Pole sana Sabina Mungu akutetee....nafahamu mlivyopendana mlipokuwa na maisha ya chini....acha Mungu atashughulika naye
@witneskihega89717 ай бұрын
Pole sana kwa maumivu dada. Ukiona jambo unatumia sana nguvu na haliwi kama unavyotaka, basi ujue yamkini hayo ndo mapenzi ya Mungu kwako. Achilia mali na maisha ya nyuma. Anza upya kabsa. Siku za mbeleni utamtukuza Mungu. Utapata amani ya roho ambayo ni muhimu kuliko mali. Geuza kisogo chako uanze maisha mapya. Maisha yatakuwa magumu mwanzoni hasa ukikumbuka mali zako, ila achilia na ujipe moyo mkuu. Nimejaribu kutizama hili jambo kwa jicho la tatu.
@redemptervictor50067 ай бұрын
Aiseee
@eliachaula65427 ай бұрын
Hakika wewe nimuungwana🙌
@Rashidmussa-m3x3 ай бұрын
Unaachaje mabilion ukaanze kijijini
@molom50277 ай бұрын
Pole sana dadangu. Ngojea tu na angalia ukiomba. Mungu atakuonyesha kitakachotokea.
@smartonlinetv51447 ай бұрын
Pole sana dada angu......hayo ni mapito tu, malipo ni hapa hapa duniani. Ni swala la Muda tuu.
@bakari-si1pw7 ай бұрын
Yeah true👂
@NoelaKitali7 ай бұрын
Mp O.ko@@bakari-si1pw
@SophiaAthumani-ri4lu7 ай бұрын
Pole Sabina nakujua sana wewe ni mpambanaji mungu akuongoze upate haki yako
@JustineWangi-j2t7 ай бұрын
Pole sana dada siku zote mungu husaidia mwenyehaki,mahakama za sasaiv ni uozo mtupu nakushauli endelea kumwamini mungu ulikuwa ufe wewe ni nema ya mungu tu .
@Onlynewupdates017 ай бұрын
Bora nipatane na mwenye zake na mimi niwe na zangu upendo tu utupnganishe mambo yakutafuta wote mwishoni ni maumivu maana anaeonekana mtafutaji machoni pa watu ni mwanaume mwanamke anaonekanaga ameolewa tu kumbe wengi ni 50/50 hakuna mwanaume mwenye pesa zake ana mke shepu au sura …wanasema ndege wanaofanana huruka pamoja ilakwasababu mwanamke anamuacha baba awe kichwa badae mwanaume anatumia njia hio kutapeli wakati utakuta apo yeye ana 45% huyu dada ana 55% yuko very calm and clear hajapanic kama anataka watu tumuone huruma …she speaks from her heart
@Ontuzu7 ай бұрын
Kwenye haya maisha usimsikilize mtu mmoja wasikileze wote yawezekana akija kuongea mwanaume aliyopitia kwa huyo mama tutabaki mdogo wazi ogopa sana mtu anayeongea huku analia au anayeongea kwa upole ni nyoka
@leokamil62847 ай бұрын
Mahakama ni mtihani tuu fedha inaongea,ndio maana nchi nzima kesi tupu watu wanalia haki hakuna
@KhadijakassimMwaipaya7 ай бұрын
Pole.sana
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
Kwani makonda aloshindwa tena? Tunalishwa matango pori na wanasiasa? 🤔
@leokamil62847 ай бұрын
@@MiriamAbdallah Watu wa nchi hii hawana thinking capacity,yaani upeo wetu ni mdogo sana.Yule alitufunga akili za kujitambua kutambua haki zetu binafsi alituweza sana akatubrainwash kuwa kibatari ndio sign ya ati Revolution wakati tuliipata kwa Wakoloni bila kumwaga damu .Hiyo ni whichkraft cos hatuko sawa.Ati unapelekea shida yule ambae yupo miaka yote Madarakani huo ni ufala. Kuanzia Mwaziri watendaji ni hao hao hivi hao wote wanaoripotiwa kuanzia Polisi nani aliwajibishwa hii ni Taktik da ku fool watu ili waamini CCM wawape kura wakisahau hawa ni hawa hawa wanajua kucheza na mind za watu.Shida wamezifuga then wanapritend ati ni watatuzi .
