SALAMBA: BIG DEAL!! KHLEFFIN KIUNGO MPYAA YANGA? USAJILI HUU BABKUBWA | AKITUA KWELI WAMEKWISHAAA.!!

  Рет қаралды 23,344

Data Sports Tv

Data Sports Tv

Күн бұрын

#simba #yangafc #football derby #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #ubuntu #mwananchi#tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #derby#azam

Пікірлер: 13
@ammielvictorykirango2887
@ammielvictorykirango2887 17 сағат бұрын
Jamani mkipata Muda Pia Muwe mnatupitisha hata kwenye tetesi za Usajili Za kule Ulaya, na mambo mengine mengi ya kule Ulaya na mabara Mbali mbali piaaa
@richardkokoro3269
@richardkokoro3269 Күн бұрын
Suala la kesi Na wanasimba limefikia wapi?
@RevocatusKisaki
@RevocatusKisaki Күн бұрын
Bora uwaeleweshe, maana wachambuzi wengi na wandishi wengi wa Habari n vichwa maji, wakiongozwa na Ahmed ally wa simba. Watu wenye lQ ndogo Hawa anahitaji darasa la chapu
@SangalihbMnkonje
@SangalihbMnkonje Күн бұрын
Ungekuwa mwanamke ningesema wawashwa ila kwa kuwa ni mdada hahaha Ahmed Ally atawanyoosha 😂😂😂
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 22 сағат бұрын
Wewe kiungo kafanya nini na wapi?
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Күн бұрын
Fifa ranking Oman yuko juu zaidi ya Tanzania.
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f Күн бұрын
Oman Kuna mpira gani sasa
@SangalihbMnkonje
@SangalihbMnkonje Күн бұрын
Raja timu moja ya oman ilyopo top 10 Afrika
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f Күн бұрын
@SangalihbMnkonje Oman sio afrika ni Asia ila bado hawana viwango vya maana
@SangalihbMnkonje
@SangalihbMnkonje Күн бұрын
@@FahadAbubakari-y3f dah! Umetokea wapi? Ulikuwa mtego nilitaka huyo jamaa juu ajae kwenye mfumo 😀😀 sema hongera sana kaka kwa kunikamata kiurahisi ivo
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f Күн бұрын
@SangalihbMnkonje huyo ajui kitu Oman tokea miaka ya nyuma wachezaji wa bongo wakiwa wameisha hawana dili bongo ndo walikua wanaenda huko , uarabuni mpira upo Qatar, Saudia na uae
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.