Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee Allahamdhullah
@iddyjuma80362 ай бұрын
Shekh Omar uko vizur sema clip zako n fupi sana
@josemu8702 ай бұрын
.1:1 - KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.  1:2 - Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;  1:3 - Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;  1:4 - Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.  1:5 - Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.  1:6 - Tuongoe njia iliyo nyooka,  1:7 - Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.