Safari ya Zuchu, Mbosso kimataifa imegonga mwamba ndani ya usimamizi wa WCB?, haya ndiyo usiyoyajua

  Рет қаралды 2,877

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 30
@yassirsamir5110
@yassirsamir5110 5 сағат бұрын
Mdogo mdogo Bro watafika safari Ni Ndefu 💯💯💯
@Ali-gq3fb
@Ali-gq3fb 5 сағат бұрын
Diamond alijifunza mengi pale alipowapeleka harmonize na rayvanny kimataifa mwisho wakaingia tamaa wakamkimbia na kumtukana kwa juu na ukiamgalia ata hao kondegang na nextlevel wanaogopa kuwapush wasanii wao coz wanajua wakiwa wakubwa watawakimbia
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile Сағат бұрын
Kwani alikua hanufaiki mbona unaongea vitu ambavyo havina maana wewe wale ni juhudi zao binafsi afu mboso Anaimba mziki aina Moja sana zuchu alianza kumchiti mond
@Sunflower001-xt3ou
@Sunflower001-xt3ou Сағат бұрын
Basi angewacha ku sign wasanii, kushinda kufungia wenzake njia akumbuke hao vijana wamemuamini na talent zao , wako pale kukwamua familia zao , na wanakata 60% yao , hio ni dhulma na hata yeye Mungu hatomfungulia
@12345678938129
@12345678938129 2 сағат бұрын
Diamond ana Akili sana tena anaona jinsi akiwafikisha international wanajiona wakubwa kama yeye na kuwa wapinzane wake. Amejifunza kitu 😮😮😮😮😮😮
@AsheruNajimu
@AsheruNajimu 2 сағат бұрын
Best recap💯
@KamalAbdousaidi
@KamalAbdousaidi 3 сағат бұрын
Wandishi wa bongo mnakariri sana na namba za youtube wengine huko wapo bize na mauzo ya Platforms zingine zinaolipa vizuri na shows kwenye nchi tafauti
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 Сағат бұрын
Mboso ni mswahili sana, halafu zuchu ni utoto sana, so hawezi kwenda kimataifa
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile Сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉unaakili sana
@Sunflower001-xt3ou
@Sunflower001-xt3ou 13 минут бұрын
Zuchu Ana utoto ungewacha chuki ungeelewa movements za zuchu 😂😂😂😂, hakuna msanii Ana akili pale wcb kama zuchu
@alphoncemtahuka9938
@alphoncemtahuka9938 4 сағат бұрын
Kwasasa kimataifa ni ngumu kwakua akiwapeleka wanamkimbia ko wakibaki nyumban ukimkimbia huezi toboa kimataifa ko utafia hapahapa
@nabukyeKanefu
@nabukyeKanefu 4 сағат бұрын
Lava lava anajuwa mpubavu
@Sunflower001-xt3ou
@Sunflower001-xt3ou 55 минут бұрын
Lakini hao manager lazima wapitishwe na the main management, hawawezi fanya maamuzi wenyewe, they should give flexibility kwa managers wa wasanii wao ,
@mzeezidane4060
@mzeezidane4060 3 сағат бұрын
Giant man ameongea ukweli
@SifaEmma
@SifaEmma 2 сағат бұрын
Harmonize Mzee Popo ameroga accounts za Wasanii wa WCB kwenye youtube..eti Kimataifa !!!!!!❌❌❌❌😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Sunflower001-xt3ou
@Sunflower001-xt3ou 57 минут бұрын
Kwanza zuchu wanamchelewesha sana , wanataka ku.geuza kama mbosso ana hit tu east africa ,zuchu is being wasted, hata simba aliwacha kupost ngoma za zuchu kabisa ,sijui ndo anaogopa kuambiwa anapush mwanamke wake, ila wanatumia nguvu nyingi kwa mbosso, zuchu anajipambania sana kama si bidii yake ange sha shuka
@ogdosho93
@ogdosho93 5 сағат бұрын
Lavalava ndo mkia😂😂
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 4 сағат бұрын
Kimataiafa😂😂 EastAfrica kufika Kimataifa bado safari Ndefu sana
@Sunflower001-xt3ou
@Sunflower001-xt3ou 14 минут бұрын
Ila mkiongea msi sahau wasanii magumu wanawapitia kwenye label kuna vikwazo Vingi, kama zuchu collabo na kina adekunle aliwatafuta mwenyewe,msilaumu sanaa wasanii.
@Insumbazose
@Insumbazose Сағат бұрын
Jacob ametisha kwenye vitu hivi
@muslimdafatima8003
@muslimdafatima8003 4 сағат бұрын
Wakirudi utaifani wanamtukana boss
@KamalAbdousaidi
@KamalAbdousaidi 3 сағат бұрын
Mbona kwenye interview ya pale aéroport alisema kollabo alizitafuta mwenyewe na amelipia kila kitu mwenyewe ila wakina zuch na mboso wanalinda diamond ndo alifanye kilakitu kwahio watachelewa
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile Сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉konde jitihada binafsi
@KamalAbdousaidi
@KamalAbdousaidi 20 минут бұрын
Y​@@PhillyAmbilikilesana
@veronicamccollin8212
@veronicamccollin8212 Сағат бұрын
Translate please!
@glowingspirit606
@glowingspirit606 Сағат бұрын
Mmesexualize sana hii big 3 mfanye na ya wadada.
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 4 сағат бұрын
Mnaendelea Kukariri tena Unasema wakitaka Msanii yoyote akitaka Collaboration kwa Wasanii wa Africa anampata. Unajitekenya na kucheka Mwenyewe unafikia hao kina Burnboy sijui Rema wanapatikana Easy kama hivyo? alafu kama yeye Mwenyewe Mkubwa why awatafutie Collaborations na Wasanii wa Nchi nyengine? So awapeleke Mwenyewe kimataifa?😂😂
@ericnzaro9138
@ericnzaro9138 3 сағат бұрын
Wewe Basi Ni zuzu kweli. We kwa akili zako ndogo unafikiri wiz kid angefika international kwa kufanya colabo na Vybz Kartel pekee?
@AsheruNajimu
@AsheruNajimu Сағат бұрын
Hauna hoja kiongozi collabo zipo sio lazima hao
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Сағат бұрын
@@ericnzaro9138 Matusi ya nini Tena hapa Zuzu wewe? Kama Boss wao mkubwa tena wasanii wengine wa nini?
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 126 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН
KELVIN POWER (KIZZDANIEL BOUNCER) ON CURIOSITY MADE ME ASK !
13:39
BLORD ON CURIOSITY MADE ME ASK !
25:28
Isbae U
Рет қаралды 276 М.
🔥 Венгалби 2 БАКА В ПРИОРЕ?!
0:16
The Yougram
Рет қаралды 3,9 МЛН
Кайф 😍😍
0:49
Gadzhiagaews
Рет қаралды 1,3 МЛН
Turtles or Snakes- Which Do Cars Swerve to Hit More?
0:53
Mark Rober
Рет қаралды 25 МЛН
Безопасный Fiat 500 для школьников
0:17
ЛАЙФСТОРИ
Рет қаралды 3,3 МЛН
Угон Старого Опеля
0:31
Bum Shorts
Рет қаралды 1,3 МЛН