Vitali Maembe - Kaizari (Official Audio)

  Рет қаралды 38,584

Vitali Maembe

Vitali Maembe

Күн бұрын

Nakuletea Sauti ya watu, Mawazo ya Watu, Maisha Wanayoyaishi sasa Watanzania na Waafrika Mashariki Katika Muziki wa Vitali Maembe (Sauti ya Watu walionyamazishwa)
Karibu katika chaneli ya Vitali Maembe TV kwa video zaidi.
Usisahau 'Like', 'Share' na 'Subscribe'!!
Bofya hapa / vitalimaembetv
#artistontherise

Пікірлер: 264
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 2 жыл бұрын
Free Vitali Maembe🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 2 жыл бұрын
@@vitalimaembe76 👊
@khalifasaid7516
@khalifasaid7516 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, cde.
@landomalekano6570
@landomalekano6570 2 жыл бұрын
Free Maembe. Nchi yetu wote mbona Wengine Wanaimba Bia Tamu
@innocentsimika1937
@innocentsimika1937 2 жыл бұрын
Sijaona kosa lake mpk sasa
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
@@innocentsimika1937 Cha msingi ni kuufanyia kazi ujumbe, Je unaukweli/yapo?! Kama yapo/yanaukweli muhimu kujirekebisha. Hoja haupigwi rungu bali hoja hujibiwa kwa hoja. Ni sawa na kumchukia Kiongozi wa Dini kwa kukemea maasi/uovu ambao upo na unakithiri waziwazi ! Wenzetu (........) wanatoboa Jahazi na tusipokuwa makini tutazama na kuangamia sote. Hiyo Supu ni ya wote isiishie jikoni😃😃😃
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@henryruta995
@henryruta995 2 жыл бұрын
Justice for Vitalis Maembe #FreeVitalisMaembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@nelsonlukule9506
@nelsonlukule9506 2 жыл бұрын
Vitali aachiwe huru, hii ni sauti ya umma
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@wakwanza1832
@wakwanza1832 3 жыл бұрын
Tunachagua viongozi wetu wengi sana kwasababu ni hodari wa maneno Lakin hatuwez kula maneno.jambo la maana zaidi ni vitendo vinavyofuata baada ya ahadi.
@wakwanza1832
@wakwanza1832 3 жыл бұрын
Yule Msema kweli amerud tena👏👏👏brother
@faizazahran3562
@faizazahran3562 3 жыл бұрын
You are the best brother. Huu wimbo umeniliza kweli. Asante kwa kuwa sauti yetu. Mwenyezi Mungu akujaalie kila lenye kheri nawe, Amin.
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante sana kwa baraka! Nitaendelea kupiga muziki. Endelea kufuatilia kazi (Picha, Muziki, Video) za Vitali Maembe na matukio mengine. 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@mukakathejoker6504
@mukakathejoker6504 2 жыл бұрын
Hit song ......keep it up braza from another Maza.
@barakamchumi5686
@barakamchumi5686 3 жыл бұрын
Another Message from Genius Vitalis... #BagamoyoArts
@swalehhemed380
@swalehhemed380 2 жыл бұрын
Ndo nimekujua leo ila unafanya vizuri
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Karibu Swaleh!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@fidiankwera6305
@fidiankwera6305 3 жыл бұрын
All time singer. The real music. Hii ndio maana ya muziki
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante sana Fidia! 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 2 жыл бұрын
Waluko.Tata katula wa vyonsi akutuleee
@kalamesikalamesi5292
@kalamesikalamesi5292 Жыл бұрын
The most talented and greatest artist of all the time in Tanzania who is a real musician in real sense and practice. He is not a corrupt and lobbyist musician unlike others we know today who survive on faking their life and music. Vitalis maembe speaks his mind and soul and he is the voice of the downtrodden He rarely and never features playback music, a buble gum music that never lasts longer. Vitalis plays and composes a genuine and authentic music Bravo my young brother
@fabbyfabian6993
@fabbyfabian6993 2 жыл бұрын
Free Vitalis Maembe🇹🇿🇹🇿
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@cardiacpoet
@cardiacpoet 2 жыл бұрын
#FreeVitali
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@teddymatisha6781
@teddymatisha6781 2 жыл бұрын
Ahsantee umenena yaliyo sahihii
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 2 жыл бұрын
Huyu bwana anastahili promotion kwa kweli. Afanye ngoma na msanii Roma au Mr Nay
@wannaproducts
@wannaproducts 2 жыл бұрын
Wamemuarrest jamani Free Vitali Maembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@ernestmwanalinze2612
@ernestmwanalinze2612 2 жыл бұрын
wimbo mzuri sana huu nimeupenda,Mungu akutangulie kwenye kazi yako
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante Ernest!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@Akiba_Uwekezaji
@Akiba_Uwekezaji 2 жыл бұрын
Free Vitali Maembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@dorinezawadi3521
@dorinezawadi3521 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana MKUU.....Na nimefika Hapa kwa ajili ya ujumbe wa Fid Q ❤🔥🔥🔥🔥🔥
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Mapambano yanaendelea Rayvannynation, karibu sana! Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@Dorphanage
@Dorphanage 2 жыл бұрын
Wimbo mtamu huu bwana. Maembe awachiliwe azidi kutuimbia sisi hatujali kutukanwa.