@katobirch47597 ай бұрын
Snake snake then you snake cut left, sheria mpya inahitajika huwezi kuwa billionaire kwa kuosha vyombo wazee wa Cuba gonga like hapa
@janethhipolite17747 ай бұрын
Mikopo jamani..Haujasikia hapo amesema walikopa milioni 250 sijui
@Rashidmussa-m3x3 ай бұрын
We utakuwa wifi
@LindaMbilinyi-n3n7 ай бұрын
Ila wanaume naishiwa maneno aiseee😢😢😢😢😢yaan ni viumbe hatar sana kwenye maisha yetu,,,,,,ndo chanzo ya kutukosesha aman
@margarethsolomon98237 ай бұрын
Pole sana mwanangu wewe. Ulipougua ndipo alipata mwanya wa kuwa na mchepuko, alidhani utakufa. Ninachoweza kukushauri, hembu mwachie hizo mali, angalia maisha mengine.Tafuta amani kwanza. Nyumba na magari vitabaki duniani huwezi kwenda navyo mbinguni. Mungu akutie nguvu na ujasiri, achilia, kama wewe ndio ulikuwa muongoza njia kwa hiyo nyumba hembu utulie utapata jibu.
@OmanOman-ns3iw7 ай бұрын
Wewe nimimi kabisa ninavyoipenda amani kuliko chochote
@ruqaiamohammed3457 ай бұрын
Akisoma hii comment naomba aitilie maanani
@OmanOman-ns3iw7 ай бұрын
@@ruqaiamohammed345 tena azingatie
@ruqaiamohammed3457 ай бұрын
@@OmanOman-ns3iw sana yan
@joycekisamo48967 ай бұрын
Wewe hujui kabisa biashara. Yaani apambane maisha yote alafu mume wake achukue kika kitu na watoto wao waishi ya umaskini?! Ebu tumieni akili. Au wewe ni ndugu wa huo mchepuko?
@tnftz14617 ай бұрын
Dada anaonekana ana hofu ya Mungu mwanaume Hana hata chembe kakamatwa na malaya😭🙌 hiv mwanamke kama huyu namwachaje jaman anavoongea kwa huruma iv🤔🤷
@agnesmartin57167 ай бұрын
Daah jaman wanaume angalie sana
@bufurechristian50947 ай бұрын
Unawajua wanawake vizuri wewe
@ahz69077 ай бұрын
Jichanganye😂
@joelnjuguna77777 ай бұрын
Jambo usilolijua ni usiku wa giza
@hyasintasilayo89527 ай бұрын
]Pole sana dad,omba kwa nguvu zote maan hakna kigumu mbele za mwrnyez Mung
@happinessakim26797 ай бұрын
Pole sana muhanga mwenzangu,,,,, mim nilishindwa kujitetea nikapokonywa kila kitu Namshukuru Mungu,,,, nlpo nalea wanangu kwa Sasa,,,, 😢😢😢
@marykennedymarwa16417 ай бұрын
Wanawake lazima tujikubali, na kujipenda . Kupewa talaka ndio mwanzo wa maisha mapya, simama na mungu atakupigania
@EvelyneMsaki-y4w7 ай бұрын
Dada weeee hujielewi wewe inaoneka una shida
@Tg.7_77 ай бұрын
Pole Sana Dada! Nakuombea umwachilie na kumtoa moyoni huyo jamaa na kumove on itakuletea shida mno na hata umauti pengine!! Move On!!
@ZakiaAhmedi7 ай бұрын
Kwel amuachiye Mungu aanze maisha umpya ajifunze kutoka kwa Queen wa dr mwaka sas hivi anaishi maisha ya amani na furaha zaid tujifunze kutafuta mali zetu wenyew 😢
@baddestgames27847 ай бұрын
Uyo mwanamke kamuloga mme wako dada angu adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie Mungu atakusimamia mamaa
@EdnaMbowe7 ай бұрын
Dada Pole Muombe Mungu wanawake tunapitia mengi ya kuumiza. Mungu akufanyie wepesi
@ssaa74957 ай бұрын
Pole sana mama, pengine Mungu amekuepusha na mengi. Kwa sasa hivi wewe Sali sana mtegee Mungu
@PrinceWandwe-bo2ps7 ай бұрын
Huyu Dada yuko smart sana na kama anachokiongea kingekuwa ni uongo maelezo yake yangekuwa na mikato mikato mingi lakini anaonekana anaingea bila utata pole sana sister
@misschagga80427 ай бұрын
Kabisa ukimsikiliza tu unapata jibu shida ipo kwa mume na kimada kimeshikilia makali.
@amosstimamaroba10547 ай бұрын
Don't trust a girl in a first impression pls
@MansaMusa2557 ай бұрын
@@amosstimamaroba1054 uko sawa kabisa
@Siasia2097 ай бұрын
Wewe ndio utakua uyo mumewe maana umekazana kumsema dada wa wawatu@@amosstimamaroba1054
@kekiplus1andonly7 ай бұрын
Duh mwanamke ukiwa na mali au akili ya pesa kuwa makini sana , Sisemi zaidi
@winnemassawe81237 ай бұрын
Sanaa kuwa makini sana
@Bise2707 ай бұрын
Kweli kabisa,noted.
@Rashidmussa-m3x2 ай бұрын
Wee in mjinga kwa hiyo boraa wawe maskini au waokoe
@faithjonathan38452 ай бұрын
Umesema yote. Ambaye ashaona na kupitia hili anakuelewa
@RoanCorporation7 ай бұрын
Anaonekana amepata maumivu kweli , pole Dada
@omarymbaraj80727 ай бұрын
Makubwa kweli
@nancyyesse13807 ай бұрын
One strong thing is ,ukiacha mali yako ipotee bila kupambana ni dhambi…pambana ikishindikana let it go ,karma is gonna hit him so baaad 📌
@abdulnaseermrisho43427 ай бұрын
Daaah kama anayosema huyu mama ni kweli,basi kuna viumbe ni mashetani
@AwardHakimu7 ай бұрын
Siku zote watu wanavyosimulia Kuna mambo huwa wanaficha kwaiyo utakiwi kuamini Kila kitu
@bockerNyarusahi7 ай бұрын
Umemsikiliza na mlalamikiwa?
@abdulnaseermrisho43427 ай бұрын
@@bockerNyarusahi kwenye kusoma kuna hivi vitu 1.Kusoma 2.kuelewa Ukisoma kitu unatakiwa na kuelewa,sio unasoma kama unasoma token za Luku
@annasolomon98557 ай бұрын
@@AwardHakimuKuna kitu kina itwa saikolojia😂 kwa hio tumia hio pia na kama hujui utabaki kusema utumbo
@AwardHakimu7 ай бұрын
@@abdulnaseermrisho4342 kwaiyo wewe unaijua sana saikolojia mpaka unaweza kuelewa saikolojia ya mtu anae ongea kwenye tv aiseeh kwanza ondoa neno utumbo kwenye comment yako kutoheshimu maoni ya wengine ni upumbavu mkubwa sana
@laurentraphael54707 ай бұрын
Pole sana, dhuluma huwa haivuki ng'ambo. Chukua haki yako hata kama ni ndogo, pambana kwa upya ni suala la muda huyo atarudi kwa magoti kuomba msamaha.. Ni jambo la kusikitisha sana maana mahusiano ya nyakati hizi bila Mungu kutangulia mbele ni disaster tupu. Nipange kwa upya, kikubwa uzima mengine yatakuja.
@TherezaJunior7 ай бұрын
Dada usiari mm Happ niliacha Kila kitu ila nilibeba wanangu tu lakini kwa Sasa ninamiliki majumba mawili na gari yangu vyote nilivyomwachia viliisha lizika atakachokupa mungu atakiongezea vingine hutaamini
@faithjonathan38452 ай бұрын
Tuliamua kutafuta chetu na kuachana na ndoa bora yetu. Ukae kwako nikae kwangu kila mtu awe na maisha yake basim Tukiachana ni kufuta namba basi. Kama tuna watoto lazima tutaongea tu jinsi ya kuwalea..ila shida kubwa inakuja kwenye kugawana hela hapo bdo kipengele😢
@khamisally95597 ай бұрын
Huyo jamani bila kukamatwa na kuwekwa ndani huyo dada huwezi kupata haki zake. Wamkamate aekwe ndani kama wiki mbili hivi akili ndio zitakaa sawa. Huyu Julius ni mshenzi sana halafu anajifanya mtu wa Mungu. Ovyooo kabisa.
@scholarmassawe63807 ай бұрын
Huyu anatumia nguvu ya hela hawezi kukamatwa.
@Sarah-o5u9t7 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu , mm yalinikuta hayo mwanaume aliniacha bila hata100 alificha kila kitu akijua ananikomesha kisa kapata askali mwenzie mpaka godolo kweli inauma usiombe yakukute lkn Mungu alinifungulia njia niko vzr zaidi yasana ,shukuru Mungu malipo nihapa hapa vitu nivyakupita hivyo
@Yanarichbiz7 ай бұрын
Nilimuona huyu dada mara moja tu nikiwa naelekea ngaramtoni tukaongea kidogo sna (ni mdada humble sana)
@lindaabraham53657 ай бұрын
Pole sana, afya pekee ndiyo mtaji, kama una afya njema inuka pambana tena. Pambania tu hiyo nyumba msigawane basi magari na vingine mwachie kama sio haki yake vitapukutika vyoteeee. Mungu atakubariki atakupa zaidi. Ogapa sana watu wanaopenda mali kupita utu wanaweza kukufanya lolote baya.
@rosehaule67657 ай бұрын
Pole mbona Mungu ni mwema sana anakuepusha na jambo fulani❤ shukuru sana
@brysonjohnlukumay7 ай бұрын
Daah huyu mwanamke ana hekima mno
@innocentpaulchillu15127 ай бұрын
Huwezi jua,anaweza akawa anaonekana anahekima kwa kumtazama lkn deep inside yuko tofauti kabisa
@mwanaidimrindoko41177 ай бұрын
Hapana mtu mwenye hekima anaonekana tu kwa mahojiano yote hayo changanya na maumivu Kuna ki jitabia angekionesha tu
@dismasdastan54937 ай бұрын
@@innocentpaulchillu1512uko sahihi wanao shabikia kwa kuangalia tu hawana familia na hawajawahi pitia haya matatizo....Ngoja wakue
@hemedmsella64967 ай бұрын
Wanawake ni waongo hakuna kitu kama hicho@@mwanaidimrindoko4117
@nancyg86647 ай бұрын
@@innocentpaulchillu1512kweli kabisa
@TumainiNjema7 ай бұрын
Dada anaongea Kwa hekima Sana ingawa anadai Haki yake lakini Bado anaonyesha unyenyekevu. Mungu amsaidie apate haki zake. Aamen .
@reginaedward48837 ай бұрын
Pole sana dadangu wachana na yeye kubali talaka mgawane Mali. Wewe ni mpambanaji and l believe you can do it.
@golebenson45977 ай бұрын
Mwandishi hongera sana umeuliza swali mzuri kusikiliza upande mmoja na kuhukumu ni mbaya ninachokiona mwnaume amemua kupambana(kimyakimya kiume.huenda dume limetendewa kitu kizito akaamua kupambana kimya kimya🎉🎉.uyu dada anaharibu ndoa yake na watoto aache kuhamgaika na media atafute suluhu Kwa njia salama sio kuongea mambo ya familia yake hadharani makokosa makubwa anaendelea kutenda
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
Penda sana point yako ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉ni aibu kutoa mambo ya ndoa mitandaoni naona Kuna mtu anamdanganya hu mwanamke, hongera ya mwanaume kuwa kimya, aibu hata watoto unyimwe Kuna shida
@WardaFashion-n3y7 ай бұрын
Huyo baba asubir kisasi cha watoto wake hatakaa amini maisha yake yote Kwa haya anayoyafanya mn wanamtizama mama yao anavyohaingaika kl siku kwny media 😢
@abdultandala65767 ай бұрын
Usihukumu kama haijasikilizwa upande wa pili
@roseberryhamoud65427 ай бұрын
Kama ingekuwa ni mimi hatokuja kupatana na watoto.
@jacksonkagubho70297 ай бұрын
Wazaz wa kiume ni rahis sana kuwakacha watoto wakileta ujuaji 😂
@bambuchabongomovie57463 ай бұрын
Jiungamishe kwa MUNGU wako unae mwamini bila kuchoka jibu utapata kwa wakati Mimi nakuombea 🙏
@Siasia2097 ай бұрын
Ooooh!pole sana dada mshkuru Mungu Allah atakulipia malipo ni hp hp Dunian
@golebenson45977 ай бұрын
Wanaumeee tunapigwa juuu chinii😢😢😢 uyo mama anaonyesha ni mjeuri sana 😢😢😢
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aishajuma187 ай бұрын
Sasa kama mjeur si ampe Mali zake😊
@golebenson45977 ай бұрын
@@aishajuma18 unauhakika ni zake
@aishajuma187 ай бұрын
@@golebenson4597 Kumbe za kwako
@wilfredcalist47357 ай бұрын
Hakimu wa pekee ni Mungu tu. Jipe moyo aliyekubariki atawajibu wote waliokudhulumu.
@joyce557277 ай бұрын
Dada yangu najua ni uchungu sana pia mm niliyapitia km hayo miaka 10 iliyopita na sasaiz hanipati kwa mafanikio km Mungu ndie mpaji basi atakupa zingine ili uepushe roho yako kubal tu hizo unazopewa anaweza kukumaliza huyo mtalaka wako
@joyce557277 ай бұрын
Km kuacha mali zako ni zambi bas Mungu atakusamehe endelea kumuomba Mungu pia pambana bola upate zako uish kwa amani unaweza ukazipata hizo mali unazo taka kutoka kwa mtalaka wako lakin usiwe na aman najua unaumia sana ila jikaze
@Sarah-o5u9t7 ай бұрын
Kabusa
@shelizaomary25367 ай бұрын
Mwenye haki haachwi...pole dada...Mungu atakupigania
@AnnaMathias-h3s7 ай бұрын
Dada Mlilie mungu wako wewe muachie mungu afanye kazi yake piga goti kwa mungu atakusikia
@kidtoto48696 ай бұрын
Noted!!, Ukipata mali ndugu na Marafiki wanakuwa Wengi!!
@naomipieter46277 ай бұрын
Mtulie mimi mjane namshukuru mungu mume miaka 24 yandoa katwaliwa kaend kwa amani .maisha yaha
@JumannehassaniomaryJumannehass7 ай бұрын
Utapata mume namtapendana namaisha yatasoga I'm formo Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼
@MwanjiNzala-mo5ni2 ай бұрын
Amina kuna kitu kikubwa mungu amekuepusha lkn uwezi jua kwa mda huu muombe mungu .na mpe mda
@farajiyusuph90196 ай бұрын
dada ana pure heart mungu amsaidie
@husseinshabani95227 ай бұрын
Jamaa Amekosa Mke.. Yani Mke kweli...Mke Mwenye Akili nyingi Sana...hata Atakaempata Bado Ni Mke Mwema na Bora sana..Anaitaji faraja na Matunzo..na kumsahaulisha hote yaliyopota na kuanza Maisha Mapya.Allah Amfanyie Wepesi In sha Allah .
@MansourKabuhaya7 ай бұрын
Umetumia vigezo gani kumuona ni mke Bora na mwema?? Unamjua mke Bora wewe?? Acha kucomment ushamba, kisa umeona ongea yake tu keshakuwa mke bora, je vigezo vya kuwa mke bora vinasema akiongea vizuri tayari mke bora sioo??? Acha ufara
@danielgadiye79837 ай бұрын
Bro fanya research utanishukuru mwanamke anatoka kufanya unashuhudia kwa macho yako piga ua anakuambia sijafanya aliyekuambia kaachwa kwasababu ya tamaa ya mali na mumeo kakupoteza so kweli mama kanyanyua mguu mzee kasanda mama anataka huruma na jamaa haelewi kuhusu hilo wanataka wapelekewe moto then wabaki kwenye ndoa zao hiyo kitu hakipo bro hakuna mjadala juu ya nani mwenye haki ya kutoka nje ya ndo ni baba tu katamani kwasababu tumeumbiwa tamaa wao wameumbiwa kupenda
@rasheedabby28717 ай бұрын
Mwanamke mwenzake kapindua meza daaah
@miriamdavis38937 ай бұрын
Atakufa kama inzi huyo
@machakuroger70687 ай бұрын
Neema huyo, si mke ni kimada tu inaonekana
@MwanjiNzala-mo5ni2 ай бұрын
Mrudie.mungu.uyo.uliyewekea.nae maagano.yy ashughurike.naye baada ya miaka mitatu utakuwa sehemu ya juu julius atakupigia magoti tena Mungu amrudishie paralaxi miaka mitano tuone Neema atakuwa nae😢😢
@margrethemanuel75017 ай бұрын
Mim jamani narudiaaaa...staki maskin mim kabsa...shindwaaaa pepo la maskin, shindwaaa, kweli Mwenyenz Mungu niepushe na mwanaume/ rafki maskin
@RachelMgimba-ge4jh7 ай бұрын
dada ukiendelea kugombania hizo mali unaweza kupoteza uhaidada mm nakushauri mwachie na usonge mbele mungu hamuachi mwanae apotea utainulia tena mara dufu mpaka mtalaka wako ashangae dada trust in God
@luciasteven33147 ай бұрын
Au haujamsikia vxur😂kuacha haki yko ipotee n unajua n hski yko hyo ni dhambi n Mungu hawez kukubariki Neno l Mungu linasema ufalme wa Mungu unatekwa n wenye nguvu sasa huo niufalme wa Mungu sasa je ukiwa mayai utapata haki yko? Muache atete haki yke
@saimalunde40027 ай бұрын
Ndugu wakiingilia familia mambo ndio kma hya aiseee namshukuru mungu nina maisha yangu yakujua mimi maana hta maisha ya kakangu na mkewe sijui wanaishi vip😂i😂😂😂
@George-r2u7 ай бұрын
Dada yangu pole sana, mwachie Mungu , usipiganie Mali mwenyewe, Mungu atakupigania
@BeniJohn-xd3cn7 ай бұрын
Ongeza maombi Dada Mungu ni mwema
@magerebudodi84717 ай бұрын
Nasema mali fedha vyote ni vya kupiata duniani thamani ya utu ni muhimu. kama umetafuta na mke wako kwajili yake na watoto wako. Kwanini wengine wakale bila jasho. Mimi nilisha sema. Mungu anipe azidi kunipa hekima sana. Sipendi kuona mwenzangu anapitia maumivu wakati tumetafuta wote. Vyote ni kwajili ya familia sio watu wakuja wapya maishani mwetu. Tena ukiwa umepewa mwanamke mcha Mungu unataka nini kingine zaidi.
@uaridipaul5477 ай бұрын
Fear men, huyu ni mimi nilivyotolewa. Yaani Mali ilipo ongezaka tu shida ndio zilipoanza..Nimegeuza kisoho na kuanza upya.
@elymsakuzi64937 ай бұрын
Pole sana mama lakn natamani nimsikie baba amepitia nn pia
@zainabumohamed47637 ай бұрын
Anavyosema dada mrembo neema ,kwa upole jamani😢
@alexwatae31657 ай бұрын
Dah!! Pole sana Wanawake wenye hekika kama hawa kwa sasa Hawapo.. nimependa busara yako
@delverosedastan57307 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akusimamie haki yako itasimama daima kwa jina la Yesu
@FelisterMunissy7 ай бұрын
Utashinda dada mungu atapigana hv vita huyo malaya anayekula n huy mwanaume omba mungu atawaua wote huyo mwanaume hana mda mrefu lazma ataanguka chini
@teddytedy2487 ай бұрын
Dada Mungu yupo,kisasi ni juu ya Mungu,adui wa mwanamke ni mwanamke
@malikzafarani1727 ай бұрын
Daaah pole sana dada, wanaume muda mwingine sijui tunafeli wapi 🤔.
@MouhammedSeif7 ай бұрын
yaan ata mm suali kama hilo najiuliza
@Rashidmussa-m3x2 ай бұрын
Daaa nimpate wap huyu dada nimuoe nimempenda.
@yukundapeter82002 ай бұрын
Uclie sn muombe Mungu atakujibu mchana kweupe,Malaya mbovu ashaingia ndani,kuna mbwa ximexulumu lakini yamekuja kuumbuka baadae.
@maswamills31617 ай бұрын
Mungu akulinde mama , mmmhhhh siku hizi mali zinaua, mtangulize MUNGU kila upitapo .
@arnoldrwekaza22657 ай бұрын
Chanzo cha Julius kuondoka home ni kikubwa muno. Mambo hayawekwi wazi
@FranklinMtei7 ай бұрын
100%
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
Point ☝️
@bintnouh44837 ай бұрын
umalaya ndo umemuondoa nyumbani
@AllenMwafilombe7 ай бұрын
Pole Sana Dada Mungu atakusimamia kwani unaonekana mcha mungu komaa kwani bado unaishi utafanikiwa
Hiv Wanaume huwa mnalogwa kichwan kushuka chini au ni chin kupanda juu maana inashangaza eti unawasisa hadi watoto wako ni nini lakini????😢
@fredrickkomba75457 ай бұрын
Itakuwa chin tu Hapo hapo
@asumaathuman60947 ай бұрын
Pole my wanaume nihatali❤
@senziashwaibu32197 ай бұрын
Huyu mwanaume nmemuelewa sanaa kawahi mapema kuchukua chake mapema ila huko alipoenda aangalie atapigwa na kitu heavy atajuta maishani
@RoverRoom7 ай бұрын
😂😂😂😂😂Kweli umesema
@bahatielias64437 ай бұрын
Wanaume huwa hatuachi kiurahisi ukiona hivi mwamba alishaona mbali
@FrankDavid-en6on7 ай бұрын
Kweli kabisa wanawake hawaeleweki anaweza kuongea ukahisi yupo sahihi
@salmanyangasa11717 ай бұрын
Dah! Acheni TU Dida aishi mwenyewe Wallah...wanaume wanakua binadamu mkiwa hamna pesa mkipata TU hua zaidi ya mashetani maana hufanya mambo ambayo hata shetani huyashangaa mh
@pmp-2557 ай бұрын
WHAT A CONFIDENCE!!!
@paulmwacha38977 ай бұрын
Sabrina mm mwenyewe alinitapeli Viatu hapa orsini wangu jamani kiatu cha elfu 50 kweli kanisa alipita hapa dukani akaniambia nimpe kiatu mpaka leo simuoni jamani
@EliasifiweMbise7 ай бұрын
Dah! Wanaume wanaume wanaume jamaniiiiiiiii. Pole dear tena sana na Mungu akuteteee huko kupooza kusiongezeke kwa ajili ya mawazo. Km ni kweli usemayo, tunamwamini huyu Mungu aliye hai, anayeona hata tusiyoyaona sisi alotuumba. Atajibu kwa wakati.
@MCNgakungaJunior7 ай бұрын
Daaaaaaah haya bhana!Ila huyo ndugu siyo muoga.Unamuacha mtu na bado unapora vyake na mna watoto nae.Unategemea nini??? Piga goti mama huko ukiendelea na michakato yako Mungu atafanya kitu.
@AngelaLyimo-d7x7 ай бұрын
Dada pole sana achia moyo wako yote ni mapita nakuonea huruma asije kukutoa roho huyo xmume😢
@emmanuelmanga257 ай бұрын
Mnaosema maneno ya kumshutumu mwanaume, mnajua magumu aliyopitia kwenye hiyo ndoa?, mmesikia upande wake anasemaje?. Mm nipo katikati, sijui yupi atakuwa na sababu maalumu.
@FranklinMtei7 ай бұрын
101%
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
MUNGU nisamehe matatizo ya ndoa hayapelekwi kwenye mitandao turudi kwenye Mila na desturi zetu Kuna suluhu huko
@bintnouh44837 ай бұрын
nyie ndo walewale
@joycemfuru47527 ай бұрын
kama ni mwanaume kweli ampe Mali zake
@edinachami43187 ай бұрын
😭😭dada ana hekima za mfalme suleiman huyo mwanaume asipotubu kwamke wake huu mwaka hauraisha atanyongwa hata na ugali afe tuu😭😭😭
@kelvnkalist75697 ай бұрын
Mm naona dada achana nazo mungu atakupa .
@edsonnelson44647 ай бұрын
Adui wa mwanamke ni mwanamke. Kwa mwanamke unae kuja kwenye ndoa ya mtu muheshimu, maana naye ni binadamu kama wewe, jipe nafasi yake kwako, nawasii wanawake mkubali kuolewa ukewenza ili mwenzio uliyemkuta aendelee kuwepo alee watoto wake, maana wewe mama uliyekuja ukimshauri huyo mume wenu kwamba umenipenda na tayari una mke na watoto naomba uwaheshimu
@kokudo83896 ай бұрын
Huyu Mwanamke ni HADHINA ana akili sana na mvumilivu sana❤
@eestermos99337 ай бұрын
Pole sana Mungu atakutetea
@barakapallangyo63967 ай бұрын
Kwann jamaa hakuwa tayari kumrudia huyu mwanamke hata baada ya usuluhishi mwingi? Anyway kama ni kwel bwana Julie kakosea Mungu atamaliza ugomvi
@AshuuuBakari7 ай бұрын
Huyu mwanamke ana nyota akiachilia mambo aanze upya atafika mbali na huyo mume atalose kila kitu
@shyfettymtunda46197 ай бұрын
Umeona kama nilivyoona mimi.
@gambigambi72547 ай бұрын
Pole sana sabi but ni kujifunza kutozidgarau alama hatarishi inaonesha huyo baba ali move on kitambo but ulimpenda zaidi mwenzio ktk Safari yake hakukujumuisha na pili hukushtuka ktk structure ya kampuni na hisa alikuzunguka just move on mtangulize mungu mapenz yalikupofua mungu yu hai usipojihurumia wanao watakukosa cuz ur still grieving the guy wanted u out mungu kakupenda utazeekea court unaonekana mpambanaji kaanze upya Tu my dear
@margrethemanuel75017 ай бұрын
Dah! Ingekua ni mim Neema ningekuja na magoti kwa huyu dada, mi naogopa mtu anamjua Mungu jamani Uwiiiii
@shadrackdeogratius67607 ай бұрын
Mpaka mwanaume aongee ndio tujue ukweli, wanawake wengi wanajua kulalamika, ila ukija kuchunguza mwanamke ni jau .mpaka mwanaume afanye maamuzi magumu ujue mwanamke ametaka nafasi ya mwanaume ndani.alafu Sasa hivi anatia huruma,ila hyu mwanamke Kuna majuto ya ndani.kwa wanao jua sychology
@salehekisebengo85547 ай бұрын
Kweli kabsa ndugu
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
Usema Lina ukweli na huku anajidanganya hakuna haki bali ni kujidhalilisha na kuongeaz chuku
@innonyange64827 ай бұрын
Kweli ana majuto, anajua alifanyalo
@aishajuma187 ай бұрын
Kunamtu anakoment Sana namuhisi ndio mchepuko wa julias😅mwacheni apiganie haki yake
@prettyerasto87337 ай бұрын
Dah Mungu amsaidie inauma mno wanaume wote ni MBWAAA!
@VictorBugobola7 ай бұрын
Mwanamk awez kukuacha bila sbb Kuna kitu kizto hapo unaweza ukawa mpole wa muonekano lkn moyon wee acha tu sema maisha au ndoa Zina Siri kubwa....Sasa ulivyo mpole Mzur hivi jamaa anashndwa kurudiana nww Kuna kitu hapo chin ya kapet
@WinfridaFabian7 ай бұрын
Chin ya kapet yupo malaya mbona jibu simple
@rosehaule67657 ай бұрын
Mali ni shida wanaume wakipata basiii mnatafuta kwa shida kubwaa sana baadae anakimbia anakula na kimada baadae anarudii uwiii😢
@sadalahitambujr18637 ай бұрын
Kwa Mungu kuacha haki yako ipotee ni dhambi, maana ni uzembe Mungu ni ngumu kukubariki tena. Huyu dada ni mwadilifu na ni mcha Mungu na ana Hekima kutoka kwa Mungu, Mungu Ataendelea kumwaga mibaraka kwake pamoja nakoonesha ku kukitafuta Kile kilecho chake haki ilipotoshwa sana aendelee kusimama kwa maombi maana kisasi ni cha Bwana Mungu mwenyewe. Maana hata Siri ya huo utajiri ni maombi. Bwana ambariki na kumlinda
@MotiveAid1757 ай бұрын
Pole sana
@julianamasato56557 ай бұрын
mama pole sana jasho lako haritapita bure ,kunasiku ataripia .usione mungu abacherewa kujibu maombi enderea kuomba kwa imani .