SAKATA LA SH WA MKOA ALHDA NA DKT MWAKA LAFIKA PABAYA ..WAKRISTO NA WAISLAM WAIGILIA KATI.

  Рет қаралды 9,095

Swahili Tv

Swahili Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@jumasibanilo2912
@jumasibanilo2912 2 жыл бұрын
Naomba mmuombee mwaka apate pigo kwa kuwa mko karibu na Mungu mbn kelele Sana wakati ninyi ni wa kweli. Ila msidhulum nafasi kwa thamani ndogo ya kidunniya
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 2 жыл бұрын
jamani kwaji kiswahili nikigumu amesema wako baazi ya mashee nawachungaji tabia zao sio mzuri kwani nizambi acheni majunguu hakuna mtuu mkamilifu dunia hii sisi niwakosaji kila itwayo leoo mnajipaje utakatifu
@mlapimuhidini9827
@mlapimuhidini9827 2 жыл бұрын
Upo sahihi hata Mimi sioni Mimi alipo kosea Dr mwaka
@jumaazuberi9317
@jumaazuberi9317 2 жыл бұрын
Pia haja mtaja mtu au shekh kwa jina sasa sijui hawa wanawashwa na nini mpaka hajishuku wao.hapa nikama alivyosema yule mm b kua hawa wanalao wanaligombania hawataki kuwa wawazi
@jumaazuberi9317
@jumaazuberi9317 2 жыл бұрын
Nyinyi mmeshafel jichunguzeni sana
@mwanakhatib5825
@mwanakhatib5825 2 жыл бұрын
Munawazim yiyi hamuna chochote mazizi yiyi mnanikubusha yure mchungaji was izee na Juliet amepokea kitita Cha pesa katowa ushaidi was unafik
@Habiba-tb8iv
@Habiba-tb8iv 2 жыл бұрын
Yupo sahihi dor mwaka bhana
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
Wakikusanyika wanafik na makafir wanaingia humu . 59:11 - Huwaoni wanao fanya unaafiki wanawaambia ndugu zao walio kufuru katika Watu wa Kitabu: Mkitolewa na sisi lazima tutatoka pamoja nanyi, wala hatutamt'ii yeyote kabisa dhidi yenu. Na mkipigwa vita lazima tutakusaidieni. Na Mwenyezi Mungu anashuhudia kuwa hao hakika bila ya shaka ni waongo.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Ahsante Dr Mwaka kwa kuwaibua mashehena
@johnmushi3890
@johnmushi3890 2 жыл бұрын
Mbona povu sana kemea pepo
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 2 жыл бұрын
Mbona kama umeandika kwa makosa sana Fanya backediting muheshimiwa 🙏
@Habiba-tb8iv
@Habiba-tb8iv 2 жыл бұрын
Kwani uongo sio viongozi wote wasafi mbona munamshambulia sana doct mwaka
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 жыл бұрын
Sindano imewaingia😁😁😁😁
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Afya Ya akili muhimu 😂🤣🤣🤣 😂😂😅😆😂😅😅😂😂😂😂😂😂Kwendni bwna wwe chefuuu
@furahachuma9039
@furahachuma9039 2 жыл бұрын
Kama hamuwezi kuombeana, iweje muweze kukaa pamoja?
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 жыл бұрын
Ukimaliza uniambie nikuletee maziwa,unakausha koo kuambiwa ukweli
@abdulrakibabdu827
@abdulrakibabdu827 2 жыл бұрын
KWANN MNAKASIRISHWA NA MANENO YA DR MWAKA INAMAANA YANAUKWELI?
