Nampenda Sana Sheikh Muhammad Ayub, Allah amrehemu na amjaalie makaazi mema.
@braqutourssafaris46722 жыл бұрын
Wallahi machoz ya furaha yamenitoka Mashaallah.Allah akulipe kher sheikh wetu kwa hakika unatupa yalio bora kbsa.🤲🏻🤲🏻
@almuhtaramzamil2 жыл бұрын
Nilisoma TAMTA mwaka 1995 au 1996 kama sijakosea,Alhamdulillah nilihudhuria maziko ya Sheikh Muhammad Bin Ayoub Al Kamadhiy wakati huo nipo darasa la 6 katika skuli ya msingi Darajani,Tanga mjini. Allah Mtukufu amsamehe na amrehemu Sheikh wetu Muhammad Bin Ayoub Al Kamdhiy. Allahumma Ameen.
@hafanabdallah3112 Жыл бұрын
Mwenyezimungu amrehemu shekh wetu amiin
@hafanabdallah3112 Жыл бұрын
Namshukuru allah kwa kujaalia kuwa nimeipa fursa ya kusoma TAMTA shamsiyya Tanga kwa shekh muhammad ayyoub almakadhy chini ya uwongozi wa mudiri muhamed khatibu kigoda allah awepe kila kheri duniani na akhera nasie allah atujaalie miongoni mwao amiin.
@yusufuadamu54762 жыл бұрын
ما شاء الله، وجزاكم الله خير الجزاء
@almashally88023 жыл бұрын
ماشاءاللہ
@husseinmwanjela8644 Жыл бұрын
Allah amjaliye pepo shekh wetu kwa yote aliyoyatenda ameyn
@alhudatvkenya Жыл бұрын
amiin
@jaafarjacka33204 жыл бұрын
Maaa shaaa Allah maaa shaaa Allah maaa shaaa Allah twastafiid habeeb
@shekhally57413 жыл бұрын
Allah amrehem ishaallah kwa elimu yake na kazikubwa ya kufundisha dini. Aamin
@amanihepautwa94594 жыл бұрын
Maashaallah historia nzuri Allah akulipe kheri kwa kazi nzurii
@hajjisebeko9924 жыл бұрын
شكرا جزيرا
@donibrah90134 жыл бұрын
Maaashallah.......Allah amrehemu sheikh Muhammad Bin Ayyub.
@abdalahkhamis7052 жыл бұрын
Mashaallah mungu aturehem wote
@zahrahabib3973 жыл бұрын
MashaAllah Allah amrehem shekhe wetu
@herson93434 жыл бұрын
Hongera Sana shekhe kwa kutuandalia kipindi Bora Kama hiki
@musbahuksa1474 жыл бұрын
جزاك الله خيرا وبارك الله فيك اخي الأستاذ
@ramayasly45843 жыл бұрын
Asalaam aleikum sheikh wangu. Mimi noamba mtupe habari zao kwa ulefu na upana wa nazuoni wetu hawa pamoja nakarama zao tafadhali naomba sababu zinatujenga imani zetu
@abasisabuni38834 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Jazakallahu khayran Ustadh Hassan Allah akulipe kwa kutufikishia elimu hii Allah amekujaalia ufahamu na ujuzi wa kuwasilisha mada
@shazminal-moddy23173 жыл бұрын
Shukran habib
@KhamisAbdallah-ki3zr5 ай бұрын
Aslm alykm naomba nimuone Sheikh Ali Gunda Seneda
@rashikasid21053 жыл бұрын
Allah akupe afya njema na akuzidishie elimu. Situ umetuongezea kumjua Shekh bin Ayuub Bali umenyesha mapenzi ya dhati kwake, nasisi hatuna njia zaidi ya kukuambia tunakupenda zaidi. Allah akulipe badali iliyo bora zaidi kwa mali na muda ulioutumia ktk hili jambo kubwa na muhimu.
Sikiliza Simulizi ya SHEKHE SULEIMAN MBWANA WA ZAHARAU kzbin.info/www/bejne/mWq1ZYKOjch9i7c
@samsungj7pro64gb54 жыл бұрын
Allah awarehemu Allah humma amini
@abdallahismael39934 жыл бұрын
Asalam aleikum je sheikh al moody hi elimu yote waitoa wapi ipo vitabuni na vitabu vipi ? Twashukuru kwa elimu
@husseinalmoddyhusseinalmod59514 жыл бұрын
Ni utafiti na kupenda kusikiza hadithi za watu wema Habib
@ramayasly45843 жыл бұрын
Historia ya sheikh Abdul kadir jeilan kwa ulefu na karama zake alizojaliwa na Allah
@omarayoub65644 жыл бұрын
Baba Yangu Alhamdulillah
@rajabkigole95904 жыл бұрын
Inapendeza san
@shabannyange22194 жыл бұрын
Tuletee na historia ya Sheikh Suleyman bin Mbwana wa Zah-rau
@kibwanajuma67644 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh kwani hata sisi elimu yetu ya dini ni kutoka kwake tukiwa wanafunzi wa ustadh Harun Mombasa ambaye ni mwanafunzi wa sheikh
@andyruiz51674 жыл бұрын
Asalam aleikum.Mtu yeyote anaishi eneo la south b maghrib ni saa ngapi siskii adhan kwangu.
@TheSalimMash3 жыл бұрын
South b ni katika nchi gani?
@faisalmohamed7272 жыл бұрын
Urongo mwingi na kupenda sifa sawa na wanaodai usharifu wanavojipa sifa.
@athumanikaroyo59994 жыл бұрын
Tamta ilikua taasisi ya mjumuiko ya mashekhe wate wa tanga wengine awakutajwa na swali kubwa ilikuaje abaki yeye wenzake wakaondoka ilikuaje na walikua wataalamu zaidi na tanga akuna kabila la tanga alikua mdigo tu japo ataki kujinasibu usegeju akuna
@cadhimberec12864 жыл бұрын
Mhm🙄🙄subir cku tukifufuliwa utaenda kumuuliza hayo maswali yako kuwa na subira inshallah
@athumanikaroyo59994 жыл бұрын
Ukuulizwa wacha kukurupuka uyo sio mtume sisi pia tunaijua sana iyo storia alitumika sana na serikali kina shekh sulmani bin mbwana alikua mjuzi zaidi yake na wapo wengi tu fitna ilifanyika
@cadhimberec12864 жыл бұрын
@@athumanikaroyo5999 🤔 imebaki story naww tafuta channel KZbin utupe story . Allah amuweke pema kwenye wema shehe wetu kipenz Allah ww ndye unaejua ya sir na ya dhahir
@shamsiyyahtamtatv29924 жыл бұрын
Kwani angekuwa mdigo,,,kungekuwa na shida gani,,,,? Au wadigo wachafu?,,,,,,,,kabila la kidigo halinashida ndugu yangu ni tabia ya mtu tu,,,,,,,na kama huyu ustadh kaamuwa kutafuta historia za masheikh,,,wewe usimtie unyonge watu
@omarayoub65644 жыл бұрын
Sheikh Amezaliwa mwaka 1916. Mwambani.
@TheSalimMash3 жыл бұрын
Kijiji cha mwambani ni kusini mwa mji wa Tanga,upande wa njia ya pangani
@saadnaseer9514 жыл бұрын
Kip finikizuri lakini hunan uzoefu
@duniaileile55224 жыл бұрын
Nzi binaadamu wana akili za kukosoa tu
@أبوفيصل-د3ش4 жыл бұрын
Tv yenu inatangaz kufru na shirki ndo imetawala ni haram kuitazama
Ungetoa ushahidi wahiyo qufru UKIP iyona siohabari za aqida
@yahkiwera36113 жыл бұрын
Kufruhapo ipowapi kwahiyo ilmu ulionayo wewe hebu tusaidie qufruipowapi
@أبوفيصل-د3ش3 жыл бұрын
@@yahkiwera3611 Hii TV imamilikiwa na Masufi ,Hawa ni watu wa Batwili. Itikad zao chafu na mbovu pia ni watu qa Bidaa. Itikadi Ya ushirikina Wana mambo ya Nyota na Utabir wake.Ramli Na itikad nyenginezo