Tumbo la mama nyumba, Mgongo na mama Gari, Maziwa ya mama Chakula
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Nuru Raymond umenichekesha ulivyomkariri Mch Hananja pamoja na anavyoongea haraka du!
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
😁😁😀😀
@prime_215beatz Жыл бұрын
Hard to understand this Pastor but always he's talking deeply messages 👏
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Huyu sio pastor ni msemaji wa watu but anajifanya pastor
@medeljoram5325 Жыл бұрын
Nakubali s2kizzy
@bawirieto4391 Жыл бұрын
P
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Namwelewa balaa
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Kuhusu Zumaridi...ana mental illness, anahitaji msaada. Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli. Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽
@MILTONKALYEMBE Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana pastor kwa neno lako ulilotupatia
@jayjay4313 Жыл бұрын
Dag, kazi ipo! Leo Sasa nimepata muda. Ti taaa mwamba huyu hapa. Nishaandaa mbavu zangu Mimi hapa saa mjue. Hakuna mtu kunipigia simu mpaka somo liishe hapa.😅😅😅
@vickytorry100 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mchungaji Hananja, nahangaika kukariri fungu moja wewe unatiririka na mafungu kibao! Una baraka, hekima na upendeleo wa Mungu🙏🏾
@dottohami Жыл бұрын
Huyu mzee mm namuelewa sana naongea ukweli wake 😘
@omaryrashidiboga4651 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 Nimecheka eti wa2 wanashida nying Unaweza kuwauzia Dona la upako
@dankhany3385 Жыл бұрын
maisha marefu hannanja
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Nakupenda sana mchungaji wangu, sijawahi kuchoka kukusikiliza😂😂
@Bittertruth-u4n Жыл бұрын
Daudi michael
@philemongomwa3728 Жыл бұрын
Mungu anaviumbevyake! Yaani mchungaji hananja bible yooote iko kichwani!!!
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba yangu Hananja nimejifunza mambo mengi kupitia wewe
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Kuhusu Zumaridi na wengine; Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli. Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽
@SufoWazir-s4q3 ай бұрын
Eti arudi aje kusema nataka kujenga uwanja wa ndege 😂😂😂
@erickgulayi2089 Жыл бұрын
Huyu mzee namuelewa sana na sikosi kumsikiliza
@juliusmshana7187 Жыл бұрын
Thanks so that is good to bother to ask for help to you are important that is the best you could send a new job in a bit to you about this a bit more to come in at the office today so useme a few
@emmymshomi8893 Жыл бұрын
hananjaaaa pastor safiii sana 😍❤
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Mtumish mungu akubariki historia yko tu ni injili tosha tuombee angalau watu ht wachache wapate hicho kipaji namshukuru mungu Kwa ajili yko
@TALLUBOY Жыл бұрын
Wewe mzee ni #bilionea wa mari Na hakili nyingi nakufuatilia sanaaa Mzee #ananja nakukubal kinomaa Mzee wangu upo na roho safi sana MIMI NI MUISLAM HILA NAKUSIKILIZA SANAAAA
@WardaPattrah2 ай бұрын
Kweli kabisa❤❤
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Sichoki kumsikiliza Hananja ❤
@sabitintaganda9115 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@SienaMkolwe-px1nq Жыл бұрын
Huyu pastor yuko vizuri sanaa
@frankmalesa9226 Жыл бұрын
Jamaa huwa ampingi mtu hata kama chizi yeye anaamin maandiko tu
@nurukwilabya2790 Жыл бұрын
Na ndio tunapaswa kuishi kweli ya Maandiko 🤣
@paulnzilo7252 Жыл бұрын
Pastor Hananja wewe ni sauti ya waliotengwa 😂😂 nakupenda sana.
@asumaathuman6094 Жыл бұрын
Jamni anasauti nzur sana kama nasikiliza sijui kitu gani😋😋😍😍😍🤗🤗🤗
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Mahaba hayo.. Mzee huyo. Tutafute sisi vijana tukusemeshe kwa sauti uipendayo
@batulii1248 Жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 😂😂😂😂
@rahimmarions5712 Жыл бұрын
Daaah huyu mwamba si wa mchezo mchezo.. namkubar sana tena sana... Makavu live🤣🤣🤣🤣
@mekumeku2484 Жыл бұрын
Huyu mchungaji yuko vizuri sana yaan anaenda nje ya box anaokoa wwngi sana nikiwemo mimi
@rehemabakari4150 Жыл бұрын
Asanteee baba eeet mtu anaenda marekani anagoma kurudi Tanzania ndio yeye atoke mbinguni arudi Tnzania jehanamu
@erastompongo8400 Жыл бұрын
Kuna mungu wa masela Na mchungaji wawashikaji
@christophergeorge5490 Жыл бұрын
Umeeeleweka mkali😃😃😃👊👊
@Babu.Suwa.Yoshua01 Жыл бұрын
😂😂😂 huyu ndo pastor sasa
@Boaz22 Жыл бұрын
Daah,1989 nilikua sijazaliwa, we ulikua unapambana, leo nina miaka 32 ......Mungu akuweke mchungaji 🙏.🎉🎉
@hancymachibbula4355 Жыл бұрын
😂😂😂Umefika mbingun kwenye kila kitu urud tena Dunian utake book 2 yangu😂😂
@abdulabdallh9506 Жыл бұрын
Iv wanao omba like kwan zina wasaidya nni
@rahmamollely5296 Жыл бұрын
Nahis wana ajenda ya sir😊
@ahmedkharis9471 Жыл бұрын
Uyo mzee uyo daaa namuelewa sana tuuu mm ni shekhe ila namuelewa sana tuu na yeye anaukubali uislam
@KainLangson-lh5gk Жыл бұрын
Hananja thanks for everything you do
@ezevisionmediastudioezevis7855 Жыл бұрын
Hii interview ina zaidi ya dakika 25 lakini nimeona kama ni dakika 5 tu, mchungaji hau boi.
@sakayonsakihunga3496 Жыл бұрын
Umeonaeee
@clynemorgan9741 Жыл бұрын
Mchungaji bora sana 🙌
@ismailchibonda5005 Жыл бұрын
Namkubali Sana huyu mwamba yuko social sana
@juliusmadebe9624 Жыл бұрын
Asante sana, Nakuelewa sana.
@njiailiyonjema Жыл бұрын
Nimependa uliposema kwamba umeoa una miaka 40, vijana wa leo wanaooa na miaka 20, 25, tujifunze kitu hapa.
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
Pastor Kama pastor 🤔😄😄duuh tuliombee Kanisa na watumishi wa MUNGU 📌❤️🙌
@hubbihubbi869 Жыл бұрын
Mchungaji Hananja is Real….. Huyu jamaa ni wa kipekee…
@naomchristopher Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂 ama kwel afy ya akili🤭🤭. Ohoo! Balaa lingine hilo!😂😂😂
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Kuhusu Zumaridi, ana serious mental illness, anahitaji msaada. Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli. Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽
@husnajuma6452 Жыл бұрын
😅😅😅😅😂😂😂ila huyu baba
@Mwalukani Жыл бұрын
Amina
@calvindonalds5373 Жыл бұрын
Millard should have done this one also, good interview though
@godfreymagoso5334 Жыл бұрын
Dah 😂😂😂 hili balaa lingine,,,, sema ushauri mnzuri wakaangaliwe akili
@aisha-zu8vr Жыл бұрын
Mashaallah
@rauhiaomar977 Жыл бұрын
Mazungumzo mazuri sana
@musason1680 Жыл бұрын
Uyu mchungaji akili kubwa sana hasa alivyoelezea kwa nn adili na mateja
@joanesasalavaleriano9980 Жыл бұрын
Nimekua wakwanza butuen Like zangu
@victorjames3730 Жыл бұрын
Kusema umekua wa kwanza upewe wa like ni moja ya ushamba..
@fatmahussein6085 Жыл бұрын
@@victorjames3730 😁😁
@HansBwoi Жыл бұрын
We penda kula bata uta batuliwa
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
@@victorjames3730 hahahahahha😂😂😂😂
@sakayonsakihunga3496 Жыл бұрын
Like zann toa coment
@personpeter2221 Жыл бұрын
Hyu mwamba ukimwuliza swali moja anakujibu na nyongeza 😂😂😂😂
@alphabintu1306 Жыл бұрын
Cool 🌹
@clintonarnold6291 Жыл бұрын
Mawe ndo sisi😅🙋
@irinikoipai3936 Жыл бұрын
Mchungaji Mimi napenda sana unavyosema mmmmmh af nd ivo ujue
@jehudavid6370 Жыл бұрын
Huyu Mzee nampenda Bure 🤣🤣🤣🤣
@AthumanHajji6 ай бұрын
Nakubari sana uyu mzeee anajuwa sana
@glorymafuru6342 Жыл бұрын
Nimesikia sauti nnzuri iliyotangulia bila shaka ni ya Dulla 🥰 alooh
@nassobrownog Жыл бұрын
Ukiwa na baba kama huyu yaani akili yako itakuwa imenyooka ❤❤
@binbaya923 Жыл бұрын
😁😁😁🔥🔥🔥👊🏿👊🏿mm naona ni afya ya akili
@norbatykapinga8756 Жыл бұрын
Una msimamo good sana mchungaji.
@allyking9814 Жыл бұрын
Sima namkubali sana huyu mjuba
@DonathaMwoleka-fc4oo Жыл бұрын
Aminaaaaaa baba
@salomemhalule5213 Жыл бұрын
Namkubali sana maana amepitia mengi hata anachoongea ameki experience.
@lodrickkisanga8681 Жыл бұрын
Thanks pastor
@kambiyusufu2776 Жыл бұрын
Love you mchungaji
@maturanking752 Жыл бұрын
Mzee kanyooka sana ✋
@pettyzumamhina6583 Жыл бұрын
Sawa Pastor
@mkenyaog3170 Жыл бұрын
Mwambie hananja yesu kashludi ypo kenya
@sophiambwiya2164 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emmanicko1535 Жыл бұрын
Nakukubali sana mwamba
@ismailchibonda5005 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@justfad_026 Жыл бұрын
Kama ni MB Mch. Hananja wee zimalize tu ivi kanisa liko wapi niende tu maana wew ni mchungaji wa kwel
@NicholusMwandambo-mc4ms Жыл бұрын
Huyu apewe udocta wa mezani jamani
@NR-ll4sr Жыл бұрын
MashAllah anaongea huyo😅
@sharommiriam2674 Жыл бұрын
Umeongea ukweli baba
@musason1680 Жыл бұрын
Sema tu mzee sijajua kanisa laki ningekja walau siku Moja nishiriki ibada
@fumotv7914 Жыл бұрын
Ashastaafu, yupo cct udsm
@jacksonkimaro3751 Жыл бұрын
Uyu jamaa kaha hakurupuki kama wahojiwa wengine
@khayratmhina3735 Жыл бұрын
Mtamgaxaji hajui kuendanda na mazingira, mzee mcheshi yeye yupo serious..
@mastermaster1627 Жыл бұрын
Genius
@ashrafchande869 Жыл бұрын
Dah mzee namuwelewag san rich bilionea
@winfridakaaya2758 Жыл бұрын
Etii Ili uwe nyauu south kuliko mtu tz
@dealsonmatata9620 Жыл бұрын
Ahaaaa mwananyauu
@BarakaJulius-x8k Жыл бұрын
Nakukubali cna pasta Ananja 😂
@Peaceman-S Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ukiwa mgeni na biblia Zumaridi utamuona mkweli 🏃🏃🏃
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli. Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽
@Peaceman-S Жыл бұрын
@@joycekisamo4896 umeongea point mpendwa ila kwa tanzania yetu nahis bado inajitafuta kwa sababu hata viongozi tunaowapat nao hawana passion ya uongoz wanapota nafasi ya uongozi nao wanafurahia kupata Ajira inapelekea ugumu wakutimiza majukumu ya uongoz wanajikita kutengeneza maisha yao binafsi na sio taifa....
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
@@Peaceman-S Sad 😔
@noelngowitechnicalsolution7 ай бұрын
Mchungaji Hananja, tunajifunza mengi kwako
@gracious6317 Жыл бұрын
Huyu pastor mkweli kabisa
@bumbuli4170 Жыл бұрын
😂😂😂😂 hananja ni legend
@mozasalum8742 Жыл бұрын
Sina cha kusema kwakweli zaidi yakucheka2 HAHAAA
@moganfred6473 Жыл бұрын
Huyu mzee wamaana sana
@HassanShaban-ru2nb Жыл бұрын
Mzee namuelewa
@standardtv3494 Жыл бұрын
kwa ufupi sana sauti ya Mungu kwa mtu huwa haihadithiki kirahisi kila utake mwambia asipo kudhihaki basi atakaa kimya ili wakuseme kisiriri swali je? ni kweli Mungu anazungumza na watu na nikwa njia gani? bnafsi siwezi kutoa ushuhuda yakuwa nimewahi kuota Niko na Yesu maana walio wengi wanaamini Yesu yupo lakini swala la anaongea na watu ni kama la Hananja haamini haya isipokuwa kurudi kwa mwana wa Adam katika utukufu wake ningekuwa karibu na hananja ningemuuliza unapumua ukimsubiri Kristo au kristo anakufanya upumue ukisubiri arudi, majibu yote yanaweza kuwa sawa lakini kama yupo kati yetu inashindikana naje akizungumza na sisi kwa njia zisizo za kawaida?
@joshuamollel6993 Жыл бұрын
Jamani milady ayo mbona nzuri sana ikaisha mapema??
@khadi-z4o Жыл бұрын
SICHOKI MIMI KUKUANGALIYA NA KUANGALIYA INTERVIEW ZAKO.. MANENO YAKO YAPO SAHIHI KABISAA UPO SAWA KIONGOZ.
@marthaholela6938 Жыл бұрын
Mchungaji wewe umetumwa na Mungu yupi ...make km usikui sauti yake.umekuwaje mchungaji...ushauri wangu base n kanisa lako n Imani yako... Serikali yetu Tukufu aina huo ujinga unaoushabikia.mchungaji gn una hekima.unakuwaje unampinga mtumishi wa Mungu am aye watu zaid ya 1000 wanakiamini kile alichobacho....comedy..Zumaridi atawaumbua sana wakina wachungaji km wewe.
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Atapofuka huyo zumalidi akimuona Mungu anafikili Mungu ni mizuka yake tena utulie usije ukaadhibiwa km Brazil Santa
@TALLUBOY Жыл бұрын
ZUMA RIDI NI DADA WA KIFREEMASON Na siyo kitu kingine
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Mbinguniii au bafuniii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari sana.
@mtangag774 Жыл бұрын
😂😂😂😂huyu pastor nachekaga
@crispinakimaro3821 Жыл бұрын
Huyo Zumaridi muongo kwa nini anafunika macho dalili za hana confidence tapeli.