww mungu akutangulie kwani wengi wetu hatu kufanikiwa kupitia hapo lakin kupitia mafundisho yako naamini kwangu mm nitafauru
@pallangyofamilyАй бұрын
Barikiwa kaka
@hildamushashu5056Ай бұрын
Uko sahihi kabisa,amen.
@demelody59282 ай бұрын
Nakukubali kaka.
@OfserGege17 күн бұрын
Mustafa shomali nimekuelewa kaka
@BargainPetrolshopАй бұрын
Vijana wengi tunaogopa kuanza upya maisha kwajiri tunaogopa watatuonaje watu
@siliviasimon79702 ай бұрын
Barikiwa sana
@ExaudiMbilinyiАй бұрын
Ni mhimu kujua mwanzo mpya unavyoanza
@ElArjunPrinceАй бұрын
Ni kweli mtumishi😂
@everliute13042 ай бұрын
Nikweri wengi tunaogopa kuanza maisha mapya
@jacksonaristarick56012 ай бұрын
Great speech
@JoyceHaule-o7b2 ай бұрын
Natamani haya maneno ningeyasikia miaka 30 iliyopita nayapata uzeeni kuna mengine nilishachelewa
@miriambethuel88922 ай бұрын
Very True❤
@neemangoda19912 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI ASANTE
@Calvinswai-q9x2 ай бұрын
AMEEN
@amonmethod2 ай бұрын
Good in deed
@aderiderkihupi72402 ай бұрын
🙏🙌👏
@emmanuelmadata2 ай бұрын
Hata mie nimeanza upya kwenye biashara yangu baada yakula hasara nimejipanga upya
@esthercheupe45292 ай бұрын
umeanza upya ndugu yangu mm nimefunga biashara tangu mwezi wa 8 nashindwa kuwaza naanzaje