@gimongisaid7536
@gimongisaid7536 2 жыл бұрын
Pumbavu hujitambui wewe huyo shekh ni mjinga Kama wewe ukivyo mjinga,hujamuelewa Dr mwaka
@patrickkarokola7454
@patrickkarokola7454 2 жыл бұрын
Mhmmmm Mashimo huwa simwelewagi
@mlapimuhidini9827
@mlapimuhidini9827 2 жыл бұрын
Hakuna mkamilifu mbele ya Allah, sasa kwani uongo?maana hata hao viongozi wa dini nao ni binaadam,sasa Dr mwaka wapi alipo kosea na alipo sema hakumtaja mtu sasa hayo mapovu yanin??embu mtuache bhana
@tumainishedrack7848
@tumainishedrack7848 2 жыл бұрын
Mchungaji huyo yamkini nimchumia tumbo mchungaji Ana mhemko
@johnmalamb0320
@johnmalamb0320 2 жыл бұрын
Kwani unawaka nini kasema ukweli
@muliamadi859
@muliamadi859 2 жыл бұрын
Nyie hote mlio kaa umo ndani mnaitaji elimu
@samiramawby1257
@samiramawby1257 2 жыл бұрын
Kingine wakristu wanaombea watu bure ila waislam hamna haya mpo radhi muislam mwenzio afe lakini humtoi pepo hadi alipe nyie furukuteni dk Mwaka kiboko yenu 😂😂🏃‍♀️
@frankmushi8892
@frankmushi8892 2 жыл бұрын
Pumbavu sanaa ivi nyie ndo tunawategemea alfu mnaleta upuuz kiac ikii aseee hizi dini watu wameshazigeuza kuwa mchongo
@idrisamagoma9420
@idrisamagoma9420 2 жыл бұрын
Sulati bakala ahijahacha kitu tumewaonna natumewajua tukombali nahyi Allah atawazalilishatu sasa mmezalilik nakumbuk
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Machizi na mijitu ya hovyo hatimae yakutana kuungana mkono halafu utegemee tozo zisiongezeke kwa hali hii??????
@nayeemn9275
@nayeemn9275 2 жыл бұрын
Amiiyn thumma Amiiyn
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
mna ujinga tu,.kwani.dkt mwaka kasema lipi.baya? mimi nlosikia Baya alisema ni vile kutoa fat wa Kua muislam Anaweza kwenda kuombewa kanisani ilo.ndio.kosa lake tu
@innocentmorice1690
@innocentmorice1690 2 жыл бұрын
KAMA SIKWELI KWANINI MNA OGOPA? 2 KAMA HUNA MAMBO MABAYA HII HAUKUHUSU 3 UKIONA IVI NI SHIDA SANA HAJAKOSEYA HAKU KUITA WEWE WALA JINA LAMTU YEYOTE ACHA WOGA SIKU ZOTE UKI ONGEYA UKWELI HUTO PENDWA
@hashimyahaya5506
@hashimyahaya5506 2 жыл бұрын
Kwanini akwenda mahakamani u niuzaririshaji
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 2 жыл бұрын
Acheni ushamba kwani mwatakasema kila Aitwaye Sheikh n mkweli ama kla pasta ni pasta wa kweli ...uchafu lazma ukemewe maana hatakama anayekemea n mtu dahifu ama mwendawazimu yafaa mnufaike na nasaha yake sio kusema meengi
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 2 жыл бұрын
Wajua kula binadmu ana mapungufu na kla mmoja anajijua wapi anafeli so kubalini acheni huongo wakujifanya mko saaaawa kwa mungu kwani mkikubali kuna nini ?
@hassanamani2131
@hassanamani2131 2 жыл бұрын
Wapuuzi ninyi
@hashimyahaya5506
@hashimyahaya5506 2 жыл бұрын
Uyo mwaka Mimi niombe achukuriwe hatua Kari u niuvunjifu wa amani amani nimuhim kuriko mwaka
@frankmushi8892
@frankmushi8892 2 жыл бұрын
Ujuwia kama ujuwii
@neemafatu471
@neemafatu471 2 жыл бұрын
AHAAA! MWENYEZIMUNGU ANAWADHALILISHENI BILA WENYEWE KUJUA. KWELI NIMEAMIN, VIONGOZI WAO NDIO WAOVU WAO. BIBLIA.
@mmwaduga5281
@mmwaduga5281 2 жыл бұрын
Yan acha TU,mnk viongoz wa dini wengine sio kwel nanikutokana hakuna mkamikifu kabisa sema dor alikosea alipomuweka waz kumsema shekhe wamkoa alipokosea yaan alipokosea shekhe mkuu.
@tumainishedrack7848
@tumainishedrack7848 2 жыл бұрын
Maombi ya kinafiki
@shomariyusuph9108
@shomariyusuph9108 2 жыл бұрын
Emungu nisaidie Mimi pamojana mamuma wasio elewa ichikikao sawa jamani awa waisilamu nawachungaji wanafiki sana ndowanao alikwa mweziwalamazani futali nawachungaji
@amaniramadhan3292
@amaniramadhan3292 2 жыл бұрын
Ombaomba kwenye ubora wake unaenda kuungana na majinii kweli wewe jingaaa
@nassornassor6364
@nassornassor6364 2 жыл бұрын
Mbona Kama imekuwa usanii hivi sielewi !!!
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Upuuzi mtupu
@kessyester2479
@kessyester2479 2 жыл бұрын
Wachungaji wa mchongo
@kimbeiyeiddrisaally7532
@kimbeiyeiddrisaally7532 2 жыл бұрын
Munamatatizo ninyi sijui munatetea nn ktk Hilo maana kasema maneno to kweny kitb alafu huyo munamtukana ninyi si yy
@mlapimuhidini9827
@mlapimuhidini9827 2 жыл бұрын
Hakuna msafi,mapungufu kaumbiwa binaadam,kwani MTU kusema ukweli ni dhambi?
@rodgersjuma633
@rodgersjuma633 2 жыл бұрын
Wameguzwa vidonda ,watabweka!!!!!
@enocklucas9767
@enocklucas9767 2 жыл бұрын
Nyie wote mlio kusanyika niwanafiki watupu Dr mwaka kasema ukweli ila ninyi wanafiki munaugeuza ukweli mmegusa na mambo yenu yakijinga
@kimbeiyeiddrisaally7532
@kimbeiyeiddrisaally7532 2 жыл бұрын
Nikwelu kk nilikuwa cjamuelew Dr mwaka ila Sasa nimemuelewa mashekh wanazingua
@samiramawby1257
@samiramawby1257 2 жыл бұрын
Unaitwa kafiri bado unapeleka shingo yako huko acha wachinjaji wakuchinje hujui kwann waislam wanapigania kuchinja???nyie makafiri kisu kipo shingoni kama ng’ombe dk mwaka kawasanua but hamjielewi
@emmanuelmgaba7993
@emmanuelmgaba7993 2 жыл бұрын
Mmepofushwa fikra zenu ndoo mana mnashindana Kwa mane ukweli upo wazi
@kinogekimbeho3781
@kinogekimbeho3781 2 жыл бұрын
Pointless hivi nyie mmekosa vitu vya kufanya?
@samiramawby1257
@samiramawby1257 2 жыл бұрын
Msemwe hamko wasafi mbwa nyie,,,tena wewe liongo hadi unabuni besi ili uogopeshe watu wakufate yaani nyie na zumaridi ni kizazi kimoja hamjaona aibu kuungana kwa ajili ya mtu mmoja???na mmesahau biblia inasema yeyote atakayekuinukia kwa mabaya au makundi yoyote yakikuinukia yataanguka na hutoyaona tena basi anguko lenu ndo hili😂😂😂DK MWAKA KIBOKO YENU manabii wa uongo nyie
@isaliisu3408
@isaliisu3408 2 жыл бұрын
Kuna wakati unaruhusiwa kumukhalif imam na ukaswali kivyako na uko kwenye saf si kila kiongozi wa Dini ni mkweli mwaka asante
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 жыл бұрын
Ukimaliza uniambie nikuletee maziwa,unakausha koo kuambiwa ukweli
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 4,6 МЛН
Natengeneza Millioni Ishirini kwa Wiki - Kyando
5:35
TAHA ONLINE TV (TAHA)
Рет қаралды 40 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 586 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН