No video

SABATO NI JUMAMOSI HAKUNA KUPINGA

  Рет қаралды 58,120

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@sospetermagobo9499
@sospetermagobo9499 6 жыл бұрын
Salim harun fuata andiko inasema Sabato ni takatifu ni amri ya Mungu fuata Maagizo ya sheria ya Mungu..Salim Harun Sabato takatifu ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu kama wewe Salim harun sio mwanadamu usitunze Sabato, lkn kama wewe ni mwanadamu tunza/ heshimu Sabato takatifu ya Bwana Mungu wako...
@bck8163
@bck8163 5 жыл бұрын
ah bwana uko sawa kabisa yesu ni bwana
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 2 жыл бұрын
Hakuna mwanadamu mwenye haki hapa Duniani wote wametenda thambi na wameondolewa utukufu wa Mungu uwe na Dini yako uwe msabato bila kutubu na kumwamini yesu bila hivyo wote ni kapuku mbele za Mungu usisome Bibilia bila kutubu maana Mungu anawajua waliowake
@puritykagendo1640
@puritykagendo1640 5 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu muumba wa mbingu na nchi. Waislamu mkubali Kristo Yesu yaishe
@hasleydavid2377
@hasleydavid2377 5 жыл бұрын
MUNGU habadiki msimfanye Mungu kuwa mwongo hakuna siku Bwana hatabadilika!
@magesajnr296
@magesajnr296 2 жыл бұрын
Barikiwa xana
@habelkalume9011
@habelkalume9011 5 жыл бұрын
Mwalimu wakiislamu mwenyewe yuandika kwa viganza akifika mbele amesahau aangalia kwa mkono.....makinikeni hapo mmepatikana
@reubenmunuo5667
@reubenmunuo5667 2 жыл бұрын
waislam mmepatikana leo
@aminamrisho7500
@aminamrisho7500 2 жыл бұрын
Sabato ileee yakwanza sabato aliyonipa Yesu mm sitaiacha
@alexzandaevaristi5842
@alexzandaevaristi5842 5 жыл бұрын
Tumwabud mungu katika roho na kweli
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 6 жыл бұрын
Inabidi mkubali ukweli kwenye uislamu hamna wokovu huko tokeni watu wa mungu
@salimwheatgrass6711
@salimwheatgrass6711 6 жыл бұрын
Bida Fumbuka UWOVU(UMALAYA,ULEVI) WOTE UNAANZA KANISANI.
@sospetermagobo9499
@sospetermagobo9499 6 жыл бұрын
Heshimuni na utunzeni Sabato Takatifu ya Bwana Mungu wenu. Sabato imefanywa kwa ajili ya wanadamu. Wanadamu woote wanatakiwa kuabudu siku ya Sabato yaani, Jumamosi.
@salimwheatgrass6711
@salimwheatgrass6711 6 жыл бұрын
Sospeter Magobo KABLA HUJAFUATA SABATO ANGALIA AMRI ZA KWANZA. =YOU SHALL NOT MAKE FOR YOURSELF AN IMAGE IN THE FORM OF ANYTHING IN HEAVEN OR ON EARTH OR ON THE WATERS BELOW.
@georgeantony3942
@georgeantony3942 5 жыл бұрын
Wakubari wapone
@breaking13327
@breaking13327 2 жыл бұрын
Good
@josephmanase3176
@josephmanase3176 2 жыл бұрын
Sabato ndio mhuri wa mungu utakao wahukumu katika kipindi cha mwisho
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 5 жыл бұрын
Yesu hakufundishwa lakini alijua kusoma na alikuwa na elimu. Muhammad hakujua kusoma wala kuandika
@aminamrisho7500
@aminamrisho7500 2 жыл бұрын
Ni sabato hata sabato wenye mwili wote hao watakuja kuabudu mbele zako ee Bwana
@wilberforceboke9716
@wilberforceboke9716 Жыл бұрын
Speed up jumamosi ni sabato
@eustina837
@eustina837 2 жыл бұрын
Sabath ndio yenyewe
@elishampoki8751
@elishampoki8751 14 күн бұрын
Siku ya sabato ni siku ya kufa,na kupumzika kabulini Yesu kristo alipumzika kabulini siku ya jumamosi Jumapili akafufuka ,lakini hatuwezi kuzibudu hizo siku maana ibada haipo katika siku Bali nikatika Roho mtakatifu,sio siku
@selestinealfonce8466
@selestinealfonce8466 6 жыл бұрын
mungu atukuzwe
@adammasunga6382
@adammasunga6382 5 жыл бұрын
umedanganya yesu wala hajagusia ujio wa muhamad
@madrasaturahmasec3496
@madrasaturahmasec3496 5 жыл бұрын
Nyinyi wakiristo nawahurumia sana..yesu na mambo yote alikuja nayo , ulikua ni kwaajili ya wana waisraeil tu. Nyinyi sijui mlipitia wapi? Na hata mayahudi hawawatabui nyinyi kabisa. Ebu endeni muubiri Israel Leo tu tuone kama hamjachampwa mawe
@rubbenndege4379
@rubbenndege4379 5 жыл бұрын
Yesu aliwaagiza wanafunzi wake "nendeni mkayafunze mataifa mkayabatize yote kwa jina la bab na la mwana na la roho mtakatifu ninyi vip?
@user-rf5tz5ft2y
@user-rf5tz5ft2y 5 жыл бұрын
Sabato ni ya all people not just esrael
@janenjenga5639
@janenjenga5639 5 жыл бұрын
Jihurumiye wewe.mimi usilam sirundi tena
@emmanuelngewa8894
@emmanuelngewa8894 2 жыл бұрын
kumbe nyie usilamu nunawahusu...si ilikuwa ya waarabu wajinga
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 2 жыл бұрын
Ivi wa Africa tatizo letu nini, tunajifanya kumjua zaidi Mungu na maovu yote yapo kwetu
@janenjenga5639
@janenjenga5639 5 жыл бұрын
Kujandiliyana nao nikupoteza wakati
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
Waislam Mohammed anawapoteza waharabu wanawadanganya nyinyi mnapotea mpokeeni yesu jamaniiiiii ata iyo Qran yenu inawaumbua
@millicentmadamyaya1608
@millicentmadamyaya1608 5 жыл бұрын
Financial Loan warudishe hiyo Quran uarabuni🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️we have our own languages...mjinga ndiye anayeacha nyumbani kwàke anapeleka sifa kwa mwingine that's nonsense tena ujinga wa hali ya juu🤦🤦🤦
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 5 жыл бұрын
sabato ni Takatifu
@teddyalex4592
@teddyalex4592 5 жыл бұрын
Proud Seventhday Adventist
@clayzakai8203
@clayzakai8203 3 жыл бұрын
i know im asking randomly but does anyone know a method to log back into an Instagram account..? I was dumb forgot the password. I love any tricks you can give me!
@thomassamuel2913
@thomassamuel2913 3 жыл бұрын
@Clay Zakai instablaster =)
@janekwada6805
@janekwada6805 3 жыл бұрын
Muchungaji kwa nini unapoteza watu kwa andiko la juma juma ni week lakini siyo ijuma. Kuna tafauti ya neno juma na ijuma, juma ni one week kwa English kwa kiswahili juma moja. Soma hiyo andiko kwa English uone kama ni Friday. Hakika siku ya mwisho Yesu atasema siwajuwi mimi. Amesema usiongize wala kupunguza badala ya kuwa mifano mema tunapoteza kondoo za Mungu. Kwali Yesu alitabiri wakati wenu. Wangi watakuja kwa jina langu watawapoteza kwa mafundisha mapotovu. Chakushangaza tena watu wote wana rundi ni kweli eti juma ni Friday 🤔🤔🤔🤔🤔🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ God in heaven have mercy on your people
@Goch46
@Goch46 2 жыл бұрын
Ni mkyuk. Kwa kikuyu jumamosi inaitwa juuma Thats where the confusion is.
@imanikabombwe8375
@imanikabombwe8375 2 жыл бұрын
Hakuna hapo mwalimu unadanganya watu. Biblia hakuna sehemu imeandika sabato ni Jumamosi.
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 2 жыл бұрын
Sabato ni takatifu mbaka siku ya hukumu
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 6 жыл бұрын
Si kweli fata sabato ya bwana
@joshuamasunga5354
@joshuamasunga5354 5 жыл бұрын
na uwatakase kwa kweli yako
@thxzbst49cnh80
@thxzbst49cnh80 5 жыл бұрын
Amen
@peterayaga1956
@peterayaga1956 5 жыл бұрын
Gospel
@josephbonday8510
@josephbonday8510 5 жыл бұрын
MAZUZU WAISLAM KAZI WANASOMEWA KIARABU HALAFU WANAKARIRISHWA BILA KUJUA KITU
@Aviero_07
@Aviero_07 3 жыл бұрын
Mbwa jiandae na jahannam mkuu..
@Aviero_07
@Aviero_07 3 жыл бұрын
Kama huamini SUBIRI UFE
@ubarikiwemtumishimsomoro2234
@ubarikiwemtumishimsomoro2234 3 жыл бұрын
amina
@naimahamada362
@naimahamada362 5 жыл бұрын
Where is mazinge?
