Who else is here 2020. Lots of blessings Saidakarilo. God bless you abundantly
@plasmareciprical51224 жыл бұрын
Tuko hapa 2020 manze
@sheilakorir6874 жыл бұрын
Forever listening to your songs saida caroli lots of love from kenya
@frankiewellswells71484 жыл бұрын
Am here
@paulbondi66324 жыл бұрын
Every yu do dhere hs reward here on earth
@shehranishaban55684 жыл бұрын
B. B 💚 a xyx89, we 9gt,6,,,,,😂😞7**,"&***,,"_,😞,9😞😞😞😞,😞,88,88887,,8,,77-&",,&_,,_
@bonfacemwirigi55734 жыл бұрын
if you are here this 2020 give a like aisey. maneno yenye bbusara kwa kweli.
@sarahmacharia97365 жыл бұрын
This song used to play on KBC radio. Reminds me Sunday afternoon tukibrush viatu na kufanya homework. #saidakarori live long Mama Africa
@clementanderson79035 жыл бұрын
Kabisaaa 😀😀😀
@atupelemtewa99455 жыл бұрын
So difficult to download these songs if you have it please send me on wattsup 0612835314 south Africa
@wamburacharwe18994 жыл бұрын
Mbali sana saida. Song inamludisha mtu utotoni
@victorvincy35514 жыл бұрын
I really love this song it inspired me alot
@tanzanianchiyangutaifalang83764 жыл бұрын
@@atupelemtewa9945 tumeia vidmate APK
@annienjango58333 жыл бұрын
Huu wimbo niliuskiza nikiwa darasa la tano 🥰😭 hadi wa leo naupenda sana 🥰🥰 mungu akulinde kwa ujumbe mzuri saida 🙏
@vafomotto47265 жыл бұрын
ujumbe konki sana huo Mungu akupe maisha marefu saida karoli
@antonymkongewa10023 жыл бұрын
Wimbo huu unanikumbusha maremu baba yangu alikua anapendaga sana kuusikiliza , hongera Saida. Rip my father
@kudrablanketi13094 жыл бұрын
2020 naisikilizaaaa bado hii ngoma aiseeee
@silasbarasa59134 жыл бұрын
Wimbo umeenda shule...2020 October nasikia ngoma
@jeremiahongaroonyiego52303 жыл бұрын
Touching message to all
@shortfunnyvideos42315 жыл бұрын
Wimbo huu unamafunzo kwa dunia hili tunaloishi I really love the song is touching
@latifahalitsi79863 жыл бұрын
Beautiful vocals and a powerful song.Great one Saider.
@krishnamwangi18994 жыл бұрын
The message in this song is ever green and fresh! Oppressors of the disabled and the poor have no place in God's heart. September 2020!! Long healthy life Mama Saida
@ismailali99533 жыл бұрын
I love this
@sabitribhatta36934 жыл бұрын
I am from Asia Nepal🇳🇵. I don't understand a single word of this song but I am in love with this song. This is the power of music. Music has no language.
@rugwizabertin10344 жыл бұрын
sure, music has no lg
@keshiturunga17633 жыл бұрын
Meaning to the song is ... Never under estimate anyone especially the disabled, poor etc .God has a way of paying back the wrong you do to someone...
@henryijeoma2 жыл бұрын
I wonder how you found this song lol care to share?
@gabrieljoram7133 жыл бұрын
Poleni walemavu mungu awatie nguvu zaid nyinyi nizaid ya ss nawapenda pia
@judiebossie48455 жыл бұрын
Huu wimbo unikumbusha mbali sana....salute mama
@mustaphatibeth88544 жыл бұрын
eeejamani hadi machozi kwa huu wimbo duuuuu
@NasoroZubery3 ай бұрын
Mm nipo Dubai lkn.. namkubali sana Saida.. Nasikiliza sana hizi nyimbo.. inanifanya nakuw napakumbuka hom..❤️
@kinya944 жыл бұрын
Talk about story telling ♥️💛 been looking for this song for like forever😭
@kaswahiliamoni90994 жыл бұрын
Saida nimekupa 👊👊👊👊👊👊maana hii nyimbo ina nigusa sana ujumbe huu uwafkie watu weny loho ngumu kama maw
@derrickkaniri18124 жыл бұрын
Yote ni ubatili( all is vanity), kila binadamu ni muhimu kwake muumba wetu mungu na hakuna aliye bora kuliko mwenzake. Tuheshimiane na tumuogope mungu. 2020 represented. Barikiwa sana mama Saida Karoli
@mumbua0044 жыл бұрын
Wenye wamedislike huu wimbo wapatwe na Corona hawana akili... Wimbo uu una ujumbe mzuri sana
@munalook44773 жыл бұрын
But aidownload haki
@quintaritadiodatame54973 жыл бұрын
😂😂 @trizha you must be funny also for you you are sending them 🔥🔥🔥 ya covid19
@Faith_Ndunge3 жыл бұрын
allow people to be different, taste is not the same, its a shame you want them to have covid which is a global pandemic.
@hijazmzamiru41543 жыл бұрын
ndo walewale wasikusumbue my dear
@jamespeter36943 жыл бұрын
Can't stop repeating this song every time congrats mama mafunzo kwa jamii kw ujumla let God continue using you to reach many in the world!!!
@vincentonyango98013 жыл бұрын
2021 bado naskiza wimbo huu mzuri. Malkia wa Africa Mashariki
@emmanuelmideva21653 жыл бұрын
Nyimbo Safi kabisa 🇰🇪🇰🇪♥️
@karwithacaroline34735 жыл бұрын
Wow!!!! Very educative and inspiring
@maryndullu12883 жыл бұрын
Huu wimbo unaujumbe mkali sana nadhan watu mnaopenda kujitenga nawatu wasiokua na uwezo huu ujumbe usklze vzur ...hujafa hujaumbka
@fanuelzakayo46884 жыл бұрын
Kweliii maisha ndivyo yalivyo 😭😭😭 Ila mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏🙏
@fridahchepkorir67564 жыл бұрын
hii song imenikumbusha mbali. watching this in 2020
@shillahkirwa44213 жыл бұрын
Huu wimbo n wakuhurumisha ilihali uko na funzo kubwa GOD BLESS YOU
@sanjerin-gn8oq8 ай бұрын
I could listen to this song before i go to school every day on citizen radio...salute Saida
@veronicadaniel11225 жыл бұрын
Mungu ni mungu tu sifa na utukufu kwa mungu juu barikiwa mamaangu kwa ujumbe huu utaishi milele 9/11/2019
@bailonbrasiuc30264 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@tisajrentertainment16034 жыл бұрын
Nani bado tunazidi kusonga pamoja kwa kuzidi kuusikiliza huu wimbo ambao ujumbe wake ni wa ajabu..... Baraka kwako @saida Karoli
@ngidal77085 жыл бұрын
Uko vizuri dada wa kwetu
@kaswahiliamoni90994 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha mazuli dada yetu
@jeniphajoseph50324 жыл бұрын
Uko vizuri dada akeeeeee
@rukaskimito25204 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@dorriskenga17474 жыл бұрын
Ulikua wapi enzi za huu wimbo👌2020💯💯💯nipewe👍
@christophermasese41794 жыл бұрын
Nlikuwa kijijini nipo darasa la pili kipindi hcho naenda shule peku
@petermacharia56614 жыл бұрын
Shule peku ni ...lower class Hama upper class ....kiswahili kingumu ..🤣🤣🤣
@davisoonchonga3 жыл бұрын
Niliusikia nikiwa Chicago
@zachynature71485 жыл бұрын
Used to listen to this song over 2 decades ago.. I would stop whatever I was doing just to listen to the song..I am glad I remember the lyrics all these years.." However there are slight changes at the end of the song" all in all Old is gold..2019 am here
@britydenick65484 жыл бұрын
2020 tunaisikiliza wimbo wenye ujumbe nzito.... Uwa nashangaa vile wenzangu wanandhalalisha kazini.. Lakini najua Mungu wangu ako
@pascalnyanda12894 жыл бұрын
Pole ndg
@britydenick65484 жыл бұрын
@@pascalnyanda1289 ahsante lakini ni kw muda tu
@pascalnyanda12894 жыл бұрын
Hata usiwe na shaka ndug mungu yupo nasi
@britydenick65484 жыл бұрын
@@pascalnyanda1289 ahsante kwa kunitia moyo🙏🙏
@francojohn84884 жыл бұрын
Daah ujumbe mzito sana big up Saida karoli
@julianamuthangya42032 жыл бұрын
Wimbo mzuri dada yangu , osana
@sabatodotto90674 жыл бұрын
Kama unaupenda huu wimbo 2020 gonga like hapa
@chimamuhamis71384 жыл бұрын
Nampenda sana huyu mama jmn 😘😘😘
@chimamuhamis71384 жыл бұрын
💞💞
@cathrenemongeli93043 жыл бұрын
2021 still watching this song 🔥🔥🔥🔥nice message
@jeremyomindi86402 жыл бұрын
2022 still listening to this beautiful voice. Saida the legend. God is unquestionable 🔥🔥🔥🔥
@hussseinyussuf54014 жыл бұрын
Kweli kabisa dada saida usiingiliye kazi ya mungu
@mamajanelle76604 жыл бұрын
2020 here iam .....nadhani matajari mumesikia???
@magretonchonga37623 жыл бұрын
This song has a great message indeed.Whenever I listen to this song my heart leaps with joy. Very good Saida
@shikomwas24384 жыл бұрын
Corona tym na bado naskiliza😍😍😍😍
@davisoonchonga3 жыл бұрын
Usidharau mtu yeyote maishani, juu nafasi utaichutia
@joymiheso5664 жыл бұрын
2020 here I am😭😭👌message is home
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Tuomaliza mwaka kwa kusikiliza wimbo huu twende sawa sawa hapa
@cheruiyotkesho77163 жыл бұрын
The maxim of our african culture is the inherent moral principles and teaching that forms unwritten pendagogical sphere realm of social order. All what we have and own are material things that are extracted from nature, curved and shaped in accordance to our perception but for humanity and existence of life, its always important to respect and promote it, thanks Saida karole for good teachings
@dommyofficial953311 ай бұрын
Our Parents really listened to Good Music from Saida... I remember alot
@kamburadoreen3553 жыл бұрын
Ngoma tamu kweli na mafunzo ndani yake
@chepkemoilangat43795 жыл бұрын
God is the only true provider naver judge or doubt his deeds we are all equall in his eyes .
@macklinanicolaus51105 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana, amenikumbusha mengi sana
@pamphillasvuraje3313 жыл бұрын
The work of God is unpredictable
@biusimohamed10495 жыл бұрын
nimekuja kukuangalia baada ya interview ya zamaradi mketema pole sana kwayote ulioyapitia nakupenda sanaaaa
@khadijamadry78225 жыл бұрын
Kumbe uko kama mimi nimetoka sasa hiv kwa zamarad kumskiliza🤣🤣
@GACHA-ly5bd4 жыл бұрын
In one word. BLESSED! 2020
@ndeg6rashid984 жыл бұрын
This song has a great lesson to the entire world
@kelvinjohn57764 жыл бұрын
Dah nikisikiliza hii ngoma imenitoa mbali sana
@timothymwania62893 жыл бұрын
Ii Ngoma ilikuwa Kali, I wish saida angetoa video now, it can trend well in this new era
@carolinekanini63424 жыл бұрын
The voice of this woman gives me weak knees!
@zenamshana68525 жыл бұрын
Saida karoli ananyimbo nzuri sana zenye ujumbe wakufundisha jamii
@zackbrown62724 жыл бұрын
2020 l am still listening this song is a good in the world kazi ya mungu aina makosa
@inspiredmodernwriters51303 жыл бұрын
I love Saida Karoli's songs. She has a deep message all.
@zachynature71485 жыл бұрын
It you say somewhere " wakichelea sukuma nje na virungu na mateke"
@suzanajackson92045 жыл бұрын
safi sana ujumbe umefjka kwawahusika
@kashetomaduhu23064 жыл бұрын
Always I remember this song, God bless you mama 👏👏
@afewgoodmen80225 жыл бұрын
DEC 2019 wapi likes jameni
@tarikulislam59484 жыл бұрын
L love you so much saida momy
@magretonchonga37623 жыл бұрын
This song is so sweet.Good work Saida
@joshuamulinge15404 жыл бұрын
Glory and honour be unto u ,,,,,be blessed
@masekete5 жыл бұрын
Anaye uskiza wimbo huu December 2019 gonga like
@dexoorayz3095 жыл бұрын
Nienda wike collabo na saida mwanooo...nomutuathime muno ak ...na uimanza Wilberforce wike ingi nake vatonyekana na Ngai aikuathima muno
@prof.oduoroduor64715 жыл бұрын
kenyans.. tuko huku.. this an east african hero...
@cyliviahomwena79055 жыл бұрын
Here l,m
@rogersochieng87694 жыл бұрын
Yaa realy i can see
@alexkuriahwamutogoni93803 жыл бұрын
Voice ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥 Storyline ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥 Instruments ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥 Base guitar ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥 Masterpiece
@jacobmutava8483 жыл бұрын
I love this song! Be blessed all, pamoja tujenge taifa
@athanasdamas95755 жыл бұрын
Kweli kazi ya mungu haistahili kuingilia kwani Kaz yake Haina makosa
@jacquelinmshanga14885 жыл бұрын
Love the poor your blessing might come from them
@zacytv7314 жыл бұрын
Naskiliza leo september 9 2020 . Ngoma imenigusa sana dah
@kevinkipngeno31213 жыл бұрын
Wish I'll get a chance to meet Saida Karoli. Have got faith in that.
@eridanyakambi30654 жыл бұрын
Usikosoe mungu ndiye aliye umba.
@johnmutuku98254 жыл бұрын
Kazi ya mungu hayana makosa
@bennymwashiuya90744 жыл бұрын
I'm still listening untill this year 16 November 2020 it's very special song among I haven't hearing back good tarent ended excellent
@stanleyroyle61525 жыл бұрын
The voice ....👏💯
@omarihabdala77544 жыл бұрын
Nzuri sana
@karwithacaroline34734 жыл бұрын
Tamu Sana inatoa njoka pangoni
@evalynemumbua86304 жыл бұрын
Hii wimbo inanikishanga mawinguni I like it🎺🎺🎺
@patiencejuma19303 жыл бұрын
Great lesson. I love this song
@kelvinmunyao17674 жыл бұрын
Up to now this song inspires me
@bakariedward19964 жыл бұрын
Dharau ni mbaya sana hata kama wew una mapesa mengi ucjarbu kabisa kukosoa uumbaji wa mungu hakuna binadamu duniani aliyekamilika wote pia tupo sawa kwenye uwepo wa mungu hivyo cyo vizuri kudharau au kukosoa uumbaji wa mungu yeye aliweka hivo kwa kusudi maalum
@timothymwania62893 жыл бұрын
My advice to u Saida , kindly do a classic vedio for this song , it will trend
@angelsnjogu77354 жыл бұрын
A sweet song kwa wale huwachukia walemavu
@jaydenmwangi7304 жыл бұрын
The message😍🤗
@bundalaadam93014 жыл бұрын
huu wimbo unanikumbusha mbali xn, npo shule ya msingi
@shikumoenga65493 жыл бұрын
Tiki pamoja wallai
@pendojeremiah91114 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana..2020 nani yuko hp
@DelsonAdelick3 ай бұрын
mnaosikiliza huu Wimbo 2024 gonga like ako apo
@yvonnemutave18943 жыл бұрын
Wow! I really love this song
@Sparkmaiga8 ай бұрын
dah zamani sana Wow
@pamelamiyaywa3813 жыл бұрын
One of my favorite song 💃💃💃
@paulaswani57685 жыл бұрын
God is the final decision maker. Never underate disability people.
@veronicamueni34414 жыл бұрын
Very true
@paulmunyao36094 жыл бұрын
Exactly,, God hates pride
@paulmunyao36094 жыл бұрын
God hates pride
@MrFaudhi5 жыл бұрын
Hatari sana SAIDA...
@suzystevens113 жыл бұрын
Wenye wamedislike walikua wameeka phone upside down, ama?🙄 2021 gonga like tukisonga❤️
@danmailoji36853 жыл бұрын
🤣🤣
@shijadeogratias3173 жыл бұрын
Toa sadaka yako kwa kusaidia wahitaji kwenye jamii yako na Mungu atakubariki
@majangamajanga20494 жыл бұрын
Nasikiliza leo 13'11'2020 bado kalii asee
@abdikadirosman2204 жыл бұрын
Yeyote na asiingilie kazi yake Rabbana.
@mudmohamed69113 жыл бұрын
Jaman hii ngoma kali
@marybarasa99012 жыл бұрын
Sweet message Saida 💕💕
@beatricmmpantaleo34203 жыл бұрын
Hi nyimbo haijawah chuja inamafunzo mazur xn!
@irenekimunduu24584 жыл бұрын
Napenda hizo karoli
@zianagaziva42033 жыл бұрын
Wow 2021 still the message is dope....
@petermacharia98953 жыл бұрын
I really love this song kudos saida karoli.
@thomasmogeta4644 жыл бұрын
Vizuri sana mama saida
@pamelakendi95204 жыл бұрын
This song always teach me a new lesson every time I listen to it..