Ukitakakuwa Mchamungu Na Walii Fanya Hivi/Kutosheka Ndiyo Hazina Kubwa Ya Utajiri/Sheikh Walid Alhad

  Рет қаралды 20,484

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Ukitakakuwa Mchamungu Na Walii Fanya Hivi /Kutosheka Ndiyo Hazina Kubwa Ya Utajiri/ Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Ukitakakuwa Mchamungu Na Walii Fanya Hivi /Kutosheka Ndiyo Hazina Kubwa Ya Utajiri/ Sheikh Walid Alhad Omar
tizama mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 29
@ummusalim1991
@ummusalim1991 Жыл бұрын
Nimeipenda ada yenu hii ya salamu baada ya swalaa.,wallahy inafurahisha na inazidisha mahabba baina yenu waumini.... Mola awahifadhi na azidi kumpa afya sheikh waliid tuzidi kunufaika na yy.... Yaa Rabb Alamiiin
@user-ml8bg7su2b
@user-ml8bg7su2b 4 ай бұрын
Mashallwa Mashallwa Mashallwa Allah awajalie mashehe wetu wafikie daraja ya mawaliii.
@mohammadkijana6618
@mohammadkijana6618 Жыл бұрын
Alahumma amin Allah atuaamehe na utuingize katika pepo kwa rehema na huruma yake
@kassimabdallahmohamed6180
@kassimabdallahmohamed6180 2 жыл бұрын
Allah amhifadhi sh waliid na ampe umri wenye kheri na barka ndani yake
@mussakatawila9408
@mussakatawila9408 2 ай бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh Walid. Allah akuhifadhi Duniani na Akhera.
@tauskhatibu4629
@tauskhatibu4629 2 жыл бұрын
Mwingi wa Rehema akurehem dunian na akheera akupe Nuru kama ya Kipenzi chake Mohammady Ibin Abdillah akupe imaan kama ya Baba yetu Ibraahmab a s a akupe aubra kam ya nabiyy Ayoub a s na akukutanishe ww na waislam pepon pamoja na wema waliotanguia Aaaaamn
@fatmahussein1238
@fatmahussein1238 Жыл бұрын
MashaAllah darsa nzuri
@khadijaabdalla5937
@khadijaabdalla5937 2 жыл бұрын
Maashaallah sheikh Allah akupe elimu zaidi na umri mrefu tuzidi kupata elimu juu ya dini yetu inshall
@tahiyaibrahim3780
@tahiyaibrahim3780 8 ай бұрын
Mashallah 🥰🥰🤲
@amirimbago8325
@amirimbago8325 2 ай бұрын
Mashallah
@fatumatandika5849
@fatumatandika5849 2 жыл бұрын
Maash Allah Mungu akuzidishie umri mrefu
@user-ju1pl7rr8n
@user-ju1pl7rr8n Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!!! Jazakallah kheir 🙏
@DarsaTV.
@DarsaTV. Жыл бұрын
shukrn
@nurahakizimana4537
@nurahakizimana4537 2 жыл бұрын
Mashallah shekhe Walid Allah akuhifadhi
@IbrahimKaranja-qu9yn
@IbrahimKaranja-qu9yn Жыл бұрын
Allah Atmjaalie awe walii man ata jna lake linaendan Kifupanajitahid mnoo kwa nafas yake
@suleimanmkono8193
@suleimanmkono8193 3 ай бұрын
mashaallah 💯
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 жыл бұрын
Allahuma maswali Allah Mohamad waalihy Jazzakumllah Khery
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 Жыл бұрын
Shukran jazakallah kheir
@mariamjaji9999
@mariamjaji9999 Жыл бұрын
Allah akuifazi shekhe walid
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@adijahmdosi5863
@adijahmdosi5863 Жыл бұрын
Jazzaka Allaah kheri 🤲💕♥️🤲
@millenniumoiltanzanialimit1265
@millenniumoiltanzanialimit1265 2 жыл бұрын
الحمدلله
@chaillahhassan225
@chaillahhassan225 Жыл бұрын
A.aleykum,shehe nashukuru,Nina majambo nayaota yananiumiza kichwa sijui nini kinahitajika naomba mawasiliano shehe nikueleze unipe mwongozo
@msakaramt6491
@msakaramt6491 2 жыл бұрын
Baada ya witiri tahajud raka mbili, Hajjat raka mbili, Toba raka mbili,Tasbih laka nne je ni sawa kuunganisha ?
@doktamathew
@doktamathew Жыл бұрын
sawa kabisaa
@ranijunior3769
@ranijunior3769 2 жыл бұрын
Hii dhikr mwishoni mwa video inapatikana katika kitabu gani?.Nimesahau mtunzi wake
@omarsaid8518
@omarsaid8518 Жыл бұрын
asalam aleykum,je ulipata ni kitabu gani nimependa dhikr?
@ranijunior3769
@ranijunior3769 Жыл бұрын
@@omarsaid8518 wallah Bado sijapata kujua ni kitabu gani
@tauskhatibu4629
@tauskhatibu4629 2 жыл бұрын
Mwingi wa Rehema akurehem dunian na akheera akupe Nuru kama ya Kipenzi chake Mohammady Ibin Abdillah akupe imaan kama ya Baba yetu Ibraahmab a s a akupe aubra kam ya nabiyy Ayoub a s na akukutanishe ww na waislam pepon pamoja na wema waliotanguia Aaaaamn
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
HIZI NDIZO RAHA ZA PEPONI - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:20:45
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 30 М.
🔴 Exclusive Bayan at Birmingham by Molana Tariq Jamil | 22 Feb 2023
2:42:17
Chunga Ulimi wako - Sheikh Walid Alhad
24:06
Kalamutz
Рет қаралды 8 М.
HII SALA YA MTUME USIIWACHE FUNGUA RIZIKI POA MARADHI BADILISHA MAISHA
1:06:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 63 М.
Sheikh Nurdin KISHKI - OGOPENI DUNIA NA WAOGOPENI WANAWAKE
1:54:42
shining noor
Рет қаралды 634 М.
صفات المؤمنين في القرآن الكريم - الشيخ سعد العتيق
3:55:31
إسلام ويب - islamwebinfo
Рет қаралды 743 М.
Парень узнал что можно спасти весь мир 😱
0:40
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 3,2 МЛН
قلدو افعالي بكل شيئ و لكن
0:55
طارق الحلبي tarik alhalapi
Рет қаралды 18 МЛН
قلدو افعالي بكل شيئ و لكن
0:55
طارق الحلبي tarik alhalapi
Рет қаралды 18 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
0:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 29 МЛН
Oh boy! Where are these steps taking me? #MonicaToy #shorts
0:30
Monica Toy
Рет қаралды 68 МЛН