SWALI GUMU KWA MAZINGE NA WAISLAMU: MUHAMMAD ALISALI NA VIATU, NYIE MMEPATA WAPI AMRI YA KUVIVUA?

  Рет қаралды 305,935

Advent Sound TV

Advent Sound TV

Жыл бұрын

Mdahalo uliofanyika Tanga Tarehe 2 Hadi 3 Feb. 2023.

Пікірлер: 437
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 9 ай бұрын
Nampenda prof.Mazinge Allah akupe pepoo ya ngazii yajuu kwakweliii.....ana Experience Saana na hawo watu
@v_simon2677
@v_simon2677 6 ай бұрын
Mazinge ni ujanja ujanja usiokuwa na ukwel wote wote
@moramtanga-dar7372
@moramtanga-dar7372 Жыл бұрын
Mazinge proffesa dah Toca nimtambue nilikuwa mdogo Sana Allah ampe Long life
@user-wi9zi1wm3m
@user-wi9zi1wm3m 2 ай бұрын
Yesu ndiye jia ya kweli na uzima wa milele
@sakinahassani1455
@sakinahassani1455 7 ай бұрын
MashaAllah,, Mazinge Allah akupe mwisho mwema
@johnatika5657
@johnatika5657 8 ай бұрын
Mungu ana haja na moyo c viatu,Bwana yesu asifiwe
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 ай бұрын
Masister wanajisitiri sana
@saudaumar3354
@saudaumar3354 7 ай бұрын
mazinge azungumza ukweli kuhusu quran.mashallah Allah barik
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 6 ай бұрын
Hawa watu hawako tayari kuamini kuwa yesu ndie bwana na mwokozi wa maisha yako
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 4 ай бұрын
Kiukweli ndugu zangu mgesimama kuhusu kuwafundisha watu kuhusu njia ya ufalame wa mungu na si kubishana kwa ajili ya utukufu wa mungu mungu ndyo alileta hao watume wake na kila mtu ana haki ya kumuamini mungu kwa njia ya mitume hao
@husseinguyo4929
@husseinguyo4929 Жыл бұрын
Professor mazinge Allah akupe maisha mrefu
@kimanidatch6096
@kimanidatch6096 8 ай бұрын
Mazinge siyo mwalimu ni mkosoaji tu...Wala hawezi kusaidia WATU...Mazinge okoka tu,,MPOKEE Yesu KRISTO,,Kwa MAANA ukweli unaujua vizuri.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
Na Akienda Nyumbani roho inamsuta ,Na Ipo siku atakutana Na Yesu live atatuhadithia
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 3 ай бұрын
Wewe ni kichaa
@SaalimmodyAbubakar
@SaalimmodyAbubakar 3 ай бұрын
Wew umelewa
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i 2 ай бұрын
Kafiri ww uokoke ww unaemuabud mtu katahiriwa govi
@legendaction202
@legendaction202 Ай бұрын
Kwani ww ni uluminati mpaka wataka mazinge aingie kwa dini yako ya uluminati
@UwimanaAzzia
@UwimanaAzzia 3 ай бұрын
Mashaallah Allah akutuhifadhiye kiongoz mazinge
@ipyanapaulo4774
@ipyanapaulo4774 Жыл бұрын
Safi sana walimu wa kikristo mbarikiwe sana
@mohammedal7864
@mohammedal7864 9 ай бұрын
Safi kwa lipi wanajikanyaga tu nyie badilikeni huo sio ushabiki wa mpira mtajuta siku ambayo hayatowafaa majuto
@bekamwaba3571
@bekamwaba3571 8 ай бұрын
Wabarikiwe kwa kupotosha watu? M.Mungu hapendi uongo kama vyenye nyinyi wakristu mnafikiria
@elikinebeni4683
@elikinebeni4683 8 ай бұрын
@@bekamwaba3571 wao na Muhammad Nani muongo,
@paullazaro3127
@paullazaro3127 7 ай бұрын
​@@bekamwaba3571wapi kasema uongo?
@ShukuruMinga
@ShukuruMinga 3 ай бұрын
Mungu awabariki walimu na wachungaji Kwa kuwafundisha hawa waislam
@Mwanatwaha
@Mwanatwaha Ай бұрын
Acha ujiga dini ya kweli ni kiclam na siukristo kwahiyo mtakemsitake wislam ndodini ya kweli
@user-zv7mt2sn5h
@user-zv7mt2sn5h 7 ай бұрын
Allah akuinde professor mazinge akupemaisha marefu
@user-ot5cr4hy1c
@user-ot5cr4hy1c 6 ай бұрын
❤🙏🙏🙏✍️ Allah bless you mazinge
@AlfayoEliahu
@AlfayoEliahu 8 ай бұрын
mchungaji panga nguvu ilioko ndani ya damu ya yesu katika ulimwengu wa Roho vitu saba 7 katika damu a).Damu ni uhai mwanzo 9:4 b).Damu hua inazungumza mwanzo 4:10 c).Damu inafanya upatanisho kolosai 1:20 d).Damu inauwezo wa kufungua milango 1wafalme 18:24 ruka nenda 33 danieli 7:10 e).Damu inauwezo wakununua vitu vyote inategemea unanunua nini ufunuo 5:1-10 f).Damu inabadilisha majira na nyakati kutoka 12:1-3 g).Damu inabeba tabia mwanzo 19:36-38 mungu alimtoa yesu kafara ili atupate sisi ndomaana damu ya yesu aifanani na damu yoyote 1petro 1:18-19 matendo ya mitume 5:1-10
@BenardLazaro-nl6oy
@BenardLazaro-nl6oy 4 ай бұрын
Very good my teacher very nice
@magrethlubimbi4055
@magrethlubimbi4055 10 ай бұрын
Waislam YESU ATAWATENGENEZA TU
@halimahalifa
@halimahalifa 3 ай бұрын
You know nothing
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 8 ай бұрын
Allah Akbar ♥️♥️♥️
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Allah akbar Allah akbar
@OMARYKAHUNGO-mn4mf
@OMARYKAHUNGO-mn4mf 5 ай бұрын
Allah awape viongozi wetu afya njema ili kuweka wazi yaliyofichika
@saidmasoud-vv1io
@saidmasoud-vv1io Жыл бұрын
Mazinge Allah bless you🙏🙏
@jasonirakoze-jk9ic
@jasonirakoze-jk9ic Жыл бұрын
Tafsiri za mameno ya Mungu anatambuwa na wenye wanaongozwa na Roho mtakatifu,waislam watumiya ujuzi tuu ,ila Roho mtakatifu hawaana
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
Roho mtaka vitu ama roho mtakatifu we kafiri
@mobigo2unlocker-iv7kn
@mobigo2unlocker-iv7kn 8 ай бұрын
Kama utatubu nimekutabilia njaa juu yaako amen
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 8 ай бұрын
​@@mobigo2unlocker-iv7kn😂😂😂😂😂 mtajpa uungu na bado ety njaa kal
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 7 ай бұрын
Wewe unajua maana ya roho mtakatifu au Unafikili roho mtakatifu ni Kama mnavyo jazana matangopori.
@user-ik8yg4gx4g
@user-ik8yg4gx4g 5 ай бұрын
MWANA YESU ASIFIWE ONGELENI KUFUNDISHA
@SalimuKavughe
@SalimuKavughe 5 сағат бұрын
Allah awaonhozi wakristo mutoke ndani ya ujinga
@user-kz2lp9lv7i
@user-kz2lp9lv7i 4 ай бұрын
Mazinge Allah akupe maisha marefu, ili wapuuzi wanyookee
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Allah na mazinge wenyu ni comedian
@NditimanaEmanweri
@NditimanaEmanweri 3 ай бұрын
Mash Allah shehe wangu hapo endelea kuwakomesha
@user-ze4su9pg3o
@user-ze4su9pg3o 22 күн бұрын
Uislamu ndiyo dini ya haki Allah tujaalie tuzidi kuupenda uislamu aamiin
@JasminWilberd
@JasminWilberd 4 күн бұрын
Pro mazinge ALLAH akupe umri mrefu ili uwaonyeshe njia ya haki na kweli
@karenzifaustin2177
@karenzifaustin2177 7 ай бұрын
Wasabato wanaijua biblia sana
@user-uf6rp7pp2l
@user-uf6rp7pp2l 7 ай бұрын
Waislamu tunahitajika sana kuisoma dini ytu na kuielewa kabla ya kuizungumzia hasa ktk mazingira haya ya mihadhara, kuna ubabaishaji mkubwa unaonekana ktk ujibuji wa maswali kwa masheikh kiasi kwamba mtu mwenye uelewa wa dini anashangaa kwa namna swali linavyojibiwa. Nasaha zangu tumche Allah na tujikite katika kuisoma kwanza dini kabla ya kuizungumzia. Wallahu-aàlamu.
@gwijitv
@gwijitv 4 ай бұрын
Uko sahihi, unajua Elimu dunia nayo ni muhimu sana, ili mtu uwe na uelewa pia,
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
Lugha ya kigeni inatumika na Watu hawajaenda kusoma wataweza kujibu??hapo ndo wanawauza
@babyakasha4002
@babyakasha4002 Ай бұрын
umeongea point kubwa mnoo.
@user-sg6iy4kv4y
@user-sg6iy4kv4y 4 ай бұрын
Dini ya haki ni uislam hapa dunian mpaka kwa mungu mungu ni mmoja
@nourdinpro
@nourdinpro 8 ай бұрын
Aendeleye kupumzika milele Yahya msomaji
@user-ot5cr4hy1c
@user-ot5cr4hy1c 6 ай бұрын
❤🙏🙏🙏✍️mazinge Allah bless you
@TherenceNishemezwe
@TherenceNishemezwe 2 күн бұрын
Manshallah
@aminasaid5097
@aminasaid5097 Ай бұрын
Allah akubalik can
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 8 ай бұрын
Hili limezungumziwa kwenye Mathayo 24 ,Unabii wa Yesu Kristo dalili za nyakati za mwisho "kutakuwa na Vita " ,Vita hivi ni vya kiroho (Vita vya Mafundisho) - Imani ya dini flani dhidi ya Imani ya dini flani , Pia akasema watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe kwa kuzifurahisha nafsi zao. KUWENI MAKINI NA WATU HAWA .
@NancyBunja-gd5vz
@NancyBunja-gd5vz Жыл бұрын
Wachungaji mjichunge xaaana na hao waislamu. Kwani wako n mzaha mwingi na neno la mungu
@user-yl7zp6dd1d
@user-yl7zp6dd1d 8 ай бұрын
Mashaallah kheykh 🎉
@SaleheAmiry-mx1yn
@SaleheAmiry-mx1yn 25 күн бұрын
Mashaallah
@user-dm6ol8cc7j
@user-dm6ol8cc7j 8 ай бұрын
Only Jesus is truthfuly no one else
@abbastetere653
@abbastetere653 6 ай бұрын
Boo ni
@AdamuJumane
@AdamuJumane 2 ай бұрын
Dini ya kweli na ya haki ni uislam
@mussacharles5311
@mussacharles5311 8 ай бұрын
Amina
@nayeemn9275
@nayeemn9275 7 ай бұрын
Takbiiiiiiiiiiiir
@NtezimanaLubhingagiza-us2iz
@NtezimanaLubhingagiza-us2iz Ай бұрын
Hongereni wachungaji wetu
@Mjdlvt-ug4en
@Mjdlvt-ug4en 6 ай бұрын
Amina Amina
@MathewMaliva
@MathewMaliva 2 ай бұрын
Seventh day Adventist church is a ministry of truth
@MaryamShafii-v1y
@MaryamShafii-v1y 17 күн бұрын
mungu anataka moyo wako yaani ufupi ni kuwa ukitakaswa ndani,umetakaswa nje pia
@rhiophiri6857
@rhiophiri6857 6 ай бұрын
professor Mazinge you are indeed the professor, the pastor has failed beyond Lamentation
@JohnMashamba
@JohnMashamba 4 ай бұрын
Biblia inaponyaza Mungu ni Mungu wa amani si Mungu wa machafuko,Mungu awabariki.
@user-zw8sx1lk9f
@user-zw8sx1lk9f 3 ай бұрын
Mungu ipo moyoni amini mungu washa wasiwazi
@AliMohammedAli-ms5zu
@AliMohammedAli-ms5zu 3 ай бұрын
Good thing congrat
@lizndunchez720
@lizndunchez720 6 ай бұрын
Waisalamu mnaujinga sana ntna mna utoto sna ata mkipewa maswali z ukijinga sna mnauliza swali ju y swali alfu swali moja 😊😊
@halimahalifa
@halimahalifa 3 ай бұрын
Acha k2kana waislam yes so mng kma kwl mum mbn akli A mng amsaidie asisulubiwe
@Mwanatwaha
@Mwanatwaha Ай бұрын
Achaujinga wewe dd😊😊😊😊😊
@bekamwaba3571
@bekamwaba3571 8 ай бұрын
Pastor muogope Mungu haki. Wacha kuzua kwa kutetea uongo ulonao kwa kusudi la kumtumikia shetani. Msiwapotoshe wenzenu ilhali ukweli mnajua ila mnaficha ili mpate wafwasi ndo mpate mkate. Bila hiyo kazi ya kudanganya wenzenu M.Mungu bado atawapeni rizq zenu tu
@user-oj1dv7ci1v
@user-oj1dv7ci1v 8 ай бұрын
Amina mungu awabaliki sana mchungaji
@baumaeddytoutestprophetiqu6322
@baumaeddytoutestprophetiqu6322 6 ай бұрын
Anayezani anasimama kumbe ameanguka! Nyote hamusheriya sababu hamujaamini Mungu. Munapenda kujionesha tu kwamba munaujuzi zaidi. Mungu hatumiki na kicwa ila na roho kwa tarifa yenu wote hapo
@Abdulhamid_Suleiman
@Abdulhamid_Suleiman Жыл бұрын
Allahu Akbar M.Mungu ni Mkubwa wakristo hawana ushahid wanazunguka zunguka tu kama Saa ya Ujiti...
@gigimarco2592
@gigimarco2592 8 ай бұрын
Mohammed alikua Shetani wale walio kataliwa na Mungu.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
Huna hata aibu
@MICHEZODAIMATV
@MICHEZODAIMATV Ай бұрын
Nipe haya kutoka kwenye kitabu cha kislam inayosema mvue viatu
@binseif2216
@binseif2216 3 ай бұрын
Am proud to be muslim tunahoja za msingi nahakuna atakae tutoa kwenye mstari
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 Жыл бұрын
Hilo sio.swali gumu Kwa waislam wakristo mnatapatapa sana
@eyesonsecurity8384
@eyesonsecurity8384 7 ай бұрын
Ameen
@user-ws8yb8xu4o
@user-ws8yb8xu4o 7 ай бұрын
Amen
@MeneMhepela-hq4of
@MeneMhepela-hq4of 6 ай бұрын
Mungu anaangalia mayo mazinge saw
@baumaeddytoutestprophetiqu6322
@baumaeddytoutestprophetiqu6322 6 ай бұрын
Shika sana ulicho nacho. Hata siku moja hamuta elewana. Foot ball na hand ball hamuchezi match moja. Nyiye wote wanadimi tu, ila hamujuwi Mungu, hamujuwi neno la Mungu hata. Yaani Mungu awajaliye neema tu, ndio nawaombea
@mutulaObedi
@mutulaObedi 3 ай бұрын
Nafikiri Musingi ya manambi na mitume si viatu' naikiwa Mungu alimwambiya Musa vuwa viatu ilikuwa nineno maana kila mara Mungu alitumiya mifano' naye yesu ivyo ivyo' yani kuvuwa viatu niko acha zambi hii ndiyo maana yake' yani kwa wa eslamu na kwa wa kristu tunaomba sote tuvuwe viatu tukaache zambi tu mwamini kristu yesu kristu wapendwa
@ShebeAlawi
@ShebeAlawi 6 ай бұрын
@user-dl1dy6fo1j
@user-dl1dy6fo1j 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@NaimaSalim-hv6bd
@NaimaSalim-hv6bd 9 ай бұрын
Nawasikitikiya Sana wakiristo cz hawajui wanachokisema kama kweli nisawa kwenda kanisani uchi maana kuvaa mini troza je yesu alisema watu waende uchi kanisani🙄🙄
@user-pz3ux1np8x
@user-pz3ux1np8x 7 ай бұрын
Louvado seja o nosso senhor Jesus Cristo
@petergitonga8590
@petergitonga8590 29 күн бұрын
Nakuwaga na swali kwa wachungaji...Ndani ya BIBILIA KWA NINI VTABU ZIKATOLEWA kama Kitabu cha HENOKO???
@user-bw6il6nn7k
@user-bw6il6nn7k 7 ай бұрын
Waisilamu imeonekana kabisa wamechemka lakini wanataka kupata ushindi wa siasa ya maneno mixer kitabubu njooni Kwa yesu nyie
@isaacotieno7900
@isaacotieno7900 8 ай бұрын
hizi mijadala ni kuharibiana wakati ju hakuna mahali watakubaliana
@0fedality
@0fedality 6 ай бұрын
Mazinge hakika ni professor wa mchongo mbn anashindwa kutoa evidence
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 3 ай бұрын
Mimi Ninahisi Hawa WAKIRISTO makafiri hawajui kiswahili... 70% ya lugha ya kiswahili ni kiarabu. Waacheni Hawa majahili
@lutegomakoyeluhahula361
@lutegomakoyeluhahula361 4 ай бұрын
Mazinge acha kukwepa ukweli.umejibiwa na hutaki kukubali.tuambie Kama Hilo ni kuelimishanaaaa,au ni kubishania ili tujuwe moja.
@user-ue6iu6go5d
@user-ue6iu6go5d 7 ай бұрын
Mazinge ni mjingà sana. Ole wao anaowafunza
@safaringaku5040
@safaringaku5040 5 ай бұрын
Wanachukulia mambo juujuu. Kuvua viatu ukiingia kwenye nyumba ya ibada haimaanishi viatu alivyo vaa mtu. Bali inamaana: Yale mambo machafu uliyonayo kwa kuwaza, au uliyotenda usiyafikirie tena. Abraham aliambiwa hivo kwa maana alikuwa ameua mtu kule Egypt na akatoroka.
