SHEKH OTHMAN KHAMIS AMLIPUA MTOTO WA BACHU KWA KUWATUKANA WANAZUONI NA MAULID ZITASOMWA HADI QIYAMA.

  Рет қаралды 16,778

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 158
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
MASHALLAH HAKIKA SHEIKH UMESEMA KWELI SANA, ASIETAKA AKAE PEMBENI ATUACHE NA MTUME WETU SAW
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 3 ай бұрын
NAMSHUKURU ALLAH KUA MTU WA SUNNA NA KUFANYA YALE NILIO AMRISHWA NA KUFUNDISHWA NA MTUME( Swallahu alaihi wasallam) NA PIA NAMSHUKURU ALLAH KUNIEPUSHA NA UZUSHI
@AbdoulMajid-kf2fl
@AbdoulMajid-kf2fl 2 ай бұрын
Shukran ya ustadh
@abeliever6823
@abeliever6823 Жыл бұрын
جزاكم الله خيرا زادكم الله عزةً وشرفا وكرامة بارك الله فيكم يا شيخنا العزيز
@Iddi-y6i
@Iddi-y6i Жыл бұрын
Shekh uko sawa kbs kila mtu ashike lake tusilazimishane
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 Жыл бұрын
Shekh umeongea sana. Nafurahia kuona kama katika uma Bado wapo watu wanasema في قلوبنا غلف Yaani hautoacha hata kama ni kinyume na Dini. Umejitahidi ufasaha wa Hali ya juu.ila ungetumia ufasaha huo kudadavua Yale ambayo ni tatizo katika maulidi kama ulivyosema kama tatizo ni maulidi tutabadilisha jina. Shetani pekee ndio hatokuelewa ila naamini usulubu wa kusherehekea ndio tatizo na ndio umekusudia ubadilishwe ila huenda ulimi nao uliponyoka hapo pakaja kwa uwezo wa Allah tu.
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj Жыл бұрын
Wasiotaka maulidi kaaeni pembeni.elimu ndogo inawasumbua
@jordan.3109
@jordan.3109 Жыл бұрын
Nyinyi mashia munamzulia Mtume wa Allah kwa matamanio yenu tu
@AsmanMwanza-kr5fw
@AsmanMwanza-kr5fw Жыл бұрын
Watu wa maulid wamemsingizia nini mtume nyie mawahabi mna Roho mbaya sana tena Roho zenu sawa na za mayahudi tu
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
SASA MBONA MNAANIKI SANA NYIE BAKWATA!!
@jussaanlybacar9237
@jussaanlybacar9237 Жыл бұрын
yaa shekh Innalillah wainnaillaih raajeoooun!!!
@kassimhassan8426
@kassimhassan8426 Жыл бұрын
Allah atuongoze kwenye haki .
@abubakarsaid4023
@abubakarsaid4023 Жыл бұрын
Asante Sana shekhe
@Kokhaako
@Kokhaako Жыл бұрын
Muhammad Nassor Bachu soma elimu usitukane watu wanazuoni wewe ni mtoto mdogo sana kielimu elimu sikuonesha kuwa na kibri, kibri ni nguo ya Allah pekee haikufalii wewe,jeuri,dharauna kukashifu waliokuzidi hata umri ni mambo ambayo Allah S.W.T hayapendi na anayachukia Wako walioota ndoto wamekwenda kuonana na Mtume Muhammad S.A.W katika watu wote waliokwenda walisalimiana na Mtume kwa kumpa mikono isipokua mmoja tu Mtume hakupokea mkono wake. Wewe kama hutumiliwi kwa maslahi ya kidunia jierkebishe njia uiendeao sio acha kutugawa makundi waislam. Fanya midahalo kama ustadhi Mazinge uwasilimishe makafiri wajiunge na uislam uache mara moja tabia hii unayokwenda nayo. Wewe mtu mmoja umetutukanisha waislamu wote wa Zanzibar.
@SalehSaleh-re1ud
@SalehSaleh-re1ud Жыл бұрын
Allah atuongoze wote kwenye Haqi, Shk. Mohammad Bachu hawezi kuacha kukataza maovu. Musufi mukiacha musipoacha hilo halimuhusu. Anafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta Radhi za Allah Azza wajal.
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor Жыл бұрын
Radhi au laana
@SalehSaleh-re1ud
@SalehSaleh-re1ud Жыл бұрын
@@FeisalDoctor wanaotafuta laana wametajwa kweny Qur'an, { كَانُوا۟ لَا یَتَنَاهَوۡنَ عَن مُّنكَرࣲ فَعَلُوهُۚ لَبِئۡسَ مَا كَانُوا۟ یَفۡعَلُونَ } [Surah Al-Māʾidah: 79]
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 Жыл бұрын
Anasafiwa Muhammad saaana ata ndevu kama za Muhammad huna 😊😊😊😊
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 Жыл бұрын
Mashallah shekh
@saidsalim2561
@saidsalim2561 Жыл бұрын
إنه من يعش منكم فسير اختلافا كثيرا،عليكم بسنة وسنة خلافاء الراشدين المهدين ،فإن كل محدثة بدعة وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار. اللهم إنا نعوذبك من عذاب النار. آمين
@MasudiomariMwangodya
@MasudiomariMwangodya Жыл бұрын
Asalam aleykum warahmtullah mbna katika kutetea maulidi hamtumii Quran mwatumia hadith ambazo hazina ushahidi kamili .Mtume (saw) alisema tushikamane na sunnah zake na Quran ilituweze kufaulu duniani na kesho akhera je tunayazingatia haya??
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
افضل ما قيل عن عمل المولد ما شاء الله
@Muswlih
@Muswlih Жыл бұрын
Njaaaa tu izooooooo nani kawatungulia
@afama9142
@afama9142 Жыл бұрын
Mashallah
@khamismwalim5604
@khamismwalim5604 Жыл бұрын
Masha Allah
@ibrahimSuleyman-we3lx
@ibrahimSuleyman-we3lx Жыл бұрын
Kukata viuno, limo?
@omarkhamys9818
@omarkhamys9818 Жыл бұрын
Ishu si kumtangaza ila unamtangazaje? Kwa kusema uongo?
@SalehSaleh-re1ud
@SalehSaleh-re1ud Жыл бұрын
Kwani nini mnapenda UONGOOO, Bachu hajawahi kumtukana Imam zenu, Ila Mashia wanaowatukana Makhalifa na maswahaba radhiallahu ànhum mnawakumbatia. Acheni UONGOOO , acheni Takia, masufi sio AHLUSUNNAH WAL JAMAÀH
@ismailsaina8673
@ismailsaina8673 4 ай бұрын
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 Жыл бұрын
Kwa🎉 nini yasizidi na kuna ubwabwa na njaaa ya siku ni hatari
@rajabdanga8590
@rajabdanga8590 Жыл бұрын
Muhammad Bachu mmoja anasumbua mashkh ndani na nnje na wangekua kama watano mashekh ifike hatua mkubali mnapenda maulidi lakini hamna mashiko
@saidymujilili4618
@saidymujilili4618 Жыл бұрын
Hakuna mtu anasumbuka na huyo mpuuzi bhana watu wako na Msimamo wetu Mbona alikimbia swala la kielimu huko Mombasa kwanza hajui Lugha
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
tatizo la kijana wa bachu apotosha wasio na elimu ya dini ndio maana lazima akubali aja soma na akaitafute elimu Kwa masheihk tu Wala si Kwa mwalimu wake Google
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚 y
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Innalillah wainnaillaih raajeoooun!!!
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 Жыл бұрын
Mimi naamini njaa ndio hatar katika Maisha yetu. Mimi mwneyewe siku nawaza maisha yakinishinda nizue maulidi Ili watu wachange pesa za mchele nk. Tuzeme ukweli maulidi kwa usulubu tunao fanya hayafai.watoto wa kike wanaanza kujua wanaume kupitia hayo muyaitayo maulidi.kukicha watoto kukonyezana huko maulidini. Mi nimefanya sana mwishowe nikaona usulubu wa maulidi sio Dini na baada ya kusoma kweli sio Dini.. Ila kama Lau mutafanya kwa njia tafauti mbona itakuwa safi.mfano wanawake wawe wanawake tu.wanaume tu.kucheza kama watu wa taarabu acheni.amrisheni mema katazen mabaya.furahieni kwa kumfuata mtume juu yake amani kwa kuwa mumejenga madrasa sana na misikiti.munafanya mema nk.ila watu wanasherehekea Wana vimada kibao weee hujanishawishi Dini ni kufuata sio kuzua.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
MAN HAJARA FILLAHI WARARULIHI ATAPATA NA ALIE HAJIRI KWA MWANAMKE ATAPATA. HIO NDIO DINI, MAZALI WEWE ULIFATA WALI UTAPATA NA UKIFATA KWAAJILI YA MWENYEZI MUNGU SW NA MTUME WAKE PIA UTAPATA. BADILISHA NIA TU UPATE KWA NIA YAKO. KULLU MIN AAMALI BINNIAAT
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Ww mnafik maulid gani uliona waume na wanawake wamechanganyikana
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 Жыл бұрын
TUMEWACHOKA NYIE NA SIASA ZA MAULIDI,NYIE ENDELEENI NA UZUSHI WENU MPATE MAFUNGU YENU....MTUME ASIMULIR VIPI IZUSHI HUO....HAKUNA BIRTHDAY YA MTUME KTK UISLAAM
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
Na sie tumewachoka nyie msokua na adabu
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Ajazaliwa mtume?
@hajiamiri1658
@hajiamiri1658 Жыл бұрын
Nilichogundua kua unaweza ukawa shekh lakini ukiwa Bado hujapat rehma za allah
@masoudsalum
@masoudsalum Жыл бұрын
Tatizo masheikhe wetu wa twariq mnapiga chenga nendeni kwenye mjadala live ili akose hoja
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 Жыл бұрын
Hukuona alivyokimbia juzi jumapili.. mjadala upi tena wautaka.!?
@Yassir-rh9en
@Yassir-rh9en Жыл бұрын
Maneno mazzuri saana
@Swaahib-i7n
@Swaahib-i7n Жыл бұрын
Mawahabi ni mwiba wa koo unawachooma Masufy kila kona
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Waropokaji wasiyo elimu wanamsumbua nani.mawahabi ni wehu ambao hawajui wasemalo
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Жыл бұрын
Mbona huku kwenye nipo maulidi hawafanyi. Nyinyi ham wezi kuacha kwa sababu.........😊
@MiqyaasTv
@MiqyaasTv Жыл бұрын
Hatuwezi kuacha kwa sababu kumsherehekea MTUME (s.a.w) kwetu Sisi Ni IBADA, Ila kwenu nyinyi ni SHIRKI, ndo maana hattuto acha, na Kwakuwa nyny mnamuabudu ABDUL WAH'AABI nyny endeleeni, kwa sababu hata TUKIFANYA MUBAAHALA; nyinyi mtalaanika tu kwakuwa hamna dhamira njema na UISLAM, kwani nyny WAHABIYA mko kwa kutekeleza Mpango-mkakati ya UYAHUDI chini ya IBILISI. Na (S.A.W) Kesha tudokeza na mnaingia 1kwa1 chini ya QAULI UAKE; " ....Haitii uzito Dini( misimamo mikali, kuwaona wengine hawapatii ktk ibada Ila yy tu na GENGE lake) yeyote Yule awae; Ila itamshinda...." . Sasa Ni Nani tena Kama sio nynyi Watoto wa Haram wa KIHABIYA? !!!!
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Ahlubaatil shimolawo limewaingilia maji baada ku bainishiwa haki na kwasida ya munkar na uongo, sababu amefunga mlango ya raisumali ya wa masufi badhskuna hata moja awezaie kutetea uwongo na ushirikina ya bazranji
@fimboonlinetv5282
@fimboonlinetv5282 Жыл бұрын
Mbona mnajiteteaa sana... Hiyo dalili ya kua hamko sawa
@samorajama8833
@samorajama8833 Жыл бұрын
HADITHI ZA MTUME SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM NI POROJOO.....?????
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
Hata zinaaa, pombe, kamari, ushoga na mengi zimekemewa na Allah lakini kwa ufedhuli wa mwanadam hawaachi, subhana llah kibri
@Kabeya410
@Kabeya410 Жыл бұрын
Mada siyo zinaa wala pombe mada hata hujui huyo Kaka yenu mnamgeuza ndo mtume wenu bacho kasema maulidi haramu, kasema barazanji ni uongo hivi zile sifa za mtume na historia ya toka kuzaliwa mpaka kupata utume ni uongo kweli yaani mnauokoka moto hivi hivi mnakua sawa na wale watu waliomkataa mtume uso kwa uso kwamba mtume ni mchawi tu muongo SUBUHANALLAH EE JAMAA ZETU ELIMU YENU ITAWAINGIZA MOTONI FANAAUDHUBIKA MIN DHALIKA.
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
KWA HIYO NA WEWE UNAWADHARAU WALIOZIANDIKA HIZO HADITHI? MNAMSHAMBULIA BACHU KUMBE NA NYIE MNAWADHARAU WAAZUONI???
@rashidiramadhani4342
@rashidiramadhani4342 Жыл бұрын
@SAIM GWAO SAMAHAN WEKA HOTUBA YOTE HUM HYO NI HOTUBA YA PIL WA KWANZA IWAP SAMAHAN
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Жыл бұрын
Mawahabi hatuwataki hapa
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Жыл бұрын
🚮🚮🚮
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 Жыл бұрын
Vyote mmechukuwa kuwepo kwenye maulidini vya kheiri vya peponi ni ipi dalili kisheria na vipi maswahaba waliyajuwa hayo hawakuyataka
@abuuidrissa9540
@abuuidrissa9540 Жыл бұрын
Nilijuta kusali Ijumaa hapo mtoro maana unajifanya unampenda Mtume kumbe unamkandia mtume katuachia kitabu na sunah hayo mengine yakwenu kumpenda mtume ni kufuata aliyo fundisha na kuyaacha aliyo kataza huko ndiyo kupenda mtume kuliko kumsingizia majambo
@idrisalimapema2539
@idrisalimapema2539 Жыл бұрын
Kwani ww ndio unayefahamu ya mtume sio
@mbwanaomary4504
@mbwanaomary4504 Жыл бұрын
Maulid ni bid'aa hayapo kwenye mwendo wa MTUME.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Mawahabi ni vichwa mchunga tu.ukiwaambia maaulidi ni bidaa kwanini hawajui
@Kabeya410
@Kabeya410 Жыл бұрын
Usikariri usiafuate mkumbo na ushabiki kwanza nikuukize maulidi ni nini na barazanji ni nini hujui hata kinachojadiliwa bacho kadai barazanji ninuongo je ndani ya brazanji kunasemwa nini huna Elimu acha ushabiki usihujumu kitu ambacho huna Elimu nacho hasa wewe unaesema ni maulidi ni bidaa yaani hata bidaa hujui kwa taatifa yako mauli ni kumsifu MTUME MUHAMMAD SWALALAHU ALAYH WASALAM. NA KWA KUFANYA HIVI WATU WASIOJUA UISLAMU WANAUPENDA WANASILIMU KWA MAULID TU WEWE MZEE WA BIDAA UMEMUINGIZA NANI KTK UISLAMU.
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Mnataka mtume afanye maulidi Yann kwanani, kwasababu watu anafanya kwajili yake yy tatizo liko wapi ndugu zetu,kufrai nizambi?
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Mtu ukimpa kitu arafu anashukuru mara kumi,kuna tatizo hapo?
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Kama amtaki maulidi Kaeni nyumba zenu nawake zenu tatizo liko wapi,mbona ma shia mnafujo Sana
@banihashim5347
@banihashim5347 Жыл бұрын
Na mashia pia muwalipue
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Maulidi ni upotoshaji,na sio ibada,maulidi ni marufuku Makka na Madina,Polepole wacha munkar,shetani anapanda ukiwa na munkar
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Жыл бұрын
Hatukani anawambia kweli kazi kunyoa ndevu uso kama wamama
@jumasalim6126
@jumasalim6126 Жыл бұрын
COVID 19 ipo pale pale, rukeni mkitua jawabu inatakiwa nani aliesema wanyama wamesema nani wakati huo alikua anajua lugha za wanyama?
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
Alisema babako na mamako
@zigzag4487
@zigzag4487 Жыл бұрын
​@@mafiatv5479acha makasiliko hoja hujibiwa kwa hoja kenge bahari wee
@sarboko
@sarboko Жыл бұрын
Je zile sifa alizopewa nabarzanji nizaukweli
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe Жыл бұрын
😂😂😂Marahabaaaaaa
@silimakhamis7088
@silimakhamis7088 Жыл бұрын
Sisi na mtume mtume na sisi
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Kilichozungumzwa ni Maulidi co kumtangaza na ndomana hamjamuelewa mtt wa Bachu na hamtomuelewa maisha kwa chuki zenu ila huo ndo ukweli kuhusu Maulidi
@saidymujilili4618
@saidymujilili4618 Жыл бұрын
Yani wewe ni mpuuzi kama huyo Mtoto wa Bachu umemuelewa nini kufitinisha waislamu na kujiona yeye ndio mwenye Elimu sana kuliko hao waliomtangulia mbona alishindwa kujibu Swali Dogo tu la Saidy Omary huko Mombasa na kukimbia munaqasha huyo muongo sana na ndio amekuteka wewe uliemuelewa mpuuzi mwenzako
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
@@saidymujilili4618 Km mm mpuuzi ww mjinga sasa cjw nani zaidi maana mjinga hajuwi kitu. Huyo mtt wa Bacho ndo aloanza kuuliza suala na hakujibiwa .Na yy hakusema suala la kumtangaza kumsify ni wajibu lkn kuna njia zake co lzm maulidi ila kill mtu aamini anavoamini
@rashidiramadhani4342
@rashidiramadhani4342 Жыл бұрын
KUSHINDANA NA MAWAHABI NI KUPOTEZA MUDA TU HAO KAZ NI KUBISHA TU KILA KITU SI KILA MTU AFANYE YAKE SHIDA IKO WAP
@kassimhassan8426
@kassimhassan8426 Жыл бұрын
Haki itabaki haki.
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 Жыл бұрын
BACHUU ASEME HAJUI AFUNDISHE AU AENDE MAMBRUI APIGE KOTI ATOLEWE KWENYE UJAHIL
@HamadFakh
@HamadFakh Жыл бұрын
Mi nikuulize bwana khamis katika aliyokataza mtume uzushi katika dini amekataza au hakukataza?
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta Жыл бұрын
Kwani Kila kilichuzuliwa baada ya MTUME ni Haram??? Nenda kasome kwanza, na ndo maana to t lenu lilipoulizwa je hadithi Munkar ikiwekwa kwenye kitabu je mwenye kitabu huitwa muongo Kwa aqwaali za wanazuoni?? Toto lenu likajikojolea na kususia munaaqasha. Hata Ibara halijui, nahau inamshinda ndo ataweza kutafasiri vitabu vya wanazuoni??? Poyoyo nyie
@adilihassan8455
@adilihassan8455 Жыл бұрын
Mmmmmmmmh ndevu mwazichinja na eti. Mwampenda mtume,upuzi tu ,mtangaze kw njia inayofaa sio maulid
@MasudiomariMwangodya
@MasudiomariMwangodya Жыл бұрын
kwakwel kwa mashekh ni msiba mkubwa yako mengi ya kunena lkn kazi yao kuchunguzana tuh
@MasudiomariMwangodya
@MasudiomariMwangodya Жыл бұрын
Allah amekataza nyimbo na music hata katka surah Luquman aya ya sita je maulid haiko kwenye kundi la nyimbo na music
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Жыл бұрын
Kumsifumtume nikufata mafundishoyake siyokupgamadufu nakucheza maulidi zinafanyika mpakamdawaswala wtu wanederea walahawaendikuswali hukondokumsifumtume halafumashehe kwanini msiwemnaitana mnaelekezana mnatukataza tusi watete watu mnasisitiza umoja naupendo tupendane mbona ninyi mashekhe hampendani mashekhe mjitathimini mnako elekea nikubaya
@pilykingo
@pilykingo Жыл бұрын
Kama mtawaelewa hawa vijana wa sasa hivi ( Salafi) kesi ni kilichomo ndani ya kitabu cha barazanji na sio maulidi. Ndani ya kitabu kuna mashairi yanasema ( "" kama si wewe mtume fulani asingeumbwa au kitu fulani kisengeumbwa "") Kauli kama hizo nyinyi mnazionaje? Jee zinafaa kweli kusommwa? Kwa hiyo jambo zima katika kizazi kipya cha salafi " kama wanavyo jiita "" wanazipinga kauli zilizomo na ndio maana wanasema maulidi hayafai. Rai yangu mashairi yote yenye kuleta utata ambay hata ukiyapeleka kwenye majazi hayafanani na majazi, hayo muyaondoe. Shukran Shaikh kwa sifa za Mtume صلى الله عليه وسلم ambazo unezitoa ndani ya Qur-aan na huko ndio kumtangaza Mtume صلى الله عليه وسلم na sio zile sifa za utata ( "" kama si wewe pasingeumbwa kitu fulani)
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Жыл бұрын
Mtume ndio kiigizo ww unamuiga naniapo?acheni ubabaishaji kueni wakweli
@abubakaryusuph6555
@abubakaryusuph6555 Жыл бұрын
Kila mwenye akili amekuelewa sheykh Tutaendelea na maulid mda wa kua tupo hai Allaahumma aamiin
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Kumuelimisha Wahabi akakufahmu ni bora kuzungumza na jiwe linaweza kukusikia na pengine likasema ni sahihi uyasemayo, au ni afadhali kumuelimisha mtoto mdogo atakuelewa kuliko Hawa Mawahabi, Hawa wako zaidi kuufisidi uislamu kwa chuki husda na kuwagawa waislam, kama ukitaka kuujua ukweli hakuna Watu wa kufru na bidaa kama mawahabi wame chupa mipaka katika kukufuru, Hawa ndio pote liloanzisha Tauhid 3 ni Hawa wanaosema Allah anabebwa na malaika 4 ndio Hawa wanaosema Allah Ana choka, ndio Hawa wanamdhania Allah Ana mwili wakisema kwamba Allah Ana mikono kichwa miguu, pia wanasema wakati waislam wana ingia peponi, pepo Ina milango saba wakati waislam wanaingi wanapita kuingia Allah atakuwa kakaa mlango wa 4 kama vile Allah nae anavizia kuingia hizi ni kufru za Hawa Mawahabi mimi naona Hawa kuja kwao ni mtihani kwa jamii ya kiislam
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Жыл бұрын
Acha uongo bachu hajatukana mwanachuoni uongo ulioko kwenye kitabu ndio ishu aliyo izungumza mmekosa la kusema mwatapatapa tu ....
@Randomcattvideos
@Randomcattvideos Жыл бұрын
Nenda kapitie video za bachu sio unaongea vitu usiovipitiá
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Жыл бұрын
@@Randomcattvideos we bwege Nini mi nshafatilia kutoka kitambo...
@MwamvuaJafari-fq4ku
@MwamvuaJafari-fq4ku Жыл бұрын
Bola wajifungie ndani wasione maulidi maana wanateseka sana
@nassleydady5783
@nassleydady5783 Жыл бұрын
Shekh nyinyi maulid mumefanya ni ibada wakat hakuna ibada ya maulid alaf pia munamsemea mtume uongo na mtume kakataza
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 Жыл бұрын
Covid 19 muijibu Makhurafi wakubwa.
@mwinjumaissa4434
@mwinjumaissa4434 Жыл бұрын
Masheikh wa twariq njaa zinawasumbua nyie kama manaswara tu, wanashindwa kufuata dini ya haki wanaminyana kupigisha fungu la 10 kujaza matumbo yao lakini ukweli wanaujua kuwa dini ya kweli mbele ya allah ni uislam,
@SirajuChilindo
@SirajuChilindo Жыл бұрын
Ndg yang jifunze kuwa na hikma, km ww wajiona uko ktk haqqi bx ifuate,ni vyema km utarudi darasan ukasome Tena maana Bado uko nyuma
@mohammedsaid3045
@mohammedsaid3045 Жыл бұрын
Kaka umemsikiya sheikh ana orodha ya mambo mengi mtume hakufanya lkn ht nyiye mawahabi mnayafanya mbona hamsemi km bidaa isipokuwa maulid ht kufika kuwaita masheikh njaa ht ww pia ni njaa tu aloshiba peke yke ni Allah
@MauPombe
@MauPombe Жыл бұрын
Naam Naam Naam swadaktaaaa🎉😂😂😂😂
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 Жыл бұрын
Kwani mbona ata zinaa pia inapigiwa kelele kwamba watu wasifanye lkn kila Leo watu wanazidi kufanya uchafu wa zinaa jee vp mashekhe wanyamaze kwakuwa zinaa ndo kwanza inazidi ?.
@Randomcattvideos
@Randomcattvideos Жыл бұрын
Yani umekosa kutoa mifano mingine umewaza zinaa ndio mana mawahabi kazi yenu ni kuwaza mambo machafu kwa sababu nyie wenyeww ni wachafu
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 5 ай бұрын
dah sheikhe anaanzaga na mbwembwe nyinyi huyu waweza sema bonge la msomi😅😅😂😂😂😅😂
@SoudShuraim
@SoudShuraim 4 ай бұрын
Huyu ni msomi mkubwa sana,bahari kubwa,mtafte mwalimu wake mpemba Ali Faki Ali, ni mwanazuoni aliyesomeshwa na Abdallah Fatawi no 2 Zanzibar
@AshaSaid-gy2tg
@AshaSaid-gy2tg Жыл бұрын
Waisilam tumioge alh mtu antukana mtandaoni Lisa mjadala wa muild
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Жыл бұрын
Sheikh, Maulidi haina ukweli wala ushahidi, ila kumtambulisha Mtume si vibaya ,ila yanayo ingizwa humo si sawa.
@alyumar4657
@alyumar4657 Жыл бұрын
Sasa nyinyi waislam munataka hawa masheikh wa maulid wasemeje mulidhan wataongea kuliwacha lile wanalo lipenda na kupata maslah yao
@jumasalim6126
@jumasalim6126 Жыл бұрын
Hii ndio hutuba ya ijumaa???
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Mawahabi mawahabi ukitaka kumjua Wahabi subiria tu uone muda anatajwa mtume utaona uso hauna furaha kama amelishwa limao, Anapotajwa mtume mdomo haunyanyuki kumswalia, na hawajui wa mwanzo kumswalia mtume ni Allah mwenyewe wa kafuata malaika na mwisho ni sisi waislam sasa kama si chuki ni nini sehemu kunasomwa Quraan kunatolewa mawaidha anaswaliwa mtume kunaamrishana mema na kukatazana mabaya wewe una bweka mdomo unauelekeza juu eti ni bidaa kama ni bidaa kaanza M. Mungu kwa kumswalia mtume wake, nyinyi tuacheni na Mtume wetu tumswalie na nyie endeleeni na kufru zenu bidaa zenu pote lenu la kiwahabi la kudai tauhid 3 Kusema Allah anachoka, kusema Allah anabebwa na malaika 4 kusema Allah Ana mwili yaani Ana viungo mikono miguu kichwa, pia munazidi kukufuru nyie pote la kiwahabi lililotabiriwa na Mtume munasema Kuna milango 7 ya pepo siku waislam wanapita kuingia peponi Allah atakuwa yupo mlango wa 4 mukimdhania uongo Allah kama vile Allah anavizia nae aingie nyie mawahabi hamuoni haya wala aibu wala hamutaki kutubu kwa haya munayozua mukijua mtume hakufanya wala hakuyasema wala hayamo kwenye Quraan na sunna sasa muna piga kelele ambazo hazitazaa matunda mukiacha itikadi yenu mbaya ya uzushi kama huu ukiendelea wa kumzulia Allah uongo na Mtume wake
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Жыл бұрын
Hii barua unatuma posta gani😂😂
@ibrahimkhamis4540
@ibrahimkhamis4540 Жыл бұрын
Sasa kama Allah Mwenyewe Kamsifu sisi tukiMsifu ni shida hee mawahabi nyi munakwamia wapi....
@omarmwabege
@omarmwabege Жыл бұрын
Tatizo watu hawajui penye tofauti.Hakuna Muislam anae pinga sifa za mtume Swallahu alayhi wasalam,wala kuswaliwa kwake.tatizo linakuja panapo komea sifa zake.wakati mwengine twavuka mipaka sifa zake zafanana na ALLAH.
@JamalAbdallah-m1o
@JamalAbdallah-m1o Жыл бұрын
​@@omarmwabegesifa hazifanani na Allah, acha unafik we wahabi
@jordan.3109
@jordan.3109 Жыл бұрын
​@@JamalAbdallah-m1o Nyinyi mashia wacheni kumzulia Mtume wa Allah.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
​@@omarmwabegeastaghafuruwallah sifa gn mtume Muhammad s.a.w atafananishwa na allah jamani hyo magroup mnayosomea mnajiharibu .someni Quran mujue kharam halali
@ibrahimkhamis4540
@ibrahimkhamis4540 Жыл бұрын
@@jordan.3109 tengezeni na vitabu vyenu mumsifu kivyenu tuacheni Tumsifu kivyetu kila mmoja atahukumiwa kivyake
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
hawa mawahabi hakuna mabaya yakuyafanyia daawaa ila maulidi tu mambo mengi yanafanyika ambayo mtume hakufanya wala maswahaba hawakufanya lakini hawapigii kelele wala hawayazungumzi lakini wao wakamata maulid na maibaidhi tuu ndio elimu waliosoma hakuna jengine wanalojua
@YahayaKizinga
@YahayaKizinga Жыл бұрын
vitu vingine mtu ukisema utaambiwa unatukana mashekh hvi zinaa inaweza kuisha sasa tunasemaje kwa kuwa zinaa aishi kwa kuwa watu wanaipenda kwa hyo tuiache
@JamalAbdallah-m1o
@JamalAbdallah-m1o Жыл бұрын
Ht wasio taka kusifiwa Mtume hawaishi, Ila kwny munaqasha wanajikojolea😅😅😅
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Жыл бұрын
Hajatukana
@abubakarally3413
@abubakarally3413 Жыл бұрын
Nyinyi makhurafi hamuwezi kuacha maulidi kwasababu ndipo munapopatia ugari wenu kwakua lengo lenu ugali ndiomaana hamujali uwepo wa uwongo na shirki katika maulidi,.watu wengi wenye akili wanawajua nyinyi wababaishaji tu munawahadaa watu kwamba munampenda mtume kumbe munanusuru matumbo yenu?
@binaamour318
@binaamour318 Жыл бұрын
Hivi abubakar ukiambiwa njooo uthibitishe huo uongo na ushrikina utatoa au ushabik t huyo babacho c io wa kwanza kuyataza maulid na wala hatakuwa w mwisho hivo bac muc tumie nguvu nyingi kwa kutkanana na kukejelina
@Swaahib-i7n
@Swaahib-i7n Жыл бұрын
Shekh huna aibu ya kumtetea Jufry ?
@menk136
@menk136 Жыл бұрын
Unamjuaaa jufri weww Mola mlez akufungulie upate kuwafaham watu Hao Kwa Mola mlez wanajulikana Hao weww unajikanaa??? Ukiombaa duaa kujibiwa mpaka una sahau Watu wakiombaa dua tu mistajaab saa hiyo hiyo Kishaa una watukanaaa we ninani mbele zao hauwez fanana anapo Tajwa mtu kwa ubayaa kaachini jiulize ninani mfatilie kwqnzaaa sio kuu kuongea vitu usivyo vijua kwa kufata ushabiki
@bakarmsangi963
@bakarmsangi963 Жыл бұрын
Mimi kama mimi ninachoo hitajiaa kwaa waalimuu wetu au wanazuoni wetu watufafanuliyee tuliyoo wengii kwambaa??mtumee wetu Muhammad rehem na aman ziwe juu yakee jeee?? aliisheerherekeaa kuzaliwaa kwakee au hiyoo maulid aliyafanyaa kwelii mbonaa waislam tunaa gawanywaa na hawa viongozii wetuu wa diiini tuaamini kipii sasa hawa hivi walee hivii
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 Жыл бұрын
Mmekosa dalili mnakuwa na hasira hahahaha eti mnatukanwa
@dullahfar7775
@dullahfar7775 Жыл бұрын
Hivi kwa mfano nikisema makafiri wa maulid yani hawa wahabi si ni sawa tu ni makafiri yani wapingaji
@shafiigari6011
@shafiigari6011 Жыл бұрын
Nyie hamna lolote hebu ita mnakasha na Bachu halafu uyatetee hayo maulid. Mtume hakusoma maulid wala maswahaba hawakusoma maulidi sasa dini gani hii ambayo haijafanywa na mtume wa maswahaba?
@nasrarichadi2278
@nasrarichadi2278 Жыл бұрын
Bachu hana lolote mbona Alimkimbia shekh said Na akaacha kakojoa kojo zito
@zigzag4487
@zigzag4487 Жыл бұрын
​@@nasrarichadi2278bachu mmoja sawa na watu wa bidaa 1000
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 Жыл бұрын
Mtoto wa Bachu kaleta balaa ulimwenguni
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
Watu wa maulidi zingatieni hapa: IKIWA HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA KRISMASS (KUZALIWA YESU), hivyohivyo HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA MAULIDI (KUZALIWA MTUME MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAIHI WASALLAM), Nyinyi na wakristo ni kitu kimoja Munafuata uzushi, Musiwasemange Wenzenu
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Жыл бұрын
Huyu kuma Muhammed bacho sijui bachu muacheni na upuuzi wake mnampa kichwa kumtaja taja atazidi kuvimba kichwa
@khamiskhamis3165
@khamiskhamis3165 Жыл бұрын
Wacha ujinga wew kuma ndo nini sasa wacha upumbavu wewe unatowa wapi pumzi ya kumtukana mtu kama ivyo kakufanya nini wacha izo tumia maneno ya busara sio matusi
@makamekhamis871
@makamekhamis871 Жыл бұрын
Mjadala wa Mombasa umewagusa ndipo. Hayo maneno ya Sheikh Othman ni ishara ya kuwa kuna kitu hakiko sawa kwenye Maulid.
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 Жыл бұрын
Bachu kaambiwa atoe aya ya kupinga maulidi au hadithi au aseme sijui afundishwe KATOKA MBIO NYINGI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 7 ай бұрын
We muongo bachu alikimbia wapi au wamsingizia tuu,tunawauliza maulid ilifundishwa na nani ikiwa mtume mwenyewe akufanya tujibuni waloileta maulid?
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Жыл бұрын
Maulid hayo hapo unayaona kajifungie nyumbani kwako useme maulid hayapo .waziwazi hutatuwezs
@bakarikimaiyo8634
@bakarikimaiyo8634 Жыл бұрын
Hauna hoja ww
@mwinjumaissa4434
@mwinjumaissa4434 Жыл бұрын
Nyie pambaneni na maulidi lakini kwa uwezo wa allah wapo atakao waongoza katika njia ya haki na allah amlipe sheikh Mohammed bachu kwakuzidi kutuokoa kwenye giza tena giza totoro,, na wewe sheikh othuman kama kweli elim unayo ukutanishwe na mtoto wa bachu
@AishaHamisi-tl9ek
@AishaHamisi-tl9ek Жыл бұрын
Basi kama mmemchukia mtoto wa watu basi muueni mmejaa chuki sana nyie wazee
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor Жыл бұрын
Ww kuelew shida
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Acha polojo na ujinga
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Haswa maulid ndio yanazidi 😂😂😂😂
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 Жыл бұрын
SHEKH WA VICHWA SABA VYA MBUZI NA WENZAKE ROHO ZINAWAUMA KWELI AKISIFIWA MTUME
SHEIKH OTHMAN MAALIM HISTORIA YA VITA VYA BADRI NA USHINDI WA VITA HIVYO.
3:01:22
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 19 МЛН
Kufikia Hapo Ulipo Kumbuka Ulipotoka Sheikh Othman Khamis
29:31
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 28 М.
Usifanye Mambo Haya Mazishini Sio Kazi Yako  - Sheikh Othman Khamis
28:50
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 84 М.
Maradhi ya Moyo na tiba yake. Sh. Othman Hamisi.
36:45
OBA Online tv
Рет қаралды 9 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН