Halafu kuna wapumbavu wanangoja makonda aanguke, kwa harakati hizi Mungu anampigania na yupo upande wake sababu hizi ni sadaka na kazi za Mungu
@hamisijuma32766 ай бұрын
RIP JPM
@sonnyr18996 ай бұрын
Kuna jama anaitwa Ngurumo Yani huyo jama anamchukia Makonda hadi roho inauma kwa kweli. Hakuna binaadam aliye kamilika ila aise Makonda anafanya kanzi Ya wito wa Mungu. Tunakuomba mama Samia usikubali watu wakushauri vibaya ju Ya huyu kijana.
@thabitdaudi98156 ай бұрын
@@sonnyr1899tayari wanamshauri ndyo maana kamshusha uwezo wake si wa kua mkuu wa mkoa.
@HildaMjema6 ай бұрын
Makonda makonda makonda nimeita mara 3 Mungu Akubariki Mungu Aibariki kazi ya mikono yako Mungu Aibariki Tanzania
@hassanihamisi62396 ай бұрын
Ww furaiya tu iko siku utajuwa wanawake niyoka kama ww nimwanaume ira kama mwanamke sawa
@dorahmushi-we6ts6 ай бұрын
Jamani binti anaonekana anamtumainia sana Mungu, na Mungu hajawahi kumuacha mtu. Tuendelee kumtumainia Mungu😢
@JosephuSwai6 ай бұрын
Makonda kama kunamahali uliteleza mungu akusamehe kaka manawewe ni binadam nimekwelewa
@lovenessvisent94086 ай бұрын
Nimejifunza kitu hapa tunapofanikiwa tukumbuke kutoa sadaka kuwa na mungu karibu Asante Kwa video hii
@emanuelylyimo4307Ай бұрын
Ungejua huyu dada alikuwa anasaidia watu had anavisha vichaa mjini na wazaz wake anawajal
@Mussambogo17 күн бұрын
Dada anatoa sadaka kuliko na atatajirika haina maelezo
@WilliamsDanny-g8j6 күн бұрын
We unamjua Sabina anatoa had vichaa anawavisha
@Siege-of2ok21 сағат бұрын
ww tuulize watu wa mujini kati sabina anasaidia watu haina mfano wake
@Siege-of2ok21 сағат бұрын
atatoboa tena si kidogo tutamsapoti vile kapita magumu kuimarishwa.ni dhahabu safi
@eliaichraymond12156 ай бұрын
Ipo thawabu yako toka kwa Mungu mh Makonda,kuvivaa viatu vya mtu ni kazi ngumu sana,but wewe umekuwa ukivivaa viatu vya wanyonge,Mungu akutunze na kukujalia hekima kama ya mfalme Suleiman
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp6 ай бұрын
Ananikumbusha hayati John pombe Magufuri
@mitaocamilliusthegreatest90686 ай бұрын
Mh.Makonda TUNAKUOMBEA Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu zaidi na zaidi uzidi kuwa Bora zaidi usiku na mchana!
@SuleAmber-lw2tx6 ай бұрын
Dah jmn mbona binadamu tumekuwa wa hovyo sana, BigUp MH Paul Makonda
@danielmadale77106 ай бұрын
Nyie hamuoni, Aliko makonda ndiko nchi na mitandao ilikohamia. Kwani mkiiga mtakufa.Waziri mwingine anaepiga kazi ni waziri wa ardhi. Halafu ana weledi saaaana katika kazi hiyo.Big up Waziri Slaa
@MagrethFrank-q9c6 ай бұрын
yani kaka yangu makondo utunzwe na mungu sina luga ya kusema
@MagrethFrank-q9c6 ай бұрын
uwiii makando tunzwa na mungu
@egonemmanuelkudaba49456 ай бұрын
Kiukwel makonda na wazir silaaaa Mungu awatunze na wawe mfano wa kuigwa na viongoz wengine na wa Tanzania wote kwa ujumla tuwe wazalendo
@egonemmanuelkudaba49456 ай бұрын
Kiukwel makonda na wazir silaaaa Mungu awatunze na wawe mfano wa kuigwa na viongoz wengine na wa Tanzania wote kwa ujumla tuwe wazalendo
@miriamdavis38936 ай бұрын
Waige wakati wanajali matumbo yao
@hidayaswai31196 ай бұрын
Mama Mungu akutetee sana,"Mungu humtuma mtu" na mtu huyo ni mtumwa wa Mungu na serikali Makonda. Mungu amtunze kwa ajili ya wengi zaidi.
@hafsalucky10886 ай бұрын
Mungu amesikia kilio chako mama na kamtuma Makonda aje akusaidie, Mungu ni Mwema na haki Yako itapatikana Amen 🙏
@JoshuaMusukwa-kq4ll6 ай бұрын
Makonda chapa kazi bila kuogopa mwanadamu mwogope Mungu aliye juuuuuuu sanaaa 2030 we ni Risi Makonda oyeeee
@meddyally44166 ай бұрын
Uyu dada ana maono na akiri ya maisha uyu ndo mwanamke sasa, uyo mbwa atadirisika
@wiliminawiliams93846 ай бұрын
Pole sana Dada,Mwenyezi Mungu akusimamie uweze kupata haki yako.
@aaa64sa136 ай бұрын
Alhamdulillah. Mungu akueke ndugu Makonda. InshaAllah
@shakilamasoud29836 ай бұрын
Bora nitafute peke yangu, hivi vya kushare mwisho wake nikujiua sitaki mimi. Pole dea yatapita
@kessykessy5636 ай бұрын
Ww ni nan makonda niliekuwa nakuchukia na leo nataka uwe RAISI WANGU..... 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AshaJuma-s7l6 ай бұрын
Mungu umlinde Makonda 🙏🙏🙏
@mutabazijustin-x2v6 ай бұрын
Mungu akuongoze MUHESHIMIWA Mkonda Nakufuwatiria sana kipenzi kutoka Rwanda Kigali
@cidewashington6706 ай бұрын
Asante Mheshimiwa Makonda kazi kwenda lala nao mbele wanaofanya dhuluma
@stellarogath18766 ай бұрын
Pole sana dada, pamoja na hayo yote bado lipo tumaini, na Mungu huwa ana watu wake,
@azizimyavilwa81996 ай бұрын
She's still pretty though ❤
@yohanampangule88176 ай бұрын
Makonda Mungu Akubariki.Dada Utakachopata hapa Kupitia Mkuu WA MKOA ,Ridhika na samehe Mungu ataendelea kuwa Upande wako.
@Samwelmagita-jb1so6 ай бұрын
Mkuu Mungu akubariki sanaaa azidi kukuweka uzidi kuwasaidia watu wapate haki yake Nakuombea uwe Raisi wetu Inshallah 🙏
@hazard71576 ай бұрын
Mama nmekukubali xana umekumbuka mema ya mme wako wengi wakishagombna kuna wanawake wanasahau ule upendo uliokuwepo mwanzo kabla ya penzi kuanguka hongera xana mama Mungu atakusaidia mtarudiana nakuendeleza penzi
@danielchamoto93766 ай бұрын
Mungu aendelee kumpigania makonda. Anafanya kazi nzuri
@MizeKombeSuleiman-id1rp6 ай бұрын
Kuna cha kujifunza apa mukiwa na mahusiano musitangulize mali zenu wanawake umpe mtu mwili wako mapenzi yako umjali kisha akudhulumu juu kisa umependa aaiiih wacha nibaki single ♥️ ❤️ 👌 ✨️ 💖 😍 ♥️
@scholarmawala14036 ай бұрын
Duh.
@azariamarembo36536 ай бұрын
Huyu ndie alitakiwa kuwa mke anajui kuponda mme anasifia mazuri ya nyuma . Safi sana
@AthumaniMdee-d2n6 ай бұрын
Jaman jaman tunamshukuru mungu kwakutuachia mtoto wa magufuli alimaarufu kama makonda mungu akubarik nauendelee kuwa naiman ya mungu
@dianasamson93116 ай бұрын
Makonda Mungu aubariki... sina cha kusema zaudi ila Mungu anajua fungu lako, kwa haya unayofanya kwenye maisha wa waliokata tamaa.
@ScopionScopion-zj9cd6 ай бұрын
nauona uongozi wa magufuli kulejea hapa tz ndani ya myaka ijayo mungu akubaliki nakuona mbali sana
@selector7286 ай бұрын
Kurejea sio kulejea,akubariki sio akubariki
@AgnessKabamanywa-sd2dw5 ай бұрын
Makonda Mungu akibariki mno
@blandinamyinga94896 ай бұрын
Mungu akupe uponyaji wa moyo na akili Teacher Sabina ili cku moja urudi kazini maana wewe ni mwalimu mzuri sana""wanafunzi wako watakaokuja kuona hii comment watakubali.
@meddyally44166 ай бұрын
Kwa makonda ilo limeisha, huko arusha kumecha
@geoufo28586 ай бұрын
Sawa makonda ana mapungufu yake ila mema anayo fanyia wanaichi atujali sisi tunamuona nabii wawananchi
@RachelElias-j3g6 ай бұрын
Mungu msaidie huyu dada apate haki yake.. mungu mtunze makonda
@furahaabonga66426 ай бұрын
Makonda uko kwenye vita vikali sana kakaangu,Yani nakuona kwa jicho la mbali sana ila watu kama nyie wachache sana wanawachukia na awataki kuwaona watu kama nyie. Tunakuombea Mungu sana ndugu yangu Mungu akuwekee ulinzi mkubwa kwenye maisha yako,mana sio raisi au sio binadamu yoyote anaeza kujitolea kuwatetea wanainchi kwa nia njema kama iyo.
@DeruDeru-p4t6 ай бұрын
Makonda aise unapaswa kuwa rais aise baba dur unapiga kazi baraaaaaaaa Mungu akutie nguvu pamoja na mama yetu samia fanyeni kazi Mungu yu pamoja nanyinyi
@rosetreffert41796 ай бұрын
Kabisaa
@abdulrahmanmohammed44496 ай бұрын
Hafai
@DeruDeru-p4t6 ай бұрын
@@abdulrahmanmohammed4449 kwanini unasema hafai toa sababu
@agnesjohn93826 ай бұрын
Wewe ndo hufai@@abdulrahmanmohammed4449
@madahaisack12686 ай бұрын
Kwa makonda hii kesi ndogo samaaa imeishaa munguu mwemaa
@jackayub14946 ай бұрын
Kama Kuna Mahalia Makonda ulimkosea Mungu akusamehe kupitia haya
@levinalyimo62406 ай бұрын
Pole Sana shooo usiwaamini Sana wanaume wamekua matapeli
@laurentraphael54706 ай бұрын
Hata wanawake hamuaminiki wengi ni matapeli na njaa tupu.
@ednasomi74226 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu Mungu atajibu maombi yako
@PacohMedia6 ай бұрын
SABINA USIFE MOYO HADI HATIMA YAKO ITAKAPO TIMIA
@wemamanikana97916 ай бұрын
Mungu ambariki muheshimiwa Makonda
@patrickfanuel6 ай бұрын
Makonda mungu yupo pamoja nawe🎉🎉
@ErastoOmari-ij1zs3 ай бұрын
Pole Mama Yangu Mdogo M/Mungu Atajibu Maombi.
@festohaule97166 ай бұрын
Wakuu wa Mikoa mingine igeni kazi hii!!!!
@SalamaNauthar6 ай бұрын
Viva Makonda❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
@Zubaiba6 ай бұрын
Makonda mungu akubariki zaidi na zaidi na akulinde na mahasid wa usiku na mchana
@elizabethmziray58116 ай бұрын
Tatizo la viongozi wengi hawataki kusema ukweli kama makonda mana wanaogopa kufa.mungu akubariki uishii miaka mingi kama mzee mwinyi.
@LutenganoCharles-d7t6 ай бұрын
Makonda mwanzo nilikuaga simuelewi lkn huyu jamaa sasa hv namuelewa anamaamuzi magum sana ya papo kwa papo na mungu amsaidie ni watu wachache wanaweza kufanya hvi
@Mzena43436 ай бұрын
Dada ukifanikiwa mi nipo kwaajili yako nitakuoa ❤❤❤
@eyeonnature40226 ай бұрын
😂😂
@evelynelemashon.68116 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@x7hia6 ай бұрын
Unataka kitonga au
@Mzena43436 ай бұрын
Hahaha kwahiyo hamniamini
@getrudemwasse81206 ай бұрын
😅😅😅😅kama nakuona unavyosubiria mke
@Mkemia..Kirigiti6 ай бұрын
Kuna mambo yanaumiza sana. Pole sana dada Sabina. MUNGU AKUBARIKI SANA MAKONDA
@winfridambwambo98306 ай бұрын
Tunaemwamini yupo na atatenda Mungu wa mbinguni ni mkubwa kuliko tatizo ulilonalo dada yetu
@joyceshayo79495 ай бұрын
Huyu dada anaongozwa na hekima ya Mungu
@samirazuberi1866 ай бұрын
Mungu amlinde huyu baba makonda ❤😢
@RoanCorporation6 ай бұрын
Mungu akusaidie hyo dada apate haki yake
@veronicajohn76456 ай бұрын
Neema Mungu anakuona. Wapo Pastor Rose Wanawake tunauwana wenyewe
@dottomarikatv7806 ай бұрын
Pole sana Dada, Mungu yupo
@Boniphaceshayo56 ай бұрын
Neema ni mchawi sana alitumia uchawi kuvuruga maisha yenu
@veronicankhwazi79546 ай бұрын
My rais sijui lini ila namkubali sana Makonda
@husseinshabani95226 ай бұрын
Sijui Jamaa Alifeli wapi....mbona Mwanake Anaonekana ni Bora Sana na Mwenye mawazo ya maendeleo...kinacho nishangaza majina yote kwenye Mali yanasoma ya mwanamke...Mungu Atuongoze katika familia zetu..ziwe na Amani na Utulivu.
@frankkessy12606 ай бұрын
uchawi michepuko inaloga kinoma mpaka unasahau ukoo ulotoka
@johnmalembo64646 ай бұрын
Mama moyo wako na kauli zako zinawakilisha jinsi ulivyo mnyenyekevu....MUNGU ANAWEZA ATAFANYA NJIA PASIPO NA NJIA.
@josephmwalwanje44306 ай бұрын
Makonda mungu atakulinda kunasiku itakua
@eliambowe25766 ай бұрын
Asee kama unamali ya mtuu jiandae kumdhulumu mtu kunamwisho mbaya
@erickimambo45446 ай бұрын
Makonda vita ulioanzisha nikubwa MUNGU akutangulie
@tijakimonga18896 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki sana❤❤
@pauloropian23676 ай бұрын
Hawa viumbe siyo yà kuaminiwa sana.
@msafiripascal27576 ай бұрын
Makonda mungu akibariki babayangu kunawanyonge wanao nyanyasika sana makonda umekuja kuwaokowa wanao onewa
@KassimuMbarack6 ай бұрын
Makonda ni mtenda haki tuondoe chuki binafsi nchi hii tuna wakombozi ila hatuwapi moyo
@JeremiahYohana-br2bd6 ай бұрын
Nawashauri mkiingia kwenye mahusiano msiingie kichwa kichwa mtajutaaaaa.
@ShekhahamedMuhsin6 ай бұрын
Polee Sanaa mwangu. Haliya ya mtu haipotei yataisha hayo alokuzulumu atavinaalichopanda mungu yupo
@Badvoice7076 ай бұрын
Wanawake wabaya sana unaenda kuingilia familia ya mtu na kuiharibu
@nancyg86646 ай бұрын
Na wanaume ni matapeli
@Badvoice7076 ай бұрын
@@nancyg8664 au ndo wewe nini?
@nancyg86646 ай бұрын
Ndio, asa kwann na wewe ulimtapeli mwenzako trucks zake
@Badvoice7076 ай бұрын
@@nancyg8664 wanawake wamefelisha wanaume wengi duniani kisa tamaa ivyo sikushangai upo sahihi
@aryanamendes87006 ай бұрын
Mungu msimamie huyu dada sakina apate haki yake
@nancyg86646 ай бұрын
Duh kweli alikua mzuri asee
@zanzibamjimpya176 ай бұрын
alikuwa mzuri kipindi yuko kwa mume wake hivyo wachaga na wapale wanawake wanatamaa sana na mali za waume zao had kuwatoa uhai huyo alijaribu akaishia hewani atuonyeshe kad za hizo gari na siyo picha ya gari
@GlesiMakaye6 ай бұрын
Pole sana dada hapo umefika unasaidiwa ondoa hofu
@domymerinyo81656 ай бұрын
Wanaume tuna kazi sana kwa wake zetu,tunafungua biashara tunawaweka kwenye share holder tunanunua hizi kesi. Hizo gari hakuna inayofika milioni 90wala milioni 150 kwa sababu ni 124 na trailer zake ni mtumba kipindi hicho ziligharimu ml75 truck and trailer. Hizo bei anataja ni zaR440 na R450 aache uongo. Mara mpenzi x baba bora. Amwite mzazi mwenzake.
@theodorythobius39656 ай бұрын
Kabisa, umeongea kitu kikubwa sana.
@agnesjohn93826 ай бұрын
Acheni utapeli na kulelewa huyo mwanamke siyo mpumbavu acha shobo
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA6 ай бұрын
Hizo reckless decision za kumiliki mali kwa umoja..Nazo ni kukosa akili
@habibakaponda6 ай бұрын
Hyo mwanamke namjua hakia kitu anatakakumilisi mume wake ili aolewena mwanaume mwingine
@racmyco65016 ай бұрын
Hapo kuna maswali mengi ya kujiuliza, imekuwaje mpaka imefika hatua hiyo, inaonekana huyo mama alikuwa ndo kichwa cha familia yani anaongoza familia nzima ( Watoto na mume wake ). Ukimsikiliza kila kitu, kwanzia magari, nyumba, mita za umeme, mita za maji zinasoma jina la mama sasa kwa ninavyojua hakuna mwanaume anataka kuwa chini ya mwanamke hata kama wanapendana vipi, ila hapo ukiangalia mama ndo alikuwa mmiliki wa karibia vitu vyao vyote sasa ni mwanaume gani angevumilia hali hiyo? Atakaa na wewe tu ila siku akipata nafasi ya kufanya mapinduzi lazima afanye, hicho ndo kilichotokea hakuna cha Neema wala nini. Baba hakupewa nafasi yake kama kichwa kwenye familia.
@Mussambogo17 күн бұрын
Dada namkubalig hatari mm ni fund wake haring wala hadhulumu.mume ndo kauzu nyamera
@suleimanbalemba33486 ай бұрын
Hapo nimekuelewa dada mwanzo mwa interview nilijua wewe muongo unatafuta kumdhurumu mmeo kumbe Kuna dangaji limeingia kwenye familia yako Neema utakufa kifo kibaya unakula jasho la mwanamke mwenzio danga kubwa dada pambana mpk upate hizo nyumba na gari huo danga akatafute Mme wa kuanza nae maisha wanawake wengi michepuko ni washirikina sana kweli adui wa mwanamke ni mwanamke
@abdulhajiahmed87356 ай бұрын
Inasikitisha sana kweli eeh
@erasmusshauritanga84856 ай бұрын
Makonda ni prime minister baadae kidogo TU tuendelee kusubiri.
@tumainichanya32686 ай бұрын
Makonda ni pamoja na kujikana,kama ambavyo tunapambana Kwa ajili ya haki nakuombea haki hiyo ikutetee katikati ya adui wengi.sadako yako ikafananishwe na sadaka ya Petro ,
@abdallahhamisi456 ай бұрын
Mrembo neema kamloga mwanaume wa sabina 😢😢😢😢
@Ax-xpress6 ай бұрын
Tunakimbilia kwa Wahubiri wanachukua pesa zetu bila msahada wanatudanganya kuwa tunapokea wakati kuna Viongoz wa nchi wenye maono ndani ya mioyo yao barikiwa Kiongoz Makonda.
@changanikinabo78356 ай бұрын
Hapo ni upande mmoja bado kusikia na upande mwingine, dunia ina mengi
@jameslaiser62766 ай бұрын
Huu ni mgogoro wa Kindoa wala sio mambo ya Mali hapa...Na hili jambo wala Mkuu wa Mkoa hataeza kulimaliza ila tu Mahakama pekee ndio yenye uwezo.
@dayana5513story6 ай бұрын
Hakika Mungu nimwema
@simonmadiba20536 ай бұрын
Daaaaaa Mungu atusaidie wanaume
@ruthmuja77926 ай бұрын
Pole sana
@BricyAnderson6 ай бұрын
Huyu dada kama ni mtafutaji. Mungu atampa yote alioopoteza. Aweke Kontakt zake. Nimtafutie scania kwa bei bure kabisa hapa. Switzerland.
@shanelndimbo41386 ай бұрын
Safi
@hanswan16 ай бұрын
Nitafutie na Mimi huko kwa Bei Chee ndugu kama zinapatikana
@PatrickMdachi-b4h4 ай бұрын
Daaa jaman dada asaidiwe ni
@fredytarimo91076 ай бұрын
Tunatakiwa tumsikilize na mumeo ili tubalance story. Yawezekana wewe ndo ulikua chanzo. Wanaume tukisaritiwaga huwa tunakua confused kwa kila kitu.
@section8ight1746 ай бұрын
Never make decisions based on your emotions,Let the law takes its course, it’s her word against his at the moment. Let both have their day in court, all the best to all involved!
@getrudemwasse81206 ай бұрын
Amen
@Boniphaceshayo56 ай бұрын
Naisi tu nikimuoa uyo dada tutapata utajiri tena kwakua anamungu ndani yake tena ana nyota na akili sana
@kelvinkimario44086 ай бұрын
Ogopa sana mwanamke,
@getrudemwasse81206 ай бұрын
😅😅😅
@AliwajaMkumbo6 ай бұрын
Neema Mungu anakuona
@AbdiAthumani-es7og6 ай бұрын
Wanaweke wa Arusha moshi niwabaya sana kwenye kitu mali anaweza kukutoa hata roho kiufupi mwanaume kamshitukizia utakuta wamama wengi wahoko wanahela alafu waume zao wametangulia mbele za haki
@DicksonAmbilikile6 ай бұрын
Mama haki ya mtu haipotei bali inacheleweshwa utapatapa tu
@IshipalemyPasko6 ай бұрын
Nikushauri dadang. Huu muda wakati unashughulikia swala lako hebu jalibu kujichunga Sana KUA makini na uhai wako mana anaweza tuma watu waje wakuue ili kupoteza kesi yko
@ismaelgadiye44886 ай бұрын
Hiyo kazi hata mtu mwengine hawezi hii inamkono wa MUNGU MUNGU amekuweka MAKONDA