Sababu Ya Kumteua Sheikh Walid Ni Elimu Yake/Huyu Ni Mwanachuoni /Muft Sheikh . Aboubakar Zuber

  Рет қаралды 17,368

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@omarlee3297
@omarlee3297 Жыл бұрын
Shekh Walid naomba dua zako nipate jabo nusu ya elimu yko nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH mualimu wngu unaufasaha wa waonngezi wewe na Othman maalim maneno yenu mukiongea .maneno yenu yanapangika. M/Mungu akujaalie ww na Othman maalim akupeni zaidi ya elimu mulonayo.
@AbuuOthman
@AbuuOthman Жыл бұрын
Aaameeen yaaa Rabbal Aaalaaameen
@dinakipingo1905
@dinakipingo1905 Жыл бұрын
Allahumma Aamiin
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Жыл бұрын
Alhamdulillah tunaye mufti aalim Mahiri msikivu mbunifu Ductur mtulivu mwenye kufikiri mwenye kuthubutu Allah amjaalie subira kukitokea fitna Allah amjaalie makhraja Inshaallah
@maymgaya4192
@maymgaya4192 9 ай бұрын
Mashallah, nawapenda sana kwa ajili ya Allah ❤... Allah awatunze Mashekkh wetu🙏🙏
@hanspop6961
@hanspop6961 10 ай бұрын
Allah Akuhifadh Mufti hakika umetuleta Pamoja na kutuunganisha Waislam
@RashidSaid-t9i
@RashidSaid-t9i 2 ай бұрын
Masha allah alhamdullah ❤
@AlimiahAlimiah-k8i
@AlimiahAlimiah-k8i Жыл бұрын
Masha Allah maneno yenye maana sana hakika mufti upo sawa .mapungufu niyaninadamu Allah akupe maisha marefu ili ufanye makubwa kuwaunganusha waislaam tanzania
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Mashaa Allah kwa unyenye kevu ninamuomba Allah Allah akuzidishie Afya na umri mrefu Akupe ulinzi wake popote ulipo daima watu wakudhanie mazuri na wala wasikudhanie vibaya YA RABBI asishindwe ashinde siku zote ktk kheri ktk kutuongoza daima tepe zidisha amani ktk nchi yetu upe nguvu uisilamu uzidi kwenda mbele YA RABBI zidisha mapenzi kati yetu umoja kati yetu tumeelekea kwako tuongooze mola wetu mlezi ktk yanayo kupendeza ww tusamehe madhambi yetu ss niwakosaji tupokelee maombi yetu hakika ww ndie unaesamehe madhambi na ww mola mlezi ulisema tukuombe hakika YA RABBI unajibu maombi Amiin.
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Wallah! nampenda saaana huyu mufti
@hulkamgenihulka2645
@hulkamgenihulka2645 Жыл бұрын
Daaa❗nimepata mafunzo ..Asante 🙏
@Kibadi7
@Kibadi7 Жыл бұрын
Allah Kareem subraa ibada
@aminahkimwana109
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
Mansha ALLAH tabaraka Allah
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
Masha Allah Akulinde Allah Akbar Amiiin.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Mash Allah Allah akuweke Shekhe Walid .
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 Жыл бұрын
Mashallah, Allah awahifadhwi mashekh wetu.
@MatanoSalim-il9fk
@MatanoSalim-il9fk Жыл бұрын
MashaAllah mufti twakutambua vyema tukiwa Kenya..... Umoja ni muhimu kuliko sisi
@abdulhida8291
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Jazzak Allah kheri
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Жыл бұрын
Asalam alaykum nawapenda mashekhe wetu kwaajili ALLAH
@malimbikaelectricaltv9321
@malimbikaelectricaltv9321 Жыл бұрын
Walaykum msalam walahmatullah wabarakaatu
@hulkamgenihulka2645
@hulkamgenihulka2645 Жыл бұрын
❤Naam....Allah amtunze 🙏..
@omarlee3297
@omarlee3297 Жыл бұрын
ami
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Twayiibu. MOLA Awawafiki.
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Masha Allah
@hanspop6961
@hanspop6961 10 ай бұрын
Amin Muft
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 Жыл бұрын
Mashaalah, Mufti umeongea yote mema
@mohamedabubakar9852
@mohamedabubakar9852 Жыл бұрын
❤❤❤
@tahaddath
@tahaddath Жыл бұрын
Elimu ipo hapa,,, Allah tulindie
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Ameen
@aidarushussein7266
@aidarushussein7266 Жыл бұрын
Shekhe mkuu hukukosea Sheikh Walid anafaa kabisa.
@malimbikaelectricaltv9321
@malimbikaelectricaltv9321 Жыл бұрын
Fitna ni mbaya sana ndugu zangu tuiogope
@RukiaHawanga-qd1ob
@RukiaHawanga-qd1ob Жыл бұрын
Eeeeeh mola mtukufu unayajua yaliyo kifuani mwangu.nakukabidhi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mhh
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,8 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 1,8 МЛН
HABARI HII YA PAUL MAKONDA MCHANA HUU YATIKISA DUNIA,,WENGI HAWAJAAMINI
8:18
HISTORIA FUPI TAM YAKUJIFUNZA YA SH OTHMAN MICHAEL ATENGENEZA GARI (LIVE) SOON
34:20
LIVE: SHEIKH OTHMAN MAALIM - MAUTI
1:26:11
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 187 М.
IMAM TAGBA "TAFSIR Sourate Baquara"
41:33
BIM TÉLÉVISION
Рет қаралды 137
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН