SAKATA LA HUKUMU YA YANGA LAIBUA SIRI NZITO/ MANJI AHUSISHWA MAGOMA AZULIWA MASWALI MAZITO

  Рет қаралды 39,536

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 147
@john11278
@john11278 2 ай бұрын
Kakka hongera sana umeongea vizuri... Vipi kuhusu katiba yanga wanatumia ya mwaka ganiii??? ....
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 ай бұрын
Safi sana mwambelo junior inabidi ufanye hizi interview nyingi kila mtu aelewe
@sangaelly8548
@sangaelly8548 2 ай бұрын
Yanga ,malizeni mgogoro mko vizuri, mimi ni mnyama kama mkichukia basi lakini,hamu yangu nikumaliza mgogoro iwepo amani
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 ай бұрын
Kwani uliambiwa kuna mgogoro, vipi mgogoro wkt watu walipiga kura kupitisha katiba isipokuwa wawili tu.
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 2 ай бұрын
​kama walipga magoma kashndaj
@DATIVACOSMAS
@DATIVACOSMAS 2 ай бұрын
Hii nzuri kaka ubarikiwe
@salumjuma3152
@salumjuma3152 2 ай бұрын
Huyu jamaa Kama ni mwalim basi wanafunzi wake hawawezi kufeli
@paulotemba8881
@paulotemba8881 2 ай бұрын
Asante sana upo vizuri
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 2 ай бұрын
Safi sana mzee.!
@ATANASFUSI-m1w
@ATANASFUSI-m1w 2 ай бұрын
Huyo magoma anatumika wakati yanga inatembeza bakuli arikuwa wapi haondio wahujumu wayanga walio mshawishi fei atoke yanga yanga yawatu siomtu akacheze anakochezaga😅😅😅
@Bquality
@Bquality 2 ай бұрын
Serikali inaharibu sana mpira wetu
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 2 ай бұрын
Wanachoongelea ni tofauti ya mitazamo iliyokawepo. Ila ukiangalia kesi haiusiani na hukumu iliyotoka. Hayo ya tofauti ya mitazamo yapo na yataendelea kuwepo ila sio bado wengi wape itasimama.
@NathanKanick
@NathanKanick 2 ай бұрын
Magoma hajajitaja Kama mdhamini bali Kama mwanachama. Yupo sahihi
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 ай бұрын
Na Magoma hana shida na nani anadhaamini, yeye kasema anataka wanachama wa Yanga wanaolipa kodi waruhusiwe kuchagua kiongozi na sio kuchagua watu watano kila tawi.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 ай бұрын
Magoma anadai kaishitaki bodi....ndio jamaa anauliza bodi Ipi?abedi wanaedai ndio mwenyekiti wa bodi aliteuliwa na Nani na kwenye kikao kipi
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 2 ай бұрын
Bod yoyote iliobadil katba hata ww ungewkilisha body ungehusika😂
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
​@@BigZhumbeSio kuchagua bali wanachama karibu lako wote waingie mkutanoni, sasa ukumbi anao yeye? Na pia kuwa eti yy anatambua katiba ya nqaka 68 tu,,, sasa Zingine xote wakati zinabadilishwa alikuwa Wapi? Na alikuwa anashinda jangwani kila siku ,,,, Sema alikuwa anapewa pesa na manji,, sasa hivi apatite kitu ndio kakimbuka katiba ya wadhamini ya mwaka 68? Kisa apatite kitu? Ni mchumia tumbo tu,,, Si unasikia alivyosema huyu jamaa, kuwa baba yake ni kina magoma wote walikuwa wanapata maslahi,, hapo ndo ujue yule hana uchungu wowote na Yanga bali ni tumbo tu,, kuku awachinjwi cku hizi,, anakula maharage tu , au ujamsikiliza vizuri huyu jamaa, ajaficha hata khs baba yake kuwa nae alikuwa anamegua chake
@KamchapeKachara
@KamchapeKachara 2 ай бұрын
Uko sawa mimi ni mnyama napenda ulweli
@peterpain5594
@peterpain5594 2 ай бұрын
Duuuuuh sasa tunapata kujua kumbe hii yanga watu walifanya sehemu ya upigaji yule manji alitakuipeleka yanga kileleni
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 Ай бұрын
Hi Tim iliyanza urubuni Kwanini wende wawili wakati kyabu yawa Huwo ulikuwa Umafiya tu
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 Ай бұрын
Hii Tim yaujanjaunja Ndiomaana walikuwa wakichapana Bakora
@briankatani6770
@briankatani6770 2 ай бұрын
Magoma amesaidia sana kumbe Yanga haina baraza la wadhamini
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 2 ай бұрын
sema walikuwa wanakabidhiana timu kihun,,mnakabidhiana timu bila hata ya wajumbe au wanachama kuhusihswa,,lita nao walikuwa na mapungufu
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 2 ай бұрын
Hizo kumbukumbu alirithishwa,swali yeye alijibiwa kama nani
@ChristantusNyambo
@ChristantusNyambo 2 ай бұрын
Duu RITA ni watoto sana how came mtu anampa mwingine udhamini.
@codemixtz1869
@codemixtz1869 2 ай бұрын
Hii nchi ina mambo mengi 😂
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 2 ай бұрын
Kumbe magoma yupo sawa!alisema amewashtaki wote7,wakawa hawaji mahakaman Ila mmoja kesi ikaendelea
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 2 ай бұрын
Ooooooh umefafanuwa vizuri Sana kumbe magoma nimwizi 😂😂😂😂 kwangu Mimi nimekuelewa Sana Mzee wangu wewe kaaza hivo hivo hapo kunamaokoto watakuja2 kukufata kutaka hicho cheti cha Mzee
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
😂😂😂 Ndo maana yake mzee wake pia aliwaacha kina magoma kwenye mataa akawa anakula kwa manji kiulaini, Sasa alivyokufa ndio Magoma akawa nae anapigia denge chance hiyo lkn ajui aingie vipi na njaa zake, Wazee wa zamani walikuwa wanashinda jangwani mikwala mingi ya uchawi wakawa wanapewa mapene daily tangu enzi ya Gulamali , sasa hivi wapo vijana akuna mshiko wa ovyo watu wanajenga timu na awaogopi mikwala "" Wazee wenye hekima kibao wapo jangwani ila wenye njaa ndio wanatafuta mwanya wa kupata doo 😂
@Gervas-l3h
@Gervas-l3h 2 ай бұрын
Upo vzr kaka tetra ukweli
@khadijajumanne3324
@khadijajumanne3324 2 ай бұрын
Sio manji bro ni njaa tu hao
@ipaparaymond3622
@ipaparaymond3622 2 ай бұрын
Interim committee.
@hamadiomari9257
@hamadiomari9257 2 ай бұрын
Hoja ya Mzee magoma ni katiba wanayotumia viongozi wa sasa ni batili kuna vipengele haviko sawa ambavyo ni wanachama kuingia kwenye uchaguzi na pili kuwe na mwenyekiti wa klabu hicho ndio kilio cha Mzee magoma 😊
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
SIMBA TULIA
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 2 ай бұрын
Unataka tufanane na nyi nyi makolo kuwa na mw/kiti sijuwi katibu kwani chama cha siasa ndio uwaga na migogolo km nyiee na kina mangungu yanga imepita huko huo ni mifumo ya kizamani inayodumaza michezo ndio mana yanga ikaleta wasomi wakaweka mikakate tutoke huko tuwe na raisi ndio watu wakenda jifunza laliga wakalipwa wakaenda kozi Espenia kusoma walivyoludi ndio unaona yanga inakimbiza africa nzima kwa miaka 3 tu sasa leo nani anataka kusikia upuzi huo weshachelewa wanzishe yanga yao sio hii
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Katiba batili imepitishwaje na vyama vya serikali ina maana hyo magoma ana akili kuliko wote walopitisha katiba?? Na imetambulishwa rasmi na Rais mstaafu nae alikubali kuidanganya serikali??
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
KATIBA INAPITISHWA NA WENGI WAPE,HATA YA NCHI KUNA WATU WANAIPINGA NA NCHI INAENDELEA,KENGE WEWE HATUWEZI KUUSIKILIZA WAJINGA WENU SIMBA WAWILI HAO AKAPINGE KATIBA YENU
@NathanKanick
@NathanKanick 2 ай бұрын
​@@LinusKyandonaona unajijibu mwenyewe kwamba watu wanaipigia katiba ya serikali lakini hawasikilizwi. Sasa katiba ya Yanga ni ile ile lakini haijafwatiwa.
@JumaJidawi
@JumaJidawi Ай бұрын
Wewe ongea mpaka unye kinyesi lakini pale yanga upati chochote we Babu tafuta kazi ya kufanya we babu
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
Unataka kufilwa wewe huyu umeona anataka pesa? Au kiswahili nacho uelewi? Yy hata ajali ndio maana anawaachia waandishi hayo ya kuwauliza yanga km baada ya miezi 3 walichagua wadhamini wengine,, msikilize mwishoni anasemaje? Usilopoke tu kisa ni mfuasi wa magoma
@josephinemgomi9837
@josephinemgomi9837 2 ай бұрын
Yako RITA, na labda babaako hakuondoa jina lake ndiyo maana jina lake bado liko
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 ай бұрын
Magoma anadai yeye na mwambelo walienda kumtafuta mwinyikambi usiku bagamoyo akawaambia mje kesho mapema twende mahakamani nikawakabidhi power of attorney ndio wakaenda yeye na mwambelo
@MichaelSangula
@MichaelSangula 2 ай бұрын
Yanga siyo kitegauchumi cha mtu binafsi
@bahatisube120
@bahatisube120 2 ай бұрын
Mbona huyu mzee MAGOMA hamjibu?!! Au mzee MAGOMA kakamatwa ujanjaujanja wake?!!😂😂😂....
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 2 ай бұрын
Kwa maelezo hayo Magoma ana haki kama mwanachama.Ameshinda kesi kutokana na viongozi yanga kutokuwa makini.
@telvinnicholas
@telvinnicholas 2 ай бұрын
Unakichwa kigumu ndugu cha kuelewa.
@ezekielmwakyagi9330
@ezekielmwakyagi9330 2 ай бұрын
Daa serikal inaalibu mpira bongo kumbe yanga sasaiv inaongozwa na wahuni
@briankatani6770
@briankatani6770 2 ай бұрын
Mzee kila aliye nwanachama anayo mamlaka ya kushitaki kama kuna kosa ameliona.
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 2 ай бұрын
Mwandishi ni mzito sana wa kuelewa, swali moja kaliuliza mara 5
@NgomelejiSindiyo-yt5ib
@NgomelejiSindiyo-yt5ib 2 ай бұрын
Anakazia kwa faida ya uma
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 ай бұрын
Hayooo yooote unayongea hayana issue Sana.. Point ni uwakilishi wa wanachama kwenye kupiga kura na muwakilishi wa wanachama kwenye club awe tofauti na muwakilishi wa muwekezaji hapo ndiyo aliposimamia magoma na wenzie.. Je mzee magoma na wenzie wako Sawa au hapaswi kuhoji hili? Mashitaka kwa wazamini ni kwamba usalama wa club na Mali zake uko mashakani... Kwa mdhamini yeyote anayestahili hizi hoja anapaswa kuzijibu.. Magoma yeye hajashitaki kama kiongozi Bali kama mwanachama wa kawaida tu ana haki kisheria
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 ай бұрын
Sijui anaongelea nini wakati Magoma yuko wazi hataki Uongozi anataka haki sawa kwa Wananchi kwenye kuchagua viongozi
@JumaJidawi
@JumaJidawi Ай бұрын
Wewevkama mamluki was Simba umifeli,pesavupati Wala chochote be iyovni njaa TU inayokusumbua tafuta kazi ya kufanya umalize njaa yako,Happ unapoteza MDA wako we Babu.
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 2 ай бұрын
Magoma yupo sahihi injinia kaingiaje kwenye uzamini
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 2 ай бұрын
Magoma kumbe kilaza Sana Mzee wangu unaki2 tutaongea na helesi akwangalie jicho la pili
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
Huyo baba yake alikuwa ndio bodies ya wadhamini peke yake ,, magoma anajua alishawahi kumtaja lkn ajui ukweli kuwa baba yake huyu alienda kuwaongeza ndio kina fatma karume na wenzake
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
tumekuelewa brother
@manaseyona9260
@manaseyona9260 2 ай бұрын
Nimemuelewa sana 🎉
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 2 ай бұрын
Huyu naye hajui hawezi kutoa ushahidi mahakani
@adamummy4363
@adamummy4363 2 ай бұрын
Mzee magoma atampiga kurujuan huyu ije kua balaa duniani 😂😂😂maana hapa kashamvua nguo mtu mzima 😂😂😂
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 2 ай бұрын
Yaani mie sio Yanga lkn hivi ilipofikia yanga Anaweza kutokea mtu mwenye Nia njema kweli Akaibua migogoro?
@peterpata8825
@peterpata8825 2 ай бұрын
Hawawezi lita kuuza Yanga …Yanga ni asili..inazuia wajanja
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Yanga apewe tuu gsm yote hatutaki watu wenye njaa njaa kuhusika na vilabu
@MartinKimbwi
@MartinKimbwi 2 ай бұрын
😮
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
KESI IMEENDESHWA KWA UDANGNYIFU!!
@peterpain5594
@peterpain5594 2 ай бұрын
Duuuuuh yani hii yanga watu walikuwa wanapeana tu
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 2 ай бұрын
Mzeee mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉,ila timu zetu simba yanga na baadhi ya timu mbona yote inaongozwa na uislamu ,nauliza tu nijue,kwa nini kwa sababu kama yanga ni timu ya wananchi mbona hivyo,asasnte
@amirjuma9395
@amirjuma9395 2 ай бұрын
Hii Dar es salaam ya wazaramu na wandengereko wamanyema hao ndo wenyeji makabila haya wengi ni waislamu kwaiyo ndomaana unaona waislamu ni wengi
@raphaelmakekela2185
@raphaelmakekela2185 2 ай бұрын
0:36 m😮😊😊
@azizamuharam3941
@azizamuharam3941 2 ай бұрын
Nae pia ajijue tu kuwa kasema baba ake mpk kuipata yanga katoa rushwa ya sukari na unga na tunajua rushwa ni hujma
@ibrahimtanganyika2796
@ibrahimtanganyika2796 2 ай бұрын
Wote wahuni mnachanganya watu.subirini sheria ya sasa.
@josephinemgomi9837
@josephinemgomi9837 2 ай бұрын
Kule RITA yapo majina ya wadhamini nenda kaulizie utapata majina
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 2 ай бұрын
Bado magoma kisheria anayo haki kuhoji kama mwanachama.Kumbe uhaini ulianza muda ndio maana magoma amegundua hicho kitu.
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 2 ай бұрын
Magoma yeye kashatak kama nwanachama huru
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 2 ай бұрын
Duh. Hii kali
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 2 ай бұрын
Bodi yote ya wadhsmini ni batili kujingana na maelezo
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 2 ай бұрын
Sasa injinia kaingia kwa latina ipi yaleyale hata hao waliopo hawatambuliki kisheria
@DM_15
@DM_15 2 ай бұрын
Hao wazee 7 ndio wakora hawakutaka kukabidhi timu ndiomaanambakaleo akina mama fatma tunaishi tukijua ndio wamiliki wa clabu. Ulafi wamadaraka UBAYA UBWELA
@magoripiru1757
@magoripiru1757 2 ай бұрын
Nyooka unazunguka sana
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
Lazima aongee km ilivyo sio kukata kata km magoma
@athumanmapunda
@athumanmapunda 2 ай бұрын
Sawa kabisa mtoto wa juma mgomelwa
@PaulMuasya-z8c
@PaulMuasya-z8c Ай бұрын
Magoma kashitaki wadhamini hao saba kama mwanachama wa katiba ya 68 akiwemo mama Karume na wala hajasema yeye ni mmoja ya hawa wadhamini saba. Lakini wewe mwaandishi muite magoma hajibu ili la huyu mtoto wa Juma Mwabelo
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 2 ай бұрын
Inashangaza taasidi kubwa km hii yanga nyaraka zake zimehifadhiwa mitaani,,wa2 wanaangalia michuzi tu kujaza matumbo
@ZacksonMakundi
@ZacksonMakundi 2 ай бұрын
Rita ndiyo walimpa abeid udhamini baada ya kujiridhisha kuwa mwambelo amekufa
@MlokongaMnyanza
@MlokongaMnyanza 2 ай бұрын
Umeingia ktk mfumo wa gsm
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 ай бұрын
ETI HUYO NDIO MWENYE YANGA HIYO TIMU NI YA WANACHAMA ..
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 2 ай бұрын
Kama kina aman walipew mamlaka kwa muda ndio hao wanaoshtakiwa
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 2 ай бұрын
Kazia hapo hapo kwenye kadi ya kifo
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 2 ай бұрын
Uko sahihi sana huyo magoma mwehu
@peterpain5594
@peterpain5594 2 ай бұрын
Inaoneka wazee wengi walufanyaga taasisi ya selikali ambayo ni rita kama yao
@AsaelBayaga
@AsaelBayaga 2 ай бұрын
Kwako #yanga
@bakanga1410
@bakanga1410 2 ай бұрын
uto oyee
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 2 ай бұрын
Vilaza ni wengi mno nchini,,katiba tuliyopatia uhuru ndiyo tunayo sasa?ila njaa za wazee wengi waliokuwa yanga kipindi hicho ni stomach's transparent,
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 2 ай бұрын
Anazungumza nani nihawao mapandikizi ya watu wanayanga tupo swali kabisa Hilo genge la wahuni waletwe kwenye mkutano mkuu watwambie wenye timu labda wanataka kupata mafoliwazi njaa mbaya au walikuwa wapi timu ilipo kuwa inatapatapa au wameisaidia yanga kwalipi muwe mnawahoji hao wahuni
@nuruabdallahmed9495
@nuruabdallahmed9495 2 ай бұрын
Vururu vururu. Hii ndio maana ya utopolo
@xongejayasini5656
@xongejayasini5656 2 ай бұрын
Hana data za kutosha huyu akafanye vizur homework yake
@josephinemgomi9837
@josephinemgomi9837 2 ай бұрын
Tatizo huyo bwana mdogo hajitambui, kwani yeye ana nafasi gani katika Yanga? Au anadhani udhamini ni wa kurithi? Na anajidhani ana mamlaka ya kuihoji RITA? Hajitambui, angeenda huko Rita kuulixia
@ArafaMkomwele-vi2hp
@ArafaMkomwele-vi2hp 2 ай бұрын
Sasa lini walipelekewa majina ya viongozi waliopo madarakani?
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 2 ай бұрын
Viongozi wa yanga waondoke mahakama himetoa hukumu
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 ай бұрын
Maaaaaweeee! kwani walichaguliwa na mahakamaa?
@bakanga1410
@bakanga1410 2 ай бұрын
Kwa hiyo yanga haipo toka 2021?
@SULEIMAN-l8v
@SULEIMAN-l8v 2 ай бұрын
BADO MAGOMA YUPO SAWA
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 2 ай бұрын
Wahuni sana hawa jamaa
@JeniphaDaud-qu2ib
@JeniphaDaud-qu2ib 2 ай бұрын
Kwako dijei
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
Du watanzania wanaakiri Dana usicheze nao
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 2 ай бұрын
MASKINI USIMPE DHAMANA ATAKUSALITI CHANGAMOTO YA YANGA WAMEDHAMINIWA NA MASKINI MUDA MREFU
@pinomjata678
@pinomjata678 2 ай бұрын
Tatizo lipo Rita wanafanya maamuzi bila kuhusisha maamuzi ya wengi na pia mapendekezo yao hawayakufanyiwa kazi mpaka Juma Mwambelo anafariki 2021 na baada ya Mwambelo kufariki Rita walikuwa wanatambua wadhamini wa Yanga ni wakina nani? Wanaoumia ni wanachama wa Yanga kwani wachache ndio wanaofaidika na hii timu ambao wanajifunika kwenye kivuli cha mafanikio
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 2 ай бұрын
Nakumuwakilisha mtu sio lazma uw mwnykit
@zamukahemele1505
@zamukahemele1505 2 ай бұрын
Daah ww ni hazina ya yanga
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Kumbe shida ilianzia kwa manji aliwalea hao wazee ndo mana wamezoea
@peterpata8825
@peterpata8825 2 ай бұрын
Kaongea kidg ila kaeleweka
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 2 ай бұрын
Maelezo haya yanaanza kunifanya nianze kuichukia Yanga. Tunatoa hela kumbe watu wengine wanazila tu
@JuliusMahinya-wl7mq
@JuliusMahinya-wl7mq 2 ай бұрын
Fala mmoja
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu 2 ай бұрын
Kinachonishangaza ni kwamba, imekuwaje kumbukumbu za kiserikali zinazoihusu Yanga anazo kila mtu?
@VicentMillanzi
@VicentMillanzi 2 ай бұрын
Umewaza sana mkuu... Na huyo amesema ahusiki na chochote sasa hizo nakala amepata wp? Achunguzwe uyu jamaa
@josephinemgomi9837
@josephinemgomi9837 2 ай бұрын
Hivi kijana unafikiri kila kinachofanyika yanga lazima wewe upewe taarifa? Hujitambui
@seydouside4081
@seydouside4081 2 ай бұрын
Magita umeyasikia ya huyo alievaa kofia kama yako..umeisha magita..
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 ай бұрын
Kwahiyo magoma kelele kwa sababu hapewi pesa kumbe manji alikuwa akiwpaa pesa😅
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Hta ukimsikiliza anavyojikanyaga utajua tu kma ni njaa ndo inamfanya apige kelele
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 ай бұрын
@@fettiemaganza1484 ndio yanı kipindi cha manji watu walizo pesa snaa hiv saşa hawapati nafasi ndomana watu wanawaka
@AsaelBayaga
@AsaelBayaga 2 ай бұрын
#Maulidi_kitenge
@OmaryMwigula
@OmaryMwigula 2 ай бұрын
Eti anataka chake pumbavuu mzee wako alikuwa na tamaa
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
Yanga mtumieni huyu
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 2 ай бұрын
Katiba ya 2011 kulifanyika mabadiliko gani?
@JohnNjuyuwi-c2t
@JohnNjuyuwi-c2t 2 ай бұрын
Kama mambo ya mpira Tanzania ndiyo yako hivyo kihuni sishabikii tena wala uanachama siutaki kabisa wajanja wanatafuta pesa
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН