Ndugu zangu, mkiwa na nafasi ya kuenda na sheikh Yusuf basi msiachwe nyuma; kwani sisi huku n’g’ambo twalipishwa mara 3 ya pesa hizo.
@selemankishema57802 ай бұрын
Sheikh yusufu samahani lakini kama takukosea ni samehe lakini siku za nyuma ulikuwa ukituliwaza saana na ndugu zetu wa Palestinian yaani gaza na mauwaji sasa vipi mbona umekuwa kimya? Sisi tulikiwa tinawaidhika saana na faraja yako ya ukumbusho juu ya matukio hayo basi hebu usituwache kwa hayo yanayotokea gaza lau kwa kutupa mawaidha ya kutupa subira inshallah