Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili #drc #goma #bbcswahili #bbcswahilileo #sadc
Пікірлер: 68
@duniaduaratv12166 күн бұрын
Wapewe silaha jeshi kubwa (CRFC) sasa la taifa waingie na wao kwenye udhibiti na wasisubiri waelekee huko hiko Goma, kwa maana hao walioajiliwa tu hapo ni shida kwamba hawawezi kukodhi haja basi ili jambo kuisha tunashauri wapewe silaha vijana wailinde ncho yao Generali mdogo pia angeweza kulimaliza hili akishilikiana na Generali mkubwa, lakini inahitaji umakini kwani jambo lipo wazi hizi tunaliona jeshi la Congo wenyewe husalitiana
@ezekielleonard81606 күн бұрын
kagame ni Tatizo💔💔💔
@mahamudaideed69226 күн бұрын
Nashangaa wakongomani wanasema Rwanda inaivamia Congo na wao wanakimbilia Rwanda sasa utakimbiliaje kwa adui kutafuta hifadhi hio inathibisha Rwanda ni watu wazuri very good people
@Kanyaromsenge6 күн бұрын
Uko sahii ndugu hiyo inashangaza sana
@duniaduaratv12166 күн бұрын
(1) wanajeshi ndio wanashambuliwa kama sheria za kivita zilivyo. (2) ikiwa ni askari kuna shaka ya umamluki jeshini kwao kwani wenyewe wanaripoti jeshini kuwepo na mzozo baina yao na rais wao tsheked. 3) Wanaokimbilia huko ikiwa ni askari inaweza kutumika ligha ya kujisalimisha na wanyarwanda nao wakawapokea kama mateka ili kuondoa sintofahamu ya kile kinachotokea kule lisiwaingize lawamani jumla kwasababu hata wao hawajaweka wazi kwamba ni wafadhili wa m23 hivyo ji lawama kwao kukiri hilo. (4) Marekani ndio inatoa silaha kule Ghaza lakini hao hao ndio wanapeleka misaada ya chakula pale Ghaza. (Kaa utafakari kwanza hizi tuhuma usizichukulie poa.)
@DaviaLeroi6 күн бұрын
Acha kamdomo wewe
@samwelkayanda52046 күн бұрын
Kagame wanamsingizia tu kwa chuki zao na wamekusudia kumuangamiza ila wanasapoti M23 ndo wanaomchukia na kumchafua kagame ni nchi za magharibi
@ce-086 күн бұрын
Wanaokimbilia Rwanda ni walowezi wakitutsi ambao waliingia Congo kipindi Cha mauaji ya kimbali wanazaliana huko
@etonganoanzu38867 күн бұрын
Kwanini mazuri ya congo atuonangi kwenye Habari zenu lakini ikiwa ni m23 munakuwaga haraka haraka kuzitangaza kwanin nyinyi watangazaji wa BBC au na nyinyi ni ivyo muko upande ule wamabwana zenu umoja wa ulaya wana wapagia cha kusema na kupost mujuwe sasa ivi haki ya congo lazima itimie akuna ku cheka na yoyote yule tulisha juwa nyinyi wa BBC muko nyuma na m23 congo itapaki kuwa 🇨🇩 imara nyinyi ni wanafiki
@@etonganoanzu3886 bbc news wao nikutowa tarifa zinazoendelea dunian hawana mda wakupost post vitu vakijinga mim mwenyew npo africa ila sijawah kuona mazur ya congo najuwa vita tu na raia wanavyoteseka sijawah kuona wa congo wanakura bata labda waliokuwepo FRANCE.😃
@Nauminaumi_19845 күн бұрын
Mungu ataingiliakati kilakituminmungupekenyake tumuombe mungu pekeyake
@selemanimmeswa35567 күн бұрын
Sadec ;ahina jeshi
@LloydsTech6 күн бұрын
BBC ni wachochezi
@mtesigwamaugo82006 күн бұрын
Miriam anaongea Kiswahili au kiswanglishi 😅
@Colmz16 күн бұрын
hii ni bbc swahili au bbc kingereza?
@TheOtherMwalimu5 күн бұрын
Yule dada anashindwa sana kuongea lugha 🤣🤣
@hosearichard39137 күн бұрын
Wakongo wafike maahala wakue na biashara ya ushirika, yaani warusu mikataba jumuishi kati ya selikali na watu binafsi au mataifa maana kinachowagharimu hapo ni lasilimali walizikuwa nazo. Wakiendelea kukaza fuvu wataisha wote😊 12:19
@hopemwalemwale21006 күн бұрын
viongoz wa africa wanafk sana sudan wameitelekeza na raia wanakufa ila congo ndo inazungumuziwa sana kwa nn?
@JoyceAndason6 күн бұрын
Ongea. Kiswahili kwenye bbc shahili tu usichanganye English
@TheOtherMwalimu5 күн бұрын
Yule dada anashindwa sana kuongea lugha 🤣🤣
@gjlisa6 күн бұрын
Kama hujuii Kiswahili uende BbC English
@TheOtherMwalimu5 күн бұрын
Yule dada anashindwa sana kuongea lugha 🤣🤣
@SahilDorine6 күн бұрын
Wakongomani nandangantwa naviongozi wawo,,,aduwi atakupa hifathi?? Rwanda inalinda mpakaaa zidi ya FDLL waasi wamauwaji yakimbari ya mwaka 1994 duniyainajuwa warivyo fanya kosa ra Rwanda ni gani hapaaaa
@ThomasErro7 күн бұрын
hakuna maana ya sadc ikiwa haitaweza kuleta amani kongo
@kashindijohn51456 күн бұрын
Hiyo MONUSCO hawafanyi chochote pale congo, zaidi zaidi niku enjoy tu na kunufaisha nchi zao, in short wapo ki biashara zaidi.
Hii vita ya kongo ipo mikononi kwa kiongozi yupi hapa Africa ?
@ErnestBaluza17 күн бұрын
Vita y'a Kongo ni marikani n'a ufransa wakisapoti Paul Kagame
@Vianney-k9l6 күн бұрын
Tafadhali uniongeze ndani
@Vianney-k9l6 күн бұрын
Bwanae Goma inazungukwa na vita huku na kule pia bahari imefingwa sasa njia pekee ambayo inabaki nikupitia Rwanda kwakuelekea mahali pengine pote
@SattoMagodi3 күн бұрын
Umoja wamatifa isaidien congo watoto hawana pakwenda
@FelixMurishi7 күн бұрын
Nyie bila Kagame kuuwawa,ni shida😊
@AlfredHabimana-u7w7 күн бұрын
Wameungwa mkono na Rwanda wewe ulijua je we mtangazaji?
@gjlisa6 күн бұрын
Ongea Kiswahili msichana wakati unaojiwa ktk kipindi cha bbc swahili ili adhira yako iweze kukuelewa
@StanleyNguwa6 күн бұрын
Serikali za kiafrica viongoz n wasenge tu.
@Pemba2024-v8n6 күн бұрын
Marais wa bara la Africa waeke kikao haraka ili wamwite rais wa Congo ili awasikilize waasi M23 shida yao Nini ? ili Amani haraka ipatikane vita hadi lini?
@Pemba2024-v8n6 күн бұрын
Kupeleka majeshi mingi na silaha mnzito sio suluhisho la vita congo ila siasa za kidiplomasia ndio rasilimali
@ce-086 күн бұрын
Hapo wapigane tu ndyo suluhisho ili na Rwanda aonje tamu yakushambuliwa kutoka kwa adui wa nchi nyingne
@hopemwalemwale21006 күн бұрын
@@ce-08 jua Rwanda pia haiko pekee yake chokoza uone
@samwelkayanda52046 күн бұрын
Hao MONUSCO kazi yao ni nini sasa kama raia ambao hawana hatia wanauawa wanakua wakimbizi ndani na nje ya nchi yao na wenyewe wapo tu kwani wenyewe hulinda nini sasa
@OmarAweis-of7ru6 күн бұрын
Hakuna mazungumzo na m23 Ni Congo kushirikiana na wazelendo na kupambana nao uso kwa uso. Kwani kukiwa na mazungumzo wanarudi Rwanda na kujipanga tena na kurudi na nguvu mpya. Na Kama Congo watasaidiwa kupewa silaha nasi wapambane na hali zao na kufungua Rwanda kumpiga Kagame na WAO washirikiane na wahutu. Vikosi vya umoja wa mataifa ni wizi tu hawana msaada wowote pia WAO husemekana kuuza silaha kwa almasi au dhahabu
@shilakodeni28536 күн бұрын
Mimi nipo nashindwa kuwaelewa sasa kagame anakataha eti m23 sio watu wake kwaiyo wa naenda kuongeanini narahisi wa Congo
@MahmoodAbas-x2y6 күн бұрын
Ktk ma amuzi yao wasijichanganye Ku umaliza kwa kidiporomasiya Africa itakuwa imeshinwa watajuta badae.Wapigane mpaka mwisho.
