Sababu Ya Mimi Kutoka Katika Ukristo / Eti Wananiita Sheitwani Mimi / Pro. Mazinge

  Рет қаралды 72,188

DARSA TV

DARSA TV

11 ай бұрын

Sababu Ya Mimi Kutoka Katika Ukristo / Eti Wananiita Sheitwani Mimi /Sisi Ndiyo Tuliyofanya Wanafunzi Wavae Hijabu Mashuleni / Pro.Habibu Mazinge
Mashaa Allah Pro.Habibu Mazinge akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Sababu Ya Mimi Kutoka Katika Ukristo / Eti Wananiita Sheitwani Mimi /Sisi Ndiyo Tuliyofanya Wanafunzi Wavae Hijabu Mashuleni / Pro.Habibu Mazinge
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 106
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 Күн бұрын
Sheikh Habibu Othman Mazinge ALLAH akuongoze. Uko katika asilimia zaidi ya 1000 ALLAH na atuongoze wote ili tusiendelee kumshirikisha mwenyezi MUNGU na DINI yetu.
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 8 күн бұрын
Sh mazinge hongera sana hakika unafanya kz kubwa kuelimisha umma MashaaAllah akubariki zaid tpo pamoja
@user-ct9qx9sx6u
@user-ct9qx9sx6u 11 ай бұрын
Amina rabbih Amina Allah Umma Amina
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 11 ай бұрын
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
Shekhe Mazinge nimecheka 😅😅. Allah akupe umri mrefu wenye afya tele In shaa Allah.
@ndayisengaamissi6102
@ndayisengaamissi6102 8 ай бұрын
😂😂😂😂🤲🤲🤲Allahuma aamyn aamyn aamyn ya Rabbala'alamin🤲🤲🤲😂😂😂😂
@abdiadan4837
@abdiadan4837 3 ай бұрын
Masha allah, jazakallah qeyr
@AA-yr7sr
@AA-yr7sr 11 ай бұрын
Mazinge Mazinge Mazinge salut💯🦾
@abdulahijuma541
@abdulahijuma541 Ай бұрын
Tarbiyyat kwa watoto wetu imezoroteshwa na Maustadh wenyewe. "Kwanini mnasema msiyoyatenda " Waislamu jifunzeni kutoa katika njia ya Allah ,sawa na maagizo ya Allah na Mtume wetu Muhammad saw
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 11 ай бұрын
Kutoa ni lazima tena kwa moyo wa kupenda.
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 11 ай бұрын
M/Mungu Anaijuwa Kila Nafsi Yenye Rehma Kwake Amiiin.
@khairiyyahsultan-vm1fk
@khairiyyahsultan-vm1fk 10 ай бұрын
Masha allah ustadh mazinge tunakupenda sana wallah! Allah akupe afya na umri mrefu wenye kher naww 😊❤❤😊 na akupe khatma njema
@user-pv2qn8qh9w
@user-pv2qn8qh9w 10 ай бұрын
Allah akujalie mwisho mwema sheikh Mazinge
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 11 ай бұрын
Mashaallah mashaallah Mwenyezi Mungu akuhifadhi sheikh wetu mazinge❤❤
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz 9 ай бұрын
Mazinge Allah akujalie uzima na afya akujaalie mwisho mwema inshaallah
@hawasalumu1374
@hawasalumu1374 11 ай бұрын
Mashaalah mungu akupe umri mrefu na afya njema inshallah
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 11 ай бұрын
Ya Allah Prof Mazinge Mungu akubariki
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 11 ай бұрын
Allah akuifadh sheikh Mazinge
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 ай бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 11 ай бұрын
Mazingi, Allah akupe umri mrefu, wenye afya na amani! Allah akujalie mwisho mwema. Mimi binafsi nimeanza ku kusikia 1990..na nimejifunza mengi kupitia mafunzo yako kwenye cassettes, DVDs, & KZbin..Allah akulipe kwahatuwa zote ulizo piga..amin ya'arab!
@ashleybeby111
@ashleybeby111 10 ай бұрын
00 00p
@ashleybeby111
@ashleybeby111 10 ай бұрын
P😊❤
@ashleybeby111
@ashleybeby111 10 ай бұрын
P
@ashleybeby111
@ashleybeby111 10 ай бұрын
Pp0pp
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 11 ай бұрын
Mazinge very funny 😂
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 11 ай бұрын
Ukweli kabisa ❤
@user-vd5em8qu6x
@user-vd5em8qu6x 11 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu Azina yetu....!❤
@mariammohammed9198
@mariammohammed9198 9 ай бұрын
Allah atujaalie mwixho mwema na sote inxhaalah
@biashaomar2367
@biashaomar2367 11 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@fatimafff3065
@fatimafff3065 10 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah 🌹
@hajilukani4769
@hajilukani4769 10 ай бұрын
Mungu akujalie mwisho mwema
@user-cf6hi1wb7j
@user-cf6hi1wb7j 11 ай бұрын
Mashallah
@ZuberGamero
@ZuberGamero 10 ай бұрын
Masha Allah Allah akupe wepes
@user-tr2bq1eb1k
@user-tr2bq1eb1k 10 ай бұрын
❤ 6:40 insha allah pro Mazingue ww ni mkar sana
@user-sm9qi6pk6k
@user-sm9qi6pk6k 10 ай бұрын
Amina shekhe
@ummysaid8273
@ummysaid8273 10 ай бұрын
Allah azidi kukulinda
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 10 ай бұрын
Amin
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 10 ай бұрын
mtume Moses fedha,mtume wakuweka pesa 😂😂😂😂😂 Myaka yote Sheikh wetu ananichekeshaga sana
@abdulahijuma541
@abdulahijuma541 9 ай бұрын
Masheikh tafadhali wafundisheni waislamu misingi ya dini yao. Hawaijui tofauti hata ya Islamu na Ukristo. Imani za baadhi ya MASHEIKH ni za kikristo tu.Kwa mfano eti Yesu yuko mbinguni na kiwiliwili chake. Kwamba Yesu atarudi duniani na kiwiliwili chake.Sasa Sasa Pastor au Mchungaji akisema kuwa ingieni katika Ukristo kwani mnamngojea Yesu ashuke, si mumkubali hivi sasa ili akija muwe mumeshamkubali1 Wafundisheni ukweli kuwa Yesu Kristo alikufa kifo cha kawaida, hakufa msalabani wala hakupaa mbinguni Mbinguni . Tafakari hayo Poa msichanganye haki na batili, ushirikina wa kutoa majini nk.
@hassansharif9216
@hassansharif9216 9 ай бұрын
Masha Allah ustadh. May the almighty Allah bless you, your family and your work.
@saidahmed9688
@saidahmed9688 10 ай бұрын
Asante sheikh othman mazinge
@daudhabona8897
@daudhabona8897 11 ай бұрын
Aslaam aleikum. Hakuna namba ya kuweza kutoa sadaka kwenye hiyo madrasa.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 11 ай бұрын
Mazinge unafanya vizuri kuwaelekeza waislamu hapo msikitini kuwa yupo mtume mwaposa ana maji na mafuta kawe waislamu wenye majini wakafukuze kupitia maji na mafuta mwamposa asingewafikia alaka hao Asanteni
@user-mw6jy1js7u
@user-mw6jy1js7u 7 ай бұрын
Allah akulipe kila la kheri duniani na akhera
@miishhassn
@miishhassn 11 ай бұрын
😂😂😂😂et na bukta na mfuko 😂😂😂😂😂kachoka kbeba mfuko akaona ajiite mtume😂😂😂
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-sg2td6qn7i
@user-sg2td6qn7i 26 күн бұрын
Mazinge maposa
@OscarMalaki
@OscarMalaki 4 ай бұрын
Mtume mnyaqxa hapana mpaka awemwarab
@khamissalim8708
@khamissalim8708 7 ай бұрын
Ameen ya rabbi
@miltonswai5102
@miltonswai5102 11 ай бұрын
Sheikh mazinge napenda kusikiliza nasaha zako ila mm sio muislam
@yusufuuamissijuma9831
@yusufuuamissijuma9831 10 ай бұрын
Unangoja nini kimbilio kubwa mwislamu ni upendo wa Mungu kwako
@aminahkimwana109
@aminahkimwana109 7 ай бұрын
😂😂😂Mwenyezi_Mungu akuhifadhi ❤❤❤
@MirajiHemedi
@MirajiHemedi 7 ай бұрын
Mazinge wewe uko vizuri na unafahamu kabisa kuwa bila Bwana Yesu hakuna wokovu, huwezi kabisa kufika mbinguni jitahidi sana kabla hujafa umgeukie kiristo bila yesu ndugu yangu pepo hakuna. Na kinachokufanya udumu ni kuwa hujawahi kumtukana Yesu. Yesu anakuita ubatizwe.
