SALAMA - Vitali Maembe

  Рет қаралды 36,230

Vitali Maembe

Vitali Maembe

Күн бұрын

Vitali Maembe ni mwanamuziki kutoka Tanzania ambaye muziki wake umejaa sauti za Afrika.
Mwakilishi wa jamii. Maembe ni mbunifu kwenye mashairi yake - maandishi ya nyakati maneno yanayoakisi maisha ya kisiasa na kijamii katika Afrika.
Salama ni wimbo unaoeleza maisha ya mtunzi na kuonyesha shukurani na tamanio katika maisha.
Kutoka katika santuri ya CHANJO YA RUSHWA.
Furahia!
Vitali Maembe is a Tanzanian musician whose music has traditional African sounds.
A social commentator, Maembe is very articulate in his poetry - the writings of time; the words that reflects mostly Political and social happenings in Africa.
Salama is a self-depict song that has writer express aspiration and gratitude towards life.
Taken from the album CHANJO YA RUSHWA.
Enjoy!

Пікірлер: 62
@nyamweririchard5945
@nyamweririchard5945 8 ай бұрын
Mungu akupe Maisha Malefu,Mwenyezi Mungu Pekee ndiye anaweza kukulipa kwa jinsi unavojitolea kuisemea Tz,Pamoja na Magumu unayopitia kutokana na Mashairi yako
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 6 күн бұрын
Ahsanteee Sana kwa Kutupambania Watanzania kaka Vitali, Ubarikiwe bata Daharii
@manticha
@manticha 5 жыл бұрын
Huu wimbo naukumbuka ulitumbuiza siku ya kigoda cha mwalimu pale mlimani.Wanaokubali wanaweza kugonga like zao hapa chini,Vital usisahau kutumia ule wimbo wa HIMA au kino
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 5 жыл бұрын
Asante!
@frankezekia8880
@frankezekia8880 Жыл бұрын
@@vitalimaembe76 Hongera Sana unaimba vema sanaaa!
@t33pelos77
@t33pelos77 4 жыл бұрын
Yan vitali napata raha sana kuckiliza nyimbo zako Mungu akupe afya njema na hekima zaid
@noelmlindwa7138
@noelmlindwa7138 5 жыл бұрын
Best of Vitali Maembe potraying true African music andcultural heritage. Kazi nzuri sana Vitali, nikija Bagamoyo nitakuona
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 5 жыл бұрын
Asante, karibu Bagamoyo.
@adamringo9608
@adamringo9608 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Vitalis. Siku unafanya show zako mahali popote Tanzania nijilishe nije kona live Music
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 10 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
@mohamedfadhilisadick3912
@mohamedfadhilisadick3912 4 жыл бұрын
Mpaka leo july 2020 tuna Skiliza
@tariqkondo509
@tariqkondo509 2 жыл бұрын
I heard this song in a show from ITV years back been looking for it ever since, only found it after news of this guy's arrest started spreading
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@prochesslyimo4863
@prochesslyimo4863 2 жыл бұрын
Akili kubwa, kipaji cha uandishi na upigaji….Unaitumia pumzi yako vyema….Harakati ziendelee na ni maombi yangu wazaliwe wakina Vitali wengi……Nakuombea maisha marefu yenye mafanikio ili uendele kuvitumia vema hivyo vyako viungo👏👏👏
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante sana Prochess! Ni faraja sana kwangu kupiga muziki kwa ajili yako.
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 5 ай бұрын
Wewe sasa tukuite BABU KIDUDE 🎉🎉🎉
@kaimuulongo1314
@kaimuulongo1314 2 жыл бұрын
Nakubali San nyumbo za zamani
@dmsovela2409
@dmsovela2409 2 жыл бұрын
Nimesikia kwa mara ya kwanza leo kwenye basi nikabidi niutafute sana.. Mungu akubariki sana.
@ndekirwambise8665
@ndekirwambise8665 2 жыл бұрын
Sauti hii naifananisha na sauti ya Fundi Konde, hongera sana Vitali Maembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante! Unajua muziki mzuri. 🙏🏾
@joelntile9078
@joelntile9078 5 жыл бұрын
Msanii wa umma
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 4 жыл бұрын
Ninashukuru!
@peterpeter752
@peterpeter752 5 жыл бұрын
Moja ya wasanii wachache sana ninao jivunia Tanzania, ahsante sana kwakuchagua unachokifanya Vitalis, mana kupitia wewe nakua inspired na kugundua ninachokimisi back home. Naomba unielekeze jinsi ya kununua CD zako kaka. Nahitaji sana.
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 4 жыл бұрын
Fuatilia kwenye link hizo hapo chini. Asante! twitter.com/vmaembe facebook.com/vitali.maembe instagram.com/vitalimaembe soundclick.com/vitalimaembe reverbnation.com/vitalimaembe
@sudimatembe1064
@sudimatembe1064 3 жыл бұрын
Izo ndio nyimbo basata wanazipiga marufuku uku wanaruhusu nyimbo za matusi zikipigwa redioni na kwenye television big_up matembe tuko pamoja mpaka mwisho
@richarddominick3172
@richarddominick3172 Жыл бұрын
One of the best song EVER and one Of MANJU all-time favorite
@allykivunja5511
@allykivunja5511 2 жыл бұрын
Km nakosa kitu cha kuikumbuka bagamoyo bc huwa natafuta nyimbo zako tu nasikiliza najikuta najiambia mkataa kwao ni mtumwa najivunia bagamoyo najivunia we we maembe jah bless u live longer
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Karibu sana Ally! Wakumbushe wengine pia. Na uwalete hapa kwenye hii chaneli wapate burudani.
@msafirishamge7223
@msafirishamge7223 2 жыл бұрын
Nitakuja Bagamoyo na nitafanya hima nimuone Vitali Maembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Karibu sana!
@fidiankwera6305
@fidiankwera6305 5 жыл бұрын
nakupenda hadi naumwa. huu ndio muziki haswaaa
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 5 жыл бұрын
Asante sana Fidia!
@immakombajr6297
@immakombajr6297 4 жыл бұрын
Huyu ndiye Vitali Maembe ninae mjuwa mimi
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 4 жыл бұрын
Kwani wengine hawamjui?
@dicksonmadembwemadembwe6753
@dicksonmadembwemadembwe6753 Жыл бұрын
Ww mzee nakukubali sana
@frankwambura4628
@frankwambura4628 2 жыл бұрын
Best Swahili song I ever heard, he is an activist singer.. very proud of yot
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Thank you Frank Wambura. Be blessed! 🙏🏾
@abuunyalioto1752
@abuunyalioto1752 4 жыл бұрын
Nyimbo zako anasikiliza kila lika kaka hongera kipaji cha kipekee
@anitaabdiely1609
@anitaabdiely1609 5 жыл бұрын
Mziki mzuri nakukubali mnoo
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 4 жыл бұрын
Asante sana!
@evanstweve7720
@evanstweve7720 3 жыл бұрын
hujamuonesha hapa aliye piga solo du, kafanya kazi nzuri sana
@petersimon2115
@petersimon2115 5 жыл бұрын
Mziki Mzuri sana
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 4 жыл бұрын
Asante sana!
@rajabupongwa5150
@rajabupongwa5150 3 жыл бұрын
Kaka kazi mzuri sana sichoki kuisikiliza
@13obbyviral77
@13obbyviral77 2 жыл бұрын
Fundi 💥💥💥💥
@atleyutonga6131
@atleyutonga6131 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Vitalis
@marlynhangali9463
@marlynhangali9463 3 жыл бұрын
🔥🔥
@chiwayakapanga6724
@chiwayakapanga6724 3 жыл бұрын
Namkubali sanaaa
@samsonrichard9675
@samsonrichard9675 5 жыл бұрын
Vitalis naitafuta ile nyimbo yenye maneno yafuatayo -"nimetandika majamvi nimetandika nje
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 5 жыл бұрын
Inaitwa "MAJAMVI". Asante!
@manjoledaddy4143
@manjoledaddy4143 3 жыл бұрын
💣🔥
@bashirumandwanga130
@bashirumandwanga130 4 жыл бұрын
mziki mzur
@allybalozi8656
@allybalozi8656 3 жыл бұрын
kazi nzuri
@allankashoro2077
@allankashoro2077 5 жыл бұрын
Kazi nzuri Vitali Maembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 5 жыл бұрын
Asante Allan!
@abusalman5139
@abusalman5139 5 жыл бұрын
Asante Vitali. Upload audio za kutosha kwa ajili ya mashabiki
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 5 жыл бұрын
Asante kwa wazo hilo.
@omarykwasirisana6107
@omarykwasirisana6107 5 жыл бұрын
Nazipatajr nyimbo zako kaka
@zuberikalenzi5262
@zuberikalenzi5262 5 жыл бұрын
Big music! Safi ndgu M'mungu akujalie uendelee kutupa burudani
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 5 жыл бұрын
Amina.
LITTLE TOWN BAGAMOYO
8:33
Channel 85 Television
Рет қаралды 61 М.
Vitali Maembe - Sumu ya Teja Sauti za Busara Festival 2021
8:48
Vitali Maembe
Рет қаралды 43 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,1 МЛН
Vitali Maembe Afrika  - KUDU
4:04
Vitali Maembe
Рет қаралды 111 М.
NAHODHA - Vitali Maembe (2021)
5:56
Vitali Maembe
Рет қаралды 13 М.
Vitali Maembe - Vuma
5:23
Irie Productions
Рет қаралды 56 М.
Sumu Ya Teja
4:43
Vitali Maembe - Topic
Рет қаралды 67 М.
Vitali performing "a dedication song to Zuhura" in Zuhura Poetry Launch
4:51
Vitali Maembe       Nahedha
5:05
thmonan
Рет қаралды 23 М.
WIMBO WA VITALI MAEMBE ULOMKOSHA RAIS SAMIA;#Miaka10yaTHRDC
4:02
WATETEZI TV
Рет қаралды 1,7 М.
Mama by Vitali Maembe Afrika
4:55
Vitali Maembe
Рет қаралды 18 М.
Vitali Maembe - Kaizari (Official Audio)
4:21
Vitali Maembe
Рет қаралды 38 М.
Majamvi
6:51
Vitali Maembe - Topic
Рет қаралды 15 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26