Kama Rwanda kunaubaya mbona wakimbizi wakongo wanapokelewa acheni uchonganishi raisi wao nimsaliti tu anafanya yeye anasingizia Rwanda ashindwe
@florencenyaremezo61527 күн бұрын
Sio jesho la rwanda na watoto wa congomani wa merudi kwao
@NepporSabith7 күн бұрын
TUACHE kwendelea kuituhumu Rwanda ,Kam wanajeshi wa CONGO hawawezi kujirinda wakishirikiana mamruki wakizungu,SADEC,Na WAZARENDO,je mnataka nini kifanyike zaidi yamazungumzo ????
@josuensiama17777 күн бұрын
Wewe ni mnyarwanda , kwa mujibu ya wewe waKongo wauliwe kwa M23 ?
@christinewomanoffaith54796 күн бұрын
Pk unachopanda utavuna
@hillaryngowi6 күн бұрын
Aw
@salmonnestory7 күн бұрын
Huyo Miriam Otutu kanikera sana ushaambiwa ni bbc swahili unaenda kama mtathimini wa masuala ya kisiasa unachanganya lugha za nini? Kwamba hukujiandaa? Kanikera sana
@danwayne7867 күн бұрын
BBC ina faa kukagua wachambuzi kama wana fahamu lugha ya Kiswahili. Ama wapewe watafsiri basi.
@LucySimba7 күн бұрын
Je wakati watakaa kupatanishwa M23 au Rwanda yenyewe itakubali kuachilia Aldhi ya wacongo?? Kama hamna ni Rais wa Congo Aombe msaada kutoka Mataifa mengine Polo Kagame aache uchokozi
@esuthoby78657 күн бұрын
Ninyi waandishi wa habari, mnahitaji kujua historia ya huo mgogoro. Mnatakiwa kuelimisha nchi ambazo hazielewi huo mzozo. Nchi za ulaya zenye interest na congo wamebaðilisha mwelekeo, at rwanda wanataka madini,huo ni uwongo,wao ndo wanataka waendekee kuiba madini wakijidai wanalinda amani. Sasa hawataki hao wakongo wa m23 wanaozungumza kirwanda wafaidi mali zao.wanawaita warwanda kisa lugha.
@amaskaisimbi91306 күн бұрын
Sadec mwende kwenu pia kwenu wanawuawa kwawenyewe mumeshindwa kushugurikia wanainchi wenu ,mtashugulikia wakwetu. Mtakufia kwa hio zahawu ya congo. Kwanini Kagame akue kwahio mkutano Yawacongo?
@ErickWankuru6 күн бұрын
Wakongo amkeni nchi yenu inachukuliwa mbele ya macho yenu
@gjlisa6 күн бұрын
Miriam ogutu
@SerageSaide7 күн бұрын
Miriam otutu kanikera unaenda kama😂😂😂😂😂😂😂😂
@johnkjamal13176 күн бұрын
Kilakinamwanzo hakikosimwisho
@NoahDaudi-j7y7 күн бұрын
Vp
@sarrgodanaguyo38926 күн бұрын
Vita ya wafrica haita isha viongozi nidio wanafiki kugonganisha inchi kwa inchi nyingine
@adelikelivisadelikelivis90517 күн бұрын
Mambo magumu DRC Kazi kubwa ifanyike amani ipatikane Tumechoka kuona na kusikia vilio na mabom Africa ni ndugu 😢