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hahahahaha
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hahahahaha
@user-uq9pv3qd9g
@user-uq9pv3qd9g 10 ай бұрын
Ishallah Mwenyezmungu akuweke
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 8 ай бұрын
😂wewe unataka mtume wa kiarabu ndiye utakaye mkubari Mazinge!
@Seifchui007
@Seifchui007 8 ай бұрын
Allah akumpe umri mrefu
@gabrielnyumba1155
@gabrielnyumba1155 9 ай бұрын
Shekh mungu akulinde akuhifadhi
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 3 ай бұрын
Mazinge hubiri dini acha wivu na uongo😂😅
@zulfajuma8394
@zulfajuma8394 3 ай бұрын
Haichekeshi
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz 2 ай бұрын
Zungumzia mambo yako acha kuzungumzia habari watu wengine
@josephbonday8510
@josephbonday8510 9 ай бұрын
😆😆😆😆😂😂😂😂...nimecheka sana,eti mitume yote IPO kinondoni
@eliamunuo225
@eliamunuo225 6 ай бұрын
Yesu (issa) una maanisha hana sababu ya kusifiwa??
@mwanajumaraso4637
@mwanajumaraso4637 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 Ай бұрын
We Lia na mwamposa ye akujibu chochote anaendelea na mambo yake
@AyshaHamza-yd7so
@AyshaHamza-yd7so 11 ай бұрын
Akili ndogo inapojalibu kujitutumua .
@prochesernest5439
@prochesernest5439 11 ай бұрын
Mazinge unafanya vizuri kumtangaza mtume mwamposa humo msikitini wakafuate maji na mafuta wakayafukuze majini yanayowate watamiminika sana kawe kwa mtume
@mustafarashid2484
@mustafarashid2484 10 ай бұрын
Kafir yule Allah atamshinda inshallah.tapeli wenu huyo anadanganya watu.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 10 ай бұрын
@@mustafarashid2484 mtume mwaposa ana Yesu kwaiyo Allah hamuwezi kwetu Allah sio muweza wa yote ni Yesu kristo tu mwokozi njoo na wewe Kwa Yesu huone umlinganishe Yesu na Allah utajua tu
@shabbymakapane
@shabbymakapane 9 ай бұрын
@@prochesernest5439. Mh. KUFURU hiyo . MATHAYO 7 : 21 - 23 Si Kila Mtu Aniambiaye BWANA , BWANA , Atakaye Ingia Katika UFALME Wa MBINGUNI : Bali Ni Yeye Afanyaye Mapenzi ya BABA YANGU Aliye MBINGUNI 22 Wengi Wataniambia Siku Ile , BWANA,BWANA , Hatukufanya Unabii Kwa Jina Lako , Na Kwa Jina Lako Kutoa PEPO , Na Kwa Jina Lako Kufanya MIUJIZA MINGI ? 23 Ndipo Nitawaambia DHAHIRI , SIKUWAJUA NINYI KAMWE : Ondokeni Kwangu , Ninyi Mtendao MAOVU, 🤣🤣🤣😜😜😜. Swali BABA Wa YESU Ni Nani Hapo ??? MATHAYO. 24 : 36 Walakini Habari ya Siku Ile Na Saa Ile Hakuna Aijuaye , Hata MALAIKA Walio MBINGUNI, Wala Mwana , Baba Peke Yake .🤣🤣🤣😜😜😜. Yaani. YESU Anajua Kuna Allah Wewe Unapinga 😬😬😬 . 24:4-5 YESU AAkajibu, A. Akawaambia , Angalieni , MTU. ASIWADANGANYE , 5. Kwa Sababu Wengi Watakuja Kwa Jina Langu , Wakisema , Mimi ni KRISTO : Nao WATADANGANYA Wengi , 🤣🤣🤣😜😜😜👏👏👏. MARKO 10: 18 YESU Akamwambia , Kwanini Kuniita Mwema ? Hakuna Aliye Mwema Ila Mmoja , Ndiye. MUNGU 🙏🙏🙏 ,
@martinmhina5596
@martinmhina5596 10 ай бұрын
Mmhh
@myself4128
@myself4128 11 ай бұрын
Unaona Nguruwe na Pombe ndio dhambi ila Kuabudu Jiwe kwa Kiarabu unaona Umesalimika😂😂😂???
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
Hii naisikia leo tangu nizaliwe,, Allah ni jiwe
@myself4128
@myself4128 11 ай бұрын
​@@RamadanPaulKumbe wanaabudu nini😂😂? unajua al ka'ba pana nini wanachoramba na kuzunguka kama sio Jiwe??kuna hadithi inasema pia Jiwe ni mkono wa.kuume wa Allah...likitoka lile jiwe hakuna ibada
@AzamuTawasili-ie7sc
@AzamuTawasili-ie7sc 11 ай бұрын
@@myself4128 kaipokea nani iyo hadithi
@Kobe_Sungura-2024.
@Kobe_Sungura-2024. 11 ай бұрын
Endeleeni Kujitoa Akili, Endeleeni Kumezeshwa Propaganda, Waislamu Wanayo Elimu Ya Kutosha Ya Dini Yao Na Dunia Yao.. Ninyi Endeleeni Na Maandiko Ya Kale Yaliyojaa Waraka Za Paulo.. Waislamu Wanaelekea Uelekeo Mmoja Na Swala Yao Ni Moja, Mungu Wao Mmoja..... Waislamu Tuko Very Smart With Uniformity... Endeleeni Kuimba, Wakati Yesu Yeye Pindi Alipomlilia Mola Wake Amuokoe Na Kikombe Cha Kifo Cha Msalabani Kwa Kusujudu, Akiweka Paji Lake La Uso Ardhini.... Ninyi Mnapindisha Kiswahili Mnasema Alianguka Chini Kifudifudi Akiomba..... Kwahiyo Mnatuhumu Yesu Alishikwa Na Kifafa... Kweli?! Tatizo La Ukristo Ni Paulo, Sio Yesu.. Tatizo La Ukristo Ni Bibalia Ya Paul Na Sio Injili Bwana Mkubwa Yesu.. Swali: Hivi Paulo Alijaza Zaidi Ya Nusu Ya Bible Waraka Zake, Alikuwa Nani Enzi Za Maisha Ya Yesu Duniani..?!
@Kobe_Sungura-2024.
@Kobe_Sungura-2024. 11 ай бұрын
​@@RamadanPaulNA NINYI MNAJUA KAMA NDANI YA BIBLE HAKUNA ELIMU, NDIO MAANA SEHEMU KUBWA YA MAFUNDISHO YENU NI KUMEZESHWA PROPAGANDA CHAFU DHIDI YA UISLAMU, ILI MUUCHUKIE BILA SABABU NA HOJA ZA MSINGI
@johngerald4677
@johngerald4677 10 ай бұрын
Nyie imani yenu iko mdomoni2
@shabbymakapane
@shabbymakapane 9 ай бұрын
Wewe Imani yako ipo Wapi ?
@abdulahijuma541
@abdulahijuma541 Ай бұрын
Elezeni mambo ya kimsingi. Hoja na dalili kuhusu ubora wa Qur'an Tukufu, ubora wa sunna na Hadithi za Mtume Muhammad saw. Pia ifahamike kwamba utume sio mahususi kwa kabila fulani bali utume hutoka kwa Allah na Yeye Humpa Amtakaye katika watu wema wamchao Mwenyezi Mungu.Kwa hivyo ondoa sharti la kabila na utume.Sio kazi yako kuhukumu kwamba kabila fulani haliwezi kupewa utume .Hilo mwachie Allah sht.
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 9 ай бұрын
Pumbavu
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 11 ай бұрын
Unapofanya matendo machafu unakuwa karibu zaidi na Shetani,mf.muhamad alipozini na maria ukimwita Shetani Siyo kosa maana Shetani ni sifa ya uovu
@yusuphmashallah3732
@yusuphmashallah3732 10 ай бұрын
Hayo umeyatoa wap toa aya tukuelew sio story
@badruseif1318
@badruseif1318 10 ай бұрын
​@@yusuphmashallah3732ndugu yangu usishughulishwe na kafiri kama huyu, mwambie aseme na ya kwao kanisa kuhalalisha ndoa za jinsia moja vipi na hili pia Ni la waislamu? Au chuki tu zinawasumbua?
@user-gv4mk9kk2c
@user-gv4mk9kk2c 10 ай бұрын
Ulitoka kwa kukosa imani ya kweli kumhusu Yesu kristo , mhubiri yoyote asiye mjua kristo atakuja kujuta kwa nini alihubiri asiçhokijua
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 8 күн бұрын
Toka uko ! Mazinge yupo sahihi
@emmanuelpeter5686
@emmanuelpeter5686 11 ай бұрын
We mzee acha chuki, wewe umeshindwa nini kuuza maji?
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 11 ай бұрын
Huyu Mzee ni matako ya nyani
@mustafarashid2484
@mustafarashid2484 10 ай бұрын
​@@vincentcharles4385kafir unaumia,na mganga wenu mwamposa tapeli cku yenu itafika inshallah
@ndayikezaoscar3467
@ndayikezaoscar3467 10 ай бұрын
Mimi ni Mkristo jina langu OSCAR. ila nampenda sana sheikh OTHMAN MAALIM. Waislam ni ndugu, hatuna haja ya kuchukiana. MUNGU hapendi chuki. TUPENDANE WANAADAMU
@mastermurundidon1431
@mastermurundidon1431 3 ай бұрын
Sheikh Othman Mazinge,wewe niboya saaana.badala yakufundisha watu warudi kwenye CULTURE AND TRADITION according to ur CREATOR,unaendelea kuwaambia mambo ya kijinga.ALLAH huyo unae muongelea siyowakwenu huyo niwaa WARABU,wakwako anaitwa MUNGU,for that reason back to ur roots (Ancestors),acha ujinga.
@rangos4749
@rangos4749 10 ай бұрын
hakuna muhubir wa kiislam aliyezidisha uwongo kma huyu bwana, hiv kanisa kuchangisha milion mia 8 mosh kapata wapiii, hayo maneno yoote aliyoongea hapo hakuna hata neno moja la ukweli,kma mnahis napinga bas mtafuteni awaoneshe hyo clip inayoonesha hivyo maana kma kanisan haingii sasa hyo habar kaitolea wap? waislam kusema uwongo kwaajir ya allah imeruhusiwa so sishangai ila nasikitika kwa waislam wengi kuamin haya mauongo ya huyu bwana
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 10 ай бұрын
Watu kama hawa ndio wanarudisha Waafrika Nyuma. Wakiwa Wakristu wanakuwa na Uzungu zaidi kuliko wazungu wenyewe, wakiwa ni Waislamu wanakuwa na Uarabu zaidi kuliko Waarabu. Tatizo letu ni Ufuska wa Akili na Elimu Ndogo.
@abdulahijuma541
@abdulahijuma541 Ай бұрын
Islamu hairuhusu kusema uwongo. Hakuna aya yoyote ya Qur'an Tukufu inayotuagiza kusema uwongo katika hali yoyote ile.Mtume Muhammad saw hajawahi kusema uwongo hata siku moja. Bali Watu wa Makka walimjua kuwa yeye ni Alamiin na Assadiik yaani Muaminifu na Mkweli. Wanaosema Uislamu unaruhusu uwongo basi hao sio wafuasi wa kweli wa Qur'an Tukufu wala wa Mwenyezi Mungu.
@user-sp8yr3cu6n
@user-sp8yr3cu6n 10 ай бұрын
Akupe maisha marefu siha napepo❤❤
@AzamuTawasili-ie7sc
@AzamuTawasili-ie7sc 11 ай бұрын
Allah akulipe Kila jema shekh wangu
@user-pv2qn8qh9w
@user-pv2qn8qh9w 10 ай бұрын
Allah akujalie mwisho mwema sheikh Mazinge
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 16 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE
31:10
UWEZO WA NDACHA KATIKA KUJIBU MASWALI YA HAINA YA MTEGO  KATISHA ZAIDI
13:38
MUKIONA MTU ANAMTUKANA MAMA AKILI HANA - PROF MAZINGE
6:08
MAKIR ONLINE
Рет қаралды 139 М.
Waka waka #4 🤣 #shorts
0:15
Adani Family
Рет қаралды 15 МЛН
Детство злой тётки 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 3,4 МЛН
Дымок или Симбочка?? 🤔 #симба #симбочка #mydeerfriendnokotan
0:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 2 МЛН