SAKATA LA DOGO ANAYEDAIWA NI MTOTO WA MZEE YUSSUF, AKUBALI "YAWEZEKANA NI WANGU"

  Рет қаралды 47,934

Millard Ayo

Millard Ayo

9 ай бұрын

Пікірлер: 85
@goodluckngoi7946
@goodluckngoi7946 9 ай бұрын
Jamaa alitembea mikoa mingi sana labda kuna wengine wamejificha
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
hahahaaaa
@doricecyprian7246
@doricecyprian7246 9 ай бұрын
Mtoto ni baraka kutoka kwa mungu
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc 9 ай бұрын
Yani uyo mtoto umejizaa kabsa Kwa kufanafa hko inshallaah🙏🙏
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 9 ай бұрын
Kiukweli Leo umeongea vizur Mzee.
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Mashallah saivi una nawili jamn daaa kibonge
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy 9 ай бұрын
Ndo maaan tunaambiwa tuacheni zinaaaaaa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
We umeacha?
@Swaumdodoma
@Swaumdodoma 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂maake kwanza nicheke unamuuliza kaacha kwani ulimuona anaifanya ?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
@@Swaumdodoma hahahaha,,,kwani hao walioambiwa waache wameonekana wanafanya? Na Nani aliyekuambia kuwa zinaa inafanywa Kwa kuonekana?
@Swaumdodoma
@Swaumdodoma 9 ай бұрын
@@jumakapilima7295 sijaelewa waloambiwa waache akina nani?
@omariaman7818
@omariaman7818 9 ай бұрын
Umeongea kiume sana leo
@pesa-kt9hp9jy6e
@pesa-kt9hp9jy6e 9 ай бұрын
Atali ukiwa na ela utakuwa na watoto wangu
@user-mp4lf4ji8k
@user-mp4lf4ji8k 2 ай бұрын
Mzee nimemuelewa leo sana
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 Ай бұрын
Humfananishi na mke yoyote kwa sababu unamfanyiaga utumbo WA kutosha halafu bado yupo.
@chainbre275
@chainbre275 9 ай бұрын
Leo kawa mplee munoo😂😂😂au ndo kashakumbuka waliko fanya mapenzi hadi ujauzito😂😂
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 9 ай бұрын
😂😂😂
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 9 ай бұрын
😂Ndiyo maana Kawa mpole.
@sifauseni6900
@sifauseni6900 9 ай бұрын
Uyo mtoto niwako mzee yusufu kubali Lea mtoto wako tu
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 4 ай бұрын
Nimekupenda kwazia leo
@maryamhilal9820
@maryamhilal9820 9 ай бұрын
Mtoto ni wako yaani anavyoongea yule mtt ni baba kabisa 😅😅
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 9 ай бұрын
Hakika..👌
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 9 ай бұрын
Hawa watoto 2002 kwa nini wamefichwa baba zake mpaka wanafika wakubwa hata rafiki yangu yupo kazaa mtoto wa 2002 kamficha baba ake mpaka leo afu mtu niliyokuwa nikidhani ndo baba ake kumbe sio dahhhh zinaaa ni haramu
@Official83640
@Official83640 9 ай бұрын
Huyo hajafichwa na Mzee anaujua ukweli wote sema anajitoa ulifahamu tu maana tangu mimba alipewa
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 9 ай бұрын
du!!! yamenikuta hayo yaani nipo njia panda mpaka sasa hivi.
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 9 ай бұрын
Mtoto ni wako bhana
@ZainabOmar-hf3vu
@ZainabOmar-hf3vu 9 ай бұрын
Huwezi kumfananisha mkeo kwa mwanamke yeyote ni kweli kwasababu mkeo hana hekma anakatika hovyo mbele za watu,sijui kesho mtajibu nn kwa Allah.
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 9 ай бұрын
Mzee mwenzagu mkeo Uwezi kumfananisha na mke wa manara Rushehna🤣🤣🤣
@HIDAYASAID-ue1df
@HIDAYASAID-ue1df 9 ай бұрын
😂😂😂😂wameon aib kutangaz damu ya mtoto mpk leo kimy mtot wake Vzr sasa
@nigamo9645
@nigamo9645 9 ай бұрын
Hilo linawezekana
@salmafrancis6689
@salmafrancis6689 9 ай бұрын
Kweli bwana uritupitia piitia Sana Tu sasa iv wajifanya umesahau uyo mtoto Niwako mzee mzee ulikuwa funika funua watu tulipigana Sana Kwa ajili yako pale mango garden maguruwe
@singidaone5628
@singidaone5628 9 ай бұрын
Huyo mtoto ni wako Mzee sema tu ukweli Mzee baba
@HermaniDaudi-yp8pf
@HermaniDaudi-yp8pf 9 ай бұрын
Ni wake
@daudimichael7338
@daudimichael7338 9 ай бұрын
Umekubaliiii😂😂😂😂
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 9 ай бұрын
HYO MTOTO MNAFANANANAYE SANA. WE MZEE YUSUPH UNAMKANA MTOTO BAADAYE UNASEMA WA KWAKO. MUNGU ANAKUONA. UJUE KUWA UJANA NI MOSHI FAINARI UZEENI.
@KudraGwingwi
@KudraGwingwi Ай бұрын
Hapo kaka ulikuwa wamotoo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
mzigo ni wakwake
@maryamrajabu4972
@maryamrajabu4972 9 ай бұрын
Yani siamini kutoka kwenye twarabu kwenda kwenye Toba halafu. Mala paa ukatupa kanzu unavaa bod sote mmmh ucmtaje mungu wewe sio mjomba wako Allah akuhidi wewe na sisi
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 9 ай бұрын
Usingushe maneno huyo mtoto wako tu na ulikuwa na wanawake weng hata hivyo hawajajitokeza bado
@salummzee9739
@salummzee9739 9 ай бұрын
Km hakuowa siye mwaname huyo km ingekuwa mwanamke km hujamuowa mama yk awe za kumuoa sharia ya kiislamu km wapangani hiyar zao
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 9 ай бұрын
Umekua sahiz
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s 9 ай бұрын
Kazeeka mzee Yusuf
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 9 ай бұрын
Akuna atakae ishi maisha yote kijana ata ww utazeeka
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s 9 ай бұрын
@@khadijachacha3156 mie bado sana
@nigamo9645
@nigamo9645 9 ай бұрын
​@@khadijachacha3156kabisa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
@@khadijachacha3156 exactly!!
@CheupeDiana-rc9nj
@CheupeDiana-rc9nj 9 ай бұрын
Mmefanana sanaaa wala usikataeee
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 9 ай бұрын
Ni mwanao sema tu unajifanya hujui na pia utafika kwa mungu umechoka
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 9 ай бұрын
jibu ulilotoa leo kuna namna hapa
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 9 ай бұрын
Huyo kijana haiitaji kipimo ni wako😅😅😅😅😅😅
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
kabla hujafa utaon mamb nd kwnz yanaanz hakik ni kaul nzit hii kun mamb 5 Allah pekee ndio anajw moj wap mt atakufa wap na sabb gn ya maut yk, nakuonea hurum bro ila Allah kareem
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 9 ай бұрын
Wacha usenge weee kukojoa umekojoa mwenyewe ndani leo hii unakataa matunda uliyopandikiza msenge mzee choko wewe mtoto akataliwi kuma wewe hivi unadhani yule kijana anajisikiaje moyoni
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 9 ай бұрын
Jaman huyo mtoto niwajwajo kabisa maana sio kwakufananauko
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 9 ай бұрын
Haa huyo ni wakwako baba umefanana nae Sana
@rahmasaid762
@rahmasaid762 9 ай бұрын
Saf iyooo 😂😂 wake 5
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
rahm
@aisharamadhan4541
@aisharamadhan4541 9 ай бұрын
Jaman na wengine wajitokeze wasiogope
@saudakhamis3206
@saudakhamis3206 Ай бұрын
DNA inahitajika
@LilianPhilemon
@LilianPhilemon 9 ай бұрын
Usikatae wako huyo
@Official83640
@Official83640 9 ай бұрын
Yaani huyu alijua kuwavua wadada wa Tmk pichu jaman wangesema wabebe mimba ingekuta meli inajaa na dada yake ndy ndumilakuwili hatari
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 9 ай бұрын
Totolako kabisaaa
@Zaikadena
@Zaikadena 9 ай бұрын
Yule ni wk bwana
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 9 ай бұрын
Turejeshea vinanda kama vile vya jahaji
@lailalaila8206
@lailalaila8206 9 ай бұрын
Mtto ukimkataha hanatoka koprainti mungu ni mwema hanakuonesha mtto ni wako mkapime DNA ndio ok au mshapma mbon leo mpole sana?
@hamadmakame6040
@hamadmakame6040 9 ай бұрын
MFALME WA TARABU
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 9 ай бұрын
Ni twen wako kabisa
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 9 ай бұрын
Du
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 9 ай бұрын
Hili jamaa limejiachia, limefutuka. MA wanaume wenye vitambi wanachosha uwanjani😢.
@user-lo9pb1po8l
@user-lo9pb1po8l 9 ай бұрын
Mim mwembamba lakin sichoshi hata kidogo niko vzr
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 9 ай бұрын
Pacha kabisa
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 18 күн бұрын
Usikatae mtoto wewe malaya
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 9 ай бұрын
DNA kwank haijatoka bado?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
pale hana kiki moja
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
mzigo ni wake
@user-ug3lu2km4c
@user-ug3lu2km4c 9 ай бұрын
Bado nahis ila italeta majibu kwl haitolindwa 😅
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 9 ай бұрын
Ishatoka uon kamkubali 😄
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
@@joycekaguo8476 hana maneno tena hasaa amebaki ooo bee ukweli keshaujua sasa anajitetea alikuwa kijana hahahaaaa
@omaryrupia2631
@omaryrupia2631 9 ай бұрын
Uku tanga pia kuna mtoto wako wa kike pia anataka nimlete dar
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 9 ай бұрын
😂😂😂
@darlenesalum3667
@darlenesalum3667 Ай бұрын
😂😂😂
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 9 ай бұрын
Wanao kataa watoto ni hawana hera
@mousirally03
@mousirally03 9 ай бұрын
mtangazaji unazingua haujajiandaa
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
kabla hujafa utaon mamb nd kwnz yanaanz hakik ni kaul nzit hii kun mamb 5 Allah pekee ndio anajw moj wap mt atakufa wap na sabb gn ya maut yk, nakuonea hurum bro ila Allah kareem
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 47 МЛН
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 44 МЛН
ТАМАЕВ vs ВЕНГАЛБИ. ФИНАЛЬНАЯ ГОНКА! BMW M5 против CLS
47:36
Её Старший Брат Настоящий Джентельмен ❤️
00:18
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 9 МЛН
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 47 МЛН