Mfumo Kristo uko njia panda. ". Msipokomeka na hilo mlilokatazwa na Mwenyezi Mungu, basi kuweni na yakini ya vita kutoka kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, na mkirudi kwa Mola wenu na mkaacha kula riba, ni haki yenu mchukue madeni yenu bila ya nyongeza, hamumdhulumu yoyote kwa kuchukua zaidi ya rasilmali zenu wala hamudhulumiwi na yoyote kwa kupunguza kiwango cha pesa mlichokopesha." Quraan tukufu suratil Al baqara 2:279
@saidali5964 Жыл бұрын
Ukweli usemwwe wasipende tuongee tuna weza kuwajibu zaid hawo niwaizi wamezoweya kuibiya serikali mwache mama kazi iyendeleye tuko nawe Allah yuko nawe endeleya
@hamadsuleiman5177 Жыл бұрын
Mashallah...Nipo Zanzibar ila huyu sheikh tunamhitaji Zanzibar...Wallah anafundisha na kuelemisha umma mambo tofauti ya Maamrisho na Makatazo ya Allah na Mtume (S.A.W)...Tofauti na wale wanajiita Salafi na kuanza kubishana na kutukana masheikh tuuu....Allah Akbar
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
wewe nikipofu pya husikii kwenye nyumba ya anlla mtu anatukana anatoa matusi ya hovyo arafu unampongeza mungu awarani wote wanamunga mko kwa ujinga huu
@mpwaguzipwagu3199 Жыл бұрын
Shekh namkubali, anaongea khaaqi, hii sio ile dunia ya maswahaba walopigana kwa mapanga, Vita mchana usiku kulala. My bro hujui unaongea nn, leo viongoz wa nchi kwsbb tu ya hela wanapanda kwenye majukwaa kutagaza ushoga!! Ss ww ulitaka shekh aongeee.. vp ili jamii ielewe. Mtt wa kiume anasuka mwenye, anachora Tattoo, je Dada ako afanye nn ? Ww ulitaka aongee vp ili jamii ielewe??
@mpwaguzipwagu3199 Жыл бұрын
Shekh fanya kazi hakika ya wenye hekima na akili wanafaham nn unafanya, lkn wenye na uhafifu wa kufikir ndio wanakuja na mawazo na fikir km hizi. juzi kati tu alikuja na ushahidi vp Watt wanaadaliwa kuharibiwa kusu ushoga, so ww ulitaka afik8she ujumbe kivip kw jamii
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
mimi sijaona tatizo rahawa wanaopinga wamekuja na hoja za kisheria rakin pya mkataba wenyew hauna tija izo ndio hoja za kureta
@HanifaUrassa3 ай бұрын
Ulianzia kwa Maaskofu
@madamuhimu9354 Жыл бұрын
Safi sana sheikh Rusanganya
@eshasalim5496 Жыл бұрын
SUBHANA ALLAH
@shosengowi5271 Жыл бұрын
Heeee!!!!
@reisezone4574 Жыл бұрын
sasa mbona kiongozi wa dini anatukana waziwazi,
@1vy1231vys Жыл бұрын
Wape vidonge vyao mahasidi
@zafarmohamed9413 Жыл бұрын
kichwa cha habari sicho na maelezo sheykh hajawaita wanasiasa mapapai kasema wanoukulana wanaume ndio mapapai.
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Biashara za ujanjaujanja za maaskofu kupitia bandari DP world wanaenda kumaliza, ndio maana unaowaona maaskofu wa mchongo wanatoa povu
Katiba mutaileta wenyewe bila chadema si tupo penbeni tutafuka mwisho
@abdulab6202 Жыл бұрын
Hao wanachoyo tu sheikh ndio wamemsakama Rais kwa sababu muislam mbona alipo kuwa magufuli hawakumsakama na halafu wengine walikimbia mji leo wameambiwa wanaweza wakarudi kurudi kwa wanekuwa na maneno mengi
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
NAONA SASA MJADALA WA BANDARI UMEHAMIA MAKANISANI!! HUU NI MSIBA!! WAJITADHIMINI!! ILA NIMEONA KUNA MAASKOFU WENGINE WASTAARABU MNO!!WANAKEMEA HIZO SIASA CHAFU!! NASHANGAA SIJSIKIA BABA WA BUSARA BABA ASKOFU SHOO!! BABA JITOKEZE!!
@NubiClement-hq6ol Жыл бұрын
Sijakuelewa,unaleta udini unatakiwa ukemewe Kwa nguvu zote,kukemea ushoga ni SAWA lakini maswala ya udini yanaingiaje? Hoja ni mkataba usitufanye wajinga jibu hoja za mkataba umejuaje anabanduliwa kama na wewe ufanyi? Adhabu ya kaburi ajuaye maiti,