@ashurafarhan8335
@ashurafarhan8335 21 күн бұрын
Yaan hao wenzetu hawajui swali kazi ni ubishi mmeshaambiwa yesu sio mungu
@leilasaid3623
@leilasaid3623 4 ай бұрын
Takbiri waislamu takbiri
@UwimanaAzzia
@UwimanaAzzia 3 ай бұрын
Allahou Akbar
@Abdulhamid_Suleiman
@Abdulhamid_Suleiman Жыл бұрын
(28:54 Qur-an) These will be granted their reward twice over because they remained stead fast;they repel evil with good, and spend (in alms) out of the sustenance We provided them,
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 ай бұрын
Daaah leo nimegundua waislam elimu ni ndogo sana , huyo Musa alikuwa anachunga kondooo ndipo sauti ya Mungu ilimuita
@ibulahimuzuberi9480
@ibulahimuzuberi9480 8 ай бұрын
Yesu hakuingia kanisani aliingia kwenye sinagogi na maana yake ni msikiti na huko alivua viatu
@ConsolataKanyi-pi1uq
@ConsolataKanyi-pi1uq 2 ай бұрын
Katika kitabu kipi hicho
@IKUWASAMWEL
@IKUWASAMWEL 3 ай бұрын
Waislamu hawana hoja ni siasa tu ndio maana watu wameshajua ukweli waislamu wengi wanajiunga na u kristo
@AllanMisiko-dp5ew
@AllanMisiko-dp5ew 5 ай бұрын
Mkisto ako sawa
@Abdulhamid_Suleiman
@Abdulhamid_Suleiman Жыл бұрын
Wakristo wanakusanyika kwa hasara tu na kwa maelezo haya kanisani ni sawa na Bar tu maana ndani yake kuna walevi kama wote Innalillah wainna ilayh rajioun
@barakaanangisye4812
@barakaanangisye4812 Жыл бұрын
pepon kuna mvinyo iyo vipi😂
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 Жыл бұрын
Eti ?????muislamu anastasia na sigara mfukuni na miraa
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 9 ай бұрын
Hivi leo aje kiumbe toka sayari nyingine akae na kundi la wakristo kwa mwezi then akakae na kundi la waislamu kwa mwezi atagundua wepi kichwani hamnazo ?
@SebastianJugle-lb7ob
@SebastianJugle-lb7ob 7 ай бұрын
Msikitini kuna Malaya na wabakaji watupu
@operabetaoperabeta8813
@operabetaoperabeta8813 Жыл бұрын
Kama SISI ni safi , tumboni kuna vinyesi na ibadani tuningia navyo na Mungu anatuvumilia tunamuabuduna MAISHA yanaendelea.
@newbwejuu4302
@newbwejuu4302 Жыл бұрын
Akili mbovu
@hamidmohd8759
@hamidmohd8759 8 ай бұрын
Unaakil ww???
@JuliusKinyuanduyo-me7nb
@JuliusKinyuanduyo-me7nb 6 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mungu awasaindie wasilam kujua ya kwamba yesu ndie muokosi
@daudinyello4033
@daudinyello4033 6 ай бұрын
ILA SIO MUNGU
@samuerinyannga645
@samuerinyannga645 Жыл бұрын
waisimu..wanataka..yesu..awe..mwislamu..Mohamad..hanasifa
@hasheemcarrick3141
@hasheemcarrick3141 Жыл бұрын
Ww unafikir Yesu ni mkristo!! 😂😂
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 Жыл бұрын
Bi hadija alikua mkristo na mahamadi alikua mpagani
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Sasa km c mkristo mbona mwamkataa nyinyi
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
@C DRAMA COVERS mariam alilala na nani hd kumpata Yesu?
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 Жыл бұрын
Alafu mohamad alibadili ili kumuoa bi Khadija. Bi khadija Maana alikua ni mkristo
@peterwandena8206
@peterwandena8206 Жыл бұрын
Mpendwa wa Mungu naomba nikulainishe kidogo Ili swali la (masinge) lijibike, Yohana aliposema hanabudi kuilegeze kamba ya viatu vyake Hakumanisha kwamba Yesu alikuwa na viatu miguuni mwake",..unaposema hivyo una tafsiri ya moja kwa moja na hakuna Ufunuo wa neno hilo; sawa! Yohana alimaanisha kutosema lolote kwa Yesu! Acha ajieleze mwenyewe. "Just As simple as that"? Ni kwa sababu Yohana hakumjua Yesu, soma hapa chini 👇 Yohana 1:31 31. Wala mimi sikumjua; lakini kusudi adhihirishwe kwa Israeli ndiyo maana mimi nalikuja nikibatiza kwa maji. Inarudia Yohana 1:33 33. I did not know Him, but He who sent me to baptize with water said to me, 'Upon whom you see the Spirit descending, and remaining on Him, this is He who baptizes with the Holy Spirit.' Kuwa na vyatu na kutokuwa hiyo sio shida. Shinda ni??? {masinge} nimpinga kristo
@magrethlubimbi4055
@magrethlubimbi4055 10 ай бұрын
Kubwa ni Unyoofu wa mioyo yaani utakatifu.,hata ukiingia na viatu au kuvua viatu sio viatu sio ticket ya kuingia mbinguni ni utakatifu tuu
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 3 ай бұрын
Ustaadhi Dominick mapima
@GilbertLugonzibwa
@GilbertLugonzibwa 2 күн бұрын
Jamani mazinge maswali mengine 😮
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon Ай бұрын
Yesu alingia kanisani na viatu haina upinzanu kanisa nimkutano siyo jengo,nyumba ya ibada ambayo ni misikiti ya kitaudi hakuingia na viatu maana ilikuwa hailusiwi,Jibu ni laisi tu
@MasanjangwesaJiganga
@MasanjangwesaJiganga 5 ай бұрын
Hao hawana roho wa Mungu wala hakili za kawaida hazipo kama swali linajibiwa afu mtu anakataa majibu wahubiri kweli bila roho mtakatifu Haiwezekani maana kuna maudhi ya shetani kwa wanadamu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 7 ай бұрын
Mazinge Mzee Sasa akizidi kukosa uelewa na mambo ya masihara tu hajui na hajui kwamba hajui
@Esther-os7fi
@Esther-os7fi 2 ай бұрын
Tena sanaaa
@user-ek1ni8fn8u
@user-ek1ni8fn8u 5 ай бұрын
Haki waislamu mnakuanga na vichwa ngumu aje mmejibiwa na bado mnasema sio jibu
@ChrisPaul-vw2ts
@ChrisPaul-vw2ts 4 ай бұрын
Kweli uislamu ni ukombo.yaani mnaonyesha haya zenye zinajibu utata wenu na bado muwazushi tu.
@kalifree2855
@kalifree2855 Жыл бұрын
Yesu alikuwa mtoni wakati huo na yohana mbatizaji alikuwa hapo mtoni akibatiza sio katika mjengo wa ibada ,
@user-ue6iu6go5d
@user-ue6iu6go5d 7 ай бұрын
Mtoni akifanya ibada . Panafanyiwa ibada takatifu ni nyumba ya Bwana
@user-op9fx3by1k
@user-op9fx3by1k 7 ай бұрын
Ndio mtume wetu aliswali na viatu(khofu) Na inafaa sio kila aina ya viatu
@josephkilambo5529
@josephkilambo5529 4 ай бұрын
Simple Yesu hakuingia kanisani
@salluhimuhammed862
@salluhimuhammed862 Жыл бұрын
Kanisa tushageuza msikiti kenya uko kwa mara nyengni, bakini na kuishi na ujinga tu
@user-zk3gt9ol9h
@user-zk3gt9ol9h 7 ай бұрын
👍👍👍 good mchungaji
@wilsonlameck4046
@wilsonlameck4046 6 ай бұрын
Kumbe wakristo na waislamu wanatakiwa kujifunza kwa Yesu! Je, waislamu wanabatizwa? Maana Yesu alibatizwa! Aliwaambia wafuasi wake wajitwike msalaba wake na kumfuata,je, waislamu wanafanya hivyo?
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 56 МЛН
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
FULL MADA: JE, YESU NI MUNGU? NDACHA vs DR SULLE
3:06:22
UKWELI WA MAANDIKO MINISTRY
Рет қаралды 512
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 2,3 М.
YUPI WA KUFUATA KATI YA YESU NA MUHAMMAD: BUKAVU CONGO
1:43:34
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 13 М.
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 312 М.
UWEZO WA NDACHA KATIKA KUJIBU MASWALI YA HAINA YA MTEGO  KATISHA ZAIDI
13:38