Mungu awabariki sana wasafi mwanzoni nilikua nawaona kama chawa wa government now mpopamoja na wanyonye hongereni sana
@winfordmwangonda53753 ай бұрын
Kweli kabisa ,wanafanya kazi moja safi kabisa
@tumainikomba90083 ай бұрын
Yan Hawa sasa ndo wakwetu wenyewe dah . Wanetu wenyewe wa kuwazaa❤❤❤❤tuteteeni jaman
@uwezontalengwa18273 ай бұрын
Kabsa saiz hata mi nakubar
@dianajohnson72683 ай бұрын
Mungu awabariki sana adi haki itendeke kabisaa
@OmanOman-ru4eu3 ай бұрын
Yaani kweli bint hayuko mikono salama maana analindwa na askari na askari hao hao ndio waliofanya tukio😢 mungu amlinde bint huyo
@shanimbaruku20713 ай бұрын
Aamin Aamiin
@johnmsabaha73993 ай бұрын
Ingekuwa Kenya wanawake wangeandamana kushinikiza afande akamatwe. Ila bongo duuuh!
@binews88653 ай бұрын
Tuendelee kusimamia haki ya mtanzania mwenzetu 👏👏👏
@AmaniRashidi-i9b3 ай бұрын
Mwambusi sasa lazima afande apati kane😂
@ulric57403 ай бұрын
Wangapi hawajanywa chai ☝🏽😂😂
@Amini-aliAmini3 ай бұрын
Yani nyinyi ni shida mpaka mussa mushamzoesha vituko vyenu ama sijui mukiwa wanne itakuwaje acha tuone
@dorischengo38483 ай бұрын
👏👏👏 kazi nzuri sana
@hemedshalua20023 ай бұрын
Kudos Wasafi
@asteruapaul22433 ай бұрын
Kaka yangu zembwela unanikosha Sana na kitenge 😂😂
@jactonmoris30343 ай бұрын
Chuvi naitaji nije hapo studio nisome nanyi magazeti...
@Allybinamour3 ай бұрын
safi sana kwa kulisimamia hili,ikibidi hata mawakili wanaowatetea hawa wahalifu nao washtakiwe,hawa ni tatizo pia
@shanimbaruku20713 ай бұрын
Kabisa
@babalao9103 ай бұрын
Wakibanwa watamtaja afande pengine ndio anayewalipa.
@starjay30523 ай бұрын
nakubali mwabukisu mzee wangu nilikua naomba usiku na mchana kesi hii ifike mikononi kwako
@hassanlikwenangu84713 ай бұрын
AFANDE apigwe achakae!!
@Pendomamafay3 ай бұрын
mungu ajibu maombi kwakuwa wengi tunaomba haki itendeke bado tunakuomba mwenyez mungu mtetee binti uyo
@sharifamhina43452 ай бұрын
Amiin
@fatmaalnabhani36093 ай бұрын
Hapo sasa Afande apatikane tu
@SudyTupa13 ай бұрын
Safi sana wasafi media
@FaridaFarida43 ай бұрын
Mama samia angetoa uamuzi juu ya afande kampeni karibia wanachafuliwa
@Ucheshi3 ай бұрын
Musa kipanya umeibukia na huku tena 😂😂
@FaridaFarida43 ай бұрын
Ndio afande Yuko wapi
@ilynpayne74913 ай бұрын
Hahah kitenge na wenzie hatari😂😂
@FortunataNguma3 ай бұрын
Hapo sawa naelewa aliewatuma akamatwe apate adhabu kali kuliko hao aliowatuma
@MasanjaMakolo3 ай бұрын
Uyu nae wa EFM kashahamia wasafi Tena ila diamond
@Ashora-m8w3 ай бұрын
Mungu awabarik kaka zangu tuna taka haki ifanyike
@NewNew-ep5dq3 ай бұрын
Saw saw hapo patamu mm ndio napatak apo nimuone uyo mama
@mkondomkondo47213 ай бұрын
Msije kumteka mwabukusi
@MatronaThomas-wz5si3 ай бұрын
Ni sawa haki za binadamu wapewe mtendewa kesi ikamilike bila kuingiliwa
@msafiriomary8933 ай бұрын
Wakiwaaxhia huku mtaani wasirudi razima wavune maovu yao
@SubiranTimo3 ай бұрын
Watangazaji mpo poa sana mungu awabarki
@AhmedMohamed-zj8hi3 ай бұрын
Nice
@deogratiusdominick88823 ай бұрын
Mm sikula chakula kwa kujiuliza alie watuna yupo wap !!
@JULIANAMWENDWA3 ай бұрын
Haki huinua taifa Dhambi ni aibu kwa watu wote
@HappyatHome-bn8wm3 ай бұрын
wazee wa minyama... hahahahha kupiga kona afu ukafunge mwenyewe
@subiramussa14283 ай бұрын
Yani itafahamika tu
@captainmwata98573 ай бұрын
Mnatusaidia sana
@abdulsalaamkahttan10373 ай бұрын
😂😂kipanya chumvi,na ndimu hii studio inawaka moto hongereni kwa upekuzi.
@tariqkhassim40593 ай бұрын
YAN WANANOGESHA KIPINDI DAH😂😂😂
@PanchoValentino-wh7wt3 ай бұрын
Mpaka mtuhumiwa Apatikane
@IssaMatandi3 ай бұрын
Chumvi,minyama na matonge ni hatari sana.Ninapata raha sana.
@KelvinChana-bt4kz3 ай бұрын
kabix mwambukus apewe ulizi siyo maana serikali inawalinda watumishi wake
@MsNajma-j7e3 ай бұрын
Mwabukuzi msaidyen uyo dda haki ipatikane asione kama tz hakuna watu hau haki uyo afande akamatwe
@alexandernyambo77393 ай бұрын
Hahahahaaaaa🤣😂🤣😂Hauwezi kupiga mpira wa kona kisha ukafunge mwenyeweeeeee🤣😂🤣😭 Daaaah Zembwera nimekuelewa saaaanaaaa
@jackhans77083 ай бұрын
Ndugu zangu hizo taasisi mlizosema ndizo zinawaletea taharuki Tanzania,hiyo inajulikana hata huku ulaya,waafrika na watanzania!kuna mtu alishasema zakuambiwa changanya nazakwako✌️
@nellymtambo84323 ай бұрын
Yeeees ❤
@JULIANAMWENDWA3 ай бұрын
Haki haki haki
@Dockbrand3 ай бұрын
Sio haki bna hivi ingekuwa kapuku mm ndo nimefanya hayo hivi kesi ingeenda mahakamani huyo dada alipwe na hao waingie jera moja kwa moja kesi mpaka siku tano vip
@altonkanjolonga23803 ай бұрын
Hakuna kupoa hadi haki ya mnyonge ipatikane.Mjadala uko sawa kabisa
@bestman36513 ай бұрын
Mna uhakika hata SGR Mutale hawezi?😅
@jasperyassin17083 ай бұрын
Zembwela una misemo sana navitiwa namna unavyoongea.maisha kwako
@GervasLyimo-f7p3 ай бұрын
Magufuli amerudi tena Tanzania katika sura ya Mwabukusi.
@RamadhanAlly-cf7du3 ай бұрын
Uyo binti atolewe kwenye mikono ya police kwani hawawez kuwa na watuhumiwa pia na aliye tuhumiwa
@JenniferKalanje3 ай бұрын
Hahaaaaa yaani ninyi ni kiboko
@fxmeddy95673 ай бұрын
😂😂 nyie mnanifurahisha sanaaa. Hakuna kama nyinyi.
@MariamRashid-sm5zw3 ай бұрын
alafu kitenge kwanini waalifu wengine wezi wakuku au wasimu wakikamatwa wanaoneswa na makamera awa wabakaji mbona awaja waonyesha jamqni
@MatronaThomas-wz5si3 ай бұрын
TLS❤❤❤❤❤
@dianaleo60673 ай бұрын
Mama wananchi tunalindwa na wabakaji na wanateteana.
@tumainikomba90083 ай бұрын
Dah.....yan nyie mnajua ad mnabore
@temuramadhani51343 ай бұрын
Uwaezi kupiga kona na kufanga mwenyewe
@uwezontalengwa18273 ай бұрын
Zembwela 😂😂😂 huwez kupga kona harafu ufunge mwenyewe 🤣🤣
@sylvestercameo62633 ай бұрын
Nyie tangu mtoke ziara ya DP World mmekuwa mnatema sumu ya nyongo ya mamba! Mlilishwa nini huko Dubai
@MwanaishaShattry3 ай бұрын
Ovyooooo hainogi hata kidogo. Mmekaa kama mosukule iliyopona.
@peteraleck69623 ай бұрын
Imagine binti huyu amefanyiwa unyama huo na asikari, na eti sasa yupo chini ya asikari, akipewa psycho social support na asikari. This is a joke! Do you think she is comfortable? She's is facing torture when those asikari are around her
@MudiZuberi3 ай бұрын
Yaaan sijui niwatumie ela yaaan tupooo pamojaaa ao jamaaa wauliwe kabisa
@KelvinChana-bt4kz3 ай бұрын
chumvi ni bala haupesi kabix macho
@EmmanuelNyinyigwa-m1o3 ай бұрын
Shida yenu mnakaa mbali na maiki sauti hazitoki Kwa usahihi
@ilynpayne74913 ай бұрын
Hahah hivyo hivyo
@evamwambapa52513 ай бұрын
Khaa kelele zote hizo jaman 😂
@NtamamiloGibson3 ай бұрын
Hujajitambua kama unatatizo la kusikia😂
@enockjoe2 ай бұрын
Mtoto kautaka ila kaupata😂
@SpolaLuwi3 ай бұрын
Auwae kwaupanga atakufa kwaupanga
@IssaTayari3 ай бұрын
Tunakubari
@chuseboy3 ай бұрын
Hawa wazee wanajua na wanajua tena😂😂😂
@tariqkhassim40593 ай бұрын
ET SJANYWA CHAI KITENGE EM JIULZE NI WANGAP WATAKUA AWAJANYWA CHAI
Hivi hyo anaingiaje kwenye hiyo mwabukusi na huyo mwingine huyo bint ni swala la kupandikizwa tukiliongelea zaidi maana wanaongilia kwa ushabiki ebu tutafakari
@Yayouselim3 ай бұрын
Whitch doctor
@kelvinemmanuel86163 ай бұрын
First 1😊
@EvaHassan-i9c3 ай бұрын
Hyo afande afukuzwe kazi baada ya kukamatwa mna tumechoka unyanyasaji anatumia cheo chake vibaya na Hana hadhi ya kuwa afande kutokana na hayo mmbo aliyoyafanya