Yeye ni Sharifu Majini International na huyu mwengine mwaipopo wa kimataifa. Shida ni tofauti ya International na kimataifa
@kassimali2273 Жыл бұрын
Hawa ni mashekh waongo sn sn sitokuja kuwasikiliza mm kwasababu ni wa2 wasioijua dini wapo kimaslahi na kutafuta umaarufu
@jumakibe5032 Жыл бұрын
Viherehere vibaya sn 🤣🤣🤣. Mara huku mara huku. Sahv mmemkataa tena mwanenu 😂😂😂
@sakaraboy8951 Жыл бұрын
Watu wa hovyoooo.....wachonganishiii,,,,wanafiq,,,Watu kama hawa ndio wanauzalilisha Uislam,ktk kivuli cha Ushekhe..
@baracknyerembe2192 Жыл бұрын
Hawa jamaa ni machawa, bosi wao kapigwa chini wamemkachaa 🤣🤣
@sistymbombo1616 Жыл бұрын
Hasa huyu popo ninlikirobootioo
@abelbest4984 Жыл бұрын
Hawa ndo mashekhe wa mchongo hawana tofauti na walioenda kwa nabii
@rehemaally8128 Жыл бұрын
Hawa nima chawa hahaha kama baba levo na Mwijaku hahaha😂😂
@lovepipy4811 Жыл бұрын
NINYI NI VIZABI ZABINA yaani Hamjui nini Athari ya FITNA Kwa upuuzi huo mlionao mlitakiwa Kukaa kimya Ndio nasaha za Watu wa ELIMU kuwa kukaa KIMYA ni bora kuliko KUJIROPOKEA.
@wechemoshy4305 Жыл бұрын
Hayo ndio madhara ya watu wanafiki Gharama za wanafiki ndio hizo Badiliken acheni tabia ya kukurupuka sio lzma kila jambo mjiweke mbele kulizungumza Mnaudhalilisha uislam Hamna lolote wajanja wajanja tu mjini
@kitalukitalu6303 Жыл бұрын
Mmefanya vizuli mashekh kuomba radhi na pia kama mtu hatokubali haya basi ni yeye tu coz tunajua Kuna mengi mazuli mmeyafanya ktk harakati za dini ila sisi binadamu Huwa tunatabia yakuangalia makosa zaidi
@husseinkassimu2714 Жыл бұрын
Na kabeke mmuombe razi la sivyo itakua radhi ya unafki kabeke mmemtukana sana wakati yy ndio alitoa hoja ya nyinyi kutukana baraza wanafki allah anawaona
@furahajacob9110 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtoto mdogo amewakarixha chini....
@abdiramadhani7580 Жыл бұрын
MKISIKIA WANAFKI NYIEEE JUZI MLIWATUKANA MAULAMA KIZENGA NA WWNZAKE LEO MNAMGEUKA ALHAD KWILI UNAFIKI MBAYAA SANA
@AliMohamed-gv7nw Жыл бұрын
Baada yakuslim mulitakiwa mukae chini musome dini huu no uislaam sio ukristo nilazma uijue Qur'an sunna za mtume lugha ya kiarabu nahaw fighi hapo ndipo unaweza kukaa ukatoa ftwa nasio kukurupuka hii dini sio siasa mujielewe musiwe vhere here
@salymkitumbika8644 Жыл бұрын
Hadi kwenye dini kunauchawa? Mtihani huu lah em kaeni kimyaa mnajishushia heshma mnaonekana wachumia tumbo2 ni BUSARA mambo MENGINE kiwapita si KILAMMOJA kulishadafia
@ronaldreagan7772 Жыл бұрын
Mwaipopo muislam? Amazing
@Tutindaga Жыл бұрын
Mnyakyusa fake huyu
@johnnonyarungwa255 Жыл бұрын
WANAFIKI NYIE-: MNASEMA SHEK WA MKOA KUNA MAMBO ALIWADANGANYA MGEKUWA NA AKILI MGECHUNGUZA KABLA YA KUJA PUBLIC NA KUMTUKANA MZEE CHIZENGA NA DOCTOR MWAKA ATUNA IMANI NANYIE TENA.
@rashidhussein3711 Жыл бұрын
Majini acha uhuni hio kofia tu unaonekana kama mjanja mpigaji
@johnnathan7104 Жыл бұрын
Baba levo na mwijaku mnawaharibu hawa jamaa wamekuwa machawa kuwapita ninyi
@babrashabanu7073 Жыл бұрын
Ya din ni makubwa jifunzen kukaa kimya kujua haujui
@SeifAlly-g9i3 ай бұрын
Hiyonipwenti hasa nikweli
@judithpetro3883 Жыл бұрын
Hahaha hamkujua mwanazo wapuuzi kweli
@twahashearer8302 Жыл бұрын
Sasa serikali au Mh. Rais anahusika vipi
@mahdifarid9035 Жыл бұрын
Muhimu toba ya kweli kama ni kwa nia 1 iwe kher ila mlikurupuka haswa ww muubiri mwaipopo kama kweli ulikua una nia ya kumsaidia mufti issue za sheikh kabeke ulikua wap sku zote hadi akukere ndo utoe ushahidi na mbwembwe kibao kumkashif sheikh mwenzio
@nasreenhassan2718 Жыл бұрын
Nyie ni matapeli kabisa mnakurupuka sana
@jareengeorge5478 Жыл бұрын
Hiyo miwani anavaa aibu tupu.
@hamisngayaula6505 Жыл бұрын
Kwelii Aibu huyoo
@ramygichero1016 Жыл бұрын
Mimi siamini Shekhe yeyote sasaivi
@kassimali2273 Жыл бұрын
Usiamini ao tu maana sio mashekh
@sabatojoshwa6684 Жыл бұрын
Sawa
@ramygichero1016 Жыл бұрын
Hili lingine lina sauti mbaya
@abouassifmabrouk8110 Жыл бұрын
🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩 🤩
@hangimakina1263 Жыл бұрын
Tatizo ni kujifanya kujua kila kitu
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Duuuh mashekhe mmemkataa mwenzenu
@mogelasaileni4685 Жыл бұрын
Mnafkitu umewatawala amuoni hataaibu kidogo nyeenumashee waainagani mnakulupuka mitandaoni kushutumu bilayakujilizisha Leo kafanyiwaivyo dk mwaka wangapi mshawavunjia ndoa zao mjitafali kamampo sawa namnasiilikupewa heshima kamamliokua mnapewa
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Ukishindana na mwenye pesa utadhalilika
@ubwayassini5443 Жыл бұрын
Mashekheee Ubwabwa wanafiq aliowakataa Mtume, mashekhee gani hamna subra. Mufti wetu kafanya Jambo jema sana nyie bakini na kusaka tonge kupitia dini
@abdalahligunga2965 Жыл бұрын
ACHENI UNAFIKII NYINYII NJAA MBAYAA
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Jamani viongozi wa dini tuonyesheni mfano mzuri.Msitumiwe na media kufanya upotofu.Tukishakosa imani kwenu ni balaa kwa vizazi vyetu
@allyhakizimana8815 Жыл бұрын
Eti wale ambao ni mashabiki zetu!! Duh nyie wasani😅
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
Masheikh ifikie hatua mjue mnacho kifanya ni ktk Dini na taswira mlio nayo ni yakidini mazungumzo mnayo yatoa Baadhi Ya watu wanawachukulia mnayo yazungumz niyakweli kwasababu hawaamini kama mnaweza ungopa ikiwa mnatoa QUR-AN Hadith na Sunnah na ile taswira ya usheikh . Sasa nyie mmesha wasema saaana masheikh tena mmewadhalilisha saaana ktk mitandao ya kijamii nawatu waka Amini mlio kua mkiyazungumza ni yakweli kumbe ni uongo mtupu mnazungumz vtu ambavyo hamjavifanyia Research kua na asilimia 💯 ya mnacho kizungumzia sasaleo ndo nyie mnaonekana ni wahuni waongo hebu fikilieni ninamna gani mnavyo jidhalilisha na kuidhalilisha jamii ya kiislamu? Nanyie kuonekana kama madalali wadini kitu kama hakikuhusu kukaakimya inakua nibora Zaid kuliko kuropoka hovyo hovyo Tafadhali masheikh wte tz na dunia Nzma msitudhalilishie Dini yetu muogopeni mungu mnafikia mpaka hatua ya kuapa kabisa kama mtu anachokisema nikweli kabisa eee!!!!!!!!!!? Acheni hivyo hata huyo mnaemsema alhad alie toka mtafuteni mumuombe Radh muanze upya msianze kusema mnamafaili yake nawakati jamii haiwakubali wala kuwaaamini Tena wanaamini hata hayo mafaili mnayo yasema mnayo niuwongo mtupu acheni kupenda ligi za mitandaoni nakusahau kua mnatudhalilisha waumini wa dini ya kiislamu. NB: nimependa mmevo waomba Radh masheikh wote nchini ila Sijapenda kuanza kumzungumzia Sheikh Alhad Kwa ubaya sijapenda kabisa Acheni unafiki jamani viongoz wetu kueni na umoja na maelewano ktk kuipeleka Dini mbele. Muft popote ulipo mwenyezimungu Akujaalie kilalakheri baba yetu
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Yaan nyie Ni wanafiki sana Leo mmemkana ndugu yenu
@iddgombellah6750 Жыл бұрын
Naomba muombeni msamaha na shekhe wa mkoa wa Mwanza kwa namna mlivyo mdhalilisha,na muwaite waandishi wa habari.
@mansourabdul3902 Жыл бұрын
Yaani adi aibu watu wazima wanajidhalilisha dah
@philipowyinjones9645 Жыл бұрын
Songisongi ya Dr Mwaka
@AliMohamed-gv7nw Жыл бұрын
Mume yakanyaga mumezoeya kukurupuka
@zurrychannel235 Жыл бұрын
Sasa why mlikurupuka ndo shida ya kupenda kiki mitandaoni mnatia aibu .
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
Wanafiq wakubwa hawa cheki misura Yao ilivyo Kwanzaa.!! ilivyokaa kilaghai laghaii.!!
@claytonthomas4805 Жыл бұрын
Yani haya ni mapopoma kwel kujua amjui lakn maneno mengi ona aibu inawakimuta sasa amna shehe umu
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Nampenda mwaipopo sjui kwann😅🥰🥰🥰
@mogelasaileni4685 Жыл бұрын
Dk, mwaka katuasha kwenye usingizi mzito kujua huluka zabazi ya masheewetu wamchongo bp do wewekidume umetuamsha
@safiaothman5175 Жыл бұрын
Huyu mwenye kanzu ya manjano ni Sheikh Majini au?
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Ndio mwenyewe na majini take😂
@mohamedsaid1804 Жыл бұрын
Wajinga wakubwa nyinyi. Hamna mpya. Wapuuzi tu msiojielewa
@justiceshelukindo Жыл бұрын
Waliambiwa waombe msamaha hadharan
@husseinkassimu2714 Жыл бұрын
Punguzeni kushikiwa akili na watu acheni njaa mnaharibu dini stupid
@fidelismwakanyamale6787 Жыл бұрын
Njaa ni mbaya sana haya makenge yana kurupushwa na njaa. Hii ni hatari sana kama viongozi wako hivi tutegemee waumini wao kuwa hatari zaidi. Na mafarakano kwenye hii dini ni kawaida. Ndiyo maana elimu ni muhimu sana
@binsaluun8921 Жыл бұрын
Broo usiwadharau waumini kwa kasoro ya mtu fulani unawakosea sana
@simonmalegesi414 Жыл бұрын
@@binsaluun8921 kweli kabisa
@nassibdoma5408 Жыл бұрын
Hawa makenge sana juzi tu walikuwa upande wamuovu alihdi maka hawa ndio viongozi wetu basi hamna kitu