Wimbo maalum kwaajili ya kusherehekea Jubilei ya Miaka 25 ya Ndoa yao Mr. and Mrs. Renatus Sengo! Misa ya Shukrani ilifanyika katika kanisa la Parokia ya Kijichi tarehe 26.08.2023 Wimbo: Safari yetu Mtunzi: Ben Nturama Producers: KHAKI Media Productions Usiache kusubscribe, kulike na kushare kiungo hiki..
@theresiarenatus7946 Жыл бұрын
Kazi nzuri👏👏
@kideboy01 Жыл бұрын
25 siyo mchezo
@patrickkyalo326811 ай бұрын
25 sio mchezo SI lelemama.What a vibe.Wimbo wenye shukrani kuu.Hongereni mliofanikisha kazi hii wakiwemo Renatus na Angelina.