umetishaaaaaa kaka ❤🎉sio mshabik wa rap lkn hii ni another level
@officialdripboy1392Күн бұрын
Asante bro dah🙏🙏🙏
@suleimansuleiman1127Күн бұрын
Ni noma sana
@officialdripboy1392Күн бұрын
Thanks bro 🙏
@HeppyTokc2 күн бұрын
flow na punch za Lunyaa❤
@officialdripboy1392Күн бұрын
Ndo tunajitafuta kaka inshallah tutatoka kwa lunya🙌🙌
@SwahiliAmbasador9545 күн бұрын
Hakikisha nidhamu iwe kipaombele chako mimi nilikuwa natafta jina lako finally nimekupata nataka nikuangalie ukikua mpk huko mbele zaidi kumbuka hii comment yangu mzk sio talent tu wapo wengi wenye talent lakin washa potea nidham uadilifu iwe kipaombele kwako makasiliko yasiyo na manufaa piga chini tunacho taka sisi ni mziki mzuri nenda sasa ukatuaminishe dunia kwa hiki ulicho sema unaweza pia mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa pambana pambana haijalishi utapitia yapi huko huko ndio kuna asali twende mwamba
@officialdripboy13924 күн бұрын
Asante sana bro na pia nitafanyia kazi ili
@Drimboy2554 күн бұрын
Big congratulations wakati wa MUNGU
@officialdripboy13924 күн бұрын
Pull up my gee
@IdolJay6 күн бұрын
Honger kaka ni hatua kubwa saaaan hiyo uliyo fikia so mikazo iendelee ni 🔥🔥🔥🔥
@officialdripboy13924 күн бұрын
Pamoja bro god did🙏🙏
@OGBUSTER-j1n2 күн бұрын
Nakukumbuka mwaang 🎲Hongera Sana nendaaa man,,,, nlikujaga na mask 😂
@officialdripboy1392Күн бұрын
Asante bro
@Prisca-ro6os4 күн бұрын
All the best son🎉❤
@officialdripboy13924 күн бұрын
Yes madam❤❤
@ethanethan44374 күн бұрын
Kaka nidhamu muhimu sana kaza bro uko poa
@officialdripboy13923 күн бұрын
Kabisa kaka bless
@bboyfax4 күн бұрын
M Sina neno
@officialdripboy13924 күн бұрын
Kabisa kaka
@MilamboKisauti3 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/gZaxnGqOnpuSqZYsi=V_fOhjLvRXK7-4vK hahahahjahh sikia zuchu na giggy money hahahahh