@josephmatinde5051
@josephmatinde5051 5 жыл бұрын
Quaran 16:124,, sura gani,,,? Iyo umetaja aya tu
@markoti2279
@markoti2279 2 жыл бұрын
The biblical understanding is very low they read
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 2 жыл бұрын
Sabato ni jumatatu hakuna kupinga
@abdhillahiabeid9961
@abdhillahiabeid9961 5 жыл бұрын
Kwanza nacheka hahahaha nisameheni kama nitakuwa nimewakosea au kuudhi mtu uyu mchungaji maskini anawapoteza anajua kutoa aya kwa Al Qur'an ila sasa wasojua wanaitikia na kucheka kama huamini uyo mchungaji anawapoteza izo aya anasema kutoka kwa Al Qur'an tafadhal naomba mziandike alafu muzisome mujionee wenyewe wao hawamalizi sentence wanasoma nusu alafu wasojua wanapiga makofi maskini someni na nyinyi pia si mnaitikia tu matusi tafadhal sipendi
@doyjack95jack39
@doyjack95jack39 5 жыл бұрын
Abdhillahi Abeid wameshapotea hawa ,anakufuru saana kusema mtume n mjinga hajui kusoma wl kuandika kwaiyo n mjinga Oooh dunia imekwisha
@isaacmakokha7965
@isaacmakokha7965 6 жыл бұрын
Jinga kabsa ww
@josephbonday8510
@josephbonday8510 5 жыл бұрын
Quran 16:124😁😁😁😁😁😁😁
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 6 жыл бұрын
Hoja ikowazi sabato ni kwa ajili ya wayahudi katika dini yao
@PatrickMathias-cs9qc
@PatrickMathias-cs9qc 5 ай бұрын
Islael ni mtu yoyote anayemcha Mungu
@deboraadam4962
@deboraadam4962 6 жыл бұрын
sabato ya wayahud sii nyinyi ujinga. tupu
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂sasa kama ivyo ata Qran sio yenu ni ya waharabu ata lugha yenyewe inawashinda sasa musa ni nabii mnamuamini yy pia anaijua sabato so jibu unalo
@msabimsabi5731
@msabimsabi5731 5 жыл бұрын
soma korohani 16
@millicentmadamyaya1608
@millicentmadamyaya1608 5 жыл бұрын
Financial Loan waambie waskie na waelewe huwezi acha lugha yakwako unaenda kumtafuta MUNGU kwa kutumia lugha ya mtu mwingine tena hauijuwi🤦🤦kweli ujinga hauna dawa.... let them send that Quran back to Arabic people 🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️🛩️
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 4 жыл бұрын
Ndasha ni mbwaa haoni
@madrasaturahmasec3496
@madrasaturahmasec3496 5 жыл бұрын
Sasa wewe ...unatamani uislamu hadi umevaa kanzu, siuachane tu nasadaqa ya kanisa inayokutia wasiwasi...ju riziqi yako ishaandikwa
@timotheojoel1828
@timotheojoel1828 5 жыл бұрын
Wajinga SANAA waisilaam hawajui
@ngaritotv4784
@ngaritotv4784 5 жыл бұрын
Tumia hkima kama mkrsto halisi
@Aviero_07
@Aviero_07 3 жыл бұрын
Mjinga wewe na familia yako mbwa wewe..
SOMO LA SABATO KATIKA KORANI NA BIBILIA
27:07
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 26 М.
Mama anadai hakuna Mungu majabu ya dunia by Salim
25:50
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 15 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
MCH..MBAGA SABATO SIO SIKU TU USICHANGANYE  OFFICIAL
29:16
TAFAKARI TV
Рет қаралды 8 М.
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 821 М.
NAKURU WAISLAMU WASHINDWA KUTETEA MTUME MUHAMMAD
55:22
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 17 М.
SIKU YA SABATO NI JUMAMOSI? AU JUMAPILI? SIKU YA SABATO NI IPI? MAJIBU YOTE YAPO HAPA.
52:45
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 1,9 М.
Mada ya leo yesu ndiye Sabato ama sabato NI ya yesu
2:42:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 15 М.
MDAHALO SABAT0 KATIKA KORANI WAISLAMU WASHANGAA
26:20
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 168 М.
Mchungaji mbaga  "SABATO"
34:21
TAFAKARI TV
Рет қаралды 28 М.
MDAHALO KATI YA WAKRISTO NA WAISLAMU MUJINI KISUMU MADA MSALABA
56:27
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 49 М.
Quran imeandikwa na walevi
1:00:30
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 151 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН