My favorite song, uturivu, inatafakarisha, ni sala
@kwayayamtakatifusimonmtume6 ай бұрын
Aminaa
@danielbaran25466 ай бұрын
MUNGU nimwemaa Sanaa tunazid kuomba neema zake na Barak tuzidi kuwahubiriaa wengine Kwa njia ya uwimbaji🙏🙏🙌
@kwayayamtakatifusimonmtume6 ай бұрын
Amina
@danielbaran25466 ай бұрын
Tunaombaa tuzisambazee jmn Hadi huku nilipo Bado haijafikaa
@kwayayamtakatifusimonmtume6 ай бұрын
@@danielbaran2546 Tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii 0786 968456 Kupata Flash Yenye Nyimbo zote kumi na ofa ya Audio zake kwa sh 10,000 tuu . Karibu sana
@Emanuelkibuga-jz6bn6 ай бұрын
Kazi nzuri sana hongereni sana
@kwayayamtakatifusimonmtume6 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe mnoo
@JustinaMunishy6 ай бұрын
Mpovzuriii sana mungu azidi kuwatianguvu mzidi kumtumikia katk roh na kweli❤🙏🏻
@kwayayamtakatifusimonmtume6 ай бұрын
Amina
@stelacareen25756 ай бұрын
hakika inapendeza karibuni tusali pamoja
@kwayayamtakatifusimonmtume6 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe mnoo
@mcgerry.kulahakuishikuishi57658 ай бұрын
Copy zake pls tunaomba zitumwe swahili music ili tulio mbali tuweze kuzipata
@kwayayamtakatifusimonmtume8 ай бұрын
Tunashukuru kwa maoni yako, tunayafanyia kazi .Karibu tumtukuze Mungu kwa njia ya uimbaji