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ Wasalimie ndugu zangu huko. 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@Dorphanage
@Dorphanage 2 жыл бұрын
@@vitalimaembe76 bila shaka kaka. Nitawasalimu wote ✊🏿✊🏿
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 2 жыл бұрын
Daaah kweli wewe ni mwana fasihi haswaaa nasikiliza hii mala ya kumi yani kila mstali kuna la kujifunza kuhusu utawala wetu
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante Tony!
@MultiKasuku
@MultiKasuku 2 жыл бұрын
-- Kwa kisu kutulambisha asali ---
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940 2 жыл бұрын
Unasabihiana na kitabu cha Katama Mkangi #Ningekuwa_Na_Uwezo , kazi safi . Hewala.
@ntebionetv3243
@ntebionetv3243 3 жыл бұрын
We missed your music
@mavindu13
@mavindu13 2 жыл бұрын
This song is so relevant to many African countries #freevitalismaembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@mwesigapaschal7733
@mwesigapaschal7733 2 жыл бұрын
Sijaona kosa lake katika hii nyimbo,mpaka sasa nashangaa kosa lake mpaka akamatwe ni lipi hasa
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@henrymichael3966
@henrymichael3966 2 жыл бұрын
Siku zote nyimbo zako zinatoa funzo usife moyo endelea hâta kama nyimbo zako hazipewi airtime. Hizi nyimbo zitadumu enzi na enzi
@franktillya7652
@franktillya7652 2 жыл бұрын
Magereza imekua sehemu ya wasema kweli
@witnesscostantine4397
@witnesscostantine4397 2 жыл бұрын
😰😰😰😰 hata walioko jera wengne hawana makosa ila wote njia mojaaa tu ilhari kila mtu anaijua umeingia motoo 😰😰😰😰😰
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@burhaneynammanje3273
@burhaneynammanje3273 2 жыл бұрын
,,✅
@shahamtindo
@shahamtindo 2 жыл бұрын
'Mkilala Watawala.'
@justinemollel1087
@justinemollel1087 2 жыл бұрын
Hii sasa ndio tungo tata,,kumuelewa inahitajika akili mingi sana
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@francisbiseko2732
@francisbiseko2732 3 жыл бұрын
word
@mwalimumakoba288
@mwalimumakoba288 3 жыл бұрын
Nyama zimevuja, mchuzi umebakia.
@bakarisalim3313
@bakarisalim3313 2 жыл бұрын
Free vitali maembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@samwelmohochi8364
@samwelmohochi8364 2 жыл бұрын
This song is pristine pure and the truth.
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Truth!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@benyvoice9415
@benyvoice9415 2 жыл бұрын
Huu ni ukwli halisia Africa 🇹🇿 tunataka nyimbo km hiz za kuelimisha
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@AhmedSaid-mn4vv
@AhmedSaid-mn4vv 2 жыл бұрын
The Message
@najashrk3738
@najashrk3738 2 жыл бұрын
Dah!!! 😳😳😳
@dailybusinessreviewer
@dailybusinessreviewer 2 жыл бұрын
Wantuuzia vitanda kisha wanatunyima usingizi #Touching
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Prosperity!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@zombazezu
@zombazezu 2 жыл бұрын
Free Maembe Vitalis
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@annavictor5864
@annavictor5864 2 жыл бұрын
Dunia hii ukisema ukweli basi watakupeleka kusiko julikana 😭😭
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Tembelea hapa kwa ujumbe.... kzbin.infocommunity
@manfredbaraka67
@manfredbaraka67 2 жыл бұрын
Daaa ustadi mkubwa sana wa kutunga mashairi
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante manfred baraka!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@silvanusngole8410
@silvanusngole8410 2 жыл бұрын
Soldier...
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@josephbizzy1813
@josephbizzy1813 2 жыл бұрын
Free Vitali Maembe.
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 3 жыл бұрын
Blessed. soul music
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 3 жыл бұрын
Mziki mzuri
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante sana! Endelea kufuatilia kazi (Picha, Muziki, Video) za Vitali Maembe na matukio mengine. 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@jossejunior5668
@jossejunior5668 10 ай бұрын
Ili jamaaa akili sanaa yani
@muhsinhafidh5490
@muhsinhafidh5490 3 жыл бұрын
kazi kali sana
@Mobile-mv5hi
@Mobile-mv5hi 2 жыл бұрын
Kaizari kachukua yake na yetu anaipora, tozo.
@chiundamussa3531
@chiundamussa3531 2 жыл бұрын
Justice for Vitali Maembe💪
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 2 жыл бұрын
DUH
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 2 жыл бұрын
Fav
@innocentsimika1937
@innocentsimika1937 2 жыл бұрын
Tunahitaji wasanii kama hawa✔✔✔
@mohamedcharming7432
@mohamedcharming7432 2 жыл бұрын
Ukitaka uingie matatani nchi hii we sema ukweli tu mana sijaona kosa la kumkamata huyu jamaa... ila yote tisa kaizari noma😄😄😄
@annavictor5864
@annavictor5864 2 жыл бұрын
Shida kweli ata mwaka bado😭😭😭
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 6 күн бұрын
Msanii ni Vital Maembe ila Endorsement anapewa Haromorapa😅
@franksengi3637
@franksengi3637 2 жыл бұрын
The guilty are afraid....
@ubaludomgulunde5827
@ubaludomgulunde5827 2 жыл бұрын
Sio poa aisee🔥
@afrikabisatv
@afrikabisatv 3 жыл бұрын
Jah works must be done!!
@selemanisalimu8377
@selemanisalimu8377 Жыл бұрын
Haswaaaaa
@ricrobert1336
@ricrobert1336 2 жыл бұрын
October 2020 wamekula nyama wanasingizia sufuria limetoboka mchuzi umebaki😁 uchafuzi mkuu 2020 umetuletea mazuzu kila sehemu wanauliza tozo zimefikaje kuwa sheria
@samadoushujaa7028
@samadoushujaa7028 2 жыл бұрын
#Free_Vitali_Maembe..
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@tonyly6810
@tonyly6810 Жыл бұрын
Cool all kitty 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤😅😊😊😊
@mokilisasunya8084
@mokilisasunya8084 2 жыл бұрын
Nzuri sana
@mebamsuya6874
@mebamsuya6874 2 жыл бұрын
kiukweli huu wimbo huyu jamaa katumia akili na fasihi ya hali ya juu, ukisikiliza maneno yake vizuri utaelewa. kafukisha ujumbe mzito sana kwa jamii na ametumia maneno ambayo yatakufikirisha kidogo ili umuelewe nini anamaanisha. hakuna haja ya kumkamata. hii ndio maana halisi ya sanaa lazima ikufikirishe na kukufungua. Big up sana. Free Vitali
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@franksengi3637
@franksengi3637 2 жыл бұрын
Nyama zimevuja mchuzi umebaki😂😂😂😂😂😂😂😂 changa la macho
@vjjoekryptone7262
@vjjoekryptone7262 2 жыл бұрын
Aliyekuja baada ya jamaa kukamatwa
@Ngangabwite
@Ngangabwite 2 жыл бұрын
Wimbo mkali sana, pole kwa matatizo unayoyapata kwa kukataa kuimba upumbavu
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@davidmoshi8820
@davidmoshi8820 2 жыл бұрын
Free vitalis maembeeee
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@danielx8
@danielx8 2 жыл бұрын
Jamaa kiboko,new Remy Ongala 🇹🇿🇬🇧✌🏿🖤
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@josephkonney937
@josephkonney937 2 жыл бұрын
Mkali wa hizi kazi,Vitalis Maembe.🙏🙏🙏
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@jonaskileo242
@jonaskileo242 2 жыл бұрын
Wimbo nzuri Sana big up kwako Vitalis maembe na pole kwa yote unayopitia ! Hakika uhuru una gharama
@benmoshi3687
@benmoshi3687 2 жыл бұрын
Kaizar tumempa yake na yetu anaipora 🙌🙌
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@rosemarykawaye3045
@rosemarykawaye3045 2 жыл бұрын
sema mkubwa umetisha nimekufahamu kupitia Nash mc
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Karibu sana Rose! 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@dankankazimoto9210
@dankankazimoto9210 2 жыл бұрын
Hongera sana nyimbo nzuri Sana
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Tatizo wanaotoa Ujumbe muhimu ndo hivyo.....! Lakini wanaoimba matusi na likes uchi hao wanapewa Tuzo !
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Karibu sana!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 2 жыл бұрын
Wimbo
@Barcher4868
@Barcher4868 3 жыл бұрын
Jumbe na Ukombozi wa fikra 🙌🙌🙌
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante sana! Ni sauti ya jamii SMART BRAY. Endelea kufuatilia kazi (Picha, Muziki, Video) za Vitali Maembe na matukio mengine. 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@w.w7039
@w.w7039 2 жыл бұрын
Free Vitali Maembe. Kweli ukweli huuma.
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@meddy92
@meddy92 2 жыл бұрын
Our own Fela Kuti...njia ya kuwaongelea the oppressed inamiba mingi sana brother kumbuka ilo. Mungu asimame na wewe.
@Itskhaemba
@Itskhaemba 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@franksengi3637
@franksengi3637 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri😍😍😍
@josephatnyambeya876
@josephatnyambeya876 2 жыл бұрын
Huu wimbo ni moto...
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Sikiliza zaidi kazi za Vitali Maembe. Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@peterjoseph4454
@peterjoseph4454 2 жыл бұрын
freeeeeeeee vital innocent one.....
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@emmanuelkaaya938
@emmanuelkaaya938 2 жыл бұрын
Uandishi 🎯🙌🏻
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Asante!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@hamisswaleh545
@hamisswaleh545 2 жыл бұрын
Free vitali
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@masuseleman978
@masuseleman978 2 жыл бұрын
Free vitali . Ukweli unauma. Mumeamua kumkamata.
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@paulmwarabu6685
@paulmwarabu6685 2 жыл бұрын
Very good song
@emillyremigius.4941
@emillyremigius.4941 2 жыл бұрын
#freeVitalisMaembe
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@magaraedson8631
@magaraedson8631 2 жыл бұрын
Free Vitali sasa✊
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@misuocharles9400
@misuocharles9400 3 жыл бұрын
Unclee🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙏🏿
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940 2 жыл бұрын
#FreeMaembeVitali
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@netvoicetv
@netvoicetv 2 жыл бұрын
kweli hainuki kwa watu safi ila wachafu,hongera kaka kwa kiboko hiki lazima walalame.
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@boniphacekajuna4782
@boniphacekajuna4782 2 жыл бұрын
Viva Vitalis Maembe #FreeMaembe💪
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
@mrmanjira9288
@mrmanjira9288 3 жыл бұрын
Asante baba, Maana mambo sikuhizi ni vururuvurur tuu.
@amanimkonde2216
@amanimkonde2216 2 жыл бұрын
Wanatuuzia VITANDA halafu wanatunyima Usingizi daaaah....... SHIDA AAAAH!
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Ha haa Amani! Lini tutapata usingizi?
@thereis1kon
@thereis1kon 2 жыл бұрын
Daaaah kaizari ngoma ya taifa kabisa but underrated bongo bhana
@shinjemackenzie6256
@shinjemackenzie6256 2 жыл бұрын
Muachieni haraka sana mnataka sifa tu nyinyi miungu watu
@vitalimaembe76
@vitalimaembe76 2 жыл бұрын
Together We Stand!✊ 'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV Link: kzbin.info
Vitali Maembe - Sumu ya Teja Sauti za Busara Festival 2021
8:48
Vitali Maembe
Рет қаралды 43 М.
Sumu Ya Teja
4:43
Vitali Maembe - Topic
Рет қаралды 67 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 32 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 46 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 25 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
UTACHEKA KINGEREZA CHA MKUDE SIMBA 😂😂😂
6:35
Story Tellers TZ
Рет қаралды 468 М.
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ACT MEDIA
Рет қаралды 18 МЛН
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
VIVAROMA
Рет қаралды 2,1 МЛН
Cool James   Sina Makosa RMX
6:23
DJJarlon
Рет қаралды 241 М.
NAHODHA - Vitali Maembe (2021)
5:56
Vitali Maembe
Рет қаралды 13 М.
Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala
5:07
Crea TV
Рет қаралды 2,5 МЛН
Vitali performing "a dedication song to Zuhura" in Zuhura Poetry Launch
4:51
SALAMA - Vitali Maembe
6:02
Vitali Maembe
Рет қаралды 36 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 32 МЛН