GPS: ISRAEL yajiandaa kulipiza kisasi kwa IRAN baada ya kushambuliwa kwa Makombora ya Masafa Marefu

  Рет қаралды 14,909

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 329
@EmanuelMkongwi
@EmanuelMkongwi 5 сағат бұрын
Long life sns👍🏽💥
@MaulidiNduta
@MaulidiNduta Сағат бұрын
Hongera sana Kwa uchambuzi wenu mzuri.Tunajifunza mengi kutoka kwenu.
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 4 сағат бұрын
Daaah nimefurai Sana kuona full video ya GPS kwenye Facebook vizuri 👏👏👏👏
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 4 сағат бұрын
Leo nampa ushindi dj smaaaa😂
@golebenson4597
@golebenson4597 5 сағат бұрын
Masubu🎉 unajua uchizungmza hongera kaka uchambuzi nimzuri hauna ushabiki 🎉🎉🎉 masubi
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 сағат бұрын
Kabisa aisee jamaa ni yuko katikati hana upande kabisaa kama SMA
@suleymuntar3544
@suleymuntar3544 Сағат бұрын
Nyinyi ni wapuuzi hamuuoni upande wake kwa sabab yuko upande wenu sio acha kila mtu awe upande wake as long as unaakili timamu unajua kipi sahihi kipi sio sahihi
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 Сағат бұрын
Tulisemaga tuko mwanzo kua , Masubi mtu na nusu hamkuelewa .. hayupo drived na emotions
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Сағат бұрын
Wacha tuone itakuaje ila Israhell na Shaytanyahu mara nying hua haimsikilizi mtu hata bwaanke anaempa kila kitu
@MfikaMkumbwa
@MfikaMkumbwa 5 сағат бұрын
Muko vzr sana, Asante sanaa kwa taarifa
@ahmadabdu2998
@ahmadabdu2998 5 сағат бұрын
Ally na Smaa mpo vzry snaaa 💪💪
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 6 сағат бұрын
Shukrani Tupeni habari.
@HassanLumuliko
@HassanLumuliko 5 сағат бұрын
Hongera mnachambua kwa uhalisia bila kupendelea.
@suleimanmselemsuleiman935
@suleimanmselemsuleiman935 4 сағат бұрын
Wanafeli uharibifu mkubwa umefanyika hawasemi na hawaendi deep hawa kina SMA.
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 4 сағат бұрын
ridhika na unachokipata, majamaa wanafanya kazi kubwa sana🎉🎉🎉
@athumanshaban
@athumanshaban 4 сағат бұрын
mko vizuri sana kuliko chanel yoyote inayozungumzia siasa ila mgelekebisha utoaji Gps maana kunalipoti inatoka juma nne nyie mnakuja kuizungumzia juma tatu unakuta imesha poa tunajua kazi mnayofanya ni ngumu ila mngejitahidi kuwa mnatoa Gps angalau kwa wiki mara 2 tunawapenda sana natupo nyuma yenu hata kwa kidogo tulicho nacho tutawasapoti msichoke kila kipindi mue mnatutajia namba
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb 3 сағат бұрын
Me nadhan 2kubaliane kwamba mchambuz wetu ni masubi ...yupo katkat..haoneshi mahaba...asante
@josephm4233
@josephm4233 2 сағат бұрын
Timu yote ya GPS iko vizuri, tusiwagawanye wachambuzi wetu
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm Сағат бұрын
Sehemu kubwa wote wako vizuri
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 Сағат бұрын
Ni masubi ndio yupo kati .. Henry anaendaga na upepo .. hasipokuwepo Smaa Henry anakua katikati japo mizqni inaegemeaga Israel ..
@bashiryusuph7109
@bashiryusuph7109 6 сағат бұрын
Leo mapema sana, hii habari imesubiriwa sana na wadau
@ahmadabdu2998
@ahmadabdu2998 4 сағат бұрын
Aisee Smaa🙌🙌
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 2 сағат бұрын
Smaa your every intelligence 👏
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 сағат бұрын
Uko vizuri kaka dj asmaa umegundua kwa hawana uwezo wowote bali wanaplopaganda t
@FilbertRobert-e4u
@FilbertRobert-e4u 33 минут бұрын
Asanteni sana kwa taarifa wajomba
@kenbertkikonde-yx2dj
@kenbertkikonde-yx2dj 5 сағат бұрын
Safi bro endelea kutuhabarisha tuko pamoja.
@KraudiJinioro
@KraudiJinioro 6 сағат бұрын
Nawapenda San
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 5 сағат бұрын
Nawakubali sana wazee wa kazi hapo mjengoni
@hameedm8361
@hameedm8361 6 сағат бұрын
Iron dome ilifeli😂😂 wacha stori nyingi hata makombora ya hamasi yanapita
@rehemahamza-l5u
@rehemahamza-l5u 6 сағат бұрын
Leo mapema nilisubili kwamuda sana sema Henry nae uchambuzi wake mzuri
@kalekela-j1e
@kalekela-j1e 4 сағат бұрын
Mungu awabariki sana wana GPS
@ZamgoyadanielZamgoya
@ZamgoyadanielZamgoya 5 сағат бұрын
Yan aly masubi anajifnya mjuj sna
@mahmoudmzee-pr3vs
@mahmoudmzee-pr3vs 3 сағат бұрын
Sio anajifanya watu wanajinza ndugu yang
@NyanchokaChacha
@NyanchokaChacha 6 сағат бұрын
Hongera sana GPS
@yasinikimangale1472
@yasinikimangale1472 6 сағат бұрын
Tunawapata vizur sana
@ReyzDon
@ReyzDon 4 сағат бұрын
DJ Sma anachambua kishabiki Sana tofauti na Ali masubi
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 3 сағат бұрын
Cio mmj ukwr unatakiw kusemwa
@allyslim7774
@allyslim7774 3 сағат бұрын
sawa ila mimi uwa napendaga sana kusoma coment za watu na majina yao ili nijue upande wao ktk aya mambo ya mashariki ya kati utagundua tu apa uizrael na uharabu asa hawa watanzania wasielewa izrael vzur
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 Сағат бұрын
Lipo wazi, na ndio sifa ya Mchambuzi wakimataifa yeyote yule hapaswi kua drived emotionally... Uzuri wote waislamu, tuwaachie wenyewe wajitathmini
@nyandwirulaye7031
@nyandwirulaye7031 29 минут бұрын
Bro,nafuatilia kwa karibu sana.
@abdulsalamy9872
@abdulsalamy9872 26 минут бұрын
Dj smaah uko vzr kwa uchanbuzi
@HajiHaji-w2n
@HajiHaji-w2n Сағат бұрын
DJ Sma, upo sahihi sana pia hesbullah Nasrallah alikua ni kiongozi wa kisiasa, lkn ktk military structure yao, kuna kiongozi wa siri ambae wamesema hawamtaji hio ndiombinu wanayoitumia tokea auliwe Nasrallah
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 6 сағат бұрын
Henry akikosekana hainogi Sana
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 2 сағат бұрын
Safi sana kwakutupa habari.
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 5 сағат бұрын
Dj sma umerudi nyuma sana kiuchambuzi sijue una tatizo gani my young brother
@golebenson4597
@golebenson4597 5 сағат бұрын
Kwa Sasa anadili na ndinga za kisasa anakula Bata kiasi then atarudi sawa.
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 4 сағат бұрын
Umezoea kusikia habari unazozitaka
@mussalusinde1022
@mussalusinde1022 4 сағат бұрын
Smaa labda haupo makini nae tu mzee wa kujoini doti
@mussalusinde1022
@mussalusinde1022 4 сағат бұрын
Labda haupo makini nae tu Dj smaa ni mzee wa kujoini doti
@mahmoudmzee-pr3vs
@mahmoudmzee-pr3vs 3 сағат бұрын
Sma bado Yuko vizur tega aikio
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 6 сағат бұрын
Niliona tweet ya msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari aliwaambia raia wa Israel waache kupost picha za madhara ya makombora kwamba wanawapa Adui yao Ushindi
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 5 сағат бұрын
😂😂😂😂
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 5 сағат бұрын
Hawataki wa inje wajue 😂😂
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 4 сағат бұрын
@@JeannetteManirambona-o6m yaa 💯
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 2 сағат бұрын
😂😂
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra 6 сағат бұрын
Ilikua Naisubiri Sana Hi Cku Aky yañi Leo Angekosekana Dj Smaa Ngekua Kama Mchuzi usio Na Chumvi😂😂😂😂
@domajosep3797
@domajosep3797 3 сағат бұрын
Hongeleni sana
@LusajoJuma
@LusajoJuma 5 сағат бұрын
Nimesubir sana aisee hii sehemu
@ManusuraWalumona
@ManusuraWalumona 5 сағат бұрын
Unajua tena tim yako ikiwa uwanjani unavyo kua nafuraha ya kujua matokeo ya mechi naam mmetuambia kua mnatundalia mambo mazuri zaidi niseme tu!kua tupo katika intidhar tuko pamoja5/5❤
@Gulfnas1
@Gulfnas1 5 сағат бұрын
Tumekubaliana Iron Dome sio kma tulivyo ambiwa 🎉
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w 3 сағат бұрын
HONGERENI SANA LKN NAIOMBA SANA SEREKALI YETU IMCHUKUE ALI KWENYE JESHI LETU LA TZ ANA KITU KIKUBWA UYU ATASAIDIA MENGI SA
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 57 минут бұрын
Ni mtu na nusu huyo .. anajua anachokifanya
@khafidhabdi2502
@khafidhabdi2502 42 минут бұрын
Brother sky,mualike prof Hamza Njozi,tuchote madini yake pia kwenye GPS
@husseinmohamed1223
@husseinmohamed1223 3 сағат бұрын
SNS NA GPS ni kiboko ya online TV na uchambuzi wa Habari za kimataifa! Mpo juu sana
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 6 сағат бұрын
Nimeisubir kwa ham xan GPS
@AGM19697
@AGM19697 5 сағат бұрын
Ally Masubi pia anajua vizuri anachoongea, ni mchambuzi anayezama sana ktk kutafuta details internationally na kuzichambua
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 6 сағат бұрын
Israel haijawahi kuishambulia Iran kwa kulipiza kisasi ama kwa uchokozi ndani kabsa ya ariidhi yao, ismail haniel hawakukili wala kukataa kwahyo inaonesha kuwa bdo nikitendawili kwa mzayuni kuvaana na muwajemi kivitendo pasipo kutumia ujasusi wa CIA&MOSSAD
@MohammedSaleh-t5h
@MohammedSaleh-t5h 2 сағат бұрын
Good job guy's
@disanatv4485
@disanatv4485 6 сағат бұрын
Apa sawa, Watu wa Maana kabisa Say ALAAAAAA kama umependa hii GPS.😂😂😂
@mozamoza3960
@mozamoza3960 2 сағат бұрын
Mungu ajalie tuu wasimuuwi Kaminei
@FilbertRobert-e4u
@FilbertRobert-e4u 4 минут бұрын
Hiyo ni kweli make mpango uliopo ally hamenei yupo target
@JohnLemanya
@JohnLemanya 5 сағат бұрын
hongelaka
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 6 сағат бұрын
Makombora matano yamerushwa kutokea rebanon nakupiga katika viunga vya bandari ya HAIFA Israel nakujeruwi watano, bado israel inafanya uchunguzi kujuwa ni vipi makombora hayo yamefanikiwa kupenya katika mifumo ya ulinzi wa anga
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 6 сағат бұрын
Kiuweli ulinzi wa Israel ni mbovu kupitiliza kila siku makombora ya Lebanon yanatwanga base za Israel
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 6 сағат бұрын
Tulia dawa iwaingiee vizuri
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 сағат бұрын
@@saleemsuleiman2220 ukitaka dawa ituingie kalipize kwanza huko tehran
@benardmakori4012
@benardmakori4012 3 сағат бұрын
Dj sma nimeamini si mchambuzi ila ni shabiki tu hana uhakika ama usahihi wowote na kile anachongea😂
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 53 минут бұрын
Is not the Master of his own emotions ..
@barakaphilemon9538
@barakaphilemon9538 Сағат бұрын
Ali yuko vizur sana
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 55 минут бұрын
Anajua huyo ..
@UUWF
@UUWF 6 сағат бұрын
Namsubiri ally masubi jitu la miraba 4 Huyo jamaa alipaswa awe America comand
@DeeJuma-dj1tb
@DeeJuma-dj1tb 6 сағат бұрын
Love over the gold
@mnomatvKE
@mnomatvKE 6 сағат бұрын
Mapema ndo best
@spearnyondo4590
@spearnyondo4590 Сағат бұрын
That picture of Benjamin running is an old picture.....that is when they where voting search....
@SeifMassoud
@SeifMassoud 45 минут бұрын
Unajua mimi nataka niulize suali, Watu wakiongelea ulinzi wa anga wa Israel wanasema one of the best air defence in the world, Amepigana na nani mwenye nguvu ukapimwa kweli kuwa ni best in the world? Au marocket ya hamas na Hizbollah
@TheBabel
@TheBabel 5 сағат бұрын
Kuna taarifa ilitolewa na CNN kwamba imebaki 48hrs ili Iran iwe Nuclear power
@kalekela-j1e
@kalekela-j1e Сағат бұрын
Uongozi wanao ndugu yangu. Ndio kwa mana majeshi ya ardhi ya Israeli hayajaingia Lebanon
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 сағат бұрын
GPS nawasifu lakini nyinyi jamaa anti Israel taifa teule 😁
@BrightBautSoldierMhone
@BrightBautSoldierMhone Сағат бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏
@khalidbelhasa2137
@khalidbelhasa2137 6 сағат бұрын
Kwanza Tukubaliane na Dj Smaa Kuhusu. Irone Dome, sio ulinzi bora kama tulivokua tukiaminishwa. Dj Smaa Alikua sahihi.
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 6 сағат бұрын
Western media wanasifia tu 😂😂😂
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 5 сағат бұрын
Iron dome ni ubora zaidi duniani....awo ana bisha ba hawo wapo kwenye upande wa ushabiki fulani. Ndio dunia haina kila kithu asilinia 💯 kwa Hawo washayenda shule hawezi kubisha ili.....bada Irani kurusha ballistic missiles kwa dakika 12 nakuongia anga ya Israel,ni mangapi ma missiles ya Iran yalifanikiwa kulenga targets? Yaliuwa muntu moja nae tena mu Palistina ilikuwa kipande si bom lenyewe bada la kutunguliwa na Iron dome. Pia mufaham Iron Dom leaves system hakuna inchi ingini dunian anamiliki zaidi Israel na Mu American..walitenfeneza ni ma Israels. Je ku kama Israel inchi idogo ki geagafia ilikuwa bila mu fumo huwo wa Iron dome....leo habari ilikuwa ingini ashafutwa. Sasa kwamutazano wenu wana GPS Israel ikuamuwa kurusha ballistic missiles sawo Mia 2 kama vile Iran 🇮🇷 ku Iran inauwezo waku Linda anga yao kama wa Israels 🇮🇱? Kuna semekana 7 ballistic missiles out of 181 ndizo zilifanikia kupenya Iron dome. Kwa huwu mtazamo maana yake Iron dome ni mfumo uzili kwa asilinia 93%
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 5 сағат бұрын
​@@saleemsuleiman2220Hapana ni mfumo uzurj sana duniani ata Mu arusi anautafuta....bila uwo mfumo Israel ilokuwa ishafutwa...apa dunian
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 4 сағат бұрын
@@paulvimbamvula9508urusi atafute iron dome??? Umekunywa togwa nini… kwanza usikute ata hujui iron dome ina zuia makombora gani
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 3 сағат бұрын
Pitia lebanon, Yemen kisha Palestine alafu uje kucoment hakuna kinga yeyote yenye 100% duniani anzia sabuni, condom mbka makombora
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 55 минут бұрын
Ali tuseme bado mifumo ya Israel imesaidiwa kukingwa na marekani uingereza,France,na Jordan na pia zimepenya kwyo bado iron dome inasaidiwa na majirani lkn pia zimepenya.
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 6 сағат бұрын
Hatimae GPS imefikaa
@lionroot4073
@lionroot4073 6 сағат бұрын
Wana nilisubiri na kusubiri tuko pamoja from Sweden
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 6 сағат бұрын
Sweden 😂
@worldviraltravellerspecialist
@worldviraltravellerspecialist 4 сағат бұрын
Yo Uko mahali gani Sweden
@Sultanrawahy
@Sultanrawahy Сағат бұрын
Dj smaaa❤
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 4 сағат бұрын
Mimi kitu nilikuwa nasubiri nione zile kauli za Hezbollah wakizuru raia wetu na Sisi tutazuru raia Wao🤔
@shaibmahamudu8622
@shaibmahamudu8622 2 сағат бұрын
Pamoja
@ALLYLUKONGE-ve2ci
@ALLYLUKONGE-ve2ci 5 сағат бұрын
Gps huraaaaaa
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 5 сағат бұрын
Ali masubi leo umechambuwa kwa kina😂
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 5 сағат бұрын
Endeleeni kutupa ukweli jamani habari nyingi tunapewa ni za uongo
@Williamstozzo
@Williamstozzo 6 сағат бұрын
Dj smaa daaah ,,,unafanya kama watu wengine hawajui chochote kinachowndelea
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 6 сағат бұрын
😂😂
@ReyzDon
@ReyzDon 4 сағат бұрын
Kaka Ali kuna mtanzania alienda Israel akasema kwamba taarifa ya vita kutokea baina ya Israel na hamasi walipema kabda ya hata vita yenyewe kutokea so nimipanga ambayo imepangwa mda mrefu
@rajdaboy
@rajdaboy 25 минут бұрын
Nikiwa Nairobi Kenya nawapata GPS
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 6 сағат бұрын
Nimesubiri sn iii swala nikiripoti kutoka apa USA 🇺🇸. Nitatuoa mtazamo wangu apa
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 6 сағат бұрын
Muislam akifa katika kupigana jihadi akifumba fumbua yupozake fildaus ila mazayuni wakifa tu finari jahanam viva muslim viva wapenda haki ❤
@Williamstozzo
@Williamstozzo 5 сағат бұрын
Haha
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 сағат бұрын
Kweli kabisa nilimuona yule shoga akikimbia kutoka kwenye nyumba
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 сағат бұрын
Sijambo
@suleymuntar3544
@suleymuntar3544 3 сағат бұрын
Sky unatoa taarifa nusu nusu ulianza taarifa ya wanajeshi wa israel walitaka kufanya ground invesion kilichowakuta wanajeshi hao hujasema umeruka au kwenye taarifa yako aikuandikwa
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 5 сағат бұрын
Mhhhhh mi naona bora waelewane
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 2 сағат бұрын
Henry leo yoko wapi
@yuscoramadhan8462
@yuscoramadhan8462 48 минут бұрын
Tunao fuatilia 2ache mapenzi hayana faida kwe2 tufuatilie kwa ajili ya kujifunza
@Williamstozzo
@Williamstozzo 5 сағат бұрын
Masudi uko sahihi,,, kuhusu iran.marekani na israel wanamtaka Iran na Wala Soo hesbollar.idf kwa sasa wametengeneza kitengo maalumu kwa ajili ya Iran
@UpdatesDocumentariesTv
@UpdatesDocumentariesTv 6 сағат бұрын
Mh...haya mapigano ni endless Kila kukucha jipya
@henrymatebe
@henrymatebe 4 сағат бұрын
Binafsi naamini makombora ya Iran hayajaleta madhara ya ki vile kwa Israel, Ila Iran itashuhudia vituko vya mabigo kutoka Israel
@kamilagwajuma8384
@kamilagwajuma8384 6 сағат бұрын
Dah at last
@kalekela-j1e
@kalekela-j1e 3 сағат бұрын
NDEGE ZA ISRAELI ZITADUNGULIWA. Kumbukeni Iran alivyokata mawasiliano ya ndege za Marekani na Iran akaziongoza mwenyewe. Kumbukeni namna ndege ya thamani kubwa ya Marekani ambayo iliaminika haiwezi kuchukuliwa na rada wala kupigwa picha, lakini Iran aliipiga picha. Iran kadungua ndege nyingi sana za thamani za Marekani.
@kalekela-j1e
@kalekela-j1e 2 сағат бұрын
Ndugu zangu, Marekani atapigwa Mashariki ya Kati. Maslahi yake yote yatachomwa moto kabla ndege zake hazijafika Iran. Aminini hivyo
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 3 сағат бұрын
Kwan urus mbona mmeisusa sana au mshahongwa,mnaanza kuringa
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 сағат бұрын
Uko sahihi hawana ulinzi wowote wala hawanauwezo wa kivita bali wanajitngaza tu kupitia vyombo vyao vya habari maana wao ndio wanaotupangia cha kuskiliza lakin hawa urusi na iran na china na korea ambao hatuja wahi kuwaskia kwenye vyombo vya habari ni hatari kuliko marekani na washirikina wake na
@Kokubrm
@Kokubrm 6 сағат бұрын
Nimechoka kuona hizi vita dah! Hamna vitu positive kweli mitandaoni, ambayo inawafanya watu wajisikie vizuri zidi ya vita na vifo kila siku kila kona.
@AGM19697
@AGM19697 6 сағат бұрын
Wala usichoke hizo, zitakuwepo mpaka siku Yesu Kristo atakapokuja kuhukumu Ulimwenguni wote
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 6 сағат бұрын
Issa bin maryam​@@AGM19697
@golebenson4597
@golebenson4597 5 сағат бұрын
Acha wazichape kwani Kuna ubaya Gani mbona waliwanyanyasa babu zetu
@kalekela-j1e
@kalekela-j1e 2 сағат бұрын
Dj Sma anazungumza ukweli.
@mobutu3884
@mobutu3884 Сағат бұрын
Ukweli upi ambao yeye ameuona peke yake 😂 kwani sisi unadhani hatufatilii 😂, yeye huyo anachofanya anahis ila hana uhakika kwa kifupi anaunganisha dot, anayeongea ukweli ni masubi tu 😂
@hamismiraji3591
@hamismiraji3591 6 сағат бұрын
Rudia taarifa za presstive kuhusu mashambulizi wamethibitisha kutumia hypersonic missile
@KessyMkali-ol5hi
@KessyMkali-ol5hi 3 сағат бұрын
Nimesikia Ali. Kasema Israel wanapiga Hezbollah wasijibu. I think it is not well an option kuto kujibu. Israel ni muoga kuuwa wanajeshi wake. Inabidi ndiyo maana Hezbollah wana counter attacks piga nikupigie. Kwa hiyo wanachofanya Hezbollah ni sahii kujibu kwa mimi.
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 37 минут бұрын
Na mpaka saivi inainekana israel hamuuwezi iran bila marekani ,sababu hii. Ni mara ya p2 kupigwa na iran. Kw. Mtindo huuo llkn bado hajibu na akijib just afanye kitu kidogo aonekane kafanya.
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 сағат бұрын
Iyo meli wakipeleka pale ya kubebea ndege itashambuliwa tu😂
@nickbrown8350
@nickbrown8350 6 сағат бұрын
✊👊
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 сағат бұрын
Dj asmaa umekigundua hiko kitu ambaxho wengi wanajua kile wanacho tangaziwa na magharibi na marekani lakin kwenye uhaisia ni kinyume kabisa na hilo tunaliona kwenye uwanja wa mapamabano mwaka sasa umeisha mateka hawjaweza kuwakomboa na hamas bado ipo
@mobutu3884
@mobutu3884 2 сағат бұрын
Israel akiamua kuokoa mateka haichukui hata dakika 10 😂 ila hiyo ni mbinu inayomsaidia aendelee kuichakaza hesbollah, akiwaokoa siatakosa sababu ya kuendelea, inabidi ujue israel ana jambo lake tokea kitambo na jambo lake mtalijua tu soon 😂 someni alama mjiongeze
@khamsjabdullah691
@khamsjabdullah691 2 сағат бұрын
Hakuna gps bora kama inayokusa wote mtu nne tunawaomba wahusika wa gps wajitahidi japo kuwa hatuna cha kuwalipa wajue elimu yao itadumu milele
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 5 сағат бұрын
Je ndege za Israel hazikuharibiwa
@reainnovationstanzania5163
@reainnovationstanzania5163 2 сағат бұрын
Henry kakosa hii 😢😢
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 23 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 28 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 126 МЛН
Nondo za Wakili Peter Madeleka Dhidi ya Matukio ya Kupotea Raia
2:31
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
I really cannot believe!💀 #cars #caraccessories
0:16
GELROVA
Рет қаралды 12 МЛН
Shanjiang electric engineering heavy-duty tricycle #electric three-wheel dump truck #dump-type